KIMEUMANA! MFANYABIASHARA ABISHANA NA CHALAMILA BILA WOGA "SIFUNGUI DUKA!"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 48

  • @HajiHija-od2db
    @HajiHija-od2db 3 місяці тому +2

    Dah, mkuu wa mkoa amefeli sana hasira ubabe leo umemtawala huwezi kuongiza dar kwa sampuli kama hio me naona ameshafeli tayari. Mkuu hutakiwi kutumia nguvu nyiingi sana utashindwa.

  • @LusekeloAdam
    @LusekeloAdam 3 місяці тому +1

    Uyu mwamba bilashaka ni MKENYA 🔥🔥🔥🤜🤛

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 3 місяці тому +1

    Uongozi kazi, Mungu atusadie

  • @joahkiswaga6347
    @joahkiswaga6347 3 місяці тому +3

    Alitakiwa kujibu hoja wamachinga wanalipa kodi? Sasa analeta ubabe

  • @adolfufedinandi2534
    @adolfufedinandi2534 3 місяці тому

    ni vizuri sana alichofanya huyo mfanyabiashara umtii kwani yeye Mungu kama kazi kaishindwa astaafu

  • @YangaNews
    @YangaNews 3 місяці тому +4

    Wewe unatutisha bwana

  • @JohnNnko-m5w
    @JohnNnko-m5w 3 місяці тому

    Huyu mkuu wa mkoa 0 kbc kwani machinga ndo wanalipa kodi sasa anaongea na machinga au anatakiwa aongee na wenye wenye maduka

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 2 місяці тому

    Watanzania amukeni sio kila siku ndio haiwezekani ubabe sio

  • @allyboka4264
    @allyboka4264 3 місяці тому +1

    Wenye D mbili tumeshaelewa mwenye akili nan 😀😀

  • @mjumbemwanda9666
    @mjumbemwanda9666 3 місяці тому +1

    Watanzania nafurahi saizi mmeanza kupata akili no fear in the street

  • @salehthesword
    @salehthesword 3 місяці тому

    Kumbe Wamachinga hawalipi kodi? Kwanini Magufuli alikuwa anawatetea wasiolipa kodi?

    • @Mburushi
      @Mburushi 3 місяці тому

      Ndio maana alitaka wachangie 20k kwa mwaka wakiwa wengi atapata maokoto kuliko kuwaacha tu wawe huru

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 місяці тому +2

    Kichwa cha mwenda wazimu

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 3 місяці тому

    Huyu mkuu wa Mkoa wa ajabu sana na hajui shida wanazopata wafanya biashara.. Yeye analipwa mishahara tena kwa kodi za wafanyabiashara, Sasa badala akasuluhishe tena kwa tena kwa hekima, Yeye anakwenda tisha watu..Huyu hafai kuwa hata kiongozi wa familia.. Sasa anapewaje nafasi kubwa kama hii ? Hii ni aibu kwa hili taifa..

  • @JonathanMatembo
    @JonathanMatembo 3 місяці тому +1

    CCM ni janga kubwa sana la kitaifa

  • @Zenny89
    @Zenny89 3 місяці тому

    HOJA KWA HOJA KWANI MWANASIHASA HUYOOO…KAMA MKUU WA MKOA KAMA HUNA SOLUTION USIENDE KUJIONYESHA SURA HUKO SABABU HUSAIDIII KITU.

  • @Man_of_valor
    @Man_of_valor 3 місяці тому

    Daah! Ivi si ndo uyu alisema ameacha ubabe!!😂😂😂😂

  • @WilliamKivugo
    @WilliamKivugo 3 місяці тому

    Mtu kitu chake alafu una mtisha nchi ngumu hii😅😅😅

  • @juchaonline4084
    @juchaonline4084 3 місяці тому

    Uyu jamaaa kwa mbaaal naona ana umagu fran iv sema tu hana cheo kikubwa bila ivyoo angewanyoosha sana uyu apend upumbavu chalamila 👏👏safi sana

    • @adolfufedinandi2534
      @adolfufedinandi2534 3 місяці тому

      anyooshe kwa upuuzi unamlazimisha vp mtu kufanya jambo are you crayz

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 3 місяці тому +1

      Hivi unahisi hao wafanyabiashara ni matahira wanagoma tu, Kuna watu hapo Wana elimu kuliko chalamila na wanapesa kuliko chalamila wanavitu vya msingi wanavyoviongelea

    • @pvafoll5200
      @pvafoll5200 3 місяці тому

      Wee nae akili huna acha kumfananisha maguful na vitu vya hovyo magu alikuwa mbabe kwa mafisad huyo kiongozi wako wa hovyo chalamila analeta ubabe kwa wananch plus uchawa wa kijinga hamna kiongozi hapo alafu huwo utumbo ufananishe na magu utakuwa chiz

  • @injilinjeyakutazakanisa
    @injilinjeyakutazakanisa 3 місяці тому

    Ila Mimi napenda na ningepewa kushauri ningeshauri. Kuna jambo hapa linapashwa tizamwa vyema. Haya wacha tuone

  • @davidanthony4705
    @davidanthony4705 3 місяці тому

    Kwani alifunga biashara kisa hapakuwa na ulinzi au kulikuwa na mahitaji mengne???

  • @PeterTweve-t1c
    @PeterTweve-t1c 3 місяці тому

    Tatua kero zao sio kutishia acha UJINGA

  • @DennisFandi
    @DennisFandi 3 місяці тому

    Huyu wampeleke Cheka tu, hatumuelewi

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂 Tanzania

  • @robertnyantile4291
    @robertnyantile4291 3 місяці тому

    Hapo munataka awe na uoga wa nn? Machawa wa ccm

  • @FatiaAhmed-m1u
    @FatiaAhmed-m1u 3 місяці тому +1

    Ubabe wa nini chalamila

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 3 місяці тому

    Acha kuwatisha wasikilize kero zao bwana.

  • @mohamediomari1614
    @mohamediomari1614 3 місяці тому

    Kitailewela tuu, vifua vya waru vinawaka moto,

  • @adamnehemia8316
    @adamnehemia8316 3 місяці тому

    Kuna baadhi ya wafanyabiashara wataregeza hapo kwa kuwapa mizigo hao wamachinga😢

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 3 місяці тому

    Wangekua wanangu wa Kenya hapa tungeelewana mapema tuuu!!!! Lakini wabongo twaogopa kupoteza Bahasha ya Vitafunio na Viroba vya Mchele kutoka CCM

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 3 місяці тому

    Chalamila anatishia watu

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 3 місяці тому

    Sasa uoga wa nn da! Bongo bado sana😂😂

  • @adolfufedinandi2534
    @adolfufedinandi2534 3 місяці тому

    huyu chalamila awe makini sana muogope sana mtu anayekujibu kwa hoja tena bila uoga maana hujui ana kinga gani atakuja kupotezwa kizembe kisa kupigania ujinga wa serikali

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 місяці тому

    kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo ila roma alafu mnataka viongozi kama awa ndio mjekua na maendeleo kama uraya 😁😁 hee me nachekaga tu

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 3 місяці тому

    Sasa amuoge kwa lipi ?

  • @innocentmushi3036
    @innocentmushi3036 3 місяці тому

    Divide and rule

  • @RajabuKitalambo-q2u
    @RajabuKitalambo-q2u 3 місяці тому +2

    Uyu ajakuja kusuluisha uyu amekuja kupiga kelele

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 3 місяці тому

      Huyu hakuna siku amewahi ongea point..

  • @BilalMuhammad-jt6sq
    @BilalMuhammad-jt6sq 3 місяці тому

    Safi sana

  • @andrewsailen7628
    @andrewsailen7628 3 місяці тому

    😂😂😂hata cjui nacheka nn

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 3 місяці тому

      Unakosaje kujuwa unacheka nn !?? 😂😂😂😂😂

  • @assenganews9435
    @assenganews9435 3 місяці тому +2

    Tumeanza kujitambua sasa

  • @BizzBoy-g4o
    @BizzBoy-g4o 3 місяці тому

    ukimlima na wewe utapandwa

    • @charleskabangila9004
      @charleskabangila9004 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂 aise bongo sihami ni furaha tu eti ukimlima na wewe utapandwa