Shida hapo hamchambui football bali kila mtu kwa uelewa wake anatetea kile kilicho kichwani mwake na hii inajidhihirisha tu baada ya matokeo ya uwanjani haohao utashangaa anasifia na kukubali alichokikataa. Yaani hii nchi weledi wetu ni mdogo mno na tuna mambo ya kuiga na kuchambua kishabiki zaidi kuliko hali halisi ya mchezo. Kesho tumeikabidhi kwa Mungu kwa sababu tunajua tunaocheza nao ni mabingwa kama sisi na wanataka kilekile tunachotaka sisi lakini tunamshukuru Mungu kwa kuwa nasi nyakati zote. Amina
Mie ni simba damu ila huwa siwaelewi wachambuzi watz yaani hawa watu ni wanafiki sn hawa hawa walikuwakiisifia uto wakawa wanasema hakuna team yanga ikashindwa kucheza nao na hawaoni team ya kuifunga yanga toka yanga ifungwe wameigeuka kabisa sasahivi wanaisifia simba ambayo walikuwa wakiiponda hawa mie huwa nawaona ni genge la wahuni tu. Kesho uto akishinda sijui mtaweka wapi mijisura yenu
Unajua we jamaa sijui akili zako zikoje rekodi siyo issue maana benchika alikuja na rekodi kubwa lakini matokeo alipata ya ovyo subiri mpira uone kesho hivyo huna akili kabisa
Hawa wanazi wa Simba wanashida sana. Yanga Bingwa.

Yes kocha siyo mzoefu lkn ana wachezaji wazoefu mno! Hakuna shaka yoyite.
Mbona siwaelewi hawa wachambuzi hasa hans
Wewenisio kujua hujui mpira,hujui chochote,ngai,jef na hans wanajua
Kesho saa 1 usiku uchambuzi utakua tofauti na wa leo
Matokeo ya mechi ya kesho Al-Hilal hawapati goli na wakitaka kupata goli watafungwa goli nyingi
Tatizo vilaza wengi kwenye uchambuzi ndo maan hawawezi kumuelewa hans 😂😂😂😂😂😂
Huyu falafel kweli
leo niuloze kwani hao makocha wenyeuzoefu walizaliwa nao
Geof Lea na YANGA wapi na wapi kolo huyo
Wenyewe kwa wenyewe mnabishana tutawaamini vp
Hans unazungumzia kitu usichokijua hakuna tufauti ya falsafa na mfumo man united wamepita wangapi wakurugenzi na mfumo ni ule ule
Leah akili hana .. yan yeye haongelei wachezaj kuwa wazoefu , kakomaa na kocha tu. Kocha ukiwa mzoefu na usiwe na wachezaj wazoefu utafanikiwa?
Wachambuzi walishakuwa wachang'ombe xaxa yanga akishinda maneno yanabadlika kocha si tatizo kwn wachezaji hawana uzoefu acheni zenu
Usipindishe maneno yanga wantumia sindno kuwangozea nguvu wachezaj wao
Hapo hance ametudanganya ata kama hatuna knowledge ya ukocha
Mie ni simba damu ila huwa siwaelewi wachambuzi watz yaani hawa watu ni wanafiki sn hawa hawa walikuwakiisifia uto wakawa wanasema hakuna team yanga ikashindwa kucheza nao na hawaoni team ya kuifunga yanga toka yanga ifungwe wameigeuka kabisa sasahivi wanaisifia simba ambayo walikuwa wakiiponda hawa mie huwa nawaona ni genge la wahuni tu. Kesho uto akishinda sijui mtaweka wapi mijisura yenu
Ongea Leo arf kesho ushone domo lako
Kwahyo yanga alishinda huyu atatwambiaje Sasa? Au ndo atageuka Sasa uzoefu unakujaje kama hukutani na timu kubwa Mimi nafikir geoflea una matatizo
Udhoefu ndiyo nini?!!😂😂😂
Unajua we jamaa sijui akili zako zikoje rekodi siyo issue maana benchika alikuja na rekodi kubwa lakini matokeo alipata ya ovyo subiri mpira uone kesho hivyo huna akili kabisa
Huyo jamaa ana chuki na wewe hans muangalie sana,sio mjinga anakuchukia hansi
Nilazima lea aanze kuiponda yanga ni kolo damu huyo
Yani damu damu
Mwache mtu aeleze,acha usenge,mwsche mtu.amaliza,swali hujaulizwa wewe mjjnga kabisa maiki. Haipo kwako mnaropoka ropoka,mbona mkiongea ninyi.hnsi.abishi,na huyo mbishi.hatoelewa kakalia ubishi
Ko unatakaje jeof, njoo ukochi wewe basi