Familia yalilia kifo cha mama yao Kakamega aliyefariki wakati wa maandamano

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Familia zilizowapoteza jamaa wao wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka-2024 zinatoa wito wa usaidizi wa kifedha kugharamia mazishi. Familia hizo pia ziimeitaka serikali kuharakisha shughuli ya uchunguzi wa maiti ili ziweze kuwazika jamaa wao haraka iwezekanavyo na kwa njia inayostahili. Hayo yanajiri huku Wakenya wengi wakijitokeza kutoa damu kwenye kampeni ya utoaji damu kote nchini kama dhihirisho la uzalendo kwa wahanga maandamano dhidi ya matozo mapya ya ushuru.
    Connect with KBC Online;
    Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
    Follow us on Twitter: twitter.om/KBC...
    Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
    Check our website: www.kbc.co.ke/
    #kbcchannel1 #news #kbclive

КОМЕНТАРІ •