Mfanyabiashara aliyeombwa rushwa na watumishi wa Serikali huyu hapa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Baada ya Rais John Magufuli kukutana na wafanyabiashara na kisha mmoja wa wafanyabiashara hao kuelezea kadhi aliyopitia ya kuombwa rushwa na maafisa wa taasisi za serikali ikiwemo jeshi la polisi na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) tumemtafuta ili kufahamu mengi zaidi.
    Ungana na Jamal Hashim akiwa na mfanyabiashara huyo Ramadhan Hamis.

КОМЕНТАРІ • 97

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 5 років тому +5

    mungu akulinde mfanyabiashara kaka usiogope yupo Allah mjuzi wa yote Inshallah atakusaidia kwa ulinzi mkubwa jeshi la malaika wema wakuzunguke wewe na familia yako na mali yako. amin mtegemee sana. soma dua jikinge na dua jizinguwe na dua. Nimeamini mungu hamtupi mja wake. haki ya mtu haipotei kamwe. Hongera Sana

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому +3

    Huyu kaka anaongea pointi tupu agandi gandi inamaanisha kwamba ajatunga safi kaka MW/Mungu atakulipa

  • @simonthomas7969
    @simonthomas7969 5 років тому +11

    Huyu mzee hii stori hajatunga bali imemtokea hongera kwake PM kuweza kumsikiliza na kuibua mambo yake

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 5 років тому +2

    Safii sanaa magu oyeeeee

  • @receptionzanbluu3656
    @receptionzanbluu3656 4 роки тому

    Watu wa marori na mabasi njiani ndousipime, hii tanzania haitapata maendeleo inalaana, na hakuna wasomi kuna wababaishaji tu, bora ungekua raia wa kenya au uganda, kuna uwelewa kwa watumishi tofauti na huku,

  • @johnjackson4363
    @johnjackson4363 4 роки тому

    Sana habari na watanzania kwa ujumla tupaze sauti mpaka huyu mzee apate haki yake

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 4 роки тому +1

    BABA UPO VIZURI SANA USITOE RUSHWA BABA HAKI YA MWENYE HAKI HATA SIKU MOJA HUWA HAIPOTEI HATA SIKU MOJA, MUNGU BABA YUPO JUU YA NCHI YA NA TANZANIA NI TAIFA BABA, ITAFIKA TU MAHALI WALA RUSHWA WATANYONGWA TUUU!

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 5 років тому +1

    Rais vunja TRA yoote mamlaka hyo uwape watu wengine kama ulivofanya CDA Dodoma.TRA kama una roho nyepesi unaweza piga risasi wote na familiza zao police na TRA wana chain yao ya kuonea watu

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 5 років тому +5

    FISADI LOWASSA ANGEKUWA RAISI HIZI NDIZO ZINGEKUWA HABARI ZA KILA SIKU NCHINI!!! JPM JUU MAWINGUNI SIKU ZOTE.

  • @maryamswaleh1333
    @maryamswaleh1333 4 роки тому +1

    DHULMA HAIDUMU NA IKIDUMU INA ANGAMIZA,HAKI HAIZAMI AKHY

  • @rashidmatepo3964
    @rashidmatepo3964 2 роки тому

    Hujui kutangaza mtazaji

  • @romeocyrill6635
    @romeocyrill6635 4 роки тому

    Too bad mpaka leo hii bado hajapewa haki yake

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 5 років тому

    Wadau nakumbuka wakati nasoma sec pale mtaani kulikuwa na patrol ya polisi inaanza saa 5, kuna jamaa alikamatwa uzululaji mwisho alipelekwa mahakamn akafungwa 2years

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 4 роки тому +1

    Intro yako mtangazi ndefu mno Kama njia

  • @philiponghwagi3552
    @philiponghwagi3552 4 роки тому

    Pole

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 4 роки тому

    Mtangazaji nahisi Kuna mtu unamuiga lkn Bora utumie sauti yako binafsi

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 4 роки тому

    Mtangazaji nenda shule huna viwango fyuuu

  • @petermim
    @petermim 5 років тому +3

    Brother k

  • @alinanuswemwatukambo6169
    @alinanuswemwatukambo6169 5 років тому +1

    Vp

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 5 років тому +15

    Huyu mzee ana kumbukumbu ni noma!

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 років тому +1

      kama una tukio lililokutokea na kukugusa kwa nyanja zote kwa 1/nyingine sijui unaanzaje kusahau!

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 5 років тому +2

    Safii sanaa magu oyeeeee

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 5 років тому +8

    Brother K huyo

  • @hadijahalifa5418
    @hadijahalifa5418 5 років тому +5

    Dah!waizi wakubwa! that's why mnyazi mungu akatupa My President!Mungu akubariki Mueshimiwa na serikali yako

  • @hadijabashasha3337
    @hadijabashasha3337 4 роки тому +1

    Wewe baba akili ulizo nazo lait ungesoma ungefaa kua Rais wa Nchi....ila pia namshukuru sana Rais wetu kipenz mtetez wa hak za wanyonge Dk.JPM uendelee kuitawala Nchi hadi mwisho wa maisha yako uwe Mfalme kama malehem Qaboos wa Oman yaan utadhan mlizaliwa tumbo 1 roho zenu za huruma na upendo kwa wananchi wenu

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 років тому +6

    yan ukwel usio pingika kua rahis wetu ni rais wa kipekee kabisaaa rais ambae hana upendeleo kabisaaa

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 років тому

      mimi natka kumuelewa lkn ukisema, "..hana upendeleo.." yatia ukakasi kdg kuzingatia :-
      > bungeni kuna wabunge wajinga ambao achilia mbali sikujui na hatujuani lkn uhakika twaweza kuwa wabunge wazuri zaidi yao.
      > kupoteza muda na kushughulikia upinzani ambao cna hakika kama awatakia mema kwn na wao ni hitaji la kuka nao chini tu kuona wanatatua vp mttzo ya nchi.
      > maamuzi na kuropokwa pasipo na sbb
      na hapo nimenyamazia ya m/mkoa tumjuaye kuwa na maneno ya kejeli siyo kwa walio wadogo zake bali hata wakubwa zake kwa umri kila akipatiwa kipaza sauti/ nafasi ya kuchngia kwa mawzo popote juu ya lolote.
      ana mambo mengi sana ya kujifunza/kuchukuwa/kuwaiga waliyomtangulia, igawa hakuna shaka kuwa hili/haya ayafnyayo kuwa yanaonesha kuwa na nia njema llkn bdo haiyoshi kama bdo watu hawauoni mwangaza kuona mattzo/njaa ya(i)taisha leo/ksho/hivi karibuni kutokana na namna ya maamuzi yafnywayo.

  • @reubenbusanji2904
    @reubenbusanji2904 5 років тому +4

    uadilifu wa TRA ni tatizo watu wanamlaumu rais wakati watendaji ndo tatzo kubwa

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 5 років тому +2

    Majanga haya ni mengi sana hapa nchini fikirieni huyu ni ambae alikua jasiri jee wengine waoga na ambao polisi waovu wanatumia maguvu yao inakuaje , sasa hao polisi na maofisa wa TRA wa namna hiii wanaatakiwa wauwawe kikatili ili iwe fundisho kwa majambazi wengine

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 6 місяців тому

    HII NCHI NI BORA TU TUNGERUDI KWENYE UKOLONI.. NI BORA TUTAWALIWE NA WAKOLONI KWA MIAKA 100 IJAYO HALAFU NDIYO TUJE KUWA HURU..

  • @issaibony6386
    @issaibony6386 4 роки тому +1

    Hawa tra wanamatatizo makubwa sana kwn ww ndio watendaji wkuu wajuuzaidi ambao wakidnya madudu bx serkali haito kuwa namapato wajitathumin upya kbisa kabisa mtu unaajiriw afu unakaa ofsin unafnya mambo yakihun aseeh sheria zakunyongwa zinahusika TZ hpa ili eshima iwepo kama chna na arbun

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 5 років тому +1

    Majambazi yanayolipwa na Serikali yana mbinu nyingi sana na hivisasa wapo madarasani kubuni mbinu mpya ya kuwadhurumu Watanzania wenzao, hawana uoga huruma wala aibu, wanaweza kufanya mambo ilikwamba wakaonekana wanafanya kazi nzuri sana kwa taifa lao tumbe pembeni wanafanya unyamaushetani mbaya sana wakuwahujumu wananchi wenzao na hassa serikaliyao inayo wafadhiri maana mfadhiri ni serikali, wanaiharibia şifa serikali inayo wadhamini na capo kila kona wamejaa na eti yatu wamewazowea ni kama MWEWE NA KUKU.Tanzania Hoyeeeeeee!!!!!!

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 5 років тому +2

    Vijana waufipa mabavicha watakuja nahoja kuwa uyo jamaa alipangwa naserikali ili aipe kiki serikali. Walivo naakili zakinyumbu na zakimsukule. Watapinga naili.

  • @dottomoshi8324
    @dottomoshi8324 5 років тому +2

    Yaani mwananchi tz akimuona police huwa hana amani, Mimi naona kuna umuhimu wa hichi kitengo kujiangalia upya

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 4 роки тому +1

    TRA officers mutamuona mzee Magu

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 5 років тому +2

    Duuu awa jamaa wa TRA siooo aiseee wana roho mbaya sn

  • @henrymatebe1492
    @henrymatebe1492 4 роки тому +1

    Huyu afisa wa TRA aliyeshirikiana na askari bado tu mpka leo yuko kazini ?

  • @shabaazbikorwa2580
    @shabaazbikorwa2580 4 роки тому +1

    Mtangazaji nenda Tena shule maana utangazaji wako ni mbovu sana

  • @ephremmtuya3094
    @ephremmtuya3094 5 років тому +2

    MUNGU ATAKULINDA HATA USIOGOPE

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 5 років тому +2

    Kisasi cha TRA kitamfikia pale tu awamu ya mh Magufuli itapoisha. Naomba msave hii comments yangu Kwa reference zenu miaka 7 ijayo

    • @frankjoely3313
      @frankjoely3313 4 роки тому

      Hawatokuwepo hao watatumbuliwa watakuepo wengine.

    • @happyfihavango4151
      @happyfihavango4151 4 роки тому

      Nyooka nao tra wasumbufu sana usiwaache

    • @lizyliz5357
      @lizyliz5357 6 місяців тому +1

      Duu imeshatokea tayari

  • @tumainimango8140
    @tumainimango8140 5 років тому +2

    pole sana kk.haki ya mtu haipotei

  • @kilimanjaroICE
    @kilimanjaroICE 5 років тому +1

    Mtangazaji u gotta be well prepared kabla ya kipindi,, get your facts/data correct ( Wafanyabiashara elfu kumi pale Ikulu,,,, Seriously Bro!!?). Your intro took almost 4 minutes na Mgeni uliyemualika keep on waiting na hizo blah blah zako. Watanzania tubadilike,,, na nyie Watu Mnaojiita Professional journalists you gotta lead the way by being real Professionals maana talalila na Mbwembwe tuwaachie wacheza Vigodoro. Kwa kweli niliishia dakika ya 3.23 couldn't stomach the blah blah blah intro anymore.

    • @johnmchele379
      @johnmchele379 5 років тому

      Hapo mtangazaji Jamal Hashim kwa habari ya kwamba Mh Raisi JPM alikutana na Wafanyabiashara elf 10 Ikuru!! amejichanganya tumsamehe tu ila kama ni muungwana atuombe radhi,, maana kwa idadi hiyo ya watu kwa ukumbi upi pale Ikuru?

  • @emmanueljohn5162
    @emmanueljohn5162 4 роки тому +1

    Hii story itapita na watu
    TRA are damn cockroach

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 5 років тому +1

    Mtangazaji punguza introduction iwe fupi kidogo

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 років тому +1

    Tukumbuke na tufahamu kuwa Mungu yupo mwanadamu hatoliweza

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 5 років тому +3

    Hongera na pole lakini wangemlipa na ctn ya cctv, pamoja na ctn3 ila nakushauri ramadhan usiuze rasta ni haramu huenda ALLAH anakupa mitihan ili uache aliyoyakataza

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 4 роки тому

    Hii ndio Tanzania mpya..wote tukiwa na ujasiri huu tutakomesha rushwa, tutatokemeza viongozi wa wabovu..Magufuli EMPOWERS EVERYONE ..WE FINALLY REGAIN OUR VOICE, OUR AUTONOMY..THESE ARE RIGHTS WE NEED THE OPPOSITION ESP.. ZITTO AND MBOWE TO POINT OUT..WE CAN NOT HAVE INVESTORS IN A CORRUPT ENVIRONMENT..MAGUFULICATION OF AFRICA 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿😍

  • @nowelaraymond703
    @nowelaraymond703 4 роки тому

    Hii rushwa itakwisha lini jamani, kwanini watumishi hawana hofu ya Mungu. Naomba haki itendeke Rais wangu ni mwaminifu naamini ataingilia kati, Mungu ibariki Tanzania!

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 4 роки тому

    MFUMO. Wa. Nchi. BADO. Ni. Wa. RUSHWA. Haki. MpKa. Uonane. NA. Raise..

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 5 років тому +5

    Walipaswa wanyongwe hao askari na TRA ambao si waaaminifu wamemzuia miaka mitatu wauwawe tuu

  • @hassanowaziri1587
    @hassanowaziri1587 4 роки тому

    Baba mzee magu watu ambao hawaendi na spidii yako wafukuze ma mmbwa hawa badala wa kusaidie mh.Rais wenyewe wanakudidimiza

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 роки тому

    Huyo mzee kichwa kwel kwel maneno yke hayajabadilika yapo vile vile baba haki yko ipo wazi na utaipata

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 років тому

    Pole sana jmn, sasa mzigo umekaa TRA miaka 3 yote jmn, duhhh hawa majamaa wa TRA cyo kabisa lkn alosababisha ni askari wanaopenda rushwa kama nini, yaan police ana kula rushwa.... Mungu atawalaani tu kwa kitendo cha kumtesa huyu mfanyabiashara ....

  • @mboyadelphine9447
    @mboyadelphine9447 4 роки тому

    watekeleze agizo la raisi kwann wanamzungusha tena

  • @hadija846
    @hadija846 4 роки тому

    🙏🏼💞😍Nimekupenda bure baba kipenzi😘💖🙏🏼

  • @salehabdul4578
    @salehabdul4578 4 роки тому

    Sasa vp huyu mzee kaisha pata haki yake maana hatuja pata update

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 4 роки тому

    Wampe haki yake wamemrudisha nyuma kimaendeleo

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 4 роки тому

    Huyu ndie awe kamishina mkuu wa TRA

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 5 років тому

    Rais wetu hoyeeee

  • @tzmny4909
    @tzmny4909 5 років тому

    Tanzanian akuna wahandishi wa habari

  • @selemanikapara1972
    @selemanikapara1972 5 років тому

    nilicho ona viongozi wengi wakati ndio wanawaangusha viongozi wa kubwa. hawafanyi kazi zao kwa ufasaha mpka raic au waziri mkuu awakumbushe

    • @musafiahlalbayt9978
      @musafiahlalbayt9978 4 роки тому

      Wafanya. Kazi wa serikali aceni ku omba rushwa. Mufanya byashara. Atoke. Kagera. Kwenda. Dar saalaam. Ngara kahama nzega dodoma morogoro. Popoteutowe rushwa. Mudidumbulke. Tuweke. Rushwa. Mbere. Ama. Turipe. Ushuru. Lakini. Rushwa. Ni. Haramu. Awo watu wznayoomba rushwa. Wana mushahara

  • @isejemedia6760
    @isejemedia6760 4 роки тому

    Pole pot

  • @justinesagaya371
    @justinesagaya371 5 років тому +3

    Kwa wote waliohusika mmedhalilisha sana professional zenu ............. Maadili ya kazi umeyasahau kabisa sasa mmejipa matatizo yatakayowagharimu maisha ......hili ni funzo vijana tujifunze tuache kutamani mafanikio ya siku moja

    • @happyfihavango4151
      @happyfihavango4151 4 роки тому +1

      Wakipata ajira wanaona ndio fimbo za kuwachapia wanyonge wamezidi tra wakorofi sana

    • @fadhilimgovano1575
      @fadhilimgovano1575 4 роки тому

      Polisi wasenge njaa tupu kwa nn mnapenda lushwa wakati mnajua lushwa adui wa haki hivi hamjui kazi yenu jamani

    • @samuelnyabange2069
      @samuelnyabange2069 4 роки тому

      Bhulaza K Pole. Ushauri wangu ni mdogo tu. WAKULIPE mara mbili ya kile ulichosema. Maana hata tathmini ya kukulipa wameshindwa kufanya.

    • @zuenamuogopemunguewemwanam1843
      @zuenamuogopemunguewemwanam1843 4 роки тому

      Kaka Rama Allah atakulinda. Hawa ni wanadamu tu kwa Allah penye haki hapotei kitu.

    • @johnjackson4363
      @johnjackson4363 4 роки тому

      Hapo sioni kama utalipwa coz maelezo hayaoneshi ni nani haswa anatakiwa kuwajibika

  • @veronicatweve4786
    @veronicatweve4786 5 років тому +2

    Duuuu! Waliiba tena?

  • @riahwilly829
    @riahwilly829 5 років тому +1

    Mungu ni mwema wakati wote maana humtetea mwenye haki,zaidi niseme kwamba kuna idara zingekuwa Na uadilifu kazini bac Tz tungekuwa mbali na idara hizo ni Police Tanzania na TRA.

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 5 років тому +1

    Sio elfu kumi bana piga hesabu yako vzr

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 років тому +3

    Kesi hii ipo mahakamani, ni vema tusiiongee kwenye vyombo vya habari. Mh Raisi pia ameshalitolea maamuzi mazuri jambo hili.

    • @hc3703
      @hc3703 5 років тому +2

      Wewe utakuwa TRA,

    • @ashamwandu3781
      @ashamwandu3781 5 років тому +3

      kwani we unakerwa nini watu kupewa taarifa hata kama Rais katoa maamuzi ubwege tu, unazani mazuri aliyofanyiwa mtu na mali yake. pumbavu zako. Mali inauma sana wehuna hela wala biashara

    • @shomytventertainmenttanzan7842
      @shomytventertainmenttanzan7842 5 років тому +1

      baden bensoni Yani utakuwa tra mbwa wewe

    • @neymarmbilinyi9735
      @neymarmbilinyi9735 4 роки тому

      HUYO mla rushwa baden HUWEZ penda POMBE kama HUNYWI

    • @Aysha-ms3ln
      @Aysha-ms3ln 4 роки тому

      Ndo ishafika mitandaoni na pia imeshatapakaaa kila kona kama maji ndo yameshamwagika

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 років тому +1

    Kesi hii ipo mahakamani, ni vema tusiiongee kwenye vyombo vya habari. Mh Raisi pia ameshalitolea maamuzi mazuri jambo hili.