Double trouble are way better than the other groups getting airtime and hype in Nairobi they just hit different mombasani ndani ye kabin mwanangu weeewe.
Waaaaaaaaaaait Seeing Coastal Hip hop Transforming from Cannibal, Kaa la Moto Now to Newschool 💥💥These Guys Are the real Deal In Coast, Wanangu Tushatua
SUBSCRIBE! Ring 🔔 don't missout when we upload next 🔥🔥
Kipawa to di world
Buda kuna maboyz wako fiti rap hapa mtwapa, nitawahook aje na wewe!?
pitia uku msee🔥🔥
@@mikailomar tuma link ya kazi
@@kipawa bro ndio hiyo..
ua-cam.com/video/j26ysDfLEYI/v-deo.html
Good thing unasupport Mombasa based artists, big up
MAASHALLAH nakubaliii brothers muko juuu ILA kwetu corruption kibao Yani MUNGU tuu
True
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
Double trouble ni Genje .......usini usinizoee ukivuta sana nakuvutia Bunde
Order orderrrrr zeeee
Napenda double trouble ,,Timo kazi saafi kabisa pia kutuhost kipawa kama mathareallstatz
That feeling when you see your homies winning❤️Majengo,Sea Never Dry🌴
More Life & Blessings Double Trouble✨
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
Yo they from majengo cuz all real homie are locked up or died r.i.p matano
Mnatuwakilisha sana Majei💯.
Big up jamaa💪🏾💪🏾
Mombasa ni Moto more love Kwa double trouble sanasana ndani y majay mbsa to the next level
Nareeee🔥🔥🔥on fire my people Mombasa got talent 🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
KIPAWA is winning, underground talents especially from Mombasa have been neglected for far too long and KIPAWA is breaking that curse 🤎✌🏾💪🏾🇰🇪🔥💯
Kweli bro si ati nini uyu boyz ni blessing kwa mayut
Nakuru Pia Iko Ignored mbayaa
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
Leta buruklyn boyz na big yasa next please 👏
more love for double trouble from Nairobi🖤❤️❤️
"This time round @double.Trouble inamada kila sector 🎶..." Sanaaa uweeeehhh💥💥💥 #001 here we goo🛫
"Cheki this generation ikipagawa na wamangaa🎵..."
Ndio mr don ✌
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
Double trouble are way better than the other groups getting airtime and hype in Nairobi they just hit different mombasani ndani ye kabin mwanangu weeewe.
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
Proud to be a part of this!! Let's keep winning!! 👊😎
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
Double trouble big up broz kazeni hainaga kurudi nyuma
Hainaga error is something else maan🔥🔥🔥🔥🔥❤️
These guys are awesomely dope
🔥🔥🔥🔥🔥🔥KIPAWA IME ESHIMIKA MPAKA PWANI #RESPECT KIPAWA number one podcast kenya
Iko very jamaaa alafu sanaaaa majeiiiii
Majeii kumotooo
Support ipo jamaa mshatokaaaaaaaa
Soon the music business is going to mombasa watch this
Oyaaa nimekubali Kaka ✌️✌️✌️✌️💯homaaa
Top sana guys tuko na nyinyi am proud of you
Best thing I've seen in a while
Double trouble are really Trouble shida Mara mbwex
Young Generation ya OHANGA 🇰🇪💥💥💥💯🌟
Full Salutiiii Wanangu wa Majeii 2 The World 💯❤️🙌🏼BIG UP SANAAA
Mombasa talent .Kanairo mtatambua #oder zeeeeee
Double trouble nareee imeweza mbaya ins ha Allah manze mta make it
Nipatieni Kazi ya kuwasimamia my brother
Big up double trouble mmeweza keep it up
Wow big up KIPAWA for showing support to mayouts🔥🔥🔥
Niko nditni ..si mtrrrrrr iko tiari
#LAZIMAIBAMBE
#001 Wanoko, Double Trable💥💪🔥🔥🔥
wow i just saw them on tiktok wanaweza sana
Seh Dem is skillibeng 'Not' track buh nice one double trouble dope flow💪
Eazzy💥 iyo ngoma inaitwa Not😁👊
@@63rdgangke24 😂 big up Gee👊
All the best my guys mbaenda far keep it real
I watch more than thrice keep up banaa{✌️✌️
Tomba 001 wanasurport kina kiba watu njee of mombasa.. double troluble big up sana happy for them🔥 🔥 🔥 #00none
Production yako inawanga on another level.
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
oraa #poa sana##well done(from legend family
Kazi safi, shout out to ya'll
a true talent moves across borders, here verified from Tz, 🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
The Don na trouble hatar💥💣💯🔥 representing
ua-cam.com/video/B_dhzm1Ifss/v-deo.html
Hi very much good Producer, and are you record gospel
Kipawa inafika hadi kwa roots🙌🙌🙌🙌🙌kipawa to the world
Kwani bado hawajajua industry imevamiwa na wamanga🔥 #001
Shout out B records brothers 🔥🔥🔥pitieni uku muone pia👊👊
Mombasani fellow rappers you de killing beats🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 noma bro kipawa ndo home soon on my way broh oganize the process
Marshallah nice freestyle mombasa tuko Muko wapi mombasa?
Genje👊👊
Umeskia iyo manene govana digaga 10k
Noma sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥
001 well represented. Issa gang season 🔥
Oyoooo🔥🔥Though the system is a lie bt 001 iko talent💯mko juu wanaa
Mombasa Slang to the world weuweeeh🔥🔥
Xanaa tu Wanna Hamna kitu Mungu tu Ata Wakibana Mutatusuwaa....#Tap tap presso...
Big up boys u going far munaweza kataa tuone
Kabisa wako top pull up ma bloody one love ❤
Good vibe kila wakati au sio 🔥🔥
Big up ma hommies they should give us opportunity so that we can show them wat we have period
I need to say it because they are so talented
Straight outta majengo..we love you guys...mombasa 1...
Mabro nakumbuka since mkianza doni
Fully baba born and raised mombasani...will try and support u guys.
Kanairo wasee nawa temaa vitu noma noma...ongezeni power
Madogo wanatisha sana...big up
Wana wanatuelewa tu big up sana
Double trouble to the world🔥🔥🔥🔥❤🥂
Nawakubali bro coast tuko juu new wasanii one love
Sana tu wana wa ndole 2
Manze nakutambua bro coz u sing real
Young Generation ya Ohanga...Double Trouble moto Sana
Nice double trouble lakini vitoto vilikuwa vanitungia Sheria mzee baba ubavuni ningewakata miguu
These guys should be on top💥
Kama umeskia hii mstari gonga like .."Raha mombasana huku kwetu mgoks na tui"
Sanaakooooo weyweeeee imewezaaaa bloody fire 🔥 🔥
Sanaa ozaalaa mfwetu kunturi kunamba from kenyano to dizonga jibaba.... 😁
Noma sana double trouble wanatesa
Noma Noma Weeee Majeiiiii
254 kubaya mombasa dakas hit ni lit 🔥🔥
Mombasa good song
to be honest double trouble gang wako top give them this year only too.....mtajua hamjui...hawabahatishi
Mombasa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥 Mombasa illest trappers 💯🔥
Hapo sawa Timo, keep winning!💯💯🍻🔥🔥
Aki kipawa c mnilink na io Beat...naskia mistari zikiflow👏
Realbenne keep it real bloody!!! 💯👊✊
#001 to the world 🌎
mmewakilisha zeeee.kitaani pwani
nipatiwe jina ya hio song ilopigwa beat 2:48
noma na genje👊👊👍👍💯💯🔥🔥💥
Bro Ni noma
Mehn this guys are going places🔥🔥🔥
Wozaah masela👊🏾
001🔥
Hakuna pingamizi... Wako vizuri sana double trouble... Hakuna mfano wengine copy tu!!!
Big up guys am proud of u
😮😮😮 Mko sawa
Waaaaaaaaaaait Seeing Coastal Hip hop Transforming from Cannibal, Kaa la Moto Now to Newschool 💥💥These Guys Are the real Deal In Coast, Wanangu Tushatua
I love these Boys Manzeh...NiwaBad Kuruka🔥🔥🔥💯
wawaaa 😎😎Hawa n wakali so chocha
So talented wanaeza ryhme na kila beat 💯💯💯💯💯
Double trouble, your flow in swahili is fire
Hello am khalifapedi a spokenword artist and gengetone star I wanna come in your show one day
Trouble bin Shida 🔥
Hatareee ✌🏾