Ndugu chunguza views na like zako tokea uje mombasa nikidogo sana kwasababu unarudia rudia mahali ushaonyesha mombasa sio town peke toka inje town uone mombasa please ?
...ata hivyo, ukifanya kuunganisha mwanza na arusha, bado haiwezi fikia mombasa, na huku wabongo wanasemaga eti tuwache ku concentrate kila kitu nairobi. ni nyinyi ndo mna concentrate kila kitu Dar. ...haiya, sasa ni wakati wa kuhama darisalama, sasa nendeni mkawekeze kwingine, sio dar tu.... my humble advice🙏🏽
That is not the city center of mbs ,the city center is that rd you are seeing that is along those buildings near the cathedral that is where the KEBS office la are,CBK and the office of the governor
nnaongoja tena useme eti "nairobi ni kenya, na kenya ni nairobi"... walai ulisema ivo uki vlog nairobi 😆😆 ata mwanza na arusha iunganishwe, bado haiwezi fikia mombasani.. fact! 💯% so inageuka kua; "tz ni dar, na dar ni tz" 😆😆
Kila mji una taste yake,kwa nini watu wanapenda kulinganisha linganisha. Mfano Dar ni mji mkubwa na maarufu kibiashara,Zanzibar na Arusha ni miji ya mapumziko nk..
Lmao wale wanaopenda kulinganisha ke na tz wakuje watuambie ni wapi Tanzania ispokua Dar kuna a 3 tire interchange . No wonder yall celebrate interchanges so much, they're only found in dar
Najua waMombasa watajam bt from Nairobi i was disappointed with Mombasa especially being second to Nairobi.as kenyans we should stop concetrating on Nairobi alone . Mombasa was once same level na Dar bt Now Dar is competing Nairobi
It is a shame to hear that a Kenyan is relying on a tanzanian UA-camr to " tour" his country..take a bus and tour Mombasa for yourself and you will appreciate Mombasa old town and the Nyali area
@@davinmuhahala6887 Yes but either way, Mombasa is the oldest city in East Africa so there are some things that have been left as they are for tourism sake
mwanzo, wewe sio mkenya, bali mTz. ata hivyo, ukifanya kuunganisha mwanza na arusha, bado haiwezi fikia mombasa, na huku unasema eti tuwache ku concentrate kila kitu nairobi. ni nyinyi ndo mna concentrate kila kitu Dar. ...haiya, sasa ni wakati wa kuhama darisalama, sasa nendeni mkawekeze kwingine, sio dar tu.... my humble advice🙏🏽
Karibu sana Mombasa Mzee baba sisi wagwana
🎉❤
Come konza city Nairobi nikutembeze
Konza is not in Nairobi
Ndugu chunguza views na like zako tokea uje mombasa nikidogo sana kwasababu unarudia rudia mahali ushaonyesha mombasa sio town peke toka inje town uone mombasa please ?
Stay tuned for more episodes
What camera are you using?
Those pineapples are grade 1😋
Ndugu kuanzia episode one mpakasai 4 unatuonyesha the same thing the same placess mambasa siotu old town peke?
Mwenyeji ndio anampeleka huko
Mombasa tends to look the same because of white and blue paints, Watch this video to end. I drove all the way to Miritini
Go to Kizingo and Nyali area. Those are the modern areas Mombasa. You are just rotating around the old town
Stay tuned for upcoming episodes
...ata hivyo, ukifanya kuunganisha mwanza na arusha, bado haiwezi fikia mombasa, na huku wabongo wanasemaga eti tuwache ku concentrate kila kitu nairobi.
ni nyinyi ndo mna concentrate kila kitu Dar.
...haiya, sasa ni wakati wa kuhama darisalama, sasa nendeni mkawekeze kwingine, sio dar tu....
my humble advice🙏🏽
Umepita Changamwe Interchange mbio mbio 😂 Ingalikua mjini Tanzania ungetembea kiasi.
Hio fly over bado inaendelea na mjengo.
Kumbuka Beltin anatembezwa mwenyeji ndio anampeleka hizo sehemu
Bado kuna mengi hujayaona kuhusu Mombasa
I thought I was the only one who noticed that, even in his nairobi videos, he'd focus more in downtown and allocate a few minutes to uptown.
That is not the city center of mbs ,the city center is that rd you are seeing that is along those buildings near the cathedral that is where the KEBS office la are,CBK and the office of the governor
Stay tuned for upcoming episodes
Correction: Mombasa was founded around 900AD.
🎉🎉🎉
Just like any other city in the world ,be careful don't go home at night , especially kama unaiahi hizo sides zaBamburi kuteremka Hadi Kisauni
Why are they using those diesel tuk tuk, they are very noisy, the whole city like generators factory
Will wait for more varied views of Kenya coast province not just Mombasa town,,a summary like the way you did Nairobi should be,, this is not good 🙏‼️
nnaongoja tena useme eti "nairobi ni kenya, na kenya ni nairobi"... walai ulisema ivo uki vlog nairobi 😆😆
ata mwanza na arusha iunganishwe, bado haiwezi fikia mombasani.. fact! 💯%
so inageuka kua; "tz ni dar, na dar ni tz" 😆😆
Hali ya usafi imetulemea sana 😢 wakenya serikali za county very disorganized
Only nairobi and Mombasa, kisumu nakuru, eldoret and other major towns like kakamega, thika are very clean.
I invite you to my hometown Kisumu, you will change that narrative.
Kala singa measlns means Sikhs they are indians
Thanks for corrections
Kila mji una taste yake,kwa nini watu wanapenda kulinganisha linganisha. Mfano Dar ni mji mkubwa na maarufu kibiashara,Zanzibar na Arusha ni miji ya mapumziko nk..
Infact its better you look for a nother guider to show you some places of mombasa bro let the truth be the best views
Stay tuned for upcoming episodes
@@explorewithbertin but stop repeating same same episodes
@@explorewithbertinYou are hellbent on showcasing Mombasa negatively!!
Mji mchafu sana
Usijali Bora Iko na pesa,wakenya hujua sana kutengeza pesa, usafi baadaye..nyinyi mnaweka usafi mbele lakini hamjui kuijenga uchumi
Lmao wale wanaopenda kulinganisha ke na tz wakuje watuambie ni wapi Tanzania ispokua Dar kuna a 3 tire interchange . No wonder yall celebrate interchanges so much, they're only found in dar
Thanks for watching
@@explorewithbertin You are welcome.
Kenya got more than 3 tire interchange museum hill( express way) pangani (thika superhighway), chagamwe ( mbs) etc
Najua waMombasa watajam bt from Nairobi i was disappointed with Mombasa especially being second to Nairobi.as kenyans we should stop concetrating on Nairobi alone . Mombasa was once same level na Dar bt Now Dar is competing Nairobi
It is a shame to hear that a Kenyan is relying on a tanzanian UA-camr to " tour" his country..take a bus and tour Mombasa for yourself and you will appreciate Mombasa old town and the Nyali area
@@genesisbera7761 I was there na ndo nasema considering it being our first city it should do better
@@davinmuhahala6887 Yes but either way, Mombasa is the oldest city in East Africa so there are some things that have been left as they are for tourism sake
mwanzo, wewe sio mkenya, bali mTz.
ata hivyo, ukifanya kuunganisha mwanza na arusha, bado haiwezi fikia mombasa, na huku unasema eti tuwache ku concentrate kila kitu nairobi.
ni nyinyi ndo mna concentrate kila kitu Dar.
...haiya, sasa ni wakati wa kuhama darisalama, sasa nendeni mkawekeze kwingine, sio dar tu....
my humble advice🙏🏽
😂kumbe ndo mombasa hii