CHEKI HARMONIZE AKICHEZA NA MTOTO WA BABUTALE MSIBANI MOROGORO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • #theminutestv #harmonize #babutale

КОМЕНТАРІ • 52

  • @beatricemzungu2275
    @beatricemzungu2275 4 роки тому +23

    Mungu akujalie umri wa uzeeni harmonize....na cku zote mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe....kila kukicha endelea kulipiza ubaya kwa wema...

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 4 роки тому

      Naam my dear

    • @zaynabali6109
      @zaynabali6109 4 роки тому +1

      Waswahili usema heri kutembea bure kuliko kuka bure, ndio waona awamtoi rajab kwa midomo yao, tena chanda chema uvikwa peta mashaallah nina mengi wakati mdogo🙏🙏🙏

  • @najmanajma-4765
    @najmanajma-4765 4 роки тому +14

    Mwenyezi Mungu awape shifaa hao watoto awaepushe na maradhi na awaondolee huzuni

  • @brunodeche3701
    @brunodeche3701 4 роки тому +8

    What you did is so great Hamo ,may the LORD bless you ,I always say kuwa wewe ni mfano bora tz,I love your heart.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому +6

    Allah amlaze pema, na awatie nguvu wafiwa.

  • @chebysylvia5626
    @chebysylvia5626 4 роки тому +8

    God bless u harmo

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 роки тому +1

    Hongera sana Brother harmonize

  • @habibtyismailhassanismailh714
    @habibtyismailhassanismailh714 4 роки тому +3

    Masha Allah my brother harmonize may u live along life

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 роки тому

    Harmonize pepo iko wazi kwa ajili yako ❤️❤️😘😘

  • @mjemasaid6435
    @mjemasaid6435 4 роки тому

    Kwani marhemu kaacha watoto wangapi

  • @roselynadhiambo8556
    @roselynadhiambo8556 4 роки тому

    You are 1 in a million harmonize..gentleman you are

  • @user-wr6lc3jz6g
    @user-wr6lc3jz6g 4 роки тому

    Nampenda hamo....mpaka basi😗😗

  • @lutifiaussi3728
    @lutifiaussi3728 4 роки тому

    Bigup kwa harmonize

  • @chauligemeka7840
    @chauligemeka7840 4 роки тому +1

    Mashaallah

  • @zaynabali6109
    @zaynabali6109 4 роки тому

    Masikini hana ubaya nao, 2020tutaona mengi tutasikia mengi😭😭😭😭

  • @erickchilemba1786
    @erickchilemba1786 4 роки тому +1

    bless ming harmo

  • @frozen4rozen475
    @frozen4rozen475 4 роки тому

    Harmonize is more of a role model very mature

  • @aishahoza7491
    @aishahoza7491 4 роки тому

    Hamonize hivo ndivo inavotakiwa halafu ukitaka upaate mafaniko mtu anapo kukisea usimlipizie kwaubaya asee mungu niwingi wakukunyanyua halaka Sana kimafanikio unaambiwa cheka nawatu uvae viatu kwangu naona umeonyesha mfano nzuri

  • @selmaselma8452
    @selmaselma8452 4 роки тому +1

    Safi saana

    • @fatimacusman1016
      @fatimacusman1016 4 роки тому

      Pole babu tale Allah atakupa subira na nguvu za kulea watoto wako kwenye maadili mema kama alivyokuwa akiwalea mkeo

  • @obediwar1935
    @obediwar1935 4 роки тому

    Poleni

  • @zuwenahumud305
    @zuwenahumud305 4 роки тому

    Dah

  • @bintykigan6236
    @bintykigan6236 4 роки тому +23

    Maskini mtoto anasikitisha anacheza haelewi Maana yakifo

    • @shamsaog2998
      @shamsaog2998 4 роки тому +2

      Yani inauma Sana daah 😭

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 роки тому +3

      Yaani,inanikumbusha mama yangu alivyokufa nakuwaacha wadogo zangu wanamiaka 3 ,wakiulizwa mama yuko wapi kaenda shamba akirudi atatuletea zawadi

    • @aminaissa9756
      @aminaissa9756 4 роки тому +2

      @@m.mmarckus6298 duuuh pole dadaa, yote ni maisha na yanapita.

    • @bintykigan6236
      @bintykigan6236 4 роки тому

      @@m.mmarckus6298 inauma Sana wallay yani km mtu hajafiwa na mzazi hawezi Elewa huo uchungu mungu atawapa subra

    • @bintykigan6236
      @bintykigan6236 4 роки тому

      @@shamsaog2998 kabisa wallay mungu atawapa Subra km mtu hajawai fiwa huona km kawaida lkn kuondokewa nikugumu mno

  • @asiansky4786
    @asiansky4786 4 роки тому

    Mmeonaaee hamonaiz nimti wenye natunda daima watampiga mawe wanakuona mjinga kwakukataa mkono wako usijali songa mbele weye nihamonayz baanna

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому +1

    Mtto hajui chocjote kuhusu kifo😢

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 роки тому

    Lakini wao wameanzisha na Challenge kumzihaki Harmo na wao wanasifia Sallam kutokubali Salam ya Harmo msibani.!!!

  • @saadakiyungi6437
    @saadakiyungi6437 4 роки тому

    Hapo ndo nyumbani kwa kina babu tale .

  • @samsonmwakalinga2480
    @samsonmwakalinga2480 4 роки тому

    amefanya Kitu kizuli harmonize kwenda msibini waachaiv

  • @ommyd5517
    @ommyd5517 4 роки тому

    Nadhan wcb watajifunza namna ya kuishi na watu kwa wema na bila kinyongo kupitia kwako ww Harmonize: Waeleweshe waelewe

  • @salimrashid2295
    @salimrashid2295 4 роки тому +1

    Harmo endelea kuwa na moyo huo

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 4 роки тому +1

    Hamonazi unaroho nzuri kweli kama mtu mwenginne bas asingehuzuria kwenye msiba hata kama ukiwapa mkono wanakataa munguu ndie anyejuwa kesho kuna nini usijali ndugu yangu yote mapito tu

  • @asiansky4786
    @asiansky4786 4 роки тому +2

    Miee namkubali hamoonaiz hana kinyongo namtuh safisheni nyonyo zenu nyiee mliokataa mkono wa hamonaiz kwani kifo hakina hodi ili msamehewe lazima mute niwenye roho zakusamehe kama hamoo naiz penda

  • @aminaomary908
    @aminaomary908 4 роки тому

    Wasaf hawana jipya unaleta bifu hata kwenye mcba

  • @jizyeboy7524
    @jizyeboy7524 4 роки тому

    Nc

  • @btrendingtv7749
    @btrendingtv7749 4 роки тому

    SAMAHANI NDUGU ZANGU WATANZANIA NA AFRIKA🙏
    TUNAOMBA SUPPORT YENU YA KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU NDOGO SANA BILI NYINYI WAPENDA ATUFUKI
    .
    .
    ua-cam.com/channels/aFYVVlnSRFZA3Hsb79PbEg.html