MAULID KITENGE 'USALAMA WA TAIFA'? , ALIYEDUKUA AKAUNTI ZAKE , AMEOA MAREKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @user-eg1ts2fu9z
    @user-eg1ts2fu9z Місяць тому

    Ketenge yupo smart Sana kichwani

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 3 роки тому +1

    Chumvi leo 09 August hukuonekana Wasafi na Ndimu vipi umebwaga manyanga?
    Maana mastory ya town wanasema mondi kakutimua hivi ni kweli?

  • @lutenganocharles7194
    @lutenganocharles7194 3 роки тому

    Radio one na Itv, ndo nyumbani Kwa kitenge, nashangaa Efm ety wanamwambia kitenge kalibu nyumbani mnabugi bro

  • @ulimwenguswedi2505
    @ulimwenguswedi2505 3 роки тому

    Wewe tayari una julikana nimtu Wana mna gani tuna jua kabisa mungu mkubwa sana kwa wasafi itaenderea vyema

  • @MadangaRamadhani
    @MadangaRamadhani 17 днів тому

    Kilichonishangaza mpaka jamaa kapoa yaani mnajuana

  • @simonjustin5921
    @simonjustin5921 3 роки тому +3

    Kitenge ni mtu mkubwa sna kwa wale ambao hawamuelewi yaan kitenge ni zaidi ya mtangazaji nazan wale wenzangu wamenielewa kuwa kitenge ni nani!, Lkn tatzo la huyu jamaa ni namna tyu anavojiweka katka utendaji wake wa kazi,akiondoa baaz ya mambo yake fulan fulan aah kitenge ni bonge la mtangazaji.kwa ushaur wangu tyu ni kwamba kitenge apunguze ujana ili vjana waweze kuiga kwake coz kwa namna nnavomjua kitenge level zake ni akina SALIM KIKEKE wa BBC.

  • @officialbamdogoyakuselepa4085
    @officialbamdogoyakuselepa4085 3 роки тому

    chunvi wewe noma sana

  • @user-uz5cu7cr9h
    @user-uz5cu7cr9h 5 місяців тому +1

    Hote nyiny usalama

  • @ayubunassuma5936
    @ayubunassuma5936 6 місяців тому

    zuhura yunus

  • @onetoanotherglory2024
    @onetoanotherglory2024 3 роки тому +1

    KITENGE OYEEEE, YAANI BONGE LA MTANGAZAJI

  • @SeifSeif-nw4si
    @SeifSeif-nw4si Рік тому

    Atafutwe nini? Akat yeye mwenyewe kitenge usalama