SWALI LA UTATA LILILO ULIZWA MBELE YA SHEIKH HUSSEIN SEMBE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Changia uwendeshaji wa chaneli hii
    kwa kutuma swadaka yako kupitia mitandao ya simu
    Tigo - 0716 563 705 :- Jina:- Abdallah Abdallah
    Airtel - 0789 699 235 :- Jina:- Abdallah Abdallah
    JAZAKUMULLAH KHAIRAH

КОМЕНТАРІ • 25

  • @rasheedrank452
    @rasheedrank452 3 місяці тому +7

    Alhamdulillah sheikh amejibu kiufasahs sana, muandishi punguza ukali wa uandashi, ttitle yako haina staha

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  3 місяці тому

      Ahaha sawa

    • @mohamedali-ur6ri
      @mohamedali-ur6ri 3 місяці тому +1

      Nashkuru na wewe kuzidi kumkumbusha bali Hud Hud yeye yupo kuvuta hisia za Muangaliaji ili apate MB....tu yeye khalaas haangalii Maslah & Mafsad

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  3 місяці тому

      Sawa akkhy tumekuelewa

  • @mukhtar805
    @mukhtar805 3 місяці тому +1

    Assalaam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh akhi fanya ubadilishe kichwa cha habari hakipo katika misingi na nidham ya kiislam natumai ujumbe umekufikia Allah akuongoze

  • @lusupi
    @lusupi 3 місяці тому +2

    Allah ambariki sheikh sembe ila kichwa cha habari kikali sana

    • @ibn_rajab_bilaal
      @ibn_rajab_bilaal 3 місяці тому +1

      sijui ni nani anaimiliki hii channel si mara ya kwanza kuandika vichwa vya habari ambavyo maneno yake si ya sawa

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  3 місяці тому

      Mimi ndio ninayemiliki wewe UKITAKA iandikweje kwani

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 3 місяці тому

      ​@@Hud_hud_Salafiydaah ni sawa ulichokifanya,lkn umetumia qauli kali sanaa,walau ungefanya tafsiidaah

    • @huseynmaitaya9002
      @huseynmaitaya9002 3 місяці тому

      Sio kikali bali bali hakina adabu na usalafi watulanwa kwa sababu ya mfano wa maneno kama haya , na hii ni tanfiyri katika dina na watu kujifunza dini yao na mie naweza nikafikia haddi ya kusema huyu akhiy kafanya qadhfu , kwa sababu si kila anae uliza kwa muundo huo wa swali anakua ajikusudia yeye , bali hukusudia tu kuyajua mas-ala au hukmu ya mas-ala fulani ila akiwa kajikusudia yeye ndie anafanya hivyo bado pia huna usawa ya kutitle habari hivyo au bango

    • @yasakilube9946
      @yasakilube9946 3 місяці тому

      ​@@Hud_hud_Salafiyungeliandika ukhti

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 3 місяці тому +1

    Huo munaofanya si uislamu kumuita mtu mzinifu muna ushahidi mumekosa hekima kabisa

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  3 місяці тому

      Mtu akiwa ni mzinifua anaitwaje

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  3 місяці тому

      Nipe kichwa kizuri Cha habari

    • @Hud_hud_Salafiy
      @Hud_hud_Salafiy  3 місяці тому

      Niweke

    • @gammamohammed6601
      @gammamohammed6601 3 місяці тому

      Kumbe wee chizi eee hhh sasa sikakiri mwenyewe kwenye swali lake
      Mtume swallallahu alaihi wasallam aliwahi kujiliwa na mwanamke akasema yule mke hakika yangu nimezini (alitaka kusimamishiwa hukmu)... hujakisikia icho kisa wewe? Yule mwanamke alikuwa na mimba mtume akamwambia akalee mimba yake mpaka atakapo jifungua ndio aje asimamishiwe hukmu Au kama alivosema Rasuul

    • @gammamohammed6601
      @gammamohammed6601 3 місяці тому +1

      Au kaadhirishwa katajwa kwa jina lake kwamba watu watamjua!!!! Nyinyi mnatabu sana Allāh awaongoze. Mumezoea kutujengea picha mbaya