Hadithi ya Joka Jeupe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2019

КОМЕНТАРІ • 40

  • @faridajanowalah2647
    @faridajanowalah2647 4 роки тому

    Hadithi za kale ni nzuri

  • @bisconscioussn2076
    @bisconscioussn2076 5 років тому +1

    Nimeipenda hii. Tuletee na nyingine kuhusu "SHAOLIN"

  • @jolendamlelwa2186
    @jolendamlelwa2186 4 роки тому

    daasssßsh

  • @abdulrahmanhassan3825
    @abdulrahmanhassan3825 5 років тому +1

    Shunkn sanaa HMG, Hii ni Bonge la movie anae taka kuiyona hii movie tunayo simuliwa inaitwa The white skenk kacheza jet lee

  • @nancykimario2850
    @nancykimario2850 4 роки тому +1

    Da! imeshaonyeshwa kwenye TV nzuri na Kali kinoma

  • @peterkitura5946
    @peterkitura5946 5 років тому +1

    Duh! Hadi movie za jet lee zimo duh! Hii Kali sana yani

  • @neemampinga5712
    @neemampinga5712 5 років тому

    I love AFRICA too

  • @graceanna9576
    @graceanna9576 5 років тому +4

    Ni muvi lakini ni historia ya kweli kabisa,

  • @soulaimanayassine6783
    @soulaimanayassine6783 5 років тому +12

    Watanzania muwe waelewa kila moove tunazo ziona ni hadithi za kweli maisha ya watu walio ishi kabla yetu

  • @anordngailo6647
    @anordngailo6647 5 років тому +1

    majini ya kibongo likikupenda mwezi mmoja tu linataka likunywe damu yako

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 4 роки тому

    True love never die

  • @deenassormoretv4885
    @deenassormoretv4885 5 років тому

    Atareee sana NI uwezo mkubwa sana uliojificha HMG

  • @honestboy6093
    @honestboy6093 5 років тому +1

    hahaha ni muv bhana

  • @gsmsupport8555
    @gsmsupport8555 5 років тому +12

    hahaha,kaka hiyo ni move ya jet lee na inaitwa THE SORCERER AND THE WHITE SNAKE

    • @nasrimchopa678
      @nasrimchopa678 5 років тому +3

      Ni movie ambayo ni kitu cha kweli kilichotokea. Kwani movie nyingine huwa ni matukio ya kweli katika jamii

    • @mwandehamadi8649
      @mwandehamadi8649 5 років тому +1

      maza gura ye baba umepatia

    • @ishpalemypasco5751
      @ishpalemypasco5751 5 років тому +2

      basi kama we unajua ni ya jet lee ameitungia movie ilA ni hadithi iliokuepo huko china miaka mingi

    • @eligygodfrey6833
      @eligygodfrey6833 5 років тому +1

      Au jina lengine inaitwa its love

    • @shamsahamisisilajusilaju1981
      @shamsahamisisilajusilaju1981 5 років тому

      TECHNICAL TANZANIA kwaiyo akusaidieje Kama ni move

  • @frankchina9246
    @frankchina9246 5 років тому

    It's Lov...

  • @meksonyjoseph8909
    @meksonyjoseph8909 5 років тому +1

    the socer

  • @derickshady5590
    @derickshady5590 5 років тому +1

    Movie ya jet lee hii

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 5 років тому

    Wenzetu huamisha masimulizi yao kwenye vitabu vyao vya kale na kuzitengenezea movie

  • @bwakilamychanel5951
    @bwakilamychanel5951 5 років тому

    Hii mbn ni movie mkuu

  • @husseinbenitho7379
    @husseinbenitho7379 5 років тому +1

    Nahisi nimeshawahi kukiona hiki kisa kweny movie

  • @abdallahmnamba9828
    @abdallahmnamba9828 5 років тому

    Andaeni yenu nanyi hiyo movie asimulie Kama movie inahusu acheni bhna habari za kunishushia hadhi ya HMG

  • @abdallahmnamba9828
    @abdallahmnamba9828 5 років тому

    Nakufatilia sana napenda uandaavyo kipindi hauna group la whatsapp

  • @dtntheophil8544
    @dtntheophil8544 Рік тому

    hivi hii chanel ilipotelea wapi.?

  • @zohelasam1766
    @zohelasam1766 5 років тому

    yeah its jet lee movie lakn ni true historical story iliyotokea china long tym.

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 5 років тому +1

    Nimekupata bro OK ila PITIA HAPA KUONA UBUNIFU WA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti bofya kapicha kushoto

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 років тому

    huu ndio mtandao ukitaka kuangalia video roborobo kuangali basi amia airtel ukitaka kuangalia video mwanzo mwisho amia tigo halotel airtel mb zipo ila majanga ukiwa na asira unaivunja sim waziri wa mawasiliano yupo

  • @mwambarockmwambarock739
    @mwambarockmwambarock739 5 років тому

    nager moves au 😂😂😂iko pw store

  • @tresorlusolo8916
    @tresorlusolo8916 5 років тому

    Mbavu zangu jamani 😁😁😁😁😁unavyotamka ayo majina Sasa 😆😆😆

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 років тому +1

    Sasa mbona hii muvi mi nanayo ivi niyakweri hau huongo huu