Allah amuhifadhi mtanzania mwenzetu miongoni mwa waja wake wema, da zari ni mwaka wa8 oman allihamndulillah naishi vzr ila jangamoto kwenye kazi hazikosekani ipo siku nitaongeya na wewe kwa kina zaidi ....ahsante
Cha pili Dada zar nilifanya Kaz huko ristaki miaka miwili madam wangu haniongeleshi hakukua na sababu yyte hawapendi WA tz Hao watu WA rostak niliishi maisha ya tabu Sana ni mungu2 ndo alinivusha lkn siwez kusahau changamoto za rostak hata hapa nilipo Saiv niliwahadisia WA kaniambia rostak Wana roho za kinyama siku nasafir yule madam alichukua Kila kitu changu haki nililia kuanzia natoka ktk Ile nyumba hani ktk ndege machoz yananitoka mie Nna mashaka na hicho kifo ila Allah ampokee ndugu yetu kwa amani🤲
Mungu atusaidie sana Aiseee huku mtihani kikubwa kupambana tu tutafanyaje mijanaume tunayozaa nayo nayo yamekuwa hayatunzi watoto Sasa tusipopabana watoto wetu watafanyaje radhima tupambane
Yaani zari kumbe hujui mungu nilkuona mwisilamu kumbe michango tu^ kifo cha mungu nikufunga macho kulala mungu ni baba yetu hawezi kutuua na ajali magonjwa hapana kifo cha huyo dada nichashetani na ameuww alivyo mrembo baba nafikiri alichukua hicho chombo mama kajua kaamua kufanya unyama huo so ni mashetani matupu mungu hayupo hapo kabisaaaa' acheni kumsingizia mungu kabisaaaa
Astaghafiruwallah astaghafiruwallah sasa haiwi mke wa adam kafa na uzur wke mke wa Abrahamu nyie wakristo mnaita alikua na mke sara na uzur kafa itakua mwamvua kifo ni fimbo ndugiangu kipo popote pale hakikimbiliki.
@@MonicaMkombwe wanapenda kukuza mambo jambo ambalo wananikera sana kifo kipo popote na binadamu wa kufanya hivyo hakuna jamani nina miaka mingi nao 2013 na nimefanya kazi na maboss tofauti tofauti Dubai Oman je mwarabu nisimjuwe kweli ukija huku na mambo mawili mawili utateseka tuu wabongo acheni ubabaifu👌
Mikafara hiyo mwisho wao wa mwaka huuu kule hiyo ndio michezo yao mara kafa kwa maki mata swiming pool Mungu atupe mwisho mwema kwa kweli ila angeongia mtoto wao humo kwa shomo shagala angenyonywa walai vile ila Mungu ampe kauli nzurii kaburini mdogo wetu
Da . Zari ilo la kufungiwa lifanyike maana mnapata shida na kupaza sauti juu ya wgonjwa, waliokoaa school fees waliokosa makazi mambo mengi mno halafu aliyekula mshahara achangiwe wanao jutolea watafika mahali watachoka wewe zama kwa Yale muhimu
nilifanya kaz ibri miaka miwili2 aloooooh ile nyumb mpk nakufa sitoisahau lkn nikasema mimi mwanamke nitamaliza lkn baada yakumaliza madam ataki niondoke we omani nikipengele kingne kama hujui nn kimekupeleka lkn ss waafrica jmn niwavumilivu sana sema hamjui tu
Unajua kifo ni ahad Sababu unambiwa usiende hpo ni hatar labda sijui aliona labda watu hawapo anaona ngoja nione kunanini huku unajua tyna kifo ni isibabu Tu ndio jinsi Allah alivompangia kifo chake 😢😢😢
Dada Zari nikuambie kitu hawa wa bongo wana mambo mengi na wavivu mbna watu kutoka Kenya au Uganda na kwingine mbna hawalalamiki kama wa hawa wa bongo?
Ndio hpo nashangaa ndio maaan sasa watanzania hawachukuliwi mm mfanyakazi wng mtanzania mwezangu ananiambia mm mmehangaika sichukuliwi wachukuliwa wapemba waburundi bs nashkuru kupata hpa ananiambia midomo yetu inatupoza
Sio wote wabaya ata wakenya ni pasua kichwa balaa jamn wapo wafanyakaz wazur na wabaya na wapo maboss wabaya na wazur watu awafanani jamn ila wafanyakaz wengi awajitambui Tu jamn tumuombe mung kwa Kila atua yetu
Acheni ujinga badala ya ku tafuta kwanini amedumbukia kwenye kwenye hilo shimo mtafute haki ya mwamvua , eti siku yake?? What? Walikuwa wanajua kuna shimo hapo! Kajifumzeni jinsi ya kuzungumza na jinsi ya kufanya utafiti Acheni kutetea hao waarabu ambao wana julikana Sana wana “ABSURD “ waswahili na waa Africa kwa ujumla.
Sio kweli dada zari oman kila sehem ina mjini na vijijin rustaq pia ipo mjini na pana hospitali kubwa ambayo inabeba wilaya nyingi oman unaweza kusema upo mjini kumbe upo shamba kulingana na makengo yeke
Hakuna siku umeongea uharisho kama leo zar na huyo kenge mengine eti mpaze saut watu wazuiliwe wasifanye Kaz Oman mshindwe kwa Jina LA Mungu sisi ambao sio watangazaj mtatulisha nyie... Nyie. Kuanzia leo sisikiliz global eti mpaze saut watu wafungiwe
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Mbnana group lina pin
Nipo oman jamn naombeni group
ni kweli
Wafungiwe tu
Zari nakuombea kwa ALLAH akupe umri mrefu na akulinde na kila shari za mahasid ww ni SUPER WOMEN❤❤❤❤❤
الهم امين يارب العالمين
Allah ampe Qauli sabit 😭 marehem😢na siee atupe mwisho mwema amiii thuma amii 🙏🙏
Kutoka Mozambique nawapata vizur global nawapa mauwa 🌹🌹🌹yenu
Kama utasoma hii coment yangu Kuna msikiti wavuja upo tanga mjini maeneo ya tangasisi unaitaj bati
Dada zari mungu akupe maisha malefu maana unatusaidia sisi tulio nchi za gaibun🙏🙏🙏🤝🤝🤝
Allah amuhifadhi mtanzania mwenzetu miongoni mwa waja wake wema, da zari ni mwaka wa8 oman allihamndulillah naishi vzr ila jangamoto kwenye kazi hazikosekani ipo siku nitaongeya na wewe kwa kina zaidi ....ahsante
Allahuma amiiin. Wengine wapo miaka 15 hawataki kurud na wana watoto
@RitbayRitbay kila moja anamalengo yake, kwa mwenye kujuwa alichokuja kufanya kama yuko ambye hakumbki kwao huenda na shida ya akili
Allah amrehem dada yetu 😢😢😢 duuuh mimi namshukuru mungu madam wang n familia yake watu wazur sana
Asante zari kwa kweli tunajua mengi sana kwa hichi kipindi chako poleni sana familiya 😢😢
Da zari maneno kutu asante kwa kutuambia ukwely❤❤
Da zari tusifungiwe ila kaz zao acha tuu ila tuna pambana team strong from dubai😂😂😂😂😂😂😂
Uko dubai sehem gan mwaya
Ila tuache kulalamika kwa kweli kazi ni nyingi ila tuache kuwasema mabosi zetu mana bado tunahitaji kufanya kazi tusijefungiwa
Wa Dubai tujuane jamani 😂😂
Tujuwane voo na mimi pia niko Dubai
Anaeweza aje asiye weka asije lkn apo kuusu kufungiwa sio lkn warabu waswahili furaha yao 😊😊😊
Wanata watufungie
Da zari Asante kwa ushauri
Cha pili Dada zar nilifanya Kaz huko ristaki miaka miwili madam wangu haniongeleshi hakukua na sababu yyte hawapendi WA tz Hao watu WA rostak niliishi maisha ya tabu Sana ni mungu2 ndo alinivusha lkn siwez kusahau changamoto za rostak hata hapa nilipo Saiv niliwahadisia WA kaniambia rostak Wana roho za kinyama siku nasafir yule madam alichukua Kila kitu changu haki nililia kuanzia natoka ktk Ile nyumba hani ktk ndege machoz yananitoka mie Nna mashaka na hicho kifo ila Allah ampokee ndugu yetu kwa amani🤲
Rustaq wafanya kazi wengi ni wafilipino na walepali watanzania niwachache sana
Hawa warabu wapo kama mapepo
@@KhadijaMwenda ndounakomaa nao hivyo hivyo
@@KhadijaMwendapesa yao tamu lkn
Muhimu anakulipa mshahara sasa unatka uzungumze nae kitu gn muhimu pesa yng tu mm bs
Allah ndo ajuwaee ukwli wote kila M2 atakufa kikubwa Dua Allah halali wala hasizii
Mungu atusaidie sana Aiseee huku mtihani kikubwa kupambana tu tutafanyaje mijanaume tunayozaa nayo nayo yamekuwa hayatunzi watoto Sasa tusipopabana watoto wetu watafanyaje radhima tupambane
Vp
Kikubwa tumuachie mungu ndo anayejua sababu ya kifo cha dada mwenzetu, na mungu amuandalie makazi mema ya akhera
Zaria nakushauri fanya kazi yako achana na wasichana wavivu awo
Dd Rehena umesema kweli chukuwa mauwa yako 🎉🎉
Sahani elifu 10 moja Au dazen
Zari hongera jamani
Mmmmmh! Sijui kama nichemba kweli coz hawa watu niwaongo 😢😢
Ukweli waujua ww
Mii ninacho kushaur dada ufanye kazi zako kuhusu sisi wasichana achana na sisi
Thanks global tv
Ni tanga ya wap kwao marehemu inalillh wainallh rajuuni 😢😢😢😢
Kabisaaaaaaa
Wallahi wafungiwe kabisa itakuwa raha kwenu na kwa wa oman
Jamani kam kauliwa au kafa anaejua mwenyewe aliekufa na allah kwaiyo kikubwa kumuombe dua
Nanyinyi madada munaosema mnanyanyasika amna kazi simurudi kwenu ss mtuwache mm mwenyewe mdada wakaz kama amuwezi rudi tz
إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم اغفر لها وارحمها واسكنها فسيح جناته يارب العالمين
FOR SURE ALLAH AKULIPE DA ZARI ENDELEA KUPAZA SAUTI ❤
Mtu anafamilia ataachaje shimo wazi watoto wawarabu walivyo washari Mimi nashangaa nipo hapa muda mrefu sijaona shimo wazi ivo
Huku sawa na vitani jamani tuvumilie tuu
Zai waache watu wafanye kazi asieweza arudi kwao maisha yenyewe magumu wengine wamefiwa wazazi wanasomesha Watoto kwa ajili ya kazi za ndani
Kurudi unaambiwa lipa pesa hawataki
nikweli kabisaa wafungiwe
Yaani zari kumbe hujui mungu nilkuona mwisilamu kumbe michango tu^ kifo cha mungu nikufunga macho kulala mungu ni baba yetu hawezi kutuua na ajali magonjwa hapana kifo cha huyo dada nichashetani na ameuww alivyo mrembo baba nafikiri alichukua hicho chombo mama kajua kaamua kufanya unyama huo so ni mashetani matupu mungu hayupo hapo kabisaaaa' acheni kumsingizia mungu kabisaaaa
Astaghafiruwallah astaghafiruwallah sasa haiwi mke wa adam kafa na uzur wke mke wa Abrahamu nyie wakristo mnaita alikua na mke sara na uzur kafa itakua mwamvua kifo ni fimbo ndugiangu kipo popote pale hakikimbiliki.
Razi tema mate chini 😢😢😢
Mimi nyumb ilikuwa mbaya agent wangu wamepammbana san nashukuru
Dada nakupa maua yako unasimama kwenye ukweli mm nipo muda huku watanzania waongo dada yangu
Yaaani waongo kweli
@@MonicaMkombwe wanapenda kukuza mambo jambo ambalo wananikera sana kifo kipo popote na binadamu wa kufanya hivyo hakuna jamani nina miaka mingi nao 2013 na nimefanya kazi na maboss tofauti tofauti Dubai Oman je mwarabu nisimjuwe kweli ukija huku na mambo mawili mawili utateseka tuu wabongo acheni ubabaifu👌
@@asteruapaul2243 umalaya tu umewajaa mbwaa Hawa hivi hii nchi unavyo Iona niyakushea bwana na mwarabu? Mbona wasiseme ukweli
Mashaallah munajitaid Kwa kwel
Dada rahma chukuwa maua yako dada🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tumeumbuka leoo😅😅😅😅 mhh makubwa tatizo maajenti bubu mtiani
Wakupandisha masheteta😂😂😂😂 unatutolee siri ila Oman na ma group yao 😂😂😂😂😂 nipo Dubai ❤❤❤❤
Zari rustaq sio umbali huwo uliosema na sio kote kama ni bladi no rustaq ni karibu sana
Kweli dada yangu
Kweli kabisa
Zari funga domo lako tufungiwi ili iweje tukomee fanya kazi uko usituingilie katk hili
Yaani nimefurahi zari umewajuwa ama kweli ukweli haujifichi penye ukweli uogo unakaa pembeni
Chenji imeshuka dada
Imeshuka sana
Mi nasema wasifungiwe nawapa kutoka Dubai
Meza meza
Mikafara hiyo mwisho wao wa mwaka huuu kule hiyo ndio michezo yao mara kafa kwa maki mata swiming pool Mungu atupe mwisho mwema kwa kweli ila angeongia mtoto wao humo kwa shomo shagala angenyonywa walai vile ila Mungu ampe kauli nzurii kaburini mdogo wetu
Akuna warabu wanatetemekea wafanya kazi kama warabu wa kijijini jamani
Umejuaje dada kabisaa wa mjin mambwa
Kabisa dada
Innalilah wainna ilaih rajhun
Nna nywaka sita na nnapambana 😢😢
Wazanzibari ndio chambo lakini ukienda mjengoni wanzanzibar ni wachache sana laki. Znz. Imekosa bahati
Tena kweli kipenzi
Da zari ama super women❤❤❤❤❤
Dada ni.ekuelewa mimi hiii nyumb ya tatuuuuu
Hawa wadada wa kazi nje ya nchi wengine wanaishi na watu wastaarabu kweli wanatakiwa wawe makini sana ,vinginevyo warudi tz kulima kuepusha matatizo
😢😢😢 alhamdu lilahi. 😢😢😢
😭😭😭🙏🙏
Da . Zari ilo la kufungiwa lifanyike maana mnapata shida na kupaza sauti juu ya wgonjwa, waliokoaa school fees waliokosa makazi mambo mengi mno halafu aliyekula mshahara achangiwe wanao jutolea watafika mahali watachoka wewe zama kwa Yale muhimu
Mama yangu mungu akulipe ulichokisema,hakuna vifaa madawa miaribika mikono na miguu,mmmh uku hakuna uvivu kazi lazima,
Jamani wacheni maneno allah amusamehe makosa yake so wote wanao teseka wachache
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kijijini sana
Da zari pokea mauwa yako 🎉🎉🎉
Uku sio wiki ya kwanza ndan ya miez saba kuhenyeka ukifika mwez wa nane ndoo unapungua kidogo
Da zali kama chemba na kisima je aya sawwa embu fanya jitihada ya mwili
nilifanya kaz ibri miaka miwili2 aloooooh ile nyumb mpk nakufa sitoisahau lkn nikasema mimi mwanamke nitamaliza lkn baada yakumaliza madam ataki niondoke we omani nikipengele kingne kama hujui nn kimekupeleka lkn ss waafrica jmn niwavumilivu sana sema hamjui tu
Yaaani uvumilivu mhimu
Kulikuwa na nn kipenz mpk hutoisahau
Duuu majanga haya ninamshukuru mungu
Tunataka kujuwa sababu ya kifo chake
Dd Zai simu ndo inatuliwaza tupo mbali na familia zenu
Kutoka Dubai nakupata vzr
Na mwanamvua ni mpambananaji sana amekaa iraq miaka 4
🙏🙏🙏🙏
Inalillqh wa Innaillah.Rajuun.
Tatizo maboss wanashida ila tutavumilia ndoo maana wengi at usemi changamoto
Mh watanzania Kazi ya majungu to lkn kwenye michango km ivoo wangum,
Akuna chabule unakifanyia kazi bule iyo veepee
Nikweli kabsa kuishi na watu ni kazi
Allah ampe kauli thabiti
Unajua kifo ni ahad Sababu unambiwa usiende hpo ni hatar labda sijui aliona labda watu hawapo anaona ngoja nione kunanini huku unajua tyna kifo ni isibabu Tu ndio jinsi Allah alivompangia kifo chake 😢😢😢
Dada Zari nikuambie kitu hawa wa bongo wana mambo mengi na wavivu mbna watu kutoka Kenya au Uganda na kwingine mbna hawalalamiki kama wa hawa wa bongo?
Ndio hpo nashangaa ndio maaan sasa watanzania hawachukuliwi mm mfanyakazi wng mtanzania mwezangu ananiambia mm mmehangaika sichukuliwi wachukuliwa wapemba waburundi bs nashkuru kupata hpa ananiambia midomo yetu inatupoza
Sio wote wabaya ata wakenya ni pasua kichwa balaa jamn wapo wafanyakaz wazur na wabaya na wapo maboss wabaya na wazur watu awafanani jamn ila wafanyakaz wengi awajitambui Tu jamn tumuombe mung kwa Kila atua yetu
Kenye majeneza yanakuja kila cku bora tz mara 100
Mi niko 15 miaka changamoto zipp lkn tunakomaa nazo
Yaani kwa ufupi hawatabiriki wametanguliza ubaya mwanzo wamekalia warabu warabu waoman ila yao hayawaoni
Wallah mpk unaogopa mfanyakazi tunao hpa wajeur midomo
Ushauri wafungiwe tu
Maana wa Tz wanamidomo sijapata kuona
Tangaza hacha kuchaji kabila za watu
Acheni ujinga badala ya ku tafuta kwanini amedumbukia kwenye kwenye hilo shimo mtafute haki ya mwamvua , eti siku yake?? What? Walikuwa wanajua kuna shimo hapo!
Kajifumzeni jinsi ya kuzungumza na jinsi ya kufanya utafiti Acheni kutetea hao waarabu ambao wana julikana Sana wana “ABSURD “ waswahili na waa Africa kwa ujumla.
Zali ana tetea huna tofauti na ulie muuliza kwann wafanyakazi wanasemea hivi ingali watu wamefanya jihadi sio bure
Kasema kweli tatizo ukweli hamuutaki ulivyo
Dada zar mwarabu hamtesi mtu isipokuwa kazi zao ndio ngumu kikubwa subra
Sio kweli dada zari oman kila sehem ina mjini na vijijin rustaq pia ipo mjini na pana hospitali kubwa ambayo inabeba wilaya nyingi oman unaweza kusema upo mjini kumbe upo shamba kulingana na makengo yeke
wazazibar wavivu nimecheka😂😂 mashetani yanapanda ghafla😅😅😅
Hakuna siku umeongea uharisho kama leo zar na huyo kenge mengine eti mpaze saut watu wazuiliwe wasifanye Kaz Oman mshindwe kwa Jina LA Mungu sisi ambao sio watangazaj mtatulisha nyie... Nyie. Kuanzia leo sisikiliz global eti mpaze saut watu wafungiwe
Tatizo nyinyi mnapiga kelele tu mtu anapoua kwanini akikitwa ana hatia anafungwa wasiseme ni ahadi yake kufa kupo je kafaje
Tatizo mabos waliowengi ukiweka pesa ndan wanaiba au wanakukopa kuitwa mtihan
Innalillah wainna Lillah raajuun
Morogogo ni baali sana
Wataweza kwali awapi