Sawa Mo wetu tuakupenda nakukuamini tunakuombea uzidi ku8shi maisha ya raha unaroho nzuri sana unasaidia sana sie wanyonge Allah akupe mwisho mwema InShaa Allah
Tanzania bwana duu yaani Haji manara amefanya mpaka Mo dewji awe chaleeee hahahaahahah😁😁😁🙊🙊🙊💯💯.. Jamani Tanzania ukajifanya siasa Sana unaekwa jela then mpira unasonga mbele hahahahahaah pole Sana usie ifahamu hii Nchi Raha Sana ila usiombe yakakukuta🙊
Iv kwan Mo mnamfananish na nn yeye ni binadam kama sisi anapaswa afanye kitu roho inapend bhn kisa tajiri ndo tiktok asiingie au mnataka nn mtaendelea kupiga lomon mwenzenu ndo kasha toboa
@@jumamangombe6493 huyu mo masikini kama wewe ni tajiri wa mitandao tu.Mali ni ya babu yake anaitwa mo dewji na yeye ni msimamizi tu wa mali ya familia.Anadanganya watu yeye ni tajiri.
Amefanya huu uchizi Mo Dewji watu wanasema kazi na dawa boss , angefanya kabwela mwenzangu watu wangesema jomba amekuwa chizi. Ila labda Dewji uchizi ndio unamnyemelea taratibu who knows 🤷🏽♂️tunasema kwa lugha yetu ya makabwela
Maisha ni mafupi sana Acha ajipe raha mo wetu jmn Mungu amjalie Afya Njema na umri mrefu azidi kutushika mkono wanyonge😘😘🥰🥰
Tajiri mswahili..
Tajiri mcha Mungu
Tajiri anaeishi na wanyonge
Tajir mpenda watu maskin
Mungu ampe umri mref nasi tuendelee kuinjoi hapa duniani
Sawa Mo wetu tuakupenda nakukuamini tunakuombea uzidi ku8shi maisha ya raha unaroho nzuri sana unasaidia sana sie wanyonge Allah akupe mwisho mwema InShaa Allah
Furaha ndio mpango mzima katika maisha unaweza kuwa na pesa kama huna Furaha ni kujiuwa tu mawazo mengi acha aweke furaha mbele Ili maisha yaendelee.
So nicely
Bosi asiye kuwa na stress timu inafanya vizuri biasharazake zinaenda vizuri kwanini asi refresh akili
Yann ujipe shida ikiwa maisha yenyew mafupi,maisha ya kimasikin ni ya upweke,mungu kakujaalia kwnn ujivunge
Nakubali Raisi wa heshima
It’s great to have fun sometimes, we only live once 😍
KAZI NA DAWA SHEIKH, UBIZE KILA DAKIKA HAUFAI.
Exactly
No we live everyday but we die once
Kha!! Huyu ni Mo au Morrison.
Nakubali sauti yako mkuu we Kwa milard nakupa no moja Kat ya watangazaji wote wa iyo media
Ugonjwa wa Morrisonism umeingia kwa Mo..😂😂
Hamna TAJIRI hapo alituambia anaacha uenyekiti wa Simba kwa sababu anamambo mengi kumbe Mambo yenyewe ni tik tok 😔😔😔
Hahahaa'....aangalie basi na vya kujirekodi,..!
😄😄😄😄😄 raha Sana dadeki
Ngoja nimfate huko huko tiktok nikaone live kwanza
ilichobaki....
Baba yuko ofisini mpaka leo...watoto lazima wale bata haha
raha jipe mwenyewe saf sana
Huyu baba kanogewa na umaarufuuuuu anapenda yaani manara kijakazi amshinde ummarufu taajiri mo Mohamed mo dweji
Safi sana bosi msukule tunamsubilia maneno yake sasa
Boss himself😂😂😂❤👍
Huyu jamaa ana akili fulaha ni sehem ya kuupa ubongo mafikilio mazuli zaidi kuwa tajili sii uache kuishi kwa ualisia wa moyo wako unavyo taka
Uyuuu akipotea atumtafuti tena🤣😂😅
😂😂😂😂
Anafungu tawi jengine la kupiga hela anajua kutumia fursa iliopo, wewe unashangaa yeye yupo kazini.
Kweli ndugu
Boss aliruka steg
Boss nakuona 🦁💪🙏🏼
Hamna kazi ya kufanya
Wamuache, maisha yenyewe mafupi
🤣🤣🤣🤣🤣Tuliwambia huyooo chiziiii mkabishaaa angalieni sasa boss wenu
Itakua chiz humjui mzee
Tiktok imemlipa yaani MO yupo kazini... anaibrand Tiktok
nimushamba 2 unaweza kumuona boss wayanga anafanya ujinga huo
Huyu muddy atakuwa Ameanzs kutumia cha Arusha maana sio bure
Zombiii msukule huu
Mwachen afrah
Mswahili tu hana jipya!
Hongera yako
Tanzania bwana duu yaani Haji manara amefanya mpaka Mo dewji awe chaleeee hahahaahahah😁😁😁🙊🙊🙊💯💯..
Jamani Tanzania ukajifanya siasa Sana unaekwa jela then mpira unasonga mbele hahahahahaah pole Sana usie ifahamu hii Nchi Raha Sana ila usiombe yakakukuta🙊
Raha jipe mwenyewe bwana shida nini?
Tayari boss kashavuta unga yani ukiona Mo anafanya hivyo tambua tayari kitu cheupe hicho.Hahahahaha!
Kipendajo dawa ni roho wacha ajipe raha mwenyewe
NDIO MAANA ALIMSAMEHE MORRISON ILI AMLETEE SIGARA BWEGE 🤣🤣🤣🤣
Mo hamia yanga
Elon musk tajiri namba moja duniani ila ka wamfatilia ni tajiria anaependa post vichekesho na memes kila kicha
Igeni na hii utopolo
Amani kwa wanasimba
Iv kwan Mo mnamfananish na nn yeye ni binadam kama sisi anapaswa afanye kitu roho inapend bhn kisa tajiri ndo tiktok asiingie au mnataka nn mtaendelea kupiga lomon mwenzenu ndo kasha toboa
Elon intelligence
Mnampangia mtu jinsi ya kuishi????wabongo mmeishiwa nyinyi
Elon musk wa Tanzania
Amechanganyikiwa na maisha akapimwe akili yake.Huyu ni tajiri wa mitandao hana lolote
Chizi huyu sijui ni kibwego au ni Ile kanga aliovalishwa inamtesa bado
@@careenpatrick2759 Anataka kututeka akili zetu watanzania kumbe anajidanganya mwenyewe huyu LODILOFA na huenda malaria imepanda kichwani
Sasa mkimchukia tajiri mnageuka matajiri na nyie au mtaendelea kuwa maskini kama kawaida yenu tu?
@@jumamangombe6493 huyu mo masikini kama wewe ni tajiri wa mitandao tu.Mali ni ya babu yake anaitwa mo dewji na yeye ni msimamizi tu wa mali ya familia.Anadanganya watu yeye ni tajiri.
@@abuyunusmohamed6961 basi yako wew mali hyo
Unaungo mkono wawekezaji wenzake
Maisha yake ni maisha yake acheni ufala
pesa yafamilia inamuchanganya
hakuna fursa ya hela wala nin ni uwehu tu
Sf boss smb ww ndie mwamba
Xo fanny,..kmbe anatalent y uchekeshaj
Kesha huyo
Ukiwa unapesa huna stres
sio kwel
Uyu kazkuta mali ni za familia
Nawew kachukue kweny family ako au unatudanganya kuwa wew umetoka mbinguni huna family
Poa sana
Pesa zake angetafuta kwa jasho lake angekua bze km wakna GSM, dangote nk
Ndomaana ya family tajir
Mlilie baba yako aliyekuwa bize kukimbizana na vimada badala ya kutafuta fedha za kukurithisha na wewe
Na ukiwa na akili huwezi kumtaja gsm kwenye kundi moja na matajiri huyo ni machinga mkomavu tu
Amefanya huu uchizi Mo Dewji watu wanasema kazi na dawa boss , angefanya kabwela mwenzangu watu wangesema jomba amekuwa chizi. Ila labda Dewji uchizi ndio unamnyemelea taratibu who knows 🤷🏽♂️tunasema kwa lugha yetu ya makabwela
😂🙌dah
Nakubali sauti yako mkuu we Kwa milard nakupa no moja Kat ya watangazaji wote wa iyo media