mapigo Tisa mlitisha saana mkaicheza ngoma sahihi ya asili ya waha.lkn sasa nyimbo mliziimba za kisiasa wakati jaukwaa halikuwa la siasa mliondoa radha hapo
Nilipenda mlivyocheza. Mjikite kuimba Matatizo hahususi katika jamii, muelimishe kama mlivyokuwa mkifanya siku nyingi pale Kigoma. Nafahamu uwezo wenu katika "kuchegeta Mnyanga" Usamberee wetu. Mimi ni mfuatiliaji mzuri Wa Katagi, Denga za akina mama, mapigo saba na Tisa. Kuna haja ya kufanya mapinduzi kwenye mziki Wa Asili pia.
kiramutu anapenda asiliyakwawo lakini Burundi imewafunika mimi ni 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kigomaaa Oyeeee💃💃💃💃💃💃🤲🙏🤲🙏💃💃😘😘😂😂😂😂😂😂😂😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘💕💕💕💕💕💕💕💓💓💓🙏🤭🤭🤭🤲🖐️🖐️🖐️
Hahaha halid uyo
Mapigo saba hatar sana, hawa wana
Mulakozeeeeee
Hongera mapigo Tisa mlitisha sana.
Yemwaaa kutesee nimpolesee
mapigo Tisa mlitisha saana mkaicheza ngoma sahihi ya asili ya waha.lkn sasa nyimbo mliziimba za kisiasa wakati jaukwaa halikuwa la siasa mliondoa radha hapo
Mdumishe utamaduni wenu
Sana sana
Love my culture
ingoma yi muhila iwachu
Nilipenda mlivyocheza. Mjikite kuimba Matatizo hahususi katika jamii, muelimishe kama mlivyokuwa mkifanya siku nyingi pale Kigoma.
Nafahamu uwezo wenu katika "kuchegeta Mnyanga" Usamberee wetu. Mimi ni mfuatiliaji mzuri Wa Katagi, Denga za akina mama, mapigo saba na Tisa.
Kuna haja ya kufanya mapinduzi kwenye mziki Wa Asili pia.
😂😂😁umenikumbusha mbali kaka .denga yaan imibhala maarfu kama sherehe
Liemba
Tabhagaa namabhanga 😂😁😂😁 mmenikumbusha mbali daah! C kut mpooo
Punguza longo longo, xheza. Ngoma utamu wake kucheza
Jamani hilikundi nalitaka jamani nitalipataje
Endereeni kutoa nyibo za kutukumbusha tulikotoka
Sema upewe namba zao