Wanao fatilia hii movie wallah iko na mafunzo mengi mno ukizingatia sana utafaidika congrats kai na wenzio Allah awajaalie kila la kheri mzidi ku2elimisha❤❤❤❤from kenya
Tunaoamini Sania atawin deel lake tujuane hapa, hakuna mkate mgumu mbele ya chai😂😂😂😂 ila Zuu unapendwa mno na bibi Yako ila ningefurahi waowane TU jmn❤❤❤
Aya Tena ❤❤❤ wale mawif zake zuu kutoka 🇴🇲 tujuwane bas Hila shangala hyoo watasha wa 🔥🔥🔥 saw harusi tunayo hatuna Hadi rahaaaaaaaaaaa❤❤❤ wale kama naolewa mm jinsi ninvyojisikia raha ebu fanya nimaliza mtaba mapema na mm nakaolewa 🇹🇿
Whatsapp Group 👇👇
chat.whatsapp.com/Gboxs71PAvtHl0nvTLi66k
mbona haifunguki
Samahani naomba kuuliza hili group Ni bure au kunagharama yoyote
@@MozahFamilybureee dear😂😂😂😂
@@winnermauky9116 ahsante nimeliona nishaingia
mbon hii link kwangu nikigusa inaniletea kucoment
Wakukimbilia kucomment 😂😂 any Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 in the house 🏡 bibi naye kashajua yai limepasuka hayah 😂
RejectFinanceBill🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ::::::::
Leo Monday tuko hapa Tuesday tuko reject bill
@@februarygirl1554 kesho kama Kawa mapema 💪💪🦾
😂😂😂😂😂😂😂@@ChaguVeeNovida
@@februarygirl1554ya kesho pia ikuje Leo kesho ni kurejact🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera Bibi zuu hatimaye umefurahisha moyo wa zuu
Wangapi wanao subiria harusi ya zuu na kai❤❤ gonga like tujuane
❤
Kwan like zinakaz gani jmn 🎉mnaacha muisifie house girl yetu🎉😂
Haha😂😂
Wanaoamini Candi anatapeliwa na mume wa masosi tujuane hapa , Ila Candi utakujalia ww na kicheko kitageuka kilio badae😂😂😂
Woye namuhurunia
Cand atalia vibaya😂😂😂😂😂😂
Watalia wote. Candy, Dada Masozi na Ndevu za mbuzi.😂😂😂😂
Na atalia mpaka dunia aikute nyeusi
Tayar kashatapeliwaaa😂😂😂😂😂 atapeliwe mara ngapi dear
❤❤❤❤bibi Zuuu safi sana aliyosababisha ajali ndio akuoe safi sanaaaa zuuu ndoa iyooooi
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakufa inaonekan 😂😂😂😂😂😂 huyo aliesababisha ajali jaman nyie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jaman eh nani anaona candri anaenda kupigwa na kitu kizito kichwan❤🎉🎉
💃💃💃💃💃💃😊
😂😂uongo wa zuu na kai jamn imewapa ndoa cha nguvu zaidi😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉hongera zuu
Daah Kila nikijizuia nisiombe like ni comment kuhusu movie ilivyo Kali nashndwa nikimuanglia zuu nakpnda haka kadada ebu nipeni like zake zuu
❤❤❤❤fresh
Sijapenda huyo kaka alivyomjibu Sania hata kama hampendi hakuwa na haha ya kumjibu maneno magumu hvyo 😢
Kwel hata me sjapenda hio
Anamajibu ya ajabu tokea enzi kwanza smpend
@@pyelesyamwakatika540😂😂 hii ni move lakini
Jaman acheni kukimbilia kuomba like basi ata ushauri kwa wasaniii wetu jaman😊😊
Coment yako iwekewe ulinzi🤝👏👏
Jaman 2liekuwa twasubili house girl 52 Leo nimekuwa wakwaza nipeni like zangu
Wanao fatilia hii movie wallah iko na mafunzo mengi mno ukizingatia sana utafaidika congrats kai na wenzio Allah awajaalie kila la kheri mzidi ku2elimisha❤❤❤❤from kenya
Asante sana🙏
Team hammamu mupoooh! Mwenzenu katolewa bikra na bos wake vp nyie
Usituponze hatutaki risasi za maeneo😂😂😂😂
Wataka tufe weee😂
@@NeemaNixon hahaha
😂😂😂😂 tunatoa bikra na WiFi tyuuuuu
msitoe like hadi zuu aorewe na kai baadaa tujuwe movie itaendajee nyie like like tu tuwape nyia hawa tujuwe wana kosea wapi nyie like like
Mie mpaka kiumane kwenye hati. Mpaka waangukie pua Candy, Dada Masozi na Ndevu za mbuzi.😂😂😂
@@umfahad2609 na vitaumana wenyewe kwa wenyewe
Rr
Mm naon kuchelew chisa aondok na masozi jmn waondok t naamin kai atarud kazini na atapt t nyumb ingn❤❤❤❤❤
Owaaa
Mimi Leo wa kwanza kutoka kenya mnipee hata like kumi😅😅😅
Ambao walikuwa wakitegemea chiko atasepa like hapa 😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂
😂😂😂🎉🎉🎉
Tupo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunaoamini Sania atawin deel lake tujuane hapa, hakuna mkate mgumu mbele ya chai😂😂😂😂 ila Zuu unapendwa mno na bibi Yako ila ningefurahi waowane TU jmn❤❤❤
Mm napenda Kay asimpe zuu nyumba
Wa Kwanza hpa naombeni like kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯
Nakuona kamovie katam 🎉🎉❤❤❤
Aya nimekupea like yngu
Hio wimbo inaitwaje jameni,,,yenye inaimbwa kwa hii video🙏🙏🙏🙏🙏
Watu ambia jina ya wimbo tafathali
Tetema😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣@@DeeDan-sj1mr
Jaman mi mwenyew nitaka jmn naupenda
🤣🤣🤣@@DeeDan-sj1mr
Kama unakubaliana na bibi zuu gonga likes hapa tukisonga mbele🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
🎉🎉❤Ndoa tunayo zuu hongera Kwa kujitunza ,candy 😮😂😂kimemramba kuoga aaaaaaaaah 😂😂
Movie nzuriii mnoo na inatufunza kwel lakini mjitahidi sana kutuwaishia ❤❤❤❤❤
Kai Na zuu nawapenda bure yani Asali ushailamba❤❤❤🎉🎉🎉😂😂
Nyie njoon tiyar
Jmn Leo nmechekesha sanaaaa juu uo uongo WA Kai na zuuu😂😂😂😂😂 jmn ,mm natokea Kenya naomba like zenu
hongereni sana kwakazi nzuri nimejifunza mengi sana nimejifunza tamaa conzuri nivema ukalza kwaunacho kipata asanteni
The first one to watch my likes
😢😢 eti uongo mzuri 😂😂hakuna kitu kibaya Kwenye maisha kama kutoa juwa unataka nn tasha kwann usimuoe huyu dada mbona sania katulia kwasasa
Wakwanza leo jmn like 10 from Zanzibar 😊
Jamani mungu asaidie watoto wetu kumbe malaya nao wanataka kuolewa move nzuri jamani
Candy poleee kitakacho kukuta kinasikitisha😢😂😂
😂😂😂😂😂 Ila Mr Tasha true love never die inahusiana vp hapo Kwa mke mwemaaa mke boraaa 😂😂😂
Waache wajifunze kingereza😂😂😂😂
Bora pia Nina mwezang😂😂😂
Bora na ww umeona😅😅😅
Aya Tena ❤❤❤ wale mawif zake zuu kutoka 🇴🇲 tujuwane bas Hila shangala hyoo watasha wa 🔥🔥🔥 saw harusi tunayo hatuna Hadi rahaaaaaaaaaaa❤❤❤ wale kama naolewa mm jinsi ninvyojisikia raha ebu fanya nimaliza mtaba mapema na mm nakaolewa 🇹🇿
Ntafrai sana nikiona zuu na kai wamefunga ndoa
Daah na Mimi Leo ngoja nijitokeze, jaman nawapenda waigizaji
Wapendwa mimi wakwanza likes hata tano jamani 😂😂❤
No 1
Mimi naona mbelen candy atajutia kuusu hio nyumbaa
Turiotoka kwenye move ya visa ya menina kuja uku tujuane😂😂😂😂
Msisahau hii movie bila @candy haiwezi ikabamba,,,@candy ako vizuri sana
🙏🙏
Kabisa
Ila uyu bibi nampenda jaman
wanao amini kuwa kai atarudisha nyumba yake kilain like hapa
Jamani nichelew kidogo liké zangu kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Oyee tasha nataka sitaki😂😂😂😂😂
Jamani naona wakenya wanapenda kaka Kai 🔥💯💯💯💯
Sana tu
Hata chai hamjanywa mshawahi busati tv jmn😂 aya mje mniungishe na keki nipate pesa ya bando
Tasha utarongwa na sania mpaka wingiliane tu.
Kabisaaaa
Waomba like mkonwap
Kai ata ivike episode 100 tunawapenda kwa kazi zenu zuri sana ina mafundizo mazuri sana ❤❤❤
Waooooooooo nimechrewa jamani kila siku.nakua waa mwishoo❤
Team strong na wakenya wenzangu mko wapi jamani tujuane kwa likes 😢💪💪❤️❤️❤️
Mi shagala kuoka tz
@@Sau-qn2zz8ii1ntzkaribu daa
Nipo shagala kutoka tz
@@Sau-qn2zz8ii1ntzkaribu mama
@@MozahFamily❤️❤️❤️
Mmmh nimechelewa sana ila naomben like hata 2 tu😅😅😅
Waaaw Bibi zuu ni MTU WA ajabu sana
Hata kama nmechelewa naomba like ndo nisirudi kuchelewa tena
aaah ila candy anajua kuicheza part yake unajua dada chukuaa maua yakoo🎉🎉🎉🎉🎉
Hakuna kitu nachukia kama kuomba likes, badala ya kusema jamani Candi kawa hivi na vile kila nikiscrow chini nakita wa mwisho na wa kwanza shenzi zenu
Umesema ukweli hapo
Kweli kaka
Pumbavu zao 😅😅 kbs
Jamani zuu ulikosea nyanya kwa kweli kwa kutumia undanyifu sio poa😂😂nawapenda kwa mafunzo yenu nyanya yuampenda zuu❤❤❤❤
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏kazi nzuri sana tim kay pamodja sana lubumbashi wantashi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
mnaboa mulisifiwa tembo mshaaanza kulithia maji ...sinapendra ya leo
Nakupenda bibi❤❤❤
Jmn na mm leo nimewah sijawah omba like nipeni na mm jmn😂
Jaman Leo nimewahi naomben bas likes🎉🎉
Wa kwanza from USA naomben like 10 tu
One day love 💗
Fanyen mhitimishe bhan series ikiwa ndefu nae inakosa ladha mtoe mzigo mpya tujue cand anaenda kuuramba
😂😂😅😂😅😂😂😅😅mbona kai na tasha wanamchamba sana sania 😢😢😅😂😅😅😂😂😅 alafu bibi hadanganyiki ilakanifurahisha kwamfanya zuu atabasam ❤❤❤hongera bibi
Nilijuwa bibi atachukia jamani baba Kai kuwa na amani ila zuu aoleweeeee🎉🎉🎉🎉🎉
Mbona mnapenda like kwani zinasaidia nini ☺️ mm ndo nimenunua simu leo
Sania n tashi mambo zenu 😂😂😂 ila yote n hayo harusi ya kai n zuu tunayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
🙏
Nakupenda sana zuu
Leo 60naomba mwenye atakuja nyuma anipe like 🎉🎉
Acha nikae mkao wa kula nisubiri ubwabwa wa harusi ya Kai n'a Zuu🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani kai inamaanaumekubali kumpa nyumba kendi
Hii show inabamba sana keep up the good work guys Esther kutoka KENYA
tasha km tasha nakukubali sana unasitahiri maua ❤❤yako ❤❤❤
Jama hii movie inamafunzo mazuri kweli nikujifunza jamani
Hongera tasha kuliwaAza sania. Mtuwahkma sana 🎉🎉🎉
Candy kitakukuta kitu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chisa kama chisa kajua kunifurahishaa uyu candy kama nakuonaa vile😅😅😅
Jamn Leo kwamara yakwanza kuwa wa kwanza ❤❤🎉🎉🎉
Nakubali na tupo pamoja mpaka tamati ❤❤
We baba ale na kai hacha kulalamika sana bana kwani Cha ajabu kitu gani wa
Kai 😂😂eti kijuso🙌🙌team zuu ndoa ipo ama aipoooo
Wa kwanza Leo likes zanguu❤❤
Namimi nimewahi leyo❤❤❤❤🎉🎉
Kama vile candy navyomuona atakavyolia
❤❤❤
Khaii bibi kashakujua 😂😂😂
mapemaaaa
Daa jmn uongo dhambi movie zuri sana mnajitahid sana Kuna kitu najifunza kwakweri sio tu kufurahisha jmn endeleeni
Asante sana 🙏🙏
nimewahi leo❤
Candy umenishinda tabia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijachelewa n me like Zang jaman
Wakwanza leo😂😂😂😂nipeni likes nikanunue unga basi😂😂😂
😢jmn makop kwenuu jomn kwa kuchelewaaaa ❤❤❤❤
Zuu kashindwa kuvumilia inabidi acheke😅
Napendamnavyo leta vitu mapema❤❤❤