Jaman kupat kw rimbukenge matako kuriyaa bwaaaaaaat cek harmonize atak kumuongeresh mutuu daaah tukumbuk turipo tok Ata ku I'm a amejitow aibu jamani😏🇧🇮
MTUME PAULO ALITABIRI JUU YA UASI KUKENGEUKA KWA KANISA NA JINSI SABATO ILIVYOBADILISHWA 1) Je, Mtume Paulo alizungumzia kuzuka kwa hali ya uasi? 2 Wathesalonike 2:3-4, 7; Matendo 20:29-30. “3 Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu; 4 yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.” 2 Wathesalonike 2:3-4 “29 Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kwangu mbwa-mwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi; 30 tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao.” Matendo 20:29-30. 2) Kuna mtu mwingine pia aliyesemwa kuhusiana na uasi huu? Daniel 7:25. “Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.” UFAFANUZI: Kinachozungumzwa hapa ni nyakati na sheria za Mungu. Pambano linaloelezwa hapa ni kati ya mamlaka ya mbingu na dunia. Pembe hii ndogo inakusudia kubadili nyakati na sheria za Mungu, zinazoonekana kwa uwazi katika Amri Zake Kumi. Kielelezo mojawapo dhahiri cha “nyakati” za Mungu ni Sabato. Jaribio lolote la mamlaka ya kidunia ya kubadili Sabato ya Mungu ni jaribio la kubadili sheria ya Mungu, ambayo kiini chake ni Sabato yenyewe. Hata hivyo, jaribio la pembe hii ndogo kubadili nyakati na sheria hazitafanikiwa hatimaye. 3) Je, ni kwa namna gani siku ya kwanza ya juma (Jumapili) ilianza kutunzwa badala ya siku ya saba ya Sabato (Jumamosi)? MAELEZO: “Hii haikuwa desturi ya kanisa la Kristo la awali, lakini jambo hili liliendelea polepole kwa njia ya kutojua, siku ile ikabadilishwa.”-Archdeacon Farrar, katika The Voice from Sinai, uk. 167. “Karne ya Wakristo wa awali ilipita na hapakuwa na uadhimishaji wa Jumapili na Wakristo hawa, bali Sabato ndiyo iliyotunzwa.”-Sir William Domville, in Examination of Six Texts, sura 8, uk. 291. “Mapumziko ya Jumapili, kama mapumziko mengine, yalikuwa ni desturi ya wanadamu, na yalikuwa tofauti na matakwa ya mitume wao. Haikuwa nia ya kanisa la kwanza la mitume kubadili sheria ya Sabato na kuifanya kuwa Jumapili. Huenda karibu na karne ya pili ndipo jambo hili lilianza kufanyika...”-Rose’s Translation of Neander’s Church History, uk. 186. 4) Nani aliyefanya badiliko la siku ya Jumapili kuwa siku ya mapumziko kisheria? MAELEZO: “Mtawala Kostantino (aliyekufa 337 BK), mwongofu wa Ukristo, kwa mara ya kwanza alihalalisha kisheria Jumapili katika mwaka 321, alipotangaza kwamba kazi zote zisimamishwe Jumapili, isipokuwa wakulima wangeweza kufanya kazi inapolazimu.”-Encyclopædia Britannica, 2008. 5) Je, nani anayedai kubadili siku ya pumziko kutoka Sabato hadi siku ya kwanza ya juma? MAELEZO: Baada ya Jumapili kufanywa na serikali kama siku ya mapumziko kisheria, kanisa Katoliki likafuatia kuifanya siku hiyohiyo kuwa siku ya ibada. Askofu wa kanisa la Kirumi anashuhudia akisema, “unaweza kusoma Biblia tokea Mwanzo mpaka Ufunuo, na hutapata hata mstari mmoja unaotakasa Jumapili. Maandiko yameshuhudia utakaso wa Jumamosi, siku ambayo hatukuitakasa.”-Cardinal Gobbons, in The Faith of Our Father, edition 1892, uk., 111. Mahali pengine tunasoma, “Jumapili ni amri ya Katoliki, na kuadhimishwa kwa siku hii kunatokana na amri za Kikatoliki…. Toka mwanzo wa Maandiko mpaka mwisho hakuna mstari wowote unaokubali mabadiliko ya ibada ya siku ya Sabato na kuifanya kuwa siku ya kwanza ya juma.”-Catholica Press (Sydney, Australia) Aug. 25, 1900. 6) Je, makanisa mengine ya Kiprotestanti yanasemaje kuhusiana na majaribio ya mabadiliko ya Sabato? Je, wameyakubali mabadiliko haya? MAELEZO: “Ni dhahiri kabisa kwamba hata kama tukiiadhimisha au kujitolea kiasi gani ili kuitunza Jumapili, hatuitunzi Sabato… Sabato ilianzishwa kutokana na amri maalumu ya Mungu. Hatuwezi kupata agizo kama hilo kwa ajili ya utunzaji wa Jumapili… Hakuna hata mstari mmoja katika Agano Jipya unaodokeza kuwa tunapatikana na makosa kwa kuvunja kile kinachodhaniwa kuwa utakatifu wa Jumapili.”-Dr. B. M. Dale (Congregationalist), “The Ten Commandments,” uk. 106-7 “Hakuna neno lolote, hakuna kielelezo, katika Agano Jipya kinachozuia kufanya kazi siku ya Jumapili. Mapumziko ya Jumapili hayana idhini katika sheria takatifu.”-Canon Eyton (Church of England). “Siku sasa imebadilika kutoka katika siku ya saba na kuwa siku ya kwanza ya juma. Lakini hatukutani na Maandiko yanayoruhusu mabadiliko hayo, basi tunaweza kusema kuwa yalifanywa na nguvu za Kanisa.”-Explanation of Catechism, (Protestant Episcopal).
This is so sad almost everyone is on THE DAMN PHONES the celebrity's also, Mr Manager they have gone to a public function and they are just buried their heads in the phones its sad......
Dolla, I noticed that too, sometimes in life have to be respected, also embarrassing how Harmonize dressed up on this day, really sad, he needs to show some leadership and not stardom like on some stage.
naona watu wapo busy na simu ,yaani watu wamelemaa sana na simu,badala ya kusherehekea na kufurahi,dinner part ya mwenzao,wao wapo kwenye simu tuu,mhh.19.02.17.
Aki ni juzi Harmo umekua kadogo sah ukabalee my dear 😍😍🔥🔥🔥
jamani harmonize kila sehemu anavaa kam yuko stegini 😀😀😅😆😆 ana gharama madai yke
harmonize wawooo all eyes on uuu. oooh mi gushhhh.
penda sana👍👏mungu akupeni maishamalefu ww mkeo namtoto wenu
Jaman kupat kw rimbukenge matako kuriyaa bwaaaaaaat cek harmonize atak kumuongeresh mutuu daaah tukumbuk turipo tok Ata ku I'm a amejitow aibu jamani😏🇧🇮
Nawapenda nyie jins mlivyo sana sana diamond upo simple sana angekuwa mwengine asingejumuika nawenzie angejifanya yuko busy ,safi sana kaka
l agree....
Kijana harmonize umetoka mbali sana
chezea wcb we team wasafi na mambo yao safi vilevie
MTUME PAULO ALITABIRI JUU YA UASI
KUKENGEUKA KWA KANISA
NA
JINSI SABATO ILIVYOBADILISHWA
1) Je, Mtume Paulo alizungumzia kuzuka kwa hali ya uasi? 2 Wathesalonike 2:3-4, 7; Matendo 20:29-30.
“3 Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu; 4 yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.” 2 Wathesalonike 2:3-4
“29 Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kwangu mbwa-mwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi; 30 tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao.” Matendo 20:29-30.
2) Kuna mtu mwingine pia aliyesemwa kuhusiana na uasi huu? Daniel 7:25.
“Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.”
UFAFANUZI: Kinachozungumzwa hapa ni nyakati na sheria za Mungu. Pambano linaloelezwa hapa ni kati ya mamlaka ya mbingu na dunia. Pembe hii ndogo inakusudia kubadili nyakati na sheria za Mungu, zinazoonekana kwa uwazi katika Amri Zake Kumi. Kielelezo mojawapo dhahiri cha “nyakati” za Mungu ni Sabato. Jaribio lolote la mamlaka ya kidunia ya kubadili Sabato ya Mungu ni jaribio la kubadili sheria ya Mungu, ambayo kiini chake ni Sabato yenyewe. Hata hivyo, jaribio la pembe hii ndogo kubadili nyakati na sheria hazitafanikiwa hatimaye.
3) Je, ni kwa namna gani siku ya kwanza ya juma (Jumapili) ilianza kutunzwa badala ya siku ya saba ya Sabato (Jumamosi)?
MAELEZO: “Hii haikuwa desturi ya kanisa la Kristo la awali, lakini jambo hili liliendelea polepole kwa njia ya kutojua, siku ile ikabadilishwa.”-Archdeacon Farrar, katika The Voice from Sinai, uk. 167.
“Karne ya Wakristo wa awali ilipita na hapakuwa na uadhimishaji wa Jumapili na Wakristo hawa, bali Sabato ndiyo iliyotunzwa.”-Sir William Domville, in Examination of Six Texts, sura 8, uk. 291.
“Mapumziko ya Jumapili, kama mapumziko mengine, yalikuwa ni desturi ya wanadamu, na yalikuwa tofauti na matakwa ya mitume wao. Haikuwa nia ya kanisa la kwanza la mitume kubadili sheria ya Sabato na kuifanya kuwa Jumapili. Huenda karibu na karne ya pili ndipo jambo hili lilianza kufanyika...”-Rose’s Translation of Neander’s Church History, uk. 186.
4) Nani aliyefanya badiliko la siku ya Jumapili kuwa siku ya mapumziko kisheria?
MAELEZO: “Mtawala Kostantino (aliyekufa 337 BK), mwongofu wa Ukristo, kwa mara ya kwanza alihalalisha kisheria Jumapili katika mwaka 321, alipotangaza kwamba kazi zote zisimamishwe Jumapili, isipokuwa wakulima wangeweza kufanya kazi inapolazimu.”-Encyclopædia Britannica, 2008.
5) Je, nani anayedai kubadili siku ya pumziko kutoka Sabato hadi siku ya kwanza ya juma?
MAELEZO: Baada ya Jumapili kufanywa na serikali kama siku ya mapumziko kisheria, kanisa Katoliki likafuatia kuifanya siku hiyohiyo kuwa siku ya ibada. Askofu wa kanisa la Kirumi anashuhudia akisema, “unaweza kusoma Biblia tokea Mwanzo mpaka Ufunuo, na hutapata hata mstari mmoja unaotakasa Jumapili. Maandiko yameshuhudia utakaso wa Jumamosi, siku ambayo hatukuitakasa.”-Cardinal Gobbons, in The Faith of Our Father, edition 1892, uk., 111.
Mahali pengine tunasoma, “Jumapili ni amri ya Katoliki, na kuadhimishwa kwa siku hii kunatokana na amri za Kikatoliki…. Toka mwanzo wa Maandiko mpaka mwisho hakuna mstari wowote unaokubali mabadiliko ya ibada ya siku ya Sabato na kuifanya kuwa siku ya kwanza ya juma.”-Catholica Press (Sydney, Australia) Aug. 25, 1900.
6) Je, makanisa mengine ya Kiprotestanti yanasemaje kuhusiana na majaribio ya mabadiliko ya Sabato? Je, wameyakubali mabadiliko haya?
MAELEZO: “Ni dhahiri kabisa kwamba hata kama tukiiadhimisha au kujitolea kiasi gani ili kuitunza Jumapili, hatuitunzi Sabato… Sabato ilianzishwa kutokana na amri maalumu ya Mungu. Hatuwezi kupata agizo kama hilo kwa ajili ya utunzaji wa Jumapili… Hakuna hata mstari mmoja katika Agano Jipya unaodokeza kuwa tunapatikana na makosa kwa kuvunja kile kinachodhaniwa kuwa utakatifu wa Jumapili.”-Dr. B. M. Dale (Congregationalist), “The Ten Commandments,” uk. 106-7
“Hakuna neno lolote, hakuna kielelezo, katika Agano Jipya kinachozuia kufanya kazi siku ya Jumapili. Mapumziko ya Jumapili hayana idhini katika sheria takatifu.”-Canon Eyton (Church of England).
“Siku sasa imebadilika kutoka katika siku ya saba na kuwa siku ya kwanza ya juma. Lakini hatukutani na Maandiko yanayoruhusu mabadiliko hayo, basi tunaweza kusema kuwa yalifanywa na nguvu za Kanisa.”-Explanation of Catechism, (Protestant Episcopal).
This is so sad almost everyone is on THE DAMN PHONES the celebrity's also, Mr Manager they have gone to a public function and they are just buried their heads in the phones its sad......
Dolla, I noticed that too, sometimes in life have to be respected, also embarrassing how Harmonize dressed up on this day, really sad, he needs to show some leadership and not stardom like on some stage.
E-World Productions he has to hold on to his pant, sad
harmonize will be for ever grateful to diamond
harmonize..upo vzr..big upo brozer...
nampenda sana aunt tena nafurahi akiwa na moze wake nimefurahi
Daah ilikuwa poa sana, hbd mose iyobo.
love this
Very classic i love you guyz
oyaa mambo vp xhow xhow love
hi harmonize and diamond
Happy birthday Sweathrt wa Aunty
Very classic but hamna table manners mtasakamwa kooo😂😂😂😂
naona mond anajisevia kinywaji bariiiid
Dah, munaenjoy sana vijana. Next time please, muni invite...
bt ivo njo kunaendanga
+mary leshoomo safi sana vijana. Inapobidi inatakiwa yani👌
uskae mbali na boss hamonize
Simu balaaa waaaaa harmonize
happy birthday brother
Hatareeee WCB
very nice boy's
Nice
happy birthday baba kuki
The birthday was so good
si poa when u sit with other people and ur busy kwenye simu tu Mr platinum na hormonizer
nic
nzur sana
hongera iyobo
HAPPY BIRTHDAY BABA COOKIE
heeeh mmezidi jaman..izo pesa zenu hebu fanyeni maendeleo..kila ciku birthday ushambaa umewazid loooh..
Asia Maulid pesa zao ww zinakuuma nn wasipofanya sherehe wkt weakiwa hai ndio bas tena ko mm na ww tubaki kuwa watazamaji
wasafiii mkooo juuu 😍😍....
kwa kweli yupo biz na mambo yake hayar
kwani diamond amevaa kama hao ma weita wana sav hapo anywaway mko powa sana dada wolper leo yuko wapi. kwa rahazenu ye
team WCB
Tanzania amokolijo at hukogasaza bokasli rokomonjo
odi dance
kazi na dawa
Harmonize ashajiona ni staa zaid ya simba maana anajifanya hana time na people yeyote yule
We huon hapo yan anajiona ni zaid ya simba sasa
Abdallah Kawasaki (wenye wivu wajinyongeee )mwache baby wangu ajichanue lol
Abdallah Kawasaki wewe nawe una yako
noma
That cool guys diamond he looks like school boy
hahahah big up wakuu Party limefunika kama kawa simbaaa
watu mnamaneno nyieee kama ana muwaza shemela hana mood leo jamani mbona upo hivyoo hebu dhanieni mazuri jama kheeeee
Moseiyobo mambo gani tena ya Helini Masikioni mbona mnatuaibisha jamani
mose hbd
mmependeza...!
Rayvanny na mavoko siwaoni
wanaume kula ni haraka sio kama wanawake.. wakila huku wanapanguza mdomo na bado awajamaliza kula..
Hahaha 😂😂😂😂
Betty Kanana Q
sasa kafanyaje jamani kaka wawatu duh binadamu bwana
Vyuku kwa sana tu
harmonize yupo gud tu jaman sasa angejigawa kuongea na Rafiki yake monnd sio tabu mbona
this guy next to harmonize anakula kaa mshamba tu nkt....not diamond..the next commoner hahahhaha
Hahaha, hata wewe ume mwona.
Beaty beul bl hahaha tumemwona
yeah smacking like hell....hata huyo harmonize mwenyewe.....no table manners at all...
Diamond is so humble....
joy luciannh umeona eeh anatafuna uchafu
nilitaka kuona baba tee akiliswa @cake
mavoko iko pembeni ya manager sallah
wap ray mond? apo babu tale yupo ndani
iko poa sn
iko poa lakini wanaimba wimbo wa Birthday kama kigoco
naona watu wapo busy na simu ,yaani watu wamelemaa sana na simu,badala ya kusherehekea na kufurahi,dinner part ya mwenzao,wao wapo kwenye simu tuu,mhh.19.02.17.
big up
no weed
Harmonize usifanye utani kwenye mambo ya imani wewe ni public figure
the dude next to Harmonise should close his mouth when eating yuck
dat dude sucks
harmonize..upo vzr..big up brozer...!!
Simu balaaa waaaaa harmonize
happy birthday baba cokie
nice.
Rayvanny na mavoko siwaoni
harmonize..upo vzr..big up brozer...!!
nice