JOH MAKINI afunguka kwanini RAPPERS wengine hawampendi ‘Kuna mtu alishakula kiapo cha kukukataa'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @matengamboho5098
    @matengamboho5098 2 роки тому +3

    Mwamba wakasikazini 🤴 👑 #JayzWaBongo

  • @hassanomar1041
    @hassanomar1041 2 роки тому +2

    From Dubai Hassa Figo namkubali sana Joe flow yake amazing

  • @chacharhimo4050
    @chacharhimo4050 2 роки тому +3

    Mm naitwa chacha rimo nipo huku sirari napenda vipindi vyenu kero yangu kwenu tenganishe interview zenu zieleweke part 1na part 2 zijulikane ila Mko vizuri sana hasa nikitaka kujua ukweli kuhusu kitu chochote kimetokea lazima niangalie kwenu kwanza

  • @chundabadsingasinga3130
    @chundabadsingasinga3130 2 роки тому +1

    Sky on this One...much love Kwa SNS

  • @collinskhaemba7525
    @collinskhaemba7525 Рік тому

    A very candid conversation. Excellent job Joh Makini. Your from Kenya 🇰🇪. Can't wait you doing one big jam with KHALIGRAPH JONES the OG # KENYA 🇰🇪.

  • @gabbyawe
    @gabbyawe Рік тому

    Mwamba wa Kaskazini, one love

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 11 місяців тому +1

    Mm simkubali aisee kusema za ukweli😂

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 6 місяців тому

    Axante joh makin ❤❤

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 2 роки тому +3

    If your enemy don't talk about you means you don't work hard.

  • @DOUBLE_G_DA_BST
    @DOUBLE_G_DA_BST 2 роки тому +5

    Huyu jamaa ni kwel hataki maswali ya kiduanzi mana naona alibadilka sana alivyoulizwa kuhusu waduanzi, jamaa anafocus na mambo yake, yeye hatak kumuongelea mtu ieleweke ivyo

  • @suedhillary832
    @suedhillary832 2 роки тому +1

    Brother Sky your the best interviewer I halaa you brah, next time just try to minimize that background noises out there..your interviews are very smart to have such kind of distractions.

  • @josephybaruti1250
    @josephybaruti1250 2 роки тому +4

    Huyu jamaaa namuita Jayz wa Bongo

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 Рік тому

    Makini tena, Unajua sn kujibu,unajua changeability ya music, wapondaji waponde tu

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Рік тому

    Unaweza ukafanya kile kile katika ubunifu tofauti na ukamantaine game

  • @DonKendrickMontana-gt4lz
    @DonKendrickMontana-gt4lz Рік тому

    Fido vato anasikiza

  • @johnchakupewadc4679
    @johnchakupewadc4679 2 роки тому

    We love you brother from SA

  • @rm9756
    @rm9756 2 роки тому +1

    Joh umekuwa makini sana 😂😂 Sky jamani

  • @starring.E
    @starring.E 2 роки тому +1

    Joh king👊💯

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ Рік тому

    Joh Makini👊

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 роки тому +1

    Icon ya hip-hop inaongea!

  • @championboy7
    @championboy7 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿much love home boy

  • @zaharayusuph7231
    @zaharayusuph7231 2 роки тому +1

    Makini

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 Рік тому +1

    Ganglife zimeleta madhara makubwa katika familia nyingi USA, tumeona Crips and Blood, na makundi mengine.... labda nyie ambao hamjawahi kuishi au kufika USA ni taifa ambalo rangi ya nguo inaweza kukusababishia kifo. Kuna haja ya kuwasaidia hawa wasanii Wa hapa Nyumbani TZ kutatua matizo yao na tusifike huko kubaya. fanya mziki msitafutane haisaidii.

  • @OCHUMASIHI
    @OCHUMASIHI 7 місяців тому

    Watu wanamchukia coz ana ukanda hy boya afu anagkuta jay z

  • @robertgordon7557
    @robertgordon7557 2 роки тому

    Joh mbwa tu

  • @bojobunton7138
    @bojobunton7138 2 роки тому

    Mimi sio rapa lakini sikukubali hata sifuri

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 2 роки тому

    Sky wizzy aka KABUTA

  • @iddombogo3445
    @iddombogo3445 Рік тому

    Hip hop is Dead now days, the whole foundation has been corrupted.

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 2 роки тому +2

    Kaká mtafute na nikimbish

  • @noelbernard6390
    @noelbernard6390 2 роки тому

    Wachaga ni wabinafsi mfano mzuri ni huyu Joh

  • @tonsbees2230
    @tonsbees2230 2 роки тому

    Nakubali Sana njoo kwenye vichekesho vingi 👉 ua-cam.com/video/RhWa0DfvUTI/v-deo.html

  • @noelbernard6390
    @noelbernard6390 2 роки тому +2

    Wachaga ni wabinafsi mfano mzuri ni huyu Joh

    • @angelsblackboard8008
      @angelsblackboard8008 Рік тому

      Unamatatizo ya akili makubwa sana. Ukabila uliokujaa ndio unakuletea nuksi.