Waliofukuzwa CHADEMA waja na msimamo 'mkali' / Wamtaja Mbowe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @ramadhanimntambo6053
    @ramadhanimntambo6053 4 роки тому +6

    Ni maajabu sana mbunge hajui kuwa siyo Mbowe ila ni mwenyekiti wa chama,KUBWA ZAIDI WABUNGE HAWA WAKAE PEMBENI TU,WASITUNIE WANANCHI KAMA NGAO,WAMEONYESHA UBINAFSI MKUBWA SANA,HASA KIPINDI HIKI CHA TATIZO LA KIDUNIA.WAENDE WANAKOTAKA TUNAHITAJI WATU MAKINI.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 роки тому +3

      CHADEMA WANASAHAU KUWA HAWA NI WABUNGE WA WANANCHI KUPITIA CHADEMA NA SIO WABUNGE WA CHADEMA. HII KUBEBA UVYAMA KUMERIATHIRI SANA TAIFA.

    • @ramadhanathuman940
      @ramadhanathuman940 4 роки тому

      Hawa wabunge ni masinichi sana

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 роки тому

      UMESEMA SAWA. HAWA WANAJIDAI WANATUMIKIA WANANCHI KUMBE WANAPOTOSHA UHALISIA. KWANI WALIOKUA HAWAKUENDA BUNGENI MAANA YAKE HAWATUMIKII? NI UJINGA TU

    • @wajinajecha5029
      @wajinajecha5029 4 роки тому

      Hapo hapo mbona wabunge wa CUF waliofukuzwa kwa mizengwe huyo huyo speaker ndio aliekuwa wa kwanza kuwafukuza wake wabunge hata mahakama ili amuru warudi mbona hakuwarudisha hii ni dhahir speaker anachangia pakubwa katika kuumaliza upinzani na hii ni uhujumu uchumi kwani fedha nyingi zilitumika kwa kurudia uchaguzi kwa kupitia huyu jamaa

    • @godfreymasele558
      @godfreymasele558 4 роки тому

      Kweli akili ni nywele kila mtu anazake

  • @miagielangoi3272
    @miagielangoi3272 4 роки тому

    Yaan chadema ife kabsaa

  • @chachamwita1719
    @chachamwita1719 4 роки тому

    Tupe habari

  • @ambanconsultants6892
    @ambanconsultants6892 4 роки тому +1

    Chadema hawapendi kufanyiwa udikteta lakini wao wanafanya udikteta wa nguvu. Fukuza bila kuhoji. Tumewaona wenzao Ccm walimhoji membe kabla ya kumfukuza.

    • @mbwanaseif404
      @mbwanaseif404 4 роки тому +1

      Ujinga wa chadema wanalalamikia kitu ambacha hata wao hawakiishi kabisa hawa ni wasanii tu hamna kitu

  • @deogratiashaule5224
    @deogratiashaule5224 4 роки тому +7

    Chama cha demokrasia hicho mhhh

  • @sulemanqaymo9763
    @sulemanqaymo9763 4 роки тому

    Du hata sielewi

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 4 роки тому +2

    Yani mbowe kajipiga chenga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zawadsamba7870
    @zawadsamba7870 4 роки тому +3

    Uchaguzi ukiwa unakaribia chadema wanaanza visa waachen vyama vigine vijipange kuchukua majimbo yao

  • @jamesspiker331
    @jamesspiker331 4 роки тому +5

    tamaaa ya madaraka inatafuna chadema

  • @antonymayanga1534
    @antonymayanga1534 4 роки тому

    Chama kipo sahii amuwezi kukiziaki nawakati ndicho kilicho wapa zamana

  • @bernardmpakasi4758
    @bernardmpakasi4758 4 роки тому +2

    Enyi wanasiasa mbona mnatuchanganya kinga na tahadhari zote ziko bungeni sasa corona inatokea wapi km sihuku uraiani?!

  • @bernardmpakasi4758
    @bernardmpakasi4758 4 роки тому +3

    Ramadhani acha ushabiki hao walofukuzwa hawana kosa

    • @SuperEcholima
      @SuperEcholima 4 роки тому

      Kwa hiyo wewe ndiyo unajifanya unajua sana sheria kuliko walioko kwanye Chama??

  • @nyokasr3103
    @nyokasr3103 4 роки тому

    Mwenye macho haambiwi tizama nilisha sema sikunyingi chadema ni mahututi nikaonekana nadhihaki nikatolewa matusi sasa nadhani wengi wenu mmeelewa chadema hivi ndivyo insvyo kufa.

  • @gideontebuye2205
    @gideontebuye2205 4 роки тому +1

    Nendeni ccm, haraka mnasubiri nini

  • @bernardmpakasi4758
    @bernardmpakasi4758 4 роки тому

    Sio kings ni kinga

  • @allykiwembo3043
    @allykiwembo3043 4 роки тому +5

    mbowe anataka kuuwa chama chetu

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 роки тому

    Sasa wengine wenu walikua sio wastaarabu wametukana. NA huyu mbunge mwenzenu mmoja ndio jeuri zake zimekuponzeni . Km mimi ningemfukuza huyu jeuri tu Na waliobaki nikawapa nafasi ya kujieleza. Huyu alohojiwa wa3 ndio mbaya kwa CHADEMA. Muangalieni msimueke atakumalizeni. Bora ubaya wa asubuhi

  • @bernardmpakasi4758
    @bernardmpakasi4758 4 роки тому +2

    Mbona bunge lina kila tahadhari ya kings dhidi ya virus vya corona. Ambayo huku uraiani hakuna. Sijui lengo la kuacha tahadhari hiyo na kuja huku uraiani ni mini?

  • @petrokashi6407
    @petrokashi6407 4 роки тому

    Ila jamaangu silinde umeteleza

  • @mosescheketela9505
    @mosescheketela9505 4 роки тому

    Hivi na komu alietangaza kuhamia nccr mageuzi analalamika?

  • @johnjohn5032
    @johnjohn5032 4 роки тому

    Hawa jamaa waliofukuzwa hawana jipya mbowe uko sw hats abak mbung 1 usitoke kwenye msitar, Kila familia Ina Sheria zake bna na mtt akiuka asepe

    • @mbwanaseif404
      @mbwanaseif404 4 роки тому

      lakini kile ni cha demokrasia tafsiri ya demokrasia ndio hiyo? au hilo jina ni magumashi

  • @siwemaadam2
    @siwemaadam2 4 роки тому

    Mbowe unatuharibia chama fukuza fukuza imezidi.

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 4 роки тому

    Natural justice ni kwenu tu Mbona Lowassa hamkufanyia hiyo natural justice? Silinde labda kupata nafasi CCM otherwise umekwisha

  • @emmanuelymushy1924
    @emmanuelymushy1924 4 роки тому +2

    Sasa wna enda na hii covid wakiongea utah skia kila saa mwenye kiti taarifa na bdo hoja zao azifanyiwiii kaziii

  • @nikiflavour3884
    @nikiflavour3884 4 роки тому +5

    mbowe una yunbisha chama achia chama icho nichama cha wana nchi bwege wewe una 2miwa vibaya sana mzee

    • @SuperEcholima
      @SuperEcholima 4 роки тому

      Kila kitu Mbowe hivi Mbowe ni MME WAKO??

    • @officialwawa4370
      @officialwawa4370 4 роки тому

      @@SuperEcholima alafu bi dada una uchungu na mboe maana kila mtu akimkashifu mbowe ww inakuuma sikiliza usiingilie mawazo ya mtu aki coment kila mmoja ana haki ya kusema anacho jiskia sawa

    • @SuperEcholima
      @SuperEcholima 4 роки тому

      @@officialwawa4370 Hapo nyuma hukuwa hivyo sijui ni nani alikuharibu maana huko nyuma umeharika kabisa hata hutamaniki!!

    • @officialwawa4370
      @officialwawa4370 4 роки тому

      @@SuperEcholima sawa ila ndo nakwambia usipende kuingilia comment za watu na kuwatolea maneno mabaya coz kila mtu na uhuru wake kama unahamu ya ku comment comnt kivyakovyako sio una reply mutu na kumtukana

    • @faustinanyamtengera3776
      @faustinanyamtengera3776 4 роки тому

      Mbowe kipeleke Chama vizuri. Mbona vurugu tu tuonane kwenye uchaguzi .

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 4 роки тому

    Hilo jamaa lichunguzwe kwa kila nyanja....

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 4 роки тому

    Magufuli baba lao

  • @kuchiafricancinema
    @kuchiafricancinema 4 роки тому

    hyo ndioo democrasia hakuna kuleana nidhamu na utii lazima ufuatwe kamati kuu sio wajinga yaani kama ufuati sheria nendeni mnapoona mnaweza kuishi bila nidhamu

  • @ramadhanathuman940
    @ramadhanathuman940 4 роки тому +1

    Hawa wabunge ni masinichi ukizuiliwa na baba wa familia ukakaidi wewe umekua mkubwa unasotahili ujitegemee utoke kwake ukainzishe maisha yako mbona membe alivuliwa uanachama na ccm Kwan Hana akili ukikaidi ujiandae na mengi mnalia nn ss

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 роки тому

      Kwan membe ni mbunge wa wapi

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 роки тому

      Kwani mbunge ni mwakilishi wa chama au wananchi?

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 роки тому

      Kwani mbunge akiwa bungeni hutetea chama au wananchi

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 роки тому

      Kwan mbunge huchaguliwa na chama au wananchi

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 роки тому

      Mbunge anapoomba miradi ya maendeleo katika Jimbo lake kwani inatekelezwa kwenye chama au kwa wananchi waliomchugua mbunge wao kupitia hicho chama

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 4 роки тому

    Bunge haliamui mambo ya Chama

  • @antonymayanga1534
    @antonymayanga1534 4 роки тому

    ccm acheni siasa uchwara mtajuta siku moja

  • @florasteven3314
    @florasteven3314 4 роки тому +1

    Tatzo mumekuwa na kiburi kupewa kiburi na spika sasa munahagahikia nn na spika ndio boss wenu

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 роки тому

    Wewe nimnafiki huheshim chama ninyi niwasaliti

  • @nikodemmsomba893
    @nikodemmsomba893 4 роки тому

    Haaaa