WATUHUMIWA 6 WA TUKIO LA MAUAJI YA FAMILIA ILIYOCHOMWA MOTO MSITUNI WAKAMATWA, KAMANDA AWATAJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 24

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 11 хвилин тому

    Wonders shall never end

  • @EvaMalijo-wb2vs
    @EvaMalijo-wb2vs 2 години тому

    Mungu wangu😢dunia aina uluma jamani

  • @MeshackErnest-qt6xi
    @MeshackErnest-qt6xi 2 години тому +1

    Vp wale waliomuua Ali kibao hamjawapata tuuu

  • @piusmelkizedeck9823
    @piusmelkizedeck9823 Годину тому

    Hapo hawjaomba mtu mweny taarifa wala ushaida kma walivoomb kwa Kibao

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 31 хвилина тому

    Sababu za kuua ni zipi sasa? Maana hao wakulima na auditor mbona hakuna muunganiko?

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule Годину тому

    Kwaiyo wakulima hao walkua na Motive gan ya kumuua Mwanamke huyo

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 50 хвилин тому

    Nahic bado watu wengine maana chanzo cha mauaji nn?

  • @iddisalimu5028
    @iddisalimu5028 2 години тому

    Tunaenda wap mungu tunusuru

  • @RojaTupa
    @RojaTupa Годину тому

    Hatari

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Годину тому

    Na wao wachomwe moto.

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 2 години тому +1

    Waliompiga tundulisu vipi wao?

    • @MgangaMalugu
      @MgangaMalugu Годину тому

      Watafut

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 59 хвилин тому

      Ukiwesa wasaidie polic kuwatafuta watuhumiwa ukiwapata toataalifa haraka watashuhulikiwa

    • @HarithSalim-l1x
      @HarithSalim-l1x 6 хвилин тому

      @@HanifaOman-oo4pl hahhhah OK madam

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 години тому +2

    Tunataka sababu ya kuua ni nini?

  • @piusmelkizedeck9823
    @piusmelkizedeck9823 2 години тому

    Unajuwa hi nchi kweli kuiyelewa ni ngumu sna maan Alli kibao mpaka sas police hawajamshikilia yeyot kwa tuuma za kutekwa na kuuwaw kwake ,hapo kwa mtu mweny akilu timamu unaelew nini apo

    • @MgangaMalugu
      @MgangaMalugu Годину тому

      Sasa Ali kibao kaingiaje hapo

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Годину тому

      Wasaidie kazi ya uchunguzi kama utaweza. Ukipata.watuhumiwa toataalifa polic watawashuhulikia

  • @WansolaLuther-tq8qm
    @WansolaLuther-tq8qm 2 години тому

    Acheni vitendo viovu utakamatwa tu.

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 2 години тому +1

    Ingekuwa hivi kwa kuwapata watekaji wauaji pia.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 години тому

      Ndio maana tunahisi wasiojulikana sio watu wepesi wa planet hii .Ikiwa ni raia wa kawaida hukamatwa tu haina shida hiyo