MBONA ULIPOJIFICHA NI MAHALI PEUPE! Habari ya wewe ndugu yangu, nakusalimu! Namshukuru Mungu aliyenipa kibali tena siku ya leo ili niweze kukushirikisha ujumbe wa neno lake. Kila mmoja wetu popote alipo anayafahamu maisha yake vizuri jinsi anavyoenenda au kuishi, Mungu amenipa neno hili nikwambie kuwa, wewe unayefanya matendo maovu, unaloga, mshirikina hata umemuwekea mume wako/mke wako dawa asijitambue, unashinda baa au vilabu vya pombe umetelekeza familia,unakunywa pombe eti upunguze stresi,umeacha kumtegemea Mungu umeenda kwa wachawi na waganga kutafuta dawa ,unampango wa kumtoa mke/mume/motto/ndugu kafara eti ukuze biashara,umepanga kuzuia kazi ya Mungu isiendelee, unakula nyama za watu, unafanya haya yote umejificha kanisani au kwenye dini eti kwasababu hawakuoni unayofanya, eti kwasababu umewapumbaza viongozi wako wa dini hawajui lolote kuhusu uovu wako, na unajidhania kuwa umejificha hauonekani. Nataka nikwambie umejificha wasikuone wanadamu wasio kuwa na mbingu yakukupeleka, tena nikwambie unajisumbua bure, Mungu anasema “ULIPOJIFICHA NI MAHALI PEUPE”! Soma maneno ya Mungu haya “Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali. JE, MTU YEYOTE AWEZA KUJIFICHA MAHALI PA SIRI, NISIMWONE? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA” YEREMIA 23:23-24. Soma tena “Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako?” ZABURI 139:7. Hakuna namna unaweza ukajificha au ukakimbia Mungu asikuone, fanya yote hayo ukiwa unajua kwamba Mungu anakuona. Kisha soma hii “Wajapochimba waingie katika kuzimu, mkono wangu utawatoa huko; nao wajapopanda hata mbinguni, nitawateremsha toka huko. Nao wajapojificha katika kilele cha Karmeli, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika vilindi vya bahari nisiwaone, nitamwagiza joka huko, naye atawauma. Nao wajapokwenda kuwa mateka mbele ya adui zao, nitauagiza upanga huko, nao utawaua; nami nitawaelekezea macho yangu niwatende mabaya, wala si mema” AMOSI 9:2-4. Shauri ni moja, nalo ni hili mrudie Mungu, TUBU! Okoka leo Yesu ayabadirishe maisha yako. Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211 au 0711271110 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva
Hakuna maisha ngumu kaa student...nilizoea kutreansnight ata sipatangu usingizi usiku...nalala nikiwa nimesimama na macho nikiwa nimefungua...tunataka 24hr economy ili mchana tuko class usiku tuko kazi
Salamia mwenzako umwambie trick sana!!! Mtoto apewangi mimba ni mimba inampata kigafla mpaka akikula chakula kidogo anashiba ...pole baba kitengela tialala niko ndaaani...kabisa mkibisha western na nyanza mombasani hapo nipo...
Very very fantastic Mr MCA . Tu m'arrache beaucoup de sourires Much Love to all of Kenyans Comédiens
Tricky you are the best, creative and natural comedian
Umechekesha Sana mpk unacheka mwenyewe....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Big up Sana MCA, you are talented inough
Mimi mtanzania ila kwa Tanzania hakuna comedian anayeweza fanya standing comedy kama wakenya big up MCA tricky
Weeee joti wetu
BJzee 19 hawezi stand up, anaweza short stories. Bongo hakuna stand comedians compared na Kenya ama Uganda
Umewahi hudhuria Cheka Tu Standup comedy hata siku moja? I guess not
Welcome Kenya tunapenda watu
@@bjzee1981 hawezi bro, japo ni mkali ila kwa stand up comedy labda avae magauni yake
i love tricky....He is my best comedian ...........actually u r the best
Haki tricky you are the best 😂😂😂🇰🇪🇶🇦.niko ndani 😂😁😍
Tricky my favorite comedian
Trick,aki u kill me whit this story of baba'voice!!
Imewezaaa....MCA you wewe ni mwisho wa mawazo🔥
Hahaha This guy is just on another level...
MCA Tricky uko juu to sana.... amazing
I love MCA tricky jokes Zakehuninyc
Best of the best comedian
superb! i love MCA's Art of element of surprise he has hit above the score
Creativity at its very best!
Tricky God help you , uko noma manze.
ngulusumu wewe kitengela kumejaa kivumbi.I love this
Am laughing so hard. Love you tricky
like za tricky zinahesabiwa hapa
sam Wabito ghai ako marks
tricky ako sawa
MBONA ULIPOJIFICHA NI MAHALI PEUPE!
Habari ya wewe ndugu yangu, nakusalimu! Namshukuru Mungu aliyenipa kibali tena siku ya leo ili niweze kukushirikisha ujumbe wa neno lake. Kila mmoja wetu popote alipo anayafahamu maisha yake vizuri jinsi anavyoenenda au kuishi, Mungu amenipa neno hili nikwambie kuwa, wewe unayefanya matendo maovu, unaloga, mshirikina hata umemuwekea mume wako/mke wako dawa asijitambue, unashinda baa au vilabu vya pombe umetelekeza familia,unakunywa pombe eti upunguze stresi,umeacha kumtegemea Mungu umeenda kwa wachawi na waganga kutafuta dawa ,unampango wa kumtoa mke/mume/motto/ndugu kafara eti ukuze biashara,umepanga kuzuia kazi ya Mungu isiendelee, unakula nyama za watu, unafanya haya yote umejificha kanisani au kwenye dini eti kwasababu hawakuoni unayofanya, eti kwasababu umewapumbaza viongozi wako wa dini hawajui lolote kuhusu uovu wako, na unajidhania kuwa umejificha hauonekani. Nataka nikwambie umejificha wasikuone wanadamu wasio kuwa na mbingu yakukupeleka, tena nikwambie unajisumbua bure, Mungu anasema “ULIPOJIFICHA NI MAHALI PEUPE”! Soma maneno ya Mungu haya “Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali. JE, MTU YEYOTE AWEZA KUJIFICHA MAHALI PA SIRI, NISIMWONE? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA” YEREMIA 23:23-24. Soma tena “Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako?” ZABURI 139:7. Hakuna namna unaweza ukajificha au ukakimbia Mungu asikuone, fanya yote hayo ukiwa unajua kwamba Mungu anakuona. Kisha soma hii “Wajapochimba waingie katika kuzimu, mkono wangu utawatoa huko; nao wajapopanda hata mbinguni, nitawateremsha toka huko. Nao wajapojificha katika kilele cha Karmeli, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika vilindi vya bahari nisiwaone, nitamwagiza joka huko, naye atawauma. Nao wajapokwenda kuwa mateka mbele ya adui zao, nitauagiza upanga huko, nao utawaua; nami nitawaelekezea macho yangu niwatende mabaya, wala si mema” AMOSI 9:2-4. Shauri ni moja, nalo ni hili mrudie Mungu, TUBU! Okoka leo Yesu ayabadirishe maisha yako.
Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211 au 0711271110 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva
Tricky mushed up the show big up boy
Belongs imetokana na wapiii😁😁😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣ghaaaii trick utakuja pigwa mawe one day🙌🙌🙌🙌 salute❤
Ati baba got a soft voice😹😹😹😹😹
MCA is a Killer when it comes to Stand up Comedy
Mm Kama mtanzania comedian nnayemkubali Kenya ni MCA only
Avai you killed it💥💥💥💥💞
Tricky unatrick watu na hatrick za comedy uko juu bro
I love tricky
You are the best man
You're the best 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tricky is on stage
Hahaha wenye walifikiria kama
Stage is on tricky
Wako wapi hahahahahhahhahahahahahahah
Team free WiFi rep +974 Nipe likes please 🇰🇪🇶🇦👍 tricky sana my best comedian😘
Honestly mc a tricky hana mpinzani kabisa ktk churchil tangu kufariki kw ayeya, now walobaki wote mbele ya tricky wanapiga salut....
I can't stop laughing walai you are creative
hahahahaha
.ati aesophagus inanuka clutch.
tricky sana
Well done
🤣😂😂😂 my best comedian
tricky sana love it
Very charming MCA tricky keep up
Ata wanafunzi wa Oxford hawajui copy ya dictionary inakuanga na pages gapi...saa iyo nikiingia form one nilikua nimeambiwa nikam nayo ndo niadmitiwe
Tricky u killed me,,ati tricky is on stage
Mzungu amekosa amani umemuandama sana
That's amazing
Kali sana
Craziest goat
MCA tricky. He's very commic
Sure sure nimekubali
Hakuna maisha ngumu kaa student...nilizoea kutreansnight ata sipatangu usingizi usiku...nalala nikiwa nimesimama na macho nikiwa nimefungua...tunataka 24hr economy ili mchana tuko class usiku tuko kazi
Salamia mwenzako umwambie trick sana!!! Mtoto apewangi mimba ni mimba inampata kigafla mpaka akikula chakula kidogo anashiba ...pole baba kitengela tialala niko ndaaani...kabisa mkibisha western na nyanza mombasani hapo nipo...
Wauuuuu M.C.A Trick enyewe ii ni tricky sana
Indeed Tricky ur talented ❤👌 more blessings. From grass to Grace .
we all love you tricky
Kali xna tricky
Hata tabia yako inaonyesha uncutness!!!!
Nice too hear
😆😆😆 no one is talking about the translation in the bottom of the screen 🙌🏿🙌🏿
They assume he's speaking in english 😂😂
Anaitwa Kul 😂😂😂 kumbe anaitwa Wepukulu
check is good coz nitakua nimejipaga
Trickg sana u made my day u r talented really
Bongo TZ wea here😅
Tricky tena sana
Wapi likes ya MCÀ Tricky?????
😂😂😂😆😆😆iyo n tricky sana walai unaweza😍
😁 😁 Huyu Jamaa na professor Hamo ni hatar
Tricky sana. kwanza hiyo ya Baba
Bravoo Mc ,so charming
Safi sana
I can't stop laughing 😆 🤣 😂 . Yenyewe ni tricky sana
Salama sana hebu mwambia wenzakk tricy sana I love you
Tricky sanaaaa
😀😀😀😀😀 mca tricky nmecheka yote
Genius
Rada safi moto
Smart brain
Mca Safi sana
you are very funny
Like kama zote
Nimeskia ikipigwa Mwanza Nyegezi apo
Mca tricky ni hatar xana gonga like hapa
I can't stop laughing
interesting keep up
MCA tricky is back kweli.
The stage has tricky on it
Hapo kwa mzungu haki ni mekufa waaaa
mca tricky sana
Hehehe German pia hawajui English bro uliza
Baba jipe handshake heeeeeeeee
Tricky ur so funny...eti uyu ni mzungu au ni vumbi.
Yes am I
Wow..tricky sana
Walai bro
"sio barber kinyozi,baba .....😂😂😂😂😂😂
Tricky is on Stage. start with stage.
Stage is on tricky😂😂🤣🤣🤣
stage has been occupied by tricky
Trick sanaaaah
Mkali wao!
tricky saana
Hilarious as always 😀
Mtoto WA Mtoto Anaitwa Donyole
Trick sana
Well done tricky😍😂👍🏾👍🏾👍🏾