Kamwe asema hakuna kesi FIFA inayoihusu Yanga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema klabu yao haidaiwi chochote kwani wachezaji wote ambao Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) lilitangaza kuwa na madai, wao washawalipa.
    Kamwe anafafanua kuhusu madai ya timu hiyo kudaiwa na baadhi ya wachezaji iliyoachana nao, atangaza tarehe ya kuanza kutoa ‘thank you’ kwa wachezaji wao, asisitiza kufanya usajili mkubwa na wa kishindo.
    #AllyKamwe #YangaSC #Usajili

КОМЕНТАРІ • 6