@@ShunasKitchen Umetutajia moto wa Oven mara moja tu kwenye 1st step, je hizo step nyingine 2 zilizofuata ambazo tunaweka kwa dk 10 kwenye oven mtot unakuwa wa kiasi gani ?? Ahsante
@@ShunasKitchen namshukur mung kwa kukuongoz we utufunze na ss mapishi nakpenda dada angu Sasa hivi tnapika vzur Waume zetu wanajramba tu mungu akubalik
Umetutajia moto wa Oven mara moja tu kwenye 1st step, je hizo step nyingine 2 zilizofuata ambazo tunaweka kwa dk 10 kwenye oven mtot unakuwa wa kiasi gani ?? Ahsante
Mashallah my hab8ty mashallah
I have to try this looks amazing mashallah
Mashallah mashallah😋😋😋😋👌🏻kuku amenoga mzuri kwa naan
Hata Mimi nimewaza nipike kwa hyo mikate
Thank you beautiful 😍💓
Waoo dada asante kwa kutuongezea ujuzi zaidi wa mapishi pia huwa napenda sana unavyotamka neno steps 😎
@@ShunasKitchen Umetutajia moto wa Oven mara moja tu kwenye 1st step, je hizo step nyingine 2 zilizofuata ambazo tunaweka kwa dk 10 kwenye oven mtot unakuwa wa kiasi gani ?? Ahsante
Habar Rukia.
Sorry naomba kuchujua kama una account either ya facebook au Instagram kwa hii channel yako ya Mapishi.. Asante.
Ma Shaa Allah.. So nice l will try.. Shukran
Maa sha ALLAH, kuku yuko sw
Masha allah allah akubariki inavutia na inapendeza na in sha allah nitajaribu nimeipenda sana
Ameen asante sana
Mashaa Allha
Very healthy..yafaa diet hii😋😋👌👌
Thank you beautiful 😍
Jazakallah I made this dish tiday = my family were very happy
Mashaa Allah shukran sana 🙏 jana nimepika wageni wangu wamependa sana🥰🥰
Mashallah mambo yanayohusu thank uuuu😘😚😙
You are The greatest cook ever!!!
Maa shaa Allah... Yummy 😋😋.. Ahsantee💗💗
Looks yummy MashaAllah
Mashaallah sis.looking delicious
Mashallah nimependa habibty
MashaaAllah 😋😋yaani na asubuhi hii mpenzi 😂
Mate yamenijaaa
Asubuh mapema upate muda wa kuandaa 😚🙌💓
@@ShunasKitchen Haswaa hapo umesema habibty InshaAllah nitajaribu maana nihealthy kabisa hii😋
Please let me know how it goes 😉😚💓
@@ShunasKitchen okey habibty huko IG InshaAllah na vile leo basday ya hubby mbona tunamla kama hatumjui🤣🤣🤣🤣🤣
Mashalllah
Asante sana kwa kuangalia :)
Ma shaa Allah 😍 Amazing as usual 😋😋
Thanks sweetie 😘
Mashallah
mashaAllah
Amazing recipe am inspired Asante Sana your cooking is admirable ❤️
Maa shaa allah
Very nicely done. How much degrees when you return back to the oven for 10 minutes? Kindly
Wow! This looks so delicious. Ahsante sana 👍👍
mashaallah kujuanVutia3 sana
Mashaa Allah.
Wow. This is my next dish..my husband must marry me again once he eats this 😂😂😂😂
😂😂😂😂
Kesho najaribu nitakutumia mrejrsho kwa instagram😁😊😊mtakaotaka kuona majaribio yangu from shuna angalia instastory yangu kesho @babysky_bae nawapenda sana🥰🌹🌹
Please do invite me to your wedding 😄😃🥰💓
@@ShunasKitchen namshukur mung kwa kukuongoz we utufunze na ss mapishi nakpenda dada angu Sasa hivi tnapika vzur Waume zetu wanajramba tu mungu akubalik
😜😜😜😜😜😜
Mashallah ❤❤❤👌
All the way from America… Shunu I never cook anything without you😂! Love you mama… my favourite you tube cooking Chanel😍
MashaAllah
Yummy
nilihama kutoka kenya nikiwa mtoto kwa hivyo nimeanza kusahau kiswahili lakini sasa ninatumia video zako kujifunza kiswahili na kupika :) asante sana
Am here my sister...shokran for the recipe mpenzi wangu 😘😘🥰🥰
You are welcome darling 😘
Mashaallah ❤️
🥰🥰🥰🥰🥰
Waooooooo,sikwa utamu huwo jamani
😋😋😋
Mashallah dear,Allah akulipe kila lakheri
Ameen kwa sote. Shukran sana kwa kuangalia :)
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💯
😋😋😋😋😋😋😋
MashaAllah 😘 😘
Shukran Shuna love u🥰
😋
You never disappoint!
Thank you so much for watching 💓
Delicious food. Nakama hauna oven whats the other option
Naweza kufanya video pia kuwaonesha, kiufupi ni kutumia tu stove.
2021 imeanza vizuri 😍 ni kula kujigalagaza😋😋😋
Kaabisa 😃
Tanduri masala ni ipi kwa jina lengine
Mansh'Allah nice habibty shukran sana kwa recipe nzuri sana😍, na mimi nikinunua chombo kipya sikiachi Natumia tu😂😂
Chombo kipya kinatia hamu ya kupika 😆 💓💓
Shukran habbty 😍😍😍😋😋😋
My Madam👌👌👌MashaAllah
My sweetie pie ❣ Thanks for watching 💕
Masha allah 😘😘😘😘
Waaw masha allah keep going my sister always nice to see how to cooking chakula tamu sana nataka group cooking yako uniengeze na mimi please sister
Thank you my dear
Ivo vyombo unaosha mwenyewe au unaoshewa
Hehe ningetamani nikawa na mtu ananioshea vyombo tu.
Asante dear
Umetutajia moto wa Oven mara moja tu kwenye 1st step, je hizo step nyingine 2 zilizofuata ambazo tunaweka kwa dk 10 kwenye oven mtot unakuwa wa kiasi gani ?? Ahsante
Moto sawa mara zote 2 au 3.
@@ShunasKitchen Ahsante
woooooo mateeee mpk ymetoka
Kinavutia😋
Asalama alkyumu nahitaji kitabu chako nipo Zanzibar
Hi dear, please wasiliana na mmoja wa wakala wa znz +255 779 796 060 au +255773776839. Asante.
Asante
Mnshl tnx
You are welcome 😊
jama I hii yo mikate naisubiri kwa hamu utuwekee 😂😂
Soon tukijaaliwa 🥰💓
This is amazingly delicious👌😋
Mash Allah...