JAMBAZI SUGU AJISALIMISHA KWA YESU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 92

  • @jamesrichard2026
    @jamesrichard2026 5 років тому

    baba.mungu akubariki na akuzidishie nguvu naamini i nawezekana ameniiii

  • @victoriakaovera6010
    @victoriakaovera6010 5 років тому +1

    Kwa jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu hat akatoa mwanae wa pekee ili kila amwaminie asipotee Bali awe na uzima wa milele amin nawapenda can na ninamwamin mung yupo

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 років тому

    Asante Yesu kwakutu finya umeesha tusamehe na sisi tupe moyo wakuachili Yesu

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 років тому

    Asante Yesu kwa kutusamehe Saba mara sabini

  • @jumanaomi6812
    @jumanaomi6812 6 років тому

    Dili liko kwa Yesu,Ameniiiiiiiiii

  • @abdultandala5246
    @abdultandala5246 6 років тому

    umwamini mungu usije kumwacha umwacha uhalibikiwa daima bro

  • @elizakahonga5426
    @elizakahonga5426 6 років тому

    Yesu akisamehe hakumbuki tenae

  • @evanguvila1860
    @evanguvila1860 6 років тому

    Mungu akisamehe huwa hakumbuki tena na wala huwa hahesabu uwingi wa makosa yetu

  • @abdullahmashaka8813
    @abdullahmashaka8813 5 років тому

    mungu anaweza yote matayo 11:29

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 6 років тому +4

    Hili sio igizo na kama kuna mtu anadhani ni igizo basi asome Yahana 14:6 Mimi ndimi njia,na kweli na uzima mtu hawezi kuja kwa Baba ila kwa njia ya Mimi.Huyu jambazi kavutwa na damu ya Yesu Kristo maana yeye ndiye njia na kweli

    • @djnangaxtwo2975
      @djnangaxtwo2975 6 років тому

      😀😀😀😀.
      Myonge mnyongeni haki yake mpeni

  • @apostlenoelcheyo3451
    @apostlenoelcheyo3451 7 років тому +2

    no can standy power of god

  • @patriciahneema3152
    @patriciahneema3152 5 років тому

    Naomba pia mm niombewe niko Kenya plz Niko kwa wakati mugumu sana sijui nitasaidikije

  • @fbraitonvevo3004
    @fbraitonvevo3004 7 років тому +2

    Mungu akusamehe

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 5 років тому

    God is kind

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 3 роки тому

    "FREEDOM IS COMING TOMORROW" LISSU IS THE PERFECT PRESIDENT. WATANZANIA WENYE KUJITAMBUA SOMESHENI WATOTO WAZIJUE SHERIA WASINYANYASIKE
    ua-cam.com/video/L3G4r3cAA1I/v-deo.html ( ua-cam.com/video/S7Repp_X0E4/v-deo.html) (ua-cam.com/video/0WKA27O_lMQ/v-deo.html) (ua-cam.com/video/vcDgMa83fko/v-deo.html)

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому +1

    MH

  • @yustinarevocatusi933
    @yustinarevocatusi933 5 років тому +1

    Kumbe wew ndye ulikuwa unatutesa ukerewe??

  • @jamalsalim6082
    @jamalsalim6082 6 років тому

    Siooooooooo duhhhhhhhhhhh

  • @johnyassin1208
    @johnyassin1208 7 років тому +3

    duuuuuuuuuu Mungu ni mwema

  • @jumanaomi6812
    @jumanaomi6812 6 років тому

    Wanawake tunakazi jaman Mimi nilikuwaga nimeolewa na jambaz baada ya kugundua nikaachana nae

  • @elizakahonga5426
    @elizakahonga5426 6 років тому

    Yesu akisamehe hakumbuki tena

  • @kingsmile5698
    @kingsmile5698 6 років тому +1

    Hawezi kuacha huyo boya

    • @jennifajohn797
      @jennifajohn797 6 років тому

      duuu mungu was ajabu eeee

    • @isackbaton9759
      @isackbaton9759 6 років тому

      Anaweza acha kabisa na Mimi nilikuwa mvutq bange na sasa nimeokoka na nimeacha

  • @fbraitonvevo3004
    @fbraitonvevo3004 7 років тому +2

    Mungu ni mkubwa siku zote

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 6 років тому

    Serikali ikimtaka MTU wake inamkamata popote tena kiuraini sana manake chochote kiko chini ya serikali.

    • @shedrackjovin5861
      @shedrackjovin5861 6 років тому

      kanisani ndo hekalu la mungu selikari hawawezk2 maana nao ni wanadam

    • @isackbaton9759
      @isackbaton9759 6 років тому

      N kwel lakin mungu n zaid ya serikali

    • @monicachoga5878
      @monicachoga5878 5 років тому

      Mchungaji cjui kanukuu kifungu gani?kasahau kwamba kesi ya mauaji haina limitation of time,'akamatwe'

  • @katerinadada6481
    @katerinadada6481 6 років тому +1

    Rahma Shaban kwani umeambiwa ubadili dini YESU nikiboko wa yote

  • @georgianheke5915
    @georgianheke5915 7 років тому

    Gud job

  • @adolfmathew2064
    @adolfmathew2064 6 років тому

    Utapotea

  • @mandadavid6691
    @mandadavid6691 6 років тому

    bongo movie

  • @abdallahyahyasaid9708
    @abdallahyahyasaid9708 6 років тому

    Jambazi au kibaka? maana jambazi hajiamini. Acheni kutuuzia picha za bongo movie

    • @isackbaton9759
      @isackbaton9759 6 років тому

      Hapana bwana hiyo si bongo movie n mambo ya yesu kristo aliye hai

  • @njugunamichael4017
    @njugunamichael4017 6 років тому

    yesu si mwisho?

  • @romanusores6909
    @romanusores6909 6 років тому

    We utafungua

  • @tunumohamedy7332
    @tunumohamedy7332 6 років тому

    Maskin wee wenyewe wametulia tulii wanavyo danganywa looo!msiba huu!najivunia kuwa mwenye dini ya haki!!

    • @asnatkulahishi1240
      @asnatkulahishi1240 6 років тому

      Kinacho waleta uku ni nini? Siuwende huko kwa waislam wenzio?

    • @asnatkulahishi1240
      @asnatkulahishi1240 6 років тому

      Tunu nenda kwa waislam wenzio uku unafata nini?

    • @anselmoonolius8362
      @anselmoonolius8362 5 років тому

      Aya endelea kwakua huko Mungu wenu wa Makkah hauwez kufanya hayo ndo maana hamna ya kusema mtaishia kusema n uongo

    • @christophernundu9018
      @christophernundu9018 3 роки тому

      Dini haikupeleki mbinguni ila kwa njia ya Yesu kristo tuu... Kwa taarifa yako hata Huyo mtume mohamad haingii mbinguni bila ruhusa ya Yesu....!!!

  • @emmanuelmwita5755
    @emmanuelmwita5755 7 років тому +1

    GOD IS GOOD!

  • @audaxbizimana9391
    @audaxbizimana9391 6 років тому +1

    Dogo ahojiwe maana ana vitu vingi vya kuisaidia nchi ktk suala zima la usalama hata kama ameokoka

  • @manenorajabu6266
    @manenorajabu6266 6 років тому

    pumbavu

  • @jamessospeter6057
    @jamessospeter6057 7 років тому +1

    lungu sii hili si igizo Mungu hutenda zaidi ya akili za mwanadamu unaweza kuhisi ni igizo la hasha

  • @silassimon898
    @silassimon898 7 років тому +1

    Glory to God

  • @dominicmule4571
    @dominicmule4571 6 років тому

    NI SAWA ILA MASWALI YAPO

  • @fbraitonvevo3004
    @fbraitonvevo3004 7 років тому

    Akona jambo litamshinda mungu.

  • @jnyarubamba88
    @jnyarubamba88 6 років тому

    Duuu jamaa muongo kwel

    • @bakarimwasenga3104
      @bakarimwasenga3104 6 років тому

      Josh music unajuaje ni muongo? Ah ulikuwa unashirikiana nae

    • @timothymahala8519
      @timothymahala8519 6 років тому

      IYO BALA AHOJIWE NA AJIBU TUHUMA ZA WATU ALIO WAUA

  • @hellenamwissa7424
    @hellenamwissa7424 7 років тому +2

    we mhubiri ongea ukijua ni nini unachosema kanisa ni kanisa usivute watu kufanya uharifu wakijua nitakimbilia kanisa furani mtaswekwa ndani wote kanisa lako likose heshma.

  • @lungusii
    @lungusii 7 років тому

    Yeyote ambae anaelewa kichwa Cha Habari Cha Igizo hili aniambie

    • @isackbaton9759
      @isackbaton9759 5 років тому

      Kinaitwa mambo makuu ya mungu wa wote wa mwaminio

  • @williamibrahimu9225
    @williamibrahimu9225 7 років тому

    Kama mimi ndugu yangu ameuwawa na jambazi huyo lazima nimuue kwanza anavyo toa ushuhuda wala hajutii makosa yake yaani acheka tu inasikitika sana

    • @timothymahala8519
      @timothymahala8519 6 років тому

      kwa aue damu iyo na hatia

    • @romanusores6909
      @romanusores6909 6 років тому

      We muongo

    • @rhinaregina5806
      @rhinaregina5806 6 років тому

      William Ibrahimu acha Yesu alipe kisasi sio wewe amesha tubu nae amesamehee na wewe msamehe adui wako

  • @chazjerome9999
    @chazjerome9999 7 років тому

    Mmmmmh hahahahahah yaani kwa sababu na utaalam wa mambo ya kiusalama hiyo kitu haipo kama aliuwa au alimwagia Soldier tindikali na hapo yupo live itashindikana vipi kukamatwa?acheni hayo mambo siyo vizuri japo sipingi ushuhuda na nipo pamoja nanyi FOR THE NAME OF JESUS

    • @emanuelbarua3774
      @emanuelbarua3774 7 років тому

      mm niseme udongo hamponyi MTU isipokuwa kwa jina lake yesu hizo imn izo dah

    • @emanuelbarua3774
      @emanuelbarua3774 7 років тому

      mm niseme udongo hamponyi MTU isipokuwa kwa jina lake yesu hizo imn izo dah

  • @zamaradihussein661
    @zamaradihussein661 7 років тому

    kwa hiyo watu wakifanya uhalifu wakimbilie kanisani? inamaana hamjui kuwa kinaweza kikawa kichaka?wakiua, wakipora eti wakimbilie kanisani, hao watajificha baada ya muda wataibuka tu