Hawa wanasiasa wa namna hii wanafaa waadhibiwe kwa huu uharibifu mkubwa wa mazingira. Wanaharibu mazingira kisha wanawatumia wanasiasa kuwatetea,mwisho wa siku tutapoteza misitu yetu kwa uzembe wetu na kuingiza siasa kwenye mambo ya maana.
Ukiwa hunachembechembe za ukulima ndio maana unasema hivo acha atetee wananchiwake na katoa mawazo safi ni kutengeneza mabwawa...acha atoe mawazo yake maana ndio anayoishi apo
Ujenzi wa Mabwawa nchini Tanzania, sio kunyanyasa watu, watu wengi wanaoingia kwenye maeneo hayo ni wananchi wa hari ya chini. Wanao tetea hoja ya kuhamisha wananchi ni wale ambao hawajui aina ya watu wanaoishi humo na nguvu waliyotumia kufika hapo walipo.
HUYU anayeshauri kuwepo kwa mabwawa kwaajili ya umwagiliaji. ..huo ndio muarobaini kwa Nchi nzima. ...migogoro ya maji itaendelea kuwepo na kuwa mikubwa zaidi huko mbeleni. ..utatuzi wa migogoro ya maji nikuwa na mabwawa ambapo hakuna Kilimo au matumizi ya maji yoyote yale lazima yatokana na MABWAWA.
sisi ni Masikini kwa sababu ni wajinga sasa kama waziri ni mjinga hivyo nini?matokeo yake kama Ana zo Akili ange zua maji yasi ende Baharini na sio anavyo fanya Yeye
Hapo hakuna mjadala....lazima tutunze mito na mazingira. Maji/mito ikikauka hatuna uhai. Stop all activities over there. Tutunze vyanzo vya maji. Hao wahame tu.
Mimi nasikitika sana serikali kutafuta mchawi wa mazingira wakati harmashauri zetu zinategemea mkaa unaotokana na uharibifu wa mazingira Mimi Nina tuzo ya Rais ya mazingira mkoa wa mbeya nilikuwa nahamasisha watu kutunza mazingira vijijini na vyuoni lakini ikatokea hatuitwi kwenye vikao na hata saizi hatueleki wakati tulipewa seminar za kutosha kutoa elimu
Hawa ndio watu wanaoishi Kwa karamu hawazijui shida za watu mungu yupo pamoja na Wana mbarali
Duh sema wanasiasa mnarahisisha sana!
Safi sana bro umeongea vizuli sana
akiri finyu uyu mama amnakitu daaa watanzania mumekosa viongozi
Huyu mwenyekiti anafaa kuwa mkuu wa mkoa anaakili sana na anajiamini
Hawa wanasiasa wa namna hii wanafaa waadhibiwe kwa huu uharibifu mkubwa wa mazingira.
Wanaharibu mazingira kisha wanawatumia wanasiasa kuwatetea,mwisho wa siku tutapoteza misitu yetu kwa uzembe wetu na kuingiza siasa kwenye mambo ya maana.
Ukiwa hunachembechembe za ukulima ndio maana unasema hivo acha atetee wananchiwake na katoa mawazo safi ni kutengeneza mabwawa...acha atoe mawazo yake maana ndio anayoishi apo
Ujenzi wa Mabwawa nchini Tanzania, sio kunyanyasa watu, watu wengi wanaoingia kwenye maeneo hayo ni wananchi wa hari ya chini.
Wanao tetea hoja ya kuhamisha wananchi ni wale ambao hawajui aina ya watu wanaoishi humo na nguvu waliyotumia kufika hapo walipo.
Huyu Mabula ataiharibia Serikali .CCM iwe makini sana .
uyu mama amujamuwerewa kwamba ana fosi kwamba anataka kupiga feza kwenye uwamashishaji kwamba anataka kujichotea feza
Huyo naye anavaa gwanda la CCM Kama ngao tu
acheni ujinga wanasiasa iyo wilaya ndiyo wilaya inayo ongoza kwa kilimo cha mpunga tanzania
Sio kweli, kilombero ndo namba 1
Mtu haishi kwa mpunga tuu bali kwa maji na kwa nyama
HUYU anayeshauri kuwepo kwa mabwawa kwaajili ya umwagiliaji. ..huo ndio muarobaini kwa Nchi nzima. ...migogoro ya maji itaendelea kuwepo na kuwa mikubwa zaidi huko mbeleni. ..utatuzi wa migogoro ya maji nikuwa na mabwawa ambapo hakuna Kilimo au matumizi ya maji yoyote yale lazima yatokana na MABWAWA.
Not fair
Kivipi?
😭mh!!!
Mazingira lazima yatunze Ila haki ifwatwe.
Ila bas ngoja nisiongee
Ivi kweli Tanzania Kuna aki za kibinadamu kweli au ndo wanyama kwanza
Majuto ni mjukuu
Jina rangu iro
Haya kimeumana sasa CCM haiko kwajili ya Wananchi
Ubaruku sio chanzo Cha maji ila yanapita duniani kote mto lazma unufaishe wananchi kwa kilimo ajabu cc tunajikataa wenyewe
kuna vizaz vyetu tunaviacha dunian...so tunao wajbu kuwalinda
Wataisoma namba Tanzania hiyo maajabu yote yapo hapo 🤣🤣
Magufuli utakumbukwa milele
Hao mawaziri hawaelewi historia yoyote wamekuja kwa kutumwa tu
sisi ni Masikini kwa sababu ni wajinga sasa kama waziri ni mjinga hivyo nini?matokeo yake kama Ana zo Akili ange
zua maji yasi ende Baharini na sio anavyo fanya Yeye
Hapo hakuna mjadala....lazima tutunze mito na mazingira. Maji/mito ikikauka hatuna uhai. Stop all activities over there. Tutunze vyanzo vya maji. Hao wahame tu.
Huko hakuna vyanzo vya maji, huko maji yanapita tu
Chek nalo hili ka punga
Mbwa wewe hela nilizokodia shamba utalipa wewe😏
Mbwembwetu ccm mlishashindwa hi nchi
Wakuu wegi awajui istolia hapo
hivi wewe ndio unaijua hiyo historia kweli kama hata kuandika huwezi acha kuwadharau hao wakuu.
Istolia😀😀
JPM ndio rais wetu sio nyinyi Wazungu weusi mbwa nyinyi
Mimi nasikitika sana serikali kutafuta mchawi wa mazingira wakati harmashauri zetu zinategemea mkaa unaotokana na uharibifu wa mazingira Mimi Nina tuzo ya Rais ya mazingira mkoa wa mbeya nilikuwa nahamasisha watu kutunza mazingira vijijini na vyuoni lakini ikatokea hatuitwi kwenye vikao na hata saizi hatueleki wakati tulipewa seminar za kutosha kutoa elimu
Mungu anakuona mama