The Illest piece advise I got from this Peruvian Brother, " Bro write down your story, if you don't write down your story someone will write it down for you, and you won't be the person in that story". Prof Kabudi need to do us this service.
Hongera sanaa Professor Kabudi, wewe ni nguli wa historia ya nchi hii ya Tanzania na Africa kwa ujumla, Natama uanzishe (usajili) online Tv kwa ajili ya kuelimisha na kutujuza historia halisi ya nchi zetu za Africa ili tupate ufahamu halisi wa historia yetu pasipo chembe za upotoshaji unaofanywa na nchi za magharibi kwa kutuandikia historia yetu kwa mitazamo yao.
Mh,Kabudi ni hazina kubwa ya Taifa ,naomba spewe fulsa ya kufanya mihadhara katika mashule na vyuo ili vijana wetu wajue historia ya nchi hii ambayo itafanya viongozi wetu wa leo na kesho kuwa na uchungu na nchi hii. Mungu mbariki Mh.Kabudi naomba siku moja nikutane naye
Kiukwel Mheshimiwa aminiongezea maarifa mengi sana juu ya historia yetu ya tanzania lakini elimu kama mwanafunzi wa masomo ya historia (A-level). Kipekee namshukuru mno na kulitakia taifa letu la Tanzania miaka 100 mema ya Mwl.Julius.K.Nyerere🙏🙏
Dini inahusika vipi hapa mzee au ndio ufinyu wako wa fikra??Mtu anaongea mambo ta Taifa badala useme mtanzania mwenzako unataja dini hapa, acha kubomoa. STOP
Huyo anayeongelea dini naomba mumsamehe na hata Mwalimu alishawasema"ukiona watu wanaongelea udini,ukabila na rangi juwa wamefilisika kifikra"na hapo ndio mwisho wao wa kufikiria msameheni.
Learned professor,may God reward you for your good leadership, Kenya politicians are you watching and learning from this great historian and great leader,bravo professor
We have great talents in Africa. The challenge we have wrong politicians in the position who have no idea at all. And those have good idea have no power at all!! ☹️☹️☹️
Tanzania hatuko vizuri sana katika kutunza historia ya nchi yetu.. 1.Haijulikani Tanganyika ikitoka wapi 2. Nani alitengeneza neno Tanzania 3. Wimbo wa Taifa alitunga nani pamoja na zile nyimbo nyingine za taifa 4. Nani alitengeneza rangi za bendera na nembo ya taifa 5. Mwenge wa Uhuru uliasisiwa na nani na Kwanini? Historia ya mwenge ni ipi? 6. Mwalimu alitaka kupinduliwa kama marra tatu...ilikuwaje na sababu zilikuuwa zipi. Kwanini historia hii ifie vichwani mwa akina Kabudi? Tunapoadhimisha siku kama hizi, historia zingekuwazinasimuliwa. Ni urithi wa nchi sio Siri za watawala
Watanzanzania tunajivunia viongozi wetu wenye upendo wa dhati kwa Nchi yetu. TUTHAMINIANE NA MZIDI KUTUKUMBUSHA YALE TUPASWAYO KUYASHIKA KWA UZALENDO. UMOJA NI NGUVU. They tried to hopeless Us...
OMBI MTANZANIA. NAOMBA KAMA KUNA VICHWA HADIMU VYA NGHI VIAMBUKIZWE TABIA YA KUHIFADHI YALIOASISIWA KWA FAIDA YETU NA VIZAZI ViJAVYO. Ramadhani Kareem. Mungu atuongoze njia njema Amina!
Nimmoja WA wasomi ninaowakubali sana mana anaijua anaiheshimu nakujivunia Utanzania wake lazima niwe mkweli Nawachukia wasomi wetu Ila ninayo sababu mana ndio waliotufikisha hapa tulipo wengi wao nivibaraka pili hawajivunii Utanzania wao Ila huyu ni profesa kweli
Huyu ndiye professor wa kutuwekea historia yetu na unaelewa. Akiingia yule traitor mwenye kujipiga kifuwa akitupatia historia za kijinga za kusema wazungu wametusaidia zaidi ya miaka 70. Watu kama hawo wasipewe nafasi ya uongozi, wastupitisha misituni. Watanzania wenye kupenda haki kwa wote tusikubali kubululwa.
yote haya makubwa hivi hatuyajui,tunajua fisadi ni nani tu,hakika kabudi anafaa kuwa Rais,wa nchi hii ingeenda mbali sana.Ogopa sana chaguo la magufuli yote ni majembe,good job prof.
KATIKA VIZAZI VYETU HIVI NYERERE AMEFANYA MAMBO MAKUBWA TANGU KABLA YA UHURU WA TANGANYIKA NA BAADAE TANZANIA. ASANTE Mh. Prof. Kabudi. Wewe ni hazina yetu.
Sisi WaTanzania wengi hatupendi kusoma na kufuatilia habari kwa kina ambapo inapelekea kutokuwa na taarifa anuai na nyingi. Matokeo yake wengi wanaongea ujinga na upumbafu mwingi. Wengine wanaongea na kupotosha ukweli ili wafanikishe mipango yao ya kihuni. Tutafute maarifa sahihi na kujihabarisha ili tuifanyie makubwa Nchi yetu
Hapo kwenye uchumi umemgusa Samia na akina Kikwete na wenzake. Maana kila kitu kihusu uchumi wa viwanda ameviua kabisa. Magufuli alikuwa na malengo makubwa sana kama ya Nyerere.
Wewe Pro. Kabudi ni hazina inabidi kama taifa tukulinde kwa gharama yoyote ile. Kama watu wakifa wanaona kinacho endelea humu duniani Mwalimu Nyerere anafurahia huko aliko.
Makufuri ( Rais)na Kikwete waliogo kwa kujihami kuwa anayemzidi umri hawezi kumuachia Urais hata darasani inaonyesha walikuwa na matatizo.Busara haipatikani Kwa wenye umri chini ya miaka sitani vinginevyo ni kwa nadra sana., Tunahitaji rais anayejitambua tuachane na akina Samia
Unatoa viongozi wenye akili kama hawa unaweka wauza madawa yakulevya...... Pamoja na Slaa kuongea lakini bado hujachanuka akili...... Ila katiba Mungu anakuona...... Rais akipatwa na shida makamu ndio anashika kiti..... Katiba
Huyu mzee akili nyingi Sana. A true definition of a Professor
Siku zote Kabudi siwezi kusikiliza hotuba yako chini ya mara tano 🇹🇿🤝👍
Prof Palamagamba Kabudi ni hazina kubwa kwa nchi yetu. Mtu na nusu kabisa.
Respect🙌🏽 I just wish I could be his student in class. Daah
Noooope, I disagree - may be he's just a good historian
Kwa kweli Prof Kabudi ni Profesa
Prof. Kabudi he's a good story teller but not a good leader. That's what I know.
Three great leaders produced by tanzania,late Nyerere,late maghufuli, and prof.kabudi,my three heroes
The Illest piece advise I got from this Peruvian Brother, " Bro write down your story, if you don't write down your story someone will write it down for you, and you won't be the person in that story". Prof Kabudi need to do us this service.
Asante sana mzee wetu kabudi. Ila mungu alitupa NYERERE +JPM.
A fountain of knowledge,you are Prof.
He is the pride of history teller of himself for others!
hakika kwenye historia. upo vyema sana. m alendo sana wwnaomba saana. MUNGU akupe maisha marefu saana
Wow! "Tanganyika ni jina la kimanyema...halina uhisiano na Tanga na Nyika kama ambavyo wengi wameaminishwa..." Huhuuuu safi
Thank you for the excellent speech Prof. Kabudi. 👏😇😊🏃♂🦒🦒🦒
Mama Karume amefurahi sana. Prof KABUDI upo vizuri sana na wewe ni azina ya Taifa kabis hata Uraisi unakufaa sana
Yaani wanao ijua nchi hii vzr hawapewi urais, na ndo wangetufaa kucontrol mfumko wa Bei na sio kutwambia Vita ya ukraine
Binafsi nakukubali Sana Professor Kabudi hope one day utaongoza hii nchi unadeserve hilo
Hahahaha kwa mtazamo wako ila akiongoza familia yenu inatosha
Mzee nakukubari sana Nakuombea siku moja uwe Raisi wangu. Nakuombea sana
Hongera sanaa Professor Kabudi, wewe ni nguli wa historia ya nchi hii ya Tanzania na Africa kwa ujumla, Natama uanzishe (usajili) online Tv kwa ajili ya kuelimisha na kutujuza historia halisi ya nchi zetu za Africa ili tupate ufahamu halisi wa historia yetu pasipo chembe za upotoshaji unaofanywa na nchi za magharibi kwa kutuandikia historia yetu kwa mitazamo yao.
Alipaswa aandike hii habari kwa kitabu ntanunua haraka sana
Mh,Kabudi ni hazina kubwa ya Taifa ,naomba spewe fulsa ya kufanya mihadhara katika mashule na vyuo ili vijana wetu wajue historia ya nchi hii ambayo itafanya viongozi wetu wa leo na kesho kuwa na uchungu na nchi hii. Mungu mbariki Mh.Kabudi naomba siku moja nikutane naye
Professor kabudi asante sana. Kwa elimu yako,wewe ni kiboko yao
World Class Presentation. This is the true definition of a Professor. A statesman! Hongera sana sana.
Kiukwel Mheshimiwa aminiongezea maarifa mengi sana juu ya historia yetu ya tanzania lakini elimu kama mwanafunzi wa masomo ya historia (A-level). Kipekee namshukuru mno na kulitakia taifa letu la Tanzania miaka 100 mema ya Mwl.Julius.K.Nyerere🙏🙏
Very informative.Mrajisi wangu na Mua Anglikana mwenzangu.I like how you deliver
Dini inahusika vipi hapa mzee au ndio ufinyu wako wa fikra??Mtu anaongea mambo ta Taifa badala useme mtanzania mwenzako unataja dini hapa, acha kubomoa. STOP
Huyo anayeongelea dini naomba mumsamehe na hata Mwalimu alishawasema"ukiona watu wanaongelea udini,ukabila na rangi juwa wamefilisika kifikra"na hapo ndio mwisho wao wa kufikiria msameheni.
Nakpenda Sana PR kabudi Nimtu mahiri Sana nchini na unasitahiri kutuongoza
Tanzania be proud of your leadership.
You are the luckiest of of all E African countries.
God bless you.
This man is real talented. Bila shaka naona hekima kubwa sana ndani yako.
Learned professor,may God reward you for your good leadership, Kenya politicians are you watching and learning from this great historian and great leader,bravo professor
Historia nzuri sana
Presidential material. He was once thought Maguful's Successor! He is true Patriot. Makanjanja haya mpendi kabisa.
The next magufuli , don't loose track u the hope of future Tanzania !!!
Palamanga ni kiboko sana aisee... Yamkini hata siku moja tungemfanya kua Rais wa nchi.
Nakuombea siku moja uke kuongoza nchi yetu ya tanzania
Naunga mkono hoja yako
Gosh.! Hazina hiyo.Unaweza usimpende lkn kutambua ujuzi wake ni muhim.
Mmh! Nimegundua ni jinsi gani nafahamu mambo machache mno duniani,hatarii,kuna haja ya kujifunza zaidi.
Iam kenyan,but I admire this great leader for his insight,ipray one day he will become the president of Tanzania
Am witnessing one of the few African professors who demonstrate in 3D what they profess. The other one I know is Prof. PLO Lumumba of Kenya.
We have great talents in Africa. The challenge we have wrong politicians in the position who have no idea at all. And those have good idea have no power at all!!
☹️☹️☹️
Julius Malema South African
Tanzania hatuko vizuri sana katika kutunza historia ya nchi yetu..
1.Haijulikani Tanganyika ikitoka wapi
2. Nani alitengeneza neno Tanzania
3. Wimbo wa Taifa alitunga nani pamoja na zile nyimbo nyingine za taifa
4. Nani alitengeneza rangi za bendera na nembo ya taifa
5. Mwenge wa Uhuru uliasisiwa na nani na Kwanini? Historia ya mwenge ni ipi?
6. Mwalimu alitaka kupinduliwa kama marra tatu...ilikuwaje na sababu zilikuuwa zipi.
Kwanini historia hii ifie vichwani mwa akina Kabudi? Tunapoadhimisha siku kama hizi, historia zingekuwazinasimuliwa. Ni urithi wa nchi sio Siri za watawala
Sawasawa
Kweli ila wimbo wa taifa tulichukua wa Afrika kusini kulingana na maelewano mazuri yaliyokuwepo
Mambo hayo chadema hawyajui wao wanajua historia ya ulaya na marekani
Tatizo viongozi tuliokua nao kwa sasa ni wamichongo
Because you guys are lazy- indolent to read and indolent to write anything. May be gossiping, backbiting, backbiting and tweaking 😷
Professor Paramagamba KABUDI n mzalendo wa kweli hapa TANZANIA
Mungu akujalie unafaa kuwa rais unaijua tanzania vizuli
Very Informative and Knowledgeable speech! Mzee wetu Mheshiwa Prof.Kabudi you Saluting you with your Usomi,Busara na Hekima! Stay Blessed!
When young, Mwalimu Nyerere was my favorite and political hero
Kiongoz mahili kabisa,,God bless you mheshimiwa Kabudi
Yani Prof.Kabud nakukubali sana,..unafaa kuwa rais wa Tz,..
Good speech let now together build our nation.
Ahsante mwalimu wangu❤
Uko vizuri, ila utakuwa vizuri zaidi endapo utaandika kitabu cha historia ili vizazi viijue kweli
Uko vizuri sana mzee Kabudi
Huyu ndiye my full package Professor
Watanzanzania tunajivunia viongozi wetu wenye upendo wa dhati kwa Nchi yetu. TUTHAMINIANE NA MZIDI KUTUKUMBUSHA YALE TUPASWAYO KUYASHIKA KWA UZALENDO. UMOJA NI NGUVU. They tried to hopeless Us...
OMBI MTANZANIA. NAOMBA KAMA KUNA VICHWA HADIMU VYA NGHI VIAMBUKIZWE TABIA YA KUHIFADHI YALIOASISIWA KWA FAIDA YETU NA VIZAZI ViJAVYO. Ramadhani Kareem. Mungu atuongoze njia njema Amina!
Very healthy insight of Mwalimu JK Nyerere. I have learnt things I never knew about Mwalimu.
Wow a walking history book
Hatuhitaji ushahidi wa mwengine zahidi ya ushahidi wake huyu mahiri. Taib❤
Kabudi I admire you my mentor.
Tunashukuru Sana kwa historia nzr prof
Siku Moja uwe Rai's Wa Tanzania , una busara Sana professor Kabudi
Urais sio kuongea urais unataka creativity
Ningeshauri watawala wetu wa sasa wangesikiliza hotuba kama hizi kuangalia mwelekeo wao kwa wananchi na maendeleo.
Kweli Magu hakuwahi kosea ktk uteuzi wako Prof.
Mungu mpe urais kabudi
Nimmoja WA wasomi ninaowakubali sana mana anaijua anaiheshimu nakujivunia Utanzania wake lazima niwe mkweli Nawachukia wasomi wetu Ila ninayo sababu mana ndio waliotufikisha hapa tulipo wengi wao nivibaraka pili hawajivunii Utanzania wao Ila huyu ni profesa kweli
Professor wewe ni TUNU Kwa TAIFA letu la Tanzania
Professiona ni tunu ya Taifa lakini walioshikilia rungu sijui kama wanajua na Kama wanajua basi hawamtumii vizur
@@bahatidamiani561 they know it very well, but one other thing they know for sure is that he'll never fit to their agendas
Kweli ni Magufuli ajae
Am,,
Respect fedher 🇹🇿🇹🇿✍️✍️
Namkubali sana mzee ana hotuba nzuri
Good 😁🤗
Pro K umenifadhi vizuri history yetu. Endelea siku kwa siku kuelimisha watanzania.
Ruto are you watching and listening, big brain at work
Huyu ndiye professor wa kutuwekea historia yetu na unaelewa. Akiingia yule traitor mwenye kujipiga kifuwa akitupatia historia za kijinga za kusema wazungu wametusaidia zaidi ya miaka 70. Watu kama hawo wasipewe nafasi ya uongozi, wastupitisha misituni. Watanzania wenye kupenda haki kwa wote tusikubali kubululwa.
Unaumia ukiwa wapi
Uyu kabudi uyu Unaemuona mtaalamu wa kuzungumza na msomi apa, aligeuka takataka kipindi fulani hapa nyuma mpk sisimizi walimshangaa🙁Njaa zinaharibu wasomi wetu
@@fix799 achaulongo wewe huyu bwana kafanya mapatano ya kurekebisha mikataba mibovu ya madini wazarendo tunamkumbuka wahuni wamemtoa ili wafanye michongo yao
The same good,🤗
Walemavu waliitwa Brayson
Asante kwa kutuelimisha vizuri kabudi
I wish you could be our president
Tunahitaji kiongozi anaye ielewa historia ya nchi. Sio tu kutuongoza kama ng’ombe
Hapo umemlenga nani
Hahaha ha
Kabudi for president
Mwalimu alihujumiwa kama alivyohujumiwa Hayati Magufuli na baadhi ya Watanzania wenyewe. Africa lazima iwe masikini kutumia njia yeyote ile.
Magufuri alijihujumu mwenyewe na usimfananishe na magufuri mana mwalimu hakujipa cheo cha Umungu na kutukuzwa koma
@@flavianwilliams2888 kizazi cha Watumbuliwaji wanachuki na Magu
Ndo maana makufuli alimchagua,ni professor kwel
yote haya makubwa hivi hatuyajui,tunajua fisadi ni nani tu,hakika kabudi anafaa kuwa Rais,wa nchi hii ingeenda mbali sana.Ogopa sana chaguo la magufuli yote ni majembe,good job prof.
KATIKA VIZAZI VYETU HIVI NYERERE AMEFANYA MAMBO MAKUBWA TANGU KABLA YA UHURU WA TANGANYIKA NA BAADAE TANZANIA. ASANTE Mh. Prof. Kabudi. Wewe ni hazina yetu.
Mungu akutunze Professor
Unatufaa kuwa lecturer wa kuhamasisha uzalendo ktk nchi,maana viongozi wetu wengi hawayajuwi hayo,wapowapo tuu kwa maslahi yao.
Kabudi, nakukubali Kwa historia,
Dereck Bryceson ndiye alisimamia ujenzi wa Magomeni Mapipa mitaa ikwa mizuri sana wakti ule.
Nikweli baba
Prof. Kabudi ni hazina ya historia ya taifa letu. Nimenufaika na maelezo yake kuhusu historia ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere.
Sisi WaTanzania wengi hatupendi kusoma na kufuatilia habari kwa kina ambapo inapelekea kutokuwa na taarifa anuai na nyingi. Matokeo yake wengi wanaongea ujinga na upumbafu mwingi. Wengine wanaongea na kupotosha ukweli ili wafanikishe mipango yao ya kihuni. Tutafute maarifa sahihi na kujihabarisha ili tuifanyie makubwa Nchi yetu
Hapo kwenye uchumi umemgusa Samia na akina Kikwete na wenzake. Maana kila kitu kihusu uchumi wa viwanda ameviua kabisa. Magufuli alikuwa na malengo makubwa sana kama ya Nyerere.
🎉🎉🎉
Tafuta nafasi nyingine tukusikie wewe NI hazina kubwa
Sikujua information zote hizi
nakumbuka neno braison watu vilema waliwaita braison huyu mzee kabudi ananikumbusha long time huyu mzee ni computer i core anakumbuka mambo mengi sana
Afaa kuwa rais wetu huyu..
VIVA TANZANIA 🇹🇿💪🇹🇿VIVA AFRIKA 💚💚💚💚💚 VIVA WAZALENDO 👍
Wewe Pro. Kabudi ni hazina inabidi kama taifa tukulinde kwa gharama yoyote ile. Kama watu wakifa wanaona kinacho endelea humu duniani Mwalimu Nyerere anafurahia huko aliko.
Kabudi noma nakuheshim sana
First world war was 1914_1918, nice professor
Makufuri ( Rais)na Kikwete waliogo kwa kujihami kuwa anayemzidi umri hawezi kumuachia Urais hata darasani inaonyesha walikuwa na matatizo.Busara haipatikani Kwa wenye umri chini ya miaka sitani vinginevyo ni kwa nadra sana., Tunahitaji rais anayejitambua tuachane na akina Samia
Wewe tukuweke wapi? Mm nakuweka kwenye Archive ya Afrika
U deserve professor
Huyu chuma awe Raisi tu akimaliza ampe kijiti Jafo Tanzania itanyooka
Edinburgh alisoma masters in economics.
Mama samia tunakushangaa kuwatoa watu wa muhimu km hawa ,na kutuetea genge la wahuni. Mungu anawaona.
Mama hataki intellectuals...akisikiliza hotuba ya kabudi...yeye atasema nini..
Unatoa viongozi wenye akili kama hawa unaweka wauza madawa yakulevya...... Pamoja na Slaa kuongea lakini bado hujachanuka akili...... Ila katiba Mungu anakuona...... Rais akipatwa na shida makamu ndio anashika kiti..... Katiba
@@josephlorri431 😂😂😂
@@emmanuelshayo4703 🤣
@@missangela6720 acha kunichulia. Hahaha, natania, but we need to be careful
(14)"jeee!!
Kwenye sherehe ya muungano!!",,,,
🏃🏾♀️🏃🏾♀️🇹🇿🇹🇿✍️⛹️⛹️
Uko wapi Prof Kabudi?? Taifa linakuhitaji sana
Wahuni wamemficha ili Watanzania wasiujue ukweli
Chukuwa urais mzalendo na nyingi history kutokana uzalendo hutokubali kuendeshwa utaendeleza utanzania
Wamanyema walikuwa wanaiita kigoma,changa cha nyika na wakoloni walivyokuja walishindwa kutamka changa cha nyika wakatamka tanganyika
Mzee huyu anaifahamu historia yetu vyema
Kabudi namkubali Sana ipi siku utakaa juu Sana