SIMBA SC 3-3 YANGA SC | KUMBUKUMBU ZA WATANI WA JADI, 20/10/2013

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 157

  • @chiefupdates3178
    @chiefupdates3178 Рік тому +36

    Kama umerudi kuangalia baada ya miaka kumi gonga like 2013 now 2023

  • @HappyDominoes-jf1ji
    @HappyDominoes-jf1ji 5 місяців тому +17

    Mmemuona semaji lakn like nyingi kwake ❤🎉

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +15

    SIMBA baba Lao 👊 🇹🇿 Kitambo kdogo hyo 2013 SIMBA on fire 🔥

  • @AshaJuma-pw7yx
    @AshaJuma-pw7yx 2 місяці тому +3

    Wa mwanzo ni mkubwa tu Ubaya Ubwela🦁

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 Рік тому +2

    Uyu kumbe alikuaa
    Mtangazaji zaman😃😃

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 5 років тому +22

    hapa ndio utajua maana ya simba like nyingi kwa chama hili kubwa

  • @patricessentongo6899
    @patricessentongo6899 4 роки тому +7

    Yanga ilizingua sanaa

  • @ngassa1tv331
    @ngassa1tv331 3 роки тому +4

    huu ndio utani wa jad safi sana japo mi yanga mlijitahid sanaa watan zangu simba

  • @luganostewart8320
    @luganostewart8320 5 років тому +3

    Hii mechi naikumbuka vzr sana na itabakia kuwa kumbukumbu ktk maisha yangu!!!!!!!!!!
    THIS IS.....................................

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 6 місяців тому +1

    Hii mechi nilikuwepo uwanjani na ngasa alikuwa anatuliza mpira na makalio lol😂😂😂#SIMBA nguvu moja

  • @patrickjohn7614
    @patrickjohn7614 3 роки тому +5

    What a gamee🔥🔥🔥

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 3 місяці тому +2

    Wakati huo semaji la Caf na Fifa nilikuwa sijui kama ni mnyama

  • @nickone8585
    @nickone8585 2 роки тому +1

    Hii kabla ya Tanzania kumshuhudia Chama 😎

  • @abrahamkibona7458
    @abrahamkibona7458 4 роки тому +10

    Tangu enzi hizo mashabiki wa Simba ni wengi tu

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 11 місяців тому +1

    Nakumbuka hii mechi nikiwa kidato cha Nne Mahina secondary Mwanza

  • @Foxytzdjmnyama7939
    @Foxytzdjmnyama7939 6 місяців тому +1

    Hatari sana Simba tamu

  • @jurmainezaidi739
    @jurmainezaidi739 5 років тому +21

    Namkumbuka didier kavumbagu.....kitambo yanga ila hela😂😂😂
    Saivi kushnei babujii

    • @erickelia9826
      @erickelia9826 3 роки тому

      Mechi ya kwanza ya watani wa jadi kitambo sana piga kelelee kwa watani wakeeeeee 🇹🇿🤝👊

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 5 років тому +10

    Sijawahi tena kutamani kuangalia Mechi yeyote baada ya kushuhudia upuuzi ule, it was one of the saddest day in my life ever.

    • @josephstima5434
      @josephstima5434 4 роки тому +3

      Kuliko zile tano bin sufuri?

    • @faridamtuka1896
      @faridamtuka1896 4 роки тому

      @@josephstima5434 🤣🤣🤣🤣

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Рік тому

      Vipi 5-0

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 місяці тому

      ​​@@josephstima5434bora kufungwa 5-0 kuliko kuongoza 3-0 second half then half-time zisawazishwe zote inauma

  • @VicentMkude
    @VicentMkude Місяць тому +1

    I'm watching 2024

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 5 років тому +27

    Hapa ndo watu walizirai na kuzimia kwa pamoja🤣 Yanga walilia Sana

  • @isunga1964
    @isunga1964 5 років тому +16

    😆😆😆😆 kweli simba raha sana jamni mpaka mwili umenisisimka sipati picha tarehe 4

    • @isunga1964
      @isunga1964 5 років тому

      @@saidimkange7913 😆😆😆la mama yako yupi mimi au yeye golikeper maana sijakuelewa mpendwa

    • @kipelelempya6187
      @kipelelempya6187 5 років тому

      Isunga 1 acha tu iyo sku

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 5 років тому +15

    Hakuna km timu ya Simba bongoo hiu
    Ina history Kali sn

  • @kilingechasimulizi2072
    @kilingechasimulizi2072 Рік тому +1

    Nilikuwa jkt... kipind kile..nachingwea apo..sitasahau io comeback..nadhani ndio comeback ya kibabe kwa simba na yanga

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 2 роки тому +5

    Kipa wa Yanga Kaseja ilikuwa lazima zirudi tu😂😂😂

    • @Aaron-nu7dv
      @Aaron-nu7dv 3 місяці тому

      ALIKUWA BATRHEZ WE HUJUI MPIRA KAA KIMYA

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 роки тому +1

    Inanikumbusha Liverpool v AC Milan 2005 ucl final

  • @abdulomary1830
    @abdulomary1830 5 років тому +7

    R I P Abel Dhaira golkpa wetu simba ii mechi

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 5 років тому +5

    Dah bado nawaza sijuia tarehe nne nitaangaliya wapi mimi sisi ambao tuko nnje tunategemea App ya azam lakini kwasasa haifanyi 😢😢😢 dah i

  • @lutherpaul6234
    @lutherpaul6234 5 років тому +11

    Hii mechi niliondoka uwanjani halftime nipo njiani veternal naskia watu wanashangilia nikajua la 4 nipo tazara namuona mtu wa simba anashangilia nakalibia home nikawasha radio nakutana na header ile gooooooooo 3-3 tatu tatu wasikilizaji nusu niingize gari mferejini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mirajimam9684
      @mirajimam9684 4 роки тому

      Nimecheka sana😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄

    • @samstive665
      @samstive665 Рік тому

      Daaaah we jamaaaa umenifanya nicheke 😂😂😂😂🙌

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 Рік тому

      hahahahaha! Football ni mchezo wa ajabu sana! Usipojipanga unaweza ukakuua😂

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @charlesmassatu823
      @charlesmassatu823 Місяць тому

      😂😂😂😂 pole

  • @oswardphilimoni7793
    @oswardphilimoni7793 4 роки тому +1

    Ahaaaaaaaaa iii ilikuwa yanga kwel

  • @eliudmkumbwa5681
    @eliudmkumbwa5681 Рік тому

    Ahmed all kabla hujawa kolo😢😢😢

  • @Mr_him_by_nature
    @Mr_him_by_nature Рік тому +1

    Memory

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 5 років тому +3

    Hii mechi nlikuwa uwanjani 1st half tushapigwa 3 lakin cha ajabu sikutaka kuondoka moyo ulikuwa unaniambia tu bado kuna hope we tulia na wakat huo mashabiki wengi wa simba walishaanza kuondoka na rafki yang nlieenda nae alivua jezi na kuitupa kwa aibu ila kipind cha pilu goli zote zilirudi na rafk yang akaingia gharama ya kununua jezi ingine bila kupenda 😂😂😂

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 Рік тому

      hahahahaha! Football ni mchezo wa ajabu sana! Usipojipanga unaweza ukakuua😂

  • @nichorausrichard2347
    @nichorausrichard2347 5 років тому +6

    Nakwambia hii mech ilinchanganya kipnd cha kwanza tushapgwa 3

  • @manenokiluwa988
    @manenokiluwa988 4 роки тому +1

    GREEN STARS FOR QUALITY HEALTH INAWALETEA VIPIND VYA AFYA DARASA KUPITIA UA-cam CHANEL. USIKOSE KUFUATILIA

  • @zaynasri1831
    @zaynasri1831 5 років тому +13

    Simba rahaa akyamung,asnt baba angu kwa kunifanya niwe simba

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 5 років тому +10

    Simba pekee huwa inasawazisha

  • @SikudhaniAdamu
    @SikudhaniAdamu 3 місяці тому +1

    Mie mpaka machozi yamenitoka jmn 😂😂😂

    • @EzbonGodwin-be7lp
      @EzbonGodwin-be7lp 3 місяці тому

      😀😀😀ngoja nireply kwako.maana naona six hours ago

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 5 років тому +7

    Eti MUNGU akikuandikia amekuandikia😂😂😂😂😂,FLORIAN KAIJAGE ww ni...YNWA

  • @nehemiahmtindya2443
    @nehemiahmtindya2443 3 роки тому +7

    Love this

  • @francismollel8304
    @francismollel8304 5 років тому +2

    kwann mnaleta mech za siku nyingi

  • @chandempandangindo7704
    @chandempandangindo7704 4 роки тому

    Nan atakumbuka mech yakwanza ya wtan wajad iyooneshwa na azamtv ilikuwa tareh ngap

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +3

    Jifunze quran kusom kuandik gusa pich yang hapo kama hautojl

  • @ntandumarcel6490
    @ntandumarcel6490 3 роки тому +2

    Simba inatisha👹👹👹👹🕵️‍♀️

  • @ericksamwel3721
    @ericksamwel3721 4 роки тому +4

    Pamoja sana

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 5 років тому +4

    😃😃😃Kutangulia mbel si kufika haha simba nyoko walisawazisha

  • @tumainimapesa6870
    @tumainimapesa6870 5 років тому +2

    Hii ndiyo came back ya bongo kali kuliko zote

  • @tack-tv
    @tack-tv 2 роки тому +1

    Kutetema hakujaanza leo

  • @amosikinyambari4068
    @amosikinyambari4068 4 роки тому +1

    Nyimbo za 2020

  • @bujiiclassic1964
    @bujiiclassic1964 5 років тому +8

    Simba NGUVU moja

  • @kingcole60
    @kingcole60 Рік тому

    🦁🦁🦁

  • @chandempandangindo7704
    @chandempandangindo7704 4 роки тому +2

    kwa maisha haya ya awamu ya tano yako kaso sana

  • @gidionjuma9745
    @gidionjuma9745 3 роки тому +1

    Simba raha

  • @aronpaul2904
    @aronpaul2904 4 роки тому

    iviii nyieee utopolo mnashida gaaan mnyam huw anaga masikhara😂😂😂😂😂😂

  • @kaisarimkuu4719
    @kaisarimkuu4719 5 років тому +1

    Kilichobaki sasa ni kupost kumbukumbu tu, maake WANANCHI wanaendelea kutudhihirislhia ubora wa mpira hauamuliwi na mtu mmoja akiwa na mke wake kitandani usiku. Wapiga debe kimya sasa. Yanga ni nembo ya taifa kwa kweli.

  • @mosesdeogratius6482
    @mosesdeogratius6482 3 роки тому +1

    Na ikumbukwe hii ilikuwa Simba B na pia simba haikuwa na mkwanja km Yanga wakati huo

  • @storytime1204
    @storytime1204 9 місяців тому

    😂😂Hatari hii

  • @neemamwaimu3217
    @neemamwaimu3217 3 роки тому +1

    Hahaha sitakuja kuisahau hii mechi niliumia sana kipind cha kwanza nikajua basi tumepoteza ila simba kweli baba Lao na kama tungeongoza dk 5 yanga tungewafunga 4

  • @witnesskihaga2241
    @witnesskihaga2241 4 роки тому

    Kumbe yanga wanadharau hiv duuu

  • @jailoschilewa4941
    @jailoschilewa4941 4 роки тому +1

    Mtangazaji aache kutangaza kwa ushabiki.

  • @RodrygoGeneration
    @RodrygoGeneration 9 годин тому

    Ahmed ali😂

  • @patrickmkude9985
    @patrickmkude9985 4 роки тому +2

    Hii ndio Derby halisi

  • @emanueljosphart4626
    @emanueljosphart4626 Рік тому

    Kama hapa yanga walishindwa kurudisha zile tano ndo haitatokea tena

  • @geofreyngaga5330
    @geofreyngaga5330 4 роки тому

    Hii mechi sitaisahau ilimuua mzee mmoja jirani yangu, mama ni simba na mzee ni yanga. Mzee alishangilia sana yanga iliposhinda lkn magoli yaliporudi mama alishangilia kwa mbwembwe zoooote kumbe mzee wa watu presha ikamkamata akafa simple like that. Mtaa ukagubikwa na uzuni fasta.

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 Рік тому

      Ohoooooooo! Football ni mchezo wa ajabu sana! Usipojipanga unaweza ukakuua!

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 3 роки тому +1

    bado naicheki hii mechi kama mshabiki wa simba niliumia mwanzo, mwisho ikawa furaha

  • @justingodfrey8282
    @justingodfrey8282 2 роки тому

    Yanga walijua watafunfa tano

  • @sefumgondasefumgonda4799
    @sefumgondasefumgonda4799 Рік тому

    Kitenge

  • @Bkamandawazam
    @Bkamandawazam 5 років тому +1

    Watu wa simba hatu ogopi Yanga ila tu yule jamaa anae Rusha mpila mpaka ndan ya kumi18

  • @jandaboytzzjandaboytzz7648
    @jandaboytzzjandaboytzz7648 5 років тому +2

    Nomaaa

  • @shabiruney-rr1lc
    @shabiruney-rr1lc 6 місяців тому

    Semaji😂

  • @rosekihanga2615
    @rosekihanga2615 4 роки тому

    Hii mech sitaisahau kamwe

  • @witnesskihaga2241
    @witnesskihaga2241 4 роки тому

    Simba baba laoooo

  • @barakapaul6685
    @barakapaul6685 4 роки тому +1

    Vyura wqlizima sanaaa siku hyo

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 роки тому

    Simba ni simba tu

  • @ombenemanueli1528
    @ombenemanueli1528 2 роки тому

    🤜🤛

  • @ahmedbalouch922
    @ahmedbalouch922 3 роки тому

    Hapo ndio ujue kua Utopolo hamna kitu

  • @heshimukajembe1164
    @heshimukajembe1164 3 роки тому

    Ali kuna

  • @RaymondCharlesSaliboko-to6vx
    @RaymondCharlesSaliboko-to6vx 5 місяців тому

    Cholo yukowapi sikuiziii

  • @omaryurassa3558
    @omaryurassa3558 2 роки тому

    Simba ni shida

  • @stanslausndawi8757
    @stanslausndawi8757 3 роки тому

    Ndawi

  • @miskyabdi3869
    @miskyabdi3869 Рік тому

    Hapa makolo walicheza kama watoto

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 років тому +2

    Aisee ilikua hatali saana yan hatali ya hali ya juuu

  • @dionisjoseph5604
    @dionisjoseph5604 5 років тому

    Azam kama walijua kuweka hiii video...maana duuh leo yamegeukaa

  • @justinafred7918
    @justinafred7918 3 роки тому

    Duu hii ndio yenyewe

  • @KenesFedrick
    @KenesFedrick 5 місяців тому

    Wadudu

  • @allymkangara5695
    @allymkangara5695 4 роки тому

    Hii ilikua hatari

  • @erickjastine1439
    @erickjastine1439 5 років тому +1

    alafu leo wanashangilia kurudisha mbili 😂

    • @mariamabeid4005
      @mariamabeid4005 5 років тому

      Ndio zilizofungwa,we ulitaka washangilie ngapi?we ulishangilia walivyorudisha 3 ndio zilikuwa zimefungwa

  • @charlesmasila1758
    @charlesmasila1758 4 роки тому +1

    Silva raha

  • @paulomartin2363
    @paulomartin2363 4 роки тому

    Emanuel okwi

  • @nasibshabani7740
    @nasibshabani7740 9 місяців тому

    Ahmed ally

  • @benedictorichard8620
    @benedictorichard8620 4 роки тому

    Mwanakangwa

  • @nashysamwel4099
    @nashysamwel4099 3 роки тому

    Utopolo hawatokaa wasahau hii mechi

  • @sammwasomola953
    @sammwasomola953 5 років тому

    Hii haikua mitangazaji kabisa hasa huyo kaijage ndio mavi kabisa magoli ya simba hayakutangazwa kuamsha amsha

  • @j4khamis384
    @j4khamis384 4 роки тому

    Lin up simba yanga 2013

  • @emanuelemanuel4399
    @emanuelemanuel4399 2 роки тому

    Yaga na dodomajiji

  • @godfreymsanga1271
    @godfreymsanga1271 4 роки тому

    Usajil simba

  • @mstafamusa9445
    @mstafamusa9445 4 роки тому

    3 3 haitasahulika kwa simb vs yang

  • @mwayamughwai6875
    @mwayamughwai6875 4 роки тому

    Ssfi sana Simba

    • @talibukhamis7074
      @talibukhamis7074 3 роки тому

      Ya😴😴😌😌😌😌😌😓😒😎😍😍😍😍😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @selemanally126
    @selemanally126 3 роки тому

    Noumaaaaa

  • @amadoamado3188
    @amadoamado3188 4 роки тому

    Wape salamu zao

  • @richardmwalabu2441
    @richardmwalabu2441 3 роки тому

    Mushikemshikeleo