Nimewahi kutoka Kenya 🇰🇪 team strong 💪 team zuu ❤❤babu wa zuu umefanya jambo la maana sana kuwafukuza 🤣🤣halafu sania yatakukuta 😁kma waamni Zatiti ataolewa na Tasha gonga likes tukosonga ❤️❤️🥰🥰🥰🥰
BUSATI TV 📺 HONGERA SANA KWA KAZI ZURI SANA ,,, Naendelea kujifunza vitu vingi sana kupitia nyinyi na pi napata burudani safi kabisa,,, Mungu wa Mbunguni awabariki sana sana. Nawapenda sana wote mliopo busati TV
Hatimaye ndoa na zuu na kai imepita jmn tusubir yajayo kutoka kwa boss wa kai hongereni sana busati tv m.mungu azidi kuwaongoza vyema najifunza vingi sana kupitia ninyi❤🎉🎉🎉🎉
Mashaallah tabarakallah kwa jambo la. Kher,halafu candy Kwan umerudia tn mambo yko aisei 😮😮😮😮huyo n mamako hta akikusema vp kubali,,inshaallah biidhillah twangoja ya Mr Tasha,,karib mjengoni daa zuu n Allah awaepushe n hasad jisikieni huruuu kbs I love you all❤❤❤❤❤❤
Alhabdulilah ndoa ya kai na zuuuu imepita japo maadui ni wengi tunashukulu kwa kazi nzuri na tunajifunza vitu vingi kupitia hii movie ya house girls Asante sana busati TV 📺 ❤❤❤❤❤
Team strong na team fulusi zawadi ya zuu na kaka Kai harusi imepita salama, Alhamdulilah 🤲❤❤❤🎉❤❤
Jamani najifunza mengi kwenye hii thamthilia ya house girl shukrana wana busati tv
Team hamamu, team free wifi team kubhus, kama unawatch house girl ukiwa na laban kwa mkono yenye umeiba gonga like😅😅😅😅😅
😆😆😆😆😆😆😆😆🙌🙌🙌🙌 we nae mpumbavu mwenzangu unatoa siri
@@prettyney3812 🤣🤣lazima niseme habib
Jaman mpumbavu mwenzetu mbona tena unavujisha Siri😂😂😂😂 nakwambia bila kuiba utakufa njaa
Tupooooo
@@saidomar3291 hapo Sasa mbumbavu mwenzangu😅
Kiukwel inafundisha sana ongereni sana wenye tabia kama candy jaman muache
Nimewahi kutoka Kenya 🇰🇪 team strong 💪 team zuu ❤❤babu wa zuu umefanya jambo la maana sana kuwafukuza 🤣🤣halafu sania yatakukuta 😁kma waamni Zatiti ataolewa na Tasha gonga likes tukosonga ❤️❤️🥰🥰🥰🥰
BUSATI TV 📺 HONGERA SANA KWA KAZI ZURI SANA ,,, Naendelea kujifunza vitu vingi sana kupitia nyinyi na pi napata burudani safi kabisa,,, Mungu wa Mbunguni awabariki sana sana. Nawapenda sana wote mliopo busati TV
Sasa hiyo kuongea point watu hawalike ila mijitu ikiomba like wanapewa
Ambao tunasubiria harusi ya zatiti,,na
Mr,,,tasha,,,,please gonga,,,like,,tujuane
😂😂😂😂😂❤
😢😢😢
😢😢😢
😢😢😢
Niwangapi mlikuwa mnaisubri kwa hamu gonga like twende sawa
Hatimaye ndoa na zuu na kai imepita jmn tusubir yajayo kutoka kwa boss wa kai hongereni sana busati tv m.mungu azidi kuwaongoza vyema najifunza vingi sana kupitia ninyi❤🎉🎉🎉🎉
Tunaotamani dadake chiko amjue masozi tujuane hapa🎉
Hapo Sasa 😂😂😂😂😊
@@MetrineNelima-i4w Candy kashaaribu😔
Sania mrembo n ana mwili mzuri
Nimewahi leo kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🎉🎉basi naomba like 2 to😢😢
Ila damasozi mzuri na sauti yke naikubali sana natamani kila mda aongee
Hunifiki mm jaman
Asante babu zuu tumefuraia ushauri wako kabisa pia sisi tumejifunza kupitia kwako na mungu akulinde ni Gloria kutoka asante sana
Mashaallah Ndoa Imepita. Tim Zuu🎉🎉
Wamebaki na haibu tele wakina cendy madela kama kun'guto la masgine dah!😅😅😅😅
Waaaaaaaaa nani ameona cady anaogopa wifi yake naomba like moja bs
Mi Leo wa 4 nimechelewa sana naomba like 4 BA's nami
Wenye tunasubiri timbwili la daa masozi na rahuma weka like ❤❤
Hapo Bado hawajajuana kua ni mke mwenzie
Hapo Bado hawajajuana kua ni mke mwenzie
Mimi ndo nasubiri ngumi za masosi na rahma 😂
Hata mm nasubiri😅😅😅😅😅
Sio Rahuma na ww ni Rahma mbon unatukan
Mama tasha umemuona mkwel wako Sania uliyouwa unampambania kingekuramba😂😂😂😂😂😂
Kwakweli 😂😂
Yaan wif yak na chiko anaakili kama za chiko roooh sumbirini mpigwe tukio ndo mtaelewa
Haya wa mwisho naombeni hizo likes
😂😂Nimependa babu AliVyo Toka na Panga daadekiii.
Wacha tufinye mpunga sas wachawi gooooh😅
Kai na zuu congratulations 🎉🎉👏👏❣️❣️❣️❣️ haikuwa rahisi .babu zuu kazi nzuri kwako kusema ukweli hii busati tv imenifunza vitu mingi sana
🙏🙏
Jaman cha kumshaur Kai awenamsimamo tamaa aziwek mbali mnaoungan namm mpo kwa like tafadhar
nikwer ata uponz
Nimewahi na mimi jaman naombeni like zangu 🫰🏻
Ukigonga comment yangu nakutongaza 😂😂😂🎉🎉🎉
Wakwanza leo naomben like ata moja wajamen
Mwisho wa ubaya n aibu,, I can't wait 😂😂😂
Wabeeee zuuu mkoni mwakaii yani chombo kimkoni wee uogopi
My favorite zuu❤️
Mashaallah tabarakallah kwa jambo la. Kher,halafu candy Kwan umerudia tn mambo yko aisei 😮😮😮😮huyo n mamako hta akikusema vp kubali,,inshaallah biidhillah twangoja ya Mr Tasha,,karib mjengoni daa zuu n Allah awaepushe n hasad jisikieni huruuu kbs I love you all❤❤❤❤❤❤
Aliyefurahi team kendy kufukuzwa na babu gonga like hapa😂😂😂
😂😂😂😂😂
Kazi zenu ni nzuri sana nawapenda wana busati kwa mafunzo mema niwatakie kazi njema na Mola awajalie mzidi kunawiri ktk vipaji vyenu
Asanteni sana wana Busati Tv ila sijapenda mke wa kiramba alivyovaaa😮😮😮
jmn nmevaa aje tena😥😥
Mbona mi cjamuona nimeona uso tu 😂😂😂
Iy nguo matiti yako wazi si angevaa tu hata ushungi akaficha jmn@@BettyShabbyWey-to6cf
Nyonyo lipo wazi kabisa😢😢@@HudhaimaYussuf
Ila jaman sio sir nataman babu yake na mm awe babu yangu anadua nzur sana mashaallah ❤
Tasha napenda maneno yako yani yana busara nakupenda sana❤❤❤from kenya🇰🇪🇰🇪
Saana tena. Wataendana na Zatiti.
Candy na Sania mtashinda kutumiwa mpka mshangae 🤣🤣🤣halafu kma watamani masozi na Rahma wajuane kma ni wake wenza gonga likes tukisonga 😂😂😂😅😅😅
alooooo Ngoja tuone
Kazi Ndo wameanza😀😁
@@NasibuAlly-wb9uvkitawaramba 😂😂😂
Kitawaramba wote hawa😂😂
@@NesthKey nakwambia
Mabrouq Kai n zuu❤❤❤
Afadhali team ya candy imetimuliwa harusi ye2 ipite❤❤ vizuri
😂😂😂😂 candy umenishinda tabia daaah yan dk mbili mbele et we mwazan😅,,,,,, nahic kuucheza uhucka huu hata we inakuwia vigumu hongeraaa sana 🎉🎉🎉🎉
Mi nafikir hakuna kinachimuwia ugumu huyo ndo mambo yake
🎉🎉🎉wow team zuu n kai munipee like bx nimechelewa lkn nimefika🎉🎉🎉
Zuu umependeza hubiby❤❤❤❤❤🎉🎉🎉Kenya 🇰🇪 Saudi 🇸🇦
Ahsanten kwa kukata kiu yetu jaman tulikuwa tunaisubili kwa hamu sana
Candy kweli punguani jamni jina la mama unasema lakutia kinya kweli 🥹🥹🥹🥹🥹🥹nakuonea huruma sana dunia hii utakuja kujuta wewe 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Uyu wifi yake candy hamnazo eeeh sasaivi hanamuga candy tabia zake😂😂😂😂😂
Ni kweli Kabisa mama huyo anaonekana msanii mzuri sana anae kuja kwa kasi mpk mama ake Candy 🍬🍭 amempa sifa ya kuwa mtt mzuri 😅😅😅❤❤ Candy ww😂😂😂
Wao nimependa vyenye Kai alikuwa amevaa alikuwa ametokakutoka🎉🎉🎉
Team gulf hua tunaona kukawilia Kwa kua tuko na WiFi za bure 😊
Alhamdulilah shuhulil imepita 😂😂😂😂🎉😂😂😂
Ambao mnatamani Rahyma na Masozi wajuwane kama mmeo ni Chisa hili wazinguwane like please 😂😂😂
Sielewi vyarangati litakalo kuwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani balaa😂cjui itakuaje
umewaza kama mimi😂😂😂
Aiseee nataman kesho tu itokee
Yani mimi nilitamani ht pale walipokua wakiongea Masozi na Candy, Rahma awafume. Litokee timbwili.😂😂
Kwel tabia n kam ngoz haibadiliki loooh candy hatokaa abadlke kamwe 🙌🙌🙌
Leo nimewahi mpk kushika nafasi ya kwanza naomben. Like zangu basi❤
Jaman nimekua wa kwanza leo naombeni laik ata moja bas
Ile asali iliyo Lisa kbla ya ndowa leo inaenda liwa ten kwenye ndowa wanao amn hilo gonga like
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂🎉❤
😂😂😂😂😂😂😂🎉❤
😂😂Japo walitaka. Kuikula ile cku ucku hivi Malaika ile cku alimuiba zuli ucku walienda kufanya nn😂😂
𝐖𝐚𝐩𝐢 𝐤𝐞𝐥𝐞𝐥 𝐤𝐰𝐚 𝐭𝐞𝐚𝐦 𝐳𝐮𝐮 𝐰𝐞𝐞𝐞𝐞𝐞𝐞𝐞𝐡
Weweewew
Weweweweeeeeeeee
Weweeeeeeee
Weweeeeeee
Wakwanza leo nipe like zangu🇧🇮🇧🇮
🎉🎉
Tunaosubit ndoa takes mr.Tasha na zatiti wagonge like hapa🎉🎉🎉🎉🎉
Hahahha mpemba kabadilisha mada ghafla
Huu Rahma angejuwa Da Masozi ni mke mwinzie😂😂😂😂😂
Kitu ambacho unafulahisha Kai umechukua watu wanaofiti kwenye nafasi za scripts zao big up kaka mkubwa❤❤❤
😂😂nilisema lazima babu yake zuu atoke na panga😂😂😂😂
Itakuwa mnaishi nae jirani una mjua tabia zake😂 😂
Kumbe nin wew vile ndo ulisema Babu atatoka na panga😅😅😅
Yote kwayote ila umbea balaaa😂😂😂❤❤❤ nawapenda jaman
Uyo mume sasa akijua kama masozi mchepuko chisaa😂😂😂😂😂 kimeumana
Mh shida wee
Tim zuuu wap kell😅😅❤❤❤
Babu. Mashaallah 🎉🎉
Candy ww hizi zako ata si laanaya mama tena ata ya Mungu pia inakutafuna 😂😂😂❤❤🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂
@@lutfiyahsaidi6666 amba aliomba msahama tu ivi amerudia tena 😂😂
Sijachelewa sana na mm niko nyuma yenu 🎉🎉🎉
Leo nimewai jmn naombeni like zenu
Yaani housegirl mmeitendea haki hongereni wana Busati
Wa mwisho Leo 😂😂🇨🇩🇨🇩
Nimefulahi leo❤😂😂
Alhabdulilah ndoa ya kai na zuuuu imepita japo maadui ni wengi tunashukulu kwa kazi nzuri na tunajifunza vitu vingi kupitia hii movie ya house girls Asante sana busati TV 📺 ❤❤❤❤❤
🥰🥰❤❤
@@busatitvwoyooooo
Hao mmefukuzwa kwenye shughuli
Mashallah
Kweli sikio la kufa halisikii dawa yani candy mpaka watia huruma kwa hizo tabia zako😢
MashaaAllah babu zuu
😂😂😂😂 kiramba jamen😂😂😂😂
Ndoa imepita ongela sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🙏🙏
P
Kelele ya kwanza kwa zuu wake weeeeeeeh ❤
Team zuu tupoooo harusi imeisha
Mashallah Allah awapanulie ilimu
Sema on you mschana mwenye ana tabiakendi
Mr.Tasha na zatiti aki mmependezana
Kai hi movie iendelee mpaka tasha na zatiti wafunge ndoa plz,
Team zuu 🎉🎉🎉❤❤
Wateja nauza sambusa na vibama nipo tz hapaa mniungishee house girl hpo tu jaman😢😢😢😢
Pinga kelele kwa Timu zuuu na kai❤❤❤❤❤
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪.
Basi Kai bwan arusi ww huo mdomo huchoki kuubinyua 😂😂
Mnastahili maua yenu mov iko vizur na waigizaji wote wamekaa mahalipake 🎉🎉🎉❤❤❤
Sema kuwagoja wueh wakwanza nipewe ata likes 2
Sikio la kufa candy 😂
😂😂😂😂
Wapiri reo nipen lak bas ❤❤❤❤🎉🎉😂
Duh hampoi aki wa mwisho mm😂😂🎉🎉❤❤❤
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂ama kweli muguwa kicha macho mekundu aya kosi
kumbe babu safi sana kuwatimua hao wagomvi na roho zinawauma khai kuowa 😅😅😅😅
Mpemba kubadilisha mada
Weeeh Leo nimehawa jaman 🎉🎉
Kiramba ukiongea punguza maneno mengi bhan
Kusema ukweli kiramb anakela