BROTHER NASSIR - EWE BORA WA ZIUMBE (VIUMBE) - OFFICIAL AUDIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 163

  • @mohamedabu3268
    @mohamedabu3268 6 років тому +32

    musumpenda mtume musi comment plz sisi na mtume mtume na sisi 1000likes brother nassir

  • @rehemajefa446
    @rehemajefa446 6 років тому +13

    Mashallah allah akukubalie ulitakalo brother Nasir akufanyie wepesi inshallah kwa mambo yako inshallah yanitoa mathozi wallah kwataji lako tupambe tuwe nawe peponi amin thuma amin yaa rabbi

  • @najmahbaby8690
    @najmahbaby8690 6 років тому +23

    Tumswalie Mtume wetu MOHAMMAD S.A.W🙏

  • @zennaabdullatwif7718
    @zennaabdullatwif7718 6 років тому +18

    Ewe bora wa ziumbe Nour yake manani kwa taji lako tupambe tuwe nawe peponi
    Maa shaa Allah, maa shaa Allah, maa shaa Allah

  • @zamilmohammed6037
    @zamilmohammed6037 6 років тому +84

    Twawauliza museme mutupe nasi yakini kwa mengi mutuendeme kama tulio wakhini mwatutoa mtume mwatupeleka kwa nani??? Kwa taji lako tupambe tuwe na ww peponi👏👏👏 .... my fvrte kasida😚😚😚😙😙😙.... watu wa mtume nipe lyk yako apa👍

    • @salsabilasalsa9429
      @salsabilasalsa9429 6 років тому +3

      Zamil Mohammed ALLAHUMMA SWALI WASALIM WABARIK ALEY ❤

  • @eshabjorkholm1614
    @eshabjorkholm1614 6 років тому +13

    masha allah! Ewe bora kwa taji lako tupambe tuwe na wewe peponi!! Ameen yarabi

  • @fatmasaggaf6951
    @fatmasaggaf6951 Рік тому +2

    Mashallah.........this qaswida makes me feel happy🎉🎉🎉❤❤

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 4 роки тому +3

    In Sha Allah. Allah atukutanishe Nae Peponi Amiin.

  • @salehrasta9165
    @salehrasta9165 3 роки тому +4

    Uzushi acheni suna tuzishikeni dini tuipigania kwa rehma za rabi peponi takaingie

  • @salsabilasalsa9429
    @salsabilasalsa9429 6 років тому +45

    tukitokumswaliya Atatulipa ninani ????
    ALLAHUMMA SWALI WASALIM ALEY WAALA AALIY ❤❤❤❤❤

  • @jamesmundia72
    @jamesmundia72 6 років тому +14

    Masha,Allah .hii qaswida jamani hunitoa thozi kwa furaha.pongezi kaka Nassir

  • @راجيعواجي
    @راجيعواجي 2 роки тому +2

    Mashallah tabarakalla ewe mtume ustuache siku ya kiama tuwe sote peponi insha'Allah Ameeen

  • @khadijahsalim2258
    @khadijahsalim2258 5 років тому +3

    Twauliza museme mutupe nasi yaqini...kwa mengi mutendeme km tuliowakhini..mwatutoa kwa mtume peleka kwa naniii😢😢swallu ala nabiii....

  • @ummimasoud6358
    @ummimasoud6358 Рік тому +2

    Favourite qaswida...masha Allah..tutampenda milele Muhammad SAW

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab 6 років тому +16

    اللهم صلّ وسلم عليه و آله وصحبه أجمعين
    شكرا الأخ ناصر حفظك الله

  • @rimurutempest8945
    @rimurutempest8945 6 років тому +11

    براذر ناصر شكراااا ...الله يثبتك
    أنت الافضل ..الى الامام دائما

  • @zamilmohammed6037
    @zamilmohammed6037 6 років тому +20

    Atakapo hutembea na ye yko kaburini leo kufanyiwa haya huyo ni kuimbe ganii?? .. KWA TAJI LAKO TUPEMBE TUWE NA WW PEPONI👏👏....(bora wa ziumbe) bwana mtume muhammad insh Allah atushufaie umma wake sku ya kiama👏😔

  • @zuhraseyyid8694
    @zuhraseyyid8694 4 роки тому +2

    Kwa taji lako tupambe tuwe na wwe peponi Ameen🤲

  • @nawalaljaedy12
    @nawalaljaedy12 5 років тому +6

    ماشاءالله تبارك الله...صلوا على سيدنا رسول الله

  • @fatmarashadbwana796
    @fatmarashadbwana796 5 років тому +4

    Nimelia sana kwa hii qaswida
    Kwa chaji lako tupambe tuwe na wewe peponi ewe bora wa ziumbe

  • @zeitunkassim9352
    @zeitunkassim9352 3 роки тому +3

    اللهم 🌹♥️صل🌹♥️ وسلم 🌹♥️وبارك 🌹♥️على🌹♥️ نبينا 🌹♥️وحبيبنا 🌹♥️محمد 🌹♥️صلى 🌹♥️الله 🌹♥️عليه🌹❤️ وآله🌹♥️ وسلم

  • @uthaymaanashshiraaziyy629
    @uthaymaanashshiraaziyy629 5 років тому +10

    اللهم صل وسلم على رسولك اﻷمين وآله الطاهرين رب اغفر وارحم وأنت خير الراحمين...!!!

  • @ahmedsayyid2546
    @ahmedsayyid2546 4 роки тому +6

    Ma shaa Allah.....nyc voice n' beautiful qaswida

  • @zainabuzainabu4372
    @zainabuzainabu4372 5 років тому +5

    Tutampenda milele mtume wetu inshaallah...

  • @aishaathman4511
    @aishaathman4511 5 років тому +8

    Mashaalah the qaswida is so touching .....thanks brother Nassir for it.

  • @aliadnanhussein
    @aliadnanhussein 6 років тому +13

    May Allah bless you abundantly Brother Nassir...too much love and respect bro.

  • @abdallahtwalib5050
    @abdallahtwalib5050 6 років тому +18

    Ma Shaa Allah nice bro 👌

  • @suleymarjr71
    @suleymarjr71 6 років тому +22

    Nice qaswida mashaallah....

    • @hamzaamir6978
      @hamzaamir6978 3 роки тому +1

      Nice qaswida mashaallah keep it u

  • @locc2dabrain767
    @locc2dabrain767 Рік тому +1

    Qasidah hi haiyezi kuzeEka ma sha Allaah taala ❤❤❤

  • @salsabilasalsa9429
    @salsabilasalsa9429 6 років тому +16

    ALLAHUMMA SWALI WASALIM WABARIK ALEY ❤❤❤❤

  • @salsabilasalsa9429
    @salsabilasalsa9429 6 років тому +13

    kama tuliyo wakhini ... Wamejikhini wenyewe 😢😢😢

  • @ramadhanmahembe4301
    @ramadhanmahembe4301 5 років тому +4

    Maaashaallah mungu azidi kukuongoza nikisikiaaga kaswaida zako nafàrijika

  • @asyamohammed2095
    @asyamohammed2095 6 років тому +3

    Mola amempatia, dunia na zilo ndani. Atakapo hutembea, nae uko kaburini. Alokufanyiwa haya, huyo ni kiumbe gani. (Subhanalla)

  • @salsabilasalsa9429
    @salsabilasalsa9429 6 років тому +30

    mwatutoa kwa MTUME mwatupeleka kwa Nani ????😢😢😢😢😢

    • @hamidadada6047
      @hamidadada6047 4 роки тому

      Ewe bora wa ziumbe,,kwa taji lako tupambe tuwe na we peponi, aaammmin Subhanallah machozi yanitoka tumpende ndugu sote waislamu kwa pamoya

    • @mwanaidimwero1044
      @mwanaidimwero1044 4 роки тому

      @@hamidadada6047 àaaaaaaaa

  • @hemedsaid8543
    @hemedsaid8543 4 роки тому +4

    Mashallah mungu akupe barka akuondoshe khasad inshallah keep it up

  • @fauziasaid3059
    @fauziasaid3059 6 років тому +13

    Best best best nasheed mashaAllah keep it up bro u always top mashaAllah😍😍😍😍

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 роки тому +2

    Mashaallah aleyk Brother nassir salam zikufikie mbora wa volume 👏👏👏😘

  • @saidamahdi2654
    @saidamahdi2654 6 років тому +4

    Masha Allah very nice one Allah akuhifadhi na akuepushie kila shari. Kila ajae kwa shari waijua yake siri ivunje yake dhwamiri asiweze kusimama.

    • @rehemajefa446
      @rehemajefa446 6 років тому

      Mashallah mungu akufanyie wepesi kwa mambo yako inshallah yanitoa mathozi wallah kwataji lako tupambe tuwe nawe peponi amin thuma amin yaa rabbi

  • @fatmahassan4790
    @fatmahassan4790 6 років тому +4

    Allahumma Swali Wa Salim WaBarik Aleiyhi Wa Alihii WaSwahbihii Wa Salam. MaaShaa Allah. YaSalaaaaaaaaaam. Allah Hafidh

  • @mohamoudmustaf1151
    @mohamoudmustaf1151 6 років тому +2

    Kipenzi chema kipenzi chema ..Chema chema hyo mtume Muhammed s.w.s yy n ss mpkaa peponi inshallah allah akupe kher bro nasr....

  • @omaromohamed9662
    @omaromohamed9662 6 років тому +11

    Nice one BN mungu akuweke kaka

  • @saidasalim6231
    @saidasalim6231 6 років тому +5

    Ireally liked this nasheed inshaallah tuwe peponi

  • @mohamedadow8153
    @mohamedadow8153 6 років тому +15

    Amazing nashid m.a

  • @abdallahjin8031
    @abdallahjin8031 6 років тому +14

    as always brother Nassir, your nasheeds are on point..mashaAllah may Allah bless you

  • @suabdul8108
    @suabdul8108 Рік тому +1

    MashaAllah qaswida nzuri❤

  • @swaumually5702
    @swaumually5702 4 роки тому +4

    Allah aibariki kazi yako inshaallah

  • @queenjhansijhansi7115
    @queenjhansijhansi7115 5 років тому +2

    ❤️❤️❤️❤️kwa taji lako tupambe❤️❤️❤️

  • @gachalover__lover
    @gachalover__lover 3 роки тому +5

    I love this song it’s so amazing

  • @aminamaalim3384
    @aminamaalim3384 4 роки тому +2

    Kwa taji lako tupambe Maaxhaallah

  • @abuujr8260
    @abuujr8260 6 років тому +11

    Thanks for the beautiful nasheed. MashAllah 👌👌👌

  • @yahyamohamed8190
    @yahyamohamed8190 6 років тому +7

    Qaswida mzuri sana brodha nasir

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 2 роки тому +1

    My favourite nasheed☺️☺️☺️

  • @zulekhaabdulrasul206
    @zulekhaabdulrasul206 6 років тому +5

    Superb mash Allah

  • @swabirjj1732
    @swabirjj1732 6 років тому +11

    Masha Allah Nice voice

  • @salhiyajuma5534
    @salhiyajuma5534 6 років тому +8

    Ma shaa Allah

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 роки тому +4

    Mashaallah nasheed nzuri

  • @johariasud7691
    @johariasud7691 6 років тому +10

    Masha Allah

  • @abcdef4259
    @abcdef4259 6 років тому +10

    Mashallah from com

  • @ash3youz64
    @ash3youz64 5 років тому +1

    Masha Allah,ya Allah ya Allah ya Allahhhh!!!!!@Allahu Akabr zidi kumwimbia nabi kaka...Masha Allah

  • @mwanajumasuleiman4588
    @mwanajumasuleiman4588 4 роки тому +1

    Mwatutoa kwa Mtume mwatupeleka kwa Nani

  • @khuliz
    @khuliz 6 років тому +12

    😍👌 mashaAllah

  • @mehboobelias5196
    @mehboobelias5196 4 роки тому +3

    Swahili amazing nasheed

  • @luqmanmahir78
    @luqmanmahir78 6 років тому +5

    mashallah Allah baarik

  • @rizmarahmed1196
    @rizmarahmed1196 6 років тому +3

    Aslm alykm brother Masha Allah Mola awape umri muzidi kutuburudisha naomba kuzipata kwa simu sijui application gani zitaingia direct Mola awape umri na azidi kuwapa imani ya dini yetu sote na jameel muslimin

    • @ummiimaulana7317
      @ummiimaulana7317 5 років тому +1

      asalam aleykum ingia kwa chrome then search tubidy ithakuletea pale chini choose such video download.....the ukiingia uandike jina ya hii nasheed ithakuletea uthadownload....afwan.

  • @salsabilasalsa9429
    @salsabilasalsa9429 6 років тому +2

    mashaALLAH mashaALLAH mashaALLAH ... Bro Nassirr watupumbaza sana kwa sifa zake KIPENZI CHETU ❤❤❤ ...JazakaLLAH kher

    • @hamidadada6047
      @hamidadada6047 4 роки тому

      Kwa Taji lako tupambe tuwe Nawe Peponi

  • @seyyidnoormwenye838
    @seyyidnoormwenye838 6 років тому +4

    MashaAllah tabaraka ALLAH

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 2 роки тому +1

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم

  • @mwanakombojabiri6263
    @mwanakombojabiri6263 5 років тому +1

    Kwataji lako tupambe tuwe na wwe peponi...thanks bro nassor

  • @salwaibrahim2228
    @salwaibrahim2228 6 років тому +6

    MshAAllah

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 2 роки тому +1

    So nice Ma shaa Allah

  • @anwarosman7206
    @anwarosman7206 3 роки тому +2

    Maashallaaah beautiful 😍 qasida. Can i get the lyrics please

    • @anwarosman7206
      @anwarosman7206 3 роки тому

      MPEO WA UJASIRI
      NA SHINA LA YETU DINI
      NAKWAWAKE UHODARI
      HAKUNA ULIMWENGUNI
      NDIYE MPIGIWA TWARI
      MADINA ISIKIONI
      NURU ZA KIMAUMBILE
      MBORA WA KAUNENI
      AMEWASHINDA WA KALE
      WAMTOWAJI THAMANI
      SASA KITAMEYA NYELE
      CHANDA HIKI MKONONI
      MOLA AMEMPATIYA
      DUNIA NA ZILO NDANI
      ATAKAPO HUTEMBEYA
      NAYE UKO KABURINI
      ALOKUFANYIWA HIYA
      HUYO NI KIUMBE GANI
      CHUTAMPENDA MILELE
      MOYONI ALO SAKINI
      NA KHERI KWAKE ZITELE
      NA RADHI ZA RAHAMANI
      HURUDI NYUMA MSHALE
      UKITOKA UVUCHANI
      HUONA NYUMA NA MBELE
      KIJANA CHA ADINANI
      NA RUHUMA ZIKO TELE
      KWAKE HAKUNA IGENI
      ASOMPENDA ALELE
      NDUZANGU MUAMSHENI
      NI MBORA WA VAZURI
      NA WENGI WAMTAMANI
      NA KILA JAMBO LA KHERI
      LIKO KWAKE MIKONONI
      JASHO LAKE NI ATWARI
      VICHENDO NI HALI GANI?
      MSIFIWA KILA PEMBE
      NINANI AO NI NINI
      NI MOLA WAKE MJUMBE
      PAMOJA NA QURU ANI
      UBORA NI TUMPAMBE
      AO SIVO NAMBIENI
      NDIE BORA WA VIUMBE
      ALO WAUMBA MANANI
      HANA ILA HATA TEMBE
      NI NURU YA RAHAMANI
      SIFAZE KWETU SIKAMBE
      TWAPENDA TWAMTAMANI

  • @jillokomora
    @jillokomora 6 років тому +6

    Nimeisakanya hii qaswida sana bt nishaipata

  • @sweetlove9550
    @sweetlove9550 6 років тому +7

    MashaAllah nice one

  • @kingdellashowground5482
    @kingdellashowground5482 4 роки тому +1

    Mwatu toa kwa mtume mwatupelka kwa nani

  • @Kenyayetu24
    @Kenyayetu24 6 років тому +2

    Kwa tajii LAKO tupambee tuwe na WEWE peponi

  • @zanurakundya9455
    @zanurakundya9455 6 років тому +5

    Nice sana brother,, mashallah may God be with you

  • @mtereabdulkarim4852
    @mtereabdulkarim4852 6 років тому +5

    Mashallah nic👌👌

  • @nchandzessaid680
    @nchandzessaid680 4 місяці тому

    MashaAllah Tabaraka ALLAH ❤❤

  • @mwisakihaji3782
    @mwisakihaji3782 6 років тому +8

    mashaallah

  • @dubeabderehman6880
    @dubeabderehman6880 2 роки тому +1

    Nice mashallah

  • @shufaakassim2764
    @shufaakassim2764 6 років тому +2

    Mashaallah sauti hyo bro nassir

  • @asiaabdallah1037
    @asiaabdallah1037 3 місяці тому

    SWALALLAHU ALEIHI WASALLAM ❤❤❤

  • @einabdaghar5426
    @einabdaghar5426 2 роки тому +1

    Brother nassr I love you song

  • @ummabdulrahman170
    @ummabdulrahman170 5 років тому +1

    Kama kweli wampenda mtume wacha aliyoyakataza kama miziki

  • @haythamkhan4180
    @haythamkhan4180 6 років тому +2

    Mashaallah bro mungu akuweke

  • @kassimsidiq8594
    @kassimsidiq8594 6 років тому +3

    I thought umeacha kaswida..Kuwa na msimamo Akhy!!
    Kama waimba Nasheed let it be na kama ni kaswida pia tujue.
    May Allah guide us all. InShaAllah

    • @badruahmed2064
      @badruahmed2064 6 років тому

      Hahahahhaha

    • @ahmedsuleiman1696
      @ahmedsuleiman1696 6 років тому +1

      Kassim Sadiki Hakuna difference ya nasheed na qaswida. Zote ziko sawa sawa.

    • @tanwiramohammad7898
      @tanwiramohammad7898 6 років тому

      Suleiman Ahmed iko difference... Qaswida ni za kumsifu rasool nasheeds ni hizi za haruc,kumsifu mama etc...hope u got it

    • @ahmedsuleiman1696
      @ahmedsuleiman1696 6 років тому

      Tanwira Mohammad Hakuna kitu kama hicho. Zote ni sawa. Hata nasheed naeza weka maneno namsifu mtume na qaswida pia naeza kutunga maneno ya harusi ama mama. So hakuna any difference.

    • @dszltn4705
      @dszltn4705 5 років тому

      Say no more😂😂😂

  • @jomiyabdi4130
    @jomiyabdi4130 6 років тому +3

    So amazing brother nasser

  • @richbird.123
    @richbird.123 3 роки тому

    Mashallah nimeipenda naomba lyrics

  • @pearls_sprinkles
    @pearls_sprinkles 3 роки тому +1

    Can I get the lyrics ... Haki nazitafuta if anyone has a link

  • @husnamajid1491
    @husnamajid1491 6 років тому +2

    I appreciate you 👍❤️💯

  • @alexenhbclassiq5023
    @alexenhbclassiq5023 5 років тому +1

    Nakukubali brother

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 3 роки тому

    Qasida zilipendwa,,, safi

  • @anifaabubakar2067
    @anifaabubakar2067 4 роки тому

    Mashaallah nasheed nzur sana

  • @muhdharlali1006
    @muhdharlali1006 5 років тому +2

    I relly like it

  • @Tam_media2548
    @Tam_media2548 6 років тому +4

    Maashallaah

  • @bibiali4113
    @bibiali4113 4 роки тому

    MashaAllah Allah akuzdishie

  • @khadijamakame5369
    @khadijamakame5369 3 роки тому

    Mwatutoa kwa Mtume mwatupeleka kwanani?

  • @aestheticswithfarha
    @aestheticswithfarha 4 роки тому

    mashallah..swallu 3ala nnabii

  • @razansalim532
    @razansalim532 6 років тому +1

    MashaAllah jadha ka Allah kheir 👌🏼👌🏼

  • @muhammadmahadh6995
    @muhammadmahadh6995 6 років тому +2

    Nzuri