NDUGU YANGU, TU BAHARINI NDUGU yangu, Tu baharini twe-nenda, Mji ule, wa 'hadi-Mbi-nguni, Naam, Meli yetu, hakika itafika; Meli yetu, "Neema" itafika. Na bahari ijapochafuka, Na mawimbi, yakipigapiga, Tu-metia na-nga kwa Bwana Ye-su-na, Tutafika, salama salimini; Bandarini Sayuni na furaha. 1st Line Male Sol: Last line Choir Kwa "Neema," Tuna Kapite-ni wetu, Bwana Yesu, aliye-ji-toa, A-tukomboe, na maasi yetu yote; Sisi tuwe, milki yake mwenyewe. Ladies Trio Baharini, Ni machafuko na shida, Usalama, uko kwa-"Ne-ema," Twaa-che mashaka, bandari ni karibu; Wengi wetu, tayari wanshafika. Male Harmony Na wengine, Wana shida baharini, Meli yao, inasu-kwa-sukwa, Na-mi nasema, waingie "Neema;" Tumaini, la wasafiri wote. Ndugu yangu, Kwa nuru yake "Neema," Ninaona, ng'ambo-i ka-ribu, Maa-biria na wamsifu "Neema;" Mfariji, kwa shida za bahari.
Meli Yetu Neema itafika, tuzidi na kumtumaini huyu YESU.
Glory to God
Tukutendereza Yesu.
Tukutendereza yesu
Nanga ni Yesu
Wow,,Bwana asifiwe kwa wokovu
Tendereza yesu
Yesu ndiye Captain wetu. Amen.
Timeless song! Tunatia nanga kwake Yesu.
Please share the lyrics so that we can sing along?
NDUGU YANGU, TU BAHARINI
NDUGU yangu, Tu baharini twe-nenda, Mji ule, wa 'hadi-Mbi-nguni,
Naam, Meli yetu, hakika itafika; Meli yetu, "Neema" itafika.
Na bahari ijapochafuka, Na mawimbi, yakipigapiga,
Tu-metia na-nga kwa Bwana Ye-su-na,
Tutafika, salama salimini; Bandarini Sayuni na furaha.
1st Line Male Sol: Last line Choir
Kwa "Neema," Tuna Kapite-ni wetu, Bwana Yesu, aliye-ji-toa,
A-tukomboe, na maasi yetu yote; Sisi tuwe, milki yake mwenyewe.
Ladies Trio
Baharini, Ni machafuko na shida, Usalama, uko kwa-"Ne-ema,"
Twaa-che mashaka, bandari ni karibu; Wengi wetu, tayari wanshafika.
Male Harmony
Na wengine, Wana shida baharini, Meli yao, inasu-kwa-sukwa,
Na-mi nasema, waingie "Neema;" Tumaini, la wasafiri wote.
Ndugu yangu, Kwa nuru yake "Neema," Ninaona, ng'ambo-i ka-ribu,
Maa-biria na wamsifu "Neema;" Mfariji, kwa shida za bahari.
Tukutendereza Yesu
Ndugu Oturi kweli wewe umetangulia. I believe you are comforted in Jesus’s bosom after a turbulent life. But you won the fight!!
A journey to our Eternal dwelling
Very powerful song loaded with msg!
To God be the groly
Hallelujah to the most High God. God help to cling on the cross
I really miss our revival fellowship. You guys have reminded me a lot
Hold your rank within your position bruh.Look up! Upon the cross,is it heavy?
Good
Wonderful
Tendereza