haitakuja itokee tena wapatikane watu.kama hawa waliopiga hii ngoma mwaka 2002 japo hii video imeditiwa hii ngoma ilipigwa wakina malisi japo ni rip rest in peace msani
Kwa wale tunaojua hii ngoma na wachezaji vitu viwili tofauti wachezaji wanacheza wimbo mwingine na ngoma hapa nyingine Hii ngoma ilipigwaga miaka ya 2002 na hawa ni miaka hivi karibuni nina uhakika huo
Karibu Mara Serengeti kwetu
Wiiiiiiii... , Ichinsiko neembe kweli chaleeye keng'oooni makabhurruta, biringani komakoongo, taaaamu saaana, wenyu wenyu , naifurahia nikiwa capital city Nairobi kenya.
🎉❤
Miaka 100 huy mtu alikuw mfuniko ni noma San acha apumzike kwa Amani huy Mwamba
mtaaalam hii naipataje tafadhari
Ndug zango mnanigusa nilipo mungu awatangulie
Mmi penda sana ngoma zetu 🥰
Sweet home,so proudly my tribe
Hom boy miss sana
haitakuja itokee tena wapatikane watu.kama hawa waliopiga hii ngoma mwaka 2002 japo hii video imeditiwa hii ngoma ilipigwa wakina malisi japo ni rip rest in peace msani
Dah,,, me nlitaka nfatilie apige ritungu kwa harusi yangu mpaka cheeee!!! Kumbe kashakufa,, am sad, ila aliekuw anatisha kinoma, napenda sanaaa
Hongereni sana karbuni dar tufanye mambo
Uyu nishida tunakumbukia eshi hizo
Huyu jamaa anajua sana kupiga kighughu
Aisee abhalentya bhayo nihatari
classic kuria culture
,mokorla bhuyaa bhanabhaitto
Proud to be a kurian lady
waliokuwa wanacheza wanatakiwa kutandikwa bakola aiseee
Hii inaitwa usirudie tena,dah mda mrefu hivo
Nataman nione org ya huu wimbo
tamu sana mura
Asante Sana Kwa litungu tamu lakini mbn fupi
Weito kurya.jamani hadi raha...
Mula ulianza upya kwa nini
Hano ndenge 2022
Hatarii
Hakika wanaweza
Tooo marwa otata ichi siko Chino
Kaka nitumie ibhirango vya mturo chacha otungucha
Haki inapamba
Hapo sawa
Hatari sna
❤❤
Ukuihorla na korleka mombekerle motaghacha kwebha
mmmh hatali
Haaahaa
Tunataka orinal achana na hii editing
Kwa wale tunaojua hii ngoma na wachezaji vitu viwili tofauti wachezaji wanacheza wimbo mwingine na ngoma hapa nyingine
Hii ngoma ilipigwaga miaka ya 2002 na hawa ni miaka hivi karibuni nina uhakika huo
P
Haaahaa