- 647
- 1 200 261
Waso TV
Kenya
Приєднався 25 гру 2019
Informing and Entertaining-Till no. 9215703
WASO TV is Multi-Media online outlet focusing on Breaking News, Politics, Business, Sports, Documentaries and more.
To support this channel - Till no. 9215703
WASO TV is Multi-Media online outlet focusing on Breaking News, Politics, Business, Sports, Documentaries and more.
To support this channel - Till no. 9215703
MATEMBEZI YA UFAHAMU KUHUSU SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI YAFANYIKA ISIOLO
Ikiwa ni mwezi wa uhamasisho kuhusu saratani ya mlango wa kizazi duniani, hapa gatuzi la Isiolo matembezi ya kuwahamisha wakaazi kuhusu saratani hiyo imefanyika.
Matembezi hayo ambayo yameandaliwa na shirika la journey for hope imewaleta pamoja wadau Mbali mbali .
Akizungumza na meza ya runinga ya Waso wakati wa matembezi hayo , Ahmed Seth ambaye ni miongoni mwa washiriki amewahimiza akina mama, wasichana na wanaume kujitokeza kupimwa na kufanyiwa ukaguzi wa mapema wa saratani ya kizazi ( cervical cancer) na ile ya tezi dume yaani prostate cancer ili kuepukana na athari zake .
Naye Joyce Mwende ambaye ni mshirikishi wa kiafya gatuzi la isiolo amesema kuwa matibabu ya ugonjwa huo unapatikana katika hospitali ya rufaa gatuzi la isiolo na pia vituo vya afya mbali mbali .
Amewahimiza akina mama wawe wakifika hospitalini angalau mara moja kwa mwaka kujua hali zao .
Kwa upande wake Brenda Alwenyi ambaye ni mwanzilishi wa shirika la my body , my body amewahimiza vijana kutumia mitandao ya kijamii kuangazia masuala yanayowakabili wasichana hususan saratani ya kizazi .
Bi Alwenyi ametoa wito kwa serikali ya kaunti ya Isiolo kufanya chanjo ya human papillomavirus kuwa nafuu na kupatikana kwa urahisi kwa wasichana ili kuwakinga dhidi ya saratani.
Asha Diba ambaye ni afisa wa afya amesema chanjo ya Hpv ni mojawapo ya mbinu kabambe ya kupambana na saratani ya kizazi miongoni mwa wasichana walio na umri wa miaka 10-14 na akina mama kupokea chanjo hiyo baada ya kufanyiwa uchunguzi hospitalini .
Guyo Fugicha ambaye ni mwanzilishi wa shirika la Journey for Hope ametoa shukrani kwa wadau ambao wamejitokeza kushiriki matembezi hayo ambayo wataendeleza ili kuhamasisha kuzuia saratani hiyo.
Saratani ya mlango wa kizazi ni ya pili kwa kuenea nchini Kenya, ikifuatiwa na saratani ya matiti pekee.
Join this channel to get access to perks:
ua-cam.com/channels/z56_Cq9paqU1WBdhkaVL8g.htmljoin
WASO TV - Informing and Entertaining

Переглядів: 217
Відео
BARABARA ZA WADI YA BULAPESA NA WABERA ZAANZA KUKARABATIWA.
Переглядів 974 години тому
Baadhi ya wakaazi wa Bulapesa wana kila sababu ya kutabasamu hii ni baada ya serikali ya gatuzi la Isiolo chini ya Gavana Abdi Ibrahim Hassan kuendeleza juhudi za kukarabati barabara za wadi hizo. Wakaazi hao wametoa hisia zao za kudhihirisha kurudhishwa kwao nah atua hiyo ya serikali ya gatuzi hili. Yarre Mohammed ambaye ni mkaazi wa bula pesa ametoa shukrani kwa gavana Guyo kwa kuwafikishia m...
SHEIKH ABDIRAHMAN SIIQUMNEY, SIHIMANA FULA ADHAT
Переглядів 1,9 тис.14 днів тому
BORANI ADHA IKAB JETE, NUARAPSITE BUTUTU NURABAFTE, NUKUFARSITANI MAQA NUYAKITH. Join this channel to get access to perks: ua-cam.com/channels/z56_Cq9paqU1WBdhkaVL8g.htmljoin WASO TV - Informing and Entertaining
RAHMA DIDA HAALO TATE YABAFATMO TADIBIT HAF
Переглядів 6 тис.14 днів тому
RAHMA DIDA ALAUMIWA KWA KUHUJUMU SHEREHE YA JAMII YA BORANA AMBAE HUADHIMISHWA KILA MWISHO WA MWAKA, 31 DEC. Join this channel to get access to perks: ua-cam.com/channels/z56_Cq9paqU1WBdhkaVL8g.htmljoin WASO TV - Informing and Entertaining
JAMII YA AMERU YATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA GAVANA GUYO KWA UTEUZI WA MAWAZIRI
Переглядів 30814 днів тому
Sherehe ya kushukuru kuteuliwa kwa Lucy Kaburu kuwa waziri kwa serikali ya Gavana Guyo yafanyika. Mbwembwe, vifijo, vigelegele na nyimbo zilitawala sherehe ya kushukuru kuteuliwa kwa Lucy kaburu kuwa waziri wa afya na gavana Abdi Ibrahim Hassan hapa isiol . Akizungumza wakati wa sherehe hizo bi Lucy Kaburu amesema wadhifa ambao amekabidhiwa na Gavana Guyo ataitekeleza ipasavyo huku akisisitiza ...
WAKAAZI WA ISIOLO WAKASHIFU WANASIASA WANAOMCHAFULIA JINA MOHAMED LIBAN
Переглядів 1,4 тис.21 день тому
Baadhi ya wakaazi wa Isiolo wamejitokeza na kutoa kauli zao kuwakashifu baadhi ya wanasiasa kumchafulia jina Katibu wa kudumu katika wizara ya petroli na kawi Mohamed Liban . Ibrahim wako ambaye ni ambaye ni mkaazi amesema kuwa wanamshukuru rais William Ruto kwa kumteua bwana Liban kuchukua wadhifa huo , akiongeza kusema yeye ni mchapa kazi na kusisitiza kazi yake imeanza kuonekana . Naye Japhe...
Mashindano ya Mpira wa Kabumbu kuwania kombe la Gavana Guyo yafika mchujo wa robo fainali
Переглядів 293Місяць тому
Join this channel to get access to perks: ua-cam.com/channels/z56_Cq9paqU1WBdhkaVL8g.htmljoin WASO TV - Informing and Entertaining
GAVANA GUYO AFANYA ZIARA YA KIMAENDELEO KATIKA KATA YA OLDONYIRO
Переглядів 131Місяць тому
GAVANA GUYO AFANYA ZIARA YA KIMAENDELEO KATIKA KATA YA OLDONYIRO
HIFADHI YA NASUULU YAZINDUA AWAMU YA PILI YA MPANGO WA KUWAINUA KIUCHUMI VIKUNDI HAMSINI NA NANE
Переглядів 48Місяць тому
HIFADHI YA NASUULU YAZINDUA AWAMU YA PILI YA MPANGO WA KUWAINUA KIUCHUMI VIKUNDI HAMSINI NA NANE
SHIRIKA LA PEPO LA TUMAINI LAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
Переглядів 157Місяць тому
SHIRIKA LA PEPO LA TUMAINI LAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
KAMPENI DHIDI YA DHULMA ZA KIJINSIA YAFANYIKA ISIOLO
Переглядів 120Місяць тому
KAMPENI DHIDI YA DHULMA ZA KIJINSIA YAFANYIKA ISIOLO
GAVANA GUYO AHUDHURIA HAFLA YA UJENZI WA KANISA LA EAPC ISIOLO
Переглядів 605Місяць тому
GAVANA GUYO AHUDHURIA HAFLA YA UJENZI WA KANISA LA EAPC ISIOLO
ZAIDI YA FAMILIA 1000 WANUFAIKA NA VYAKULA HUKU VIKUNDI 34 VYA KINA MAMA WAINUKA KIUCHUMI SERICHO.
Переглядів 2862 місяці тому
ZAIDI YA FAMILIA 1000 WANUFAIKA NA VYAKULA HUKU VIKUNDI 34 VYA KINA MAMA WAINUKA KIUCHUMI SERICHO.
TAASISI YA MAFUNZO YA UHURU YAPATA UFADHILI KUTOKA SAFARICOM
Переглядів 672 місяці тому
TAASISI YA MAFUNZO YA UHURU YAPATA UFADHILI KUTOKA SAFARICOM
SECURITY HEIGHTENED IN ISIOLO COUNTY OVER CATTLE RUSTLING
Переглядів 6412 місяці тому
SECURITY HEIGHTENED IN ISIOLO COUNTY OVER CATTLE RUSTLING
MIRADI 21 INAYOGHARIMU KIMA CHA SHILINGI MILIONI 700 KUTEKELEZWA ISIOLO
Переглядів 4232 місяці тому
MIRADI 21 INAYOGHARIMU KIMA CHA SHILINGI MILIONI 700 KUTEKELEZWA ISIOLO
CLIMAX OF BUNGE MASHINANI SERICHO WARD
Переглядів 1962 місяці тому
CLIMAX OF BUNGE MASHINANI SERICHO WARD
FAMILIA KUACHWA BILA MAKAO BAADA YA MOTO KUTEKETEZA NYUMBA YAO
Переглядів 672 місяці тому
FAMILIA KUACHWA BILA MAKAO BAADA YA MOTO KUTEKETEZA NYUMBA YAO
HUDUMA YA RADIOLOJIA NA UPASUAJI YAZINDULIWA KATIKA HOSPITALI YA KATA YA GARBATULLA GATUZI LA ISIOLO
Переглядів 432 місяці тому
HUDUMA YA RADIOLOJIA NA UPASUAJI YAZINDULIWA KATIKA HOSPITALI YA KATA YA GARBATULLA GATUZI LA ISIOLO
MRADI WA KUPAMBANA NA NZIGE UMENUFAISHA WAKULIMA NA WAFUGAJI WA ISIOLO
Переглядів 1212 місяці тому
MRADI WA KUPAMBANA NA NZIGE UMENUFAISHA WAKULIMA NA WAFUGAJI WA ISIOLO
SHEREHE YA SIKUKUU YA MASHUJAA 2024 YAFANYIKA ISIOLO
Переглядів 2942 місяці тому
SHEREHE YA SIKUKUU YA MASHUJAA 2024 YAFANYIKA ISIOLO
WAHUDUMU 30 WA AFYA WATUMWA HOSPITALI YA RUFAA YA ISIOLO, GARBATULLA NA MERTI.
Переглядів 1,3 тис.3 місяці тому
WAHUDUMU 30 WA AFYA WATUMWA HOSPITALI YA RUFAA YA ISIOLO, GARBATULLA NA MERTI.
HISIA MSETO ZASHUHUDIWA ISIOLO KWA KUBANDULIWA KWA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA
Переглядів 5193 місяці тому
HISIA MSETO ZASHUHUDIWA ISIOLO KWA KUBANDULIWA KWA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA
"SHERIA YA KIISLAMU IZINGATIWE KATIKA HARUSI", ASISITIZA KHADHI WA ISIOLO
Переглядів 7953 місяці тому
"SHERIA YA KIISLAMU IZINGATIWE KATIKA HARUSI", ASISITIZA KHADHI WA ISIOLO
ISIOLO YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA UFAHAMU WA WALEMAVU WA KUSIKIA
Переглядів 2033 місяці тому
ISIOLO YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA UFAHAMU WA WALEMAVU WA KUSIKIA
SHEREHE YA UTAMADUNI YAFANYIKA KATIKA SHULE YA LITTLE ANGELS ISIOLO
Переглядів 9173 місяці тому
SHEREHE YA UTAMADUNI YAFANYIKA KATIKA SHULE YA LITTLE ANGELS ISIOLO
JAMII YA TURBI YAWASILISHA STAKABADHI ZA ARDHI YAO ISAJILIWE KUWA YA JAMII
Переглядів 4323 місяці тому
JAMII YA TURBI YAWASILISHA STAKABADHI ZA ARDHI YAO ISAJILIWE KUWA YA JAMII
WASO TV PARTING SHOT FROM THE SECURITY MEETING HELD IN ISIOLO COUNTY
Переглядів 2443 місяці тому
WASO TV PARTING SHOT FROM THE SECURITY MEETING HELD IN ISIOLO COUNTY
MKUTANO WA USALAMA WAFANYIKA ISIOLO, IKIHUDHURIWA NA WAKUU WA MIKOA YA MASHARIKI NA BONDE LA UFA
Переглядів 4463 місяці тому
MKUTANO WA USALAMA WAFANYIKA ISIOLO, IKIHUDHURIWA NA WAKUU WA MIKOA YA MASHARIKI NA BONDE LA UFA
Kayole nasole🎉🎉🎉
Munatumiwa vibaya na politicians
Munatumiwa vibaya wacheni social media Kuna wazee wa borana wenye wanajua kusuluhisha maneno
Sent By Kayole the criminal & Mumina his Side Dish
Wachaneni na rahma dida 2027 ye ndo governor Bora ajitokeze aseme ka anataka
Nyinyi Wanawake wacheni Mama Rehema alone, Kayole anawatumia vibaya.
ado wolnkashifina akdansa wolkabenda .
Akuna aja muchafue jina ya Rehema kwa social media,Rehema anajulikana sana kwa kusaidia wananchi,kutumwa mumetumwa na siz mumina na kayole,
Facts ❤
Kwani siku yote muna omba pesa
Lesson of the day don't depend on politicians or people in power they can never recognise you
Poleni sana.
Kun Ada bira Yaa Dina fudhadha
Second edition pia tutabeba💚💚💪
Good job mzee wetu Liban
Liban achana naye, angalieni kazi yake ,hiyo kina ni nguvu
Chikicha the hand out man
Mohamed Abdullahi m.a ❤🎉
❤❤❤❤❤❤ allahuma barikii all the student
Ameshindwa kutengeza stadium..so shameful
Speaker ni mtu wa Manchester 😅
Ukweli ikisemwa munamute?
Bure
Umeogea ukweli bro you are a leader my Brother 🙏♥️ tusimame na watu wetu ❤️
Na iresa boru Umesaulika ivo hii mwaka tano kama ni endeleni 2
sasa wanachimba kisima kambi samaki ilihali iresaboru with 7k population has no water
Galatom Ibrahim rashid
mzee alipoongelea lack of dawa kwa hospitali mumemute is this realy representative of looking for mileages
seriously kikoi kwa bunge is that realy mode of dress in chamber
Complete lies the same county government is paying Ghost workers, but your tactics are to visit remote areas of Isiolo because you know there are vulnerable people there who you can use by lying to them with small amounts of money! The mortuary hasnt been working for God knows how long, there is theft everywhere in the county and this same clerk couldn't answer simple questions infront of the senate you are all thieves! Shame on you all you steal from the most vulnerable people in Society!
Too late kwanza senete after that ndio kukutana
Wapi kayole kkkkkkk
Congratulations Aba Sora , Abdifatah and 28 others
🎉
Je katika sheria ya mwizi, mzinifu, mlevi, mlawiti mwaipitishaje enyi maulamaa wetu???? ALLAH Kufahamishini muingie ktk uislamu waziwa wazima si kuoa kurithi na kuachana tu.
❤
guyo congratulatiopn 4 ur good job in our county 011 2027 Ishallah ondoa wasiwasi juu we still love u guyo may ALLLAH take care of us to 2027 to vote 4 Guyo
Good job Esther 🎉❤
This is really great Esther. Keep it up
It was great having you, and thank you for the support 🙏
It's true that lack of policy framework that accommodate all community members together to discuss their lasting solutions, good work we will join you ,
Handouts
The empowerment project targeted the Governor's voter rich blocks, leaving behind the most deserving youths and women from the minority communities.
Who is he ?
Thats my mam Raliya ali mohamed
💗💗💗💗💗💗💗tuendelee Mbele
Junet Issa and Abdifatah Issa❤❤❤ mashaAllah
Nasteha Issa❤❤❤❤mashaAllah
The should address issue on poor performance
Kayole insha'Allah 2027 tuko pmja
The true leadership