- 7
- 1 088
Deusdedit Ng'holombi
Приєднався 13 гру 2017
Відео
Kilimo Cha Embe Kipalapala TABORA
Переглядів 952 місяці тому
(Mango Farming at Kipalapala TABORA) AINA ZA EMBE ZA KISASA
Kilimo Cha Embe - Kipalapala TABORA (Mango farming at Kipalapala TABORA)
Переглядів 2635 місяців тому
Aina za Miembe ya Kisasa
Mbona tunaona muembe 1 tu
Fuatilia channel yetu tumeelezea na aina zingine
Nimependa sana nami ipo siku ntakua kama wewe
Karibu sana
Naomba mawasiliano Yako nije kutembelea maana na Mimi najiandaa kuanzisha kilimo Cha embe@@deusdeditngholombi6124
Baba hizo embe zlichukua mda gan kuanza kuzaaa na umwagiliaji ulikuaje mwanzoni ikiwa miche
Asante kwa swali lako, tupigie 0764601903 pia Wsp
Ubaya wako haujajibu swali langu....Mimi Ni mkenya .Kwa maktaba yavideo vyako nimekuliza swali Lakini wapi majibu
Mbona nilikujibu?
Lqbda niulize tena ndugu...
Fuatilia channel yetu tùmeelezèa aina zingine pia
Fuatilia channel yetu tùmeelezèa aina zingine pia
Weka video tuone ....Leo nimeona maaembe nyeupe .
Embe zikianza kuiva tutazionyesha kwenye video
Mimi Ni mkenya.hapa Tabora Ni wapi?. Napenda video zako
Asante kwa kupenda video zetu Hapa Tabora tuko Kipalapala. Ni mwendo wa dakika 5 kwa Bodaboda ukifika nipigie 0784325436