MwanaKijiji
MwanaKijiji
  • 173
  • 86 789

Відео

TIZEBA AIPONGEZA SERIKALI KUJA NA MBOLEA YA RUZUKU, AISHAURI ASA
Переглядів 66Рік тому
TIZEBA AIPONGEZA SERIKALI KUJA NA MBOLEA YA RUZUKU, AISHAURI ASA
MKOA WA KAGERA KUANZA KULIMA NGANO
Переглядів 1822 роки тому
MKOA WA KAGERA KUANZA KULIMA NGANO
NGARAMTONI ARUSHA
Переглядів 632 роки тому
NGARAMTONI ARUSHA
ASA
Переглядів 112 роки тому
ASA
ASA WASAINI MKATABA WA BIL.18 NA KAMPUNI YA PRO AGRO-GLOBAL LTD WA KUFUNGA MITAMBO YA UMWAGILIAJI.
Переглядів 3422 роки тому
ASA WASAINI MKATABA WA BIL.18 NA KAMPUNI YA PRO AGRO-GLOBAL LTD WA KUFUNGA MITAMBO YA UMWAGILIAJI.
HUU NDIO UCHUMI WA H/M YA MANISPAA YA SUMBAWANGA.MKURUGENZI AWEKA FURSA ZA KIUCHUMI KWA SUMBAWANGA.
Переглядів 1182 роки тому
KILIMO NDIO FURSA KUU ZA KIUCHUMI KWA MANISPAA YA SUMBAWANGA
RC,BATILDA AFRAHISHWA NA KILICHOFANYIKA IGUNGA
Переглядів 52 роки тому
RC,BATILDA AFRAHISHWA NA KILICHOFANYIKA IGUNGA
TUMEFANYA KAZI KWA AMANI KIPINDI CHOTE
Переглядів 92 роки тому
TUMEFANYA KAZI KWA AMANI KIPINDI CHOTE
KAMATI YA UKAGUZI
Переглядів 152 роки тому
KAMATI YA UKAGUZI
MAABARA YA WAKALA WA MBEGU
Переглядів 142 роки тому
MAABARA YA WAKALA WA MBEGU
Uzalishaji wa Mbegu ASA WAONGEZEKA.
Переглядів 1022 роки тому
Uzalishaji wa Mbegu ASA WAONGEZEKA.
COMPASSION
Переглядів 82 роки тому
COMPASSION
ASA WAJA NA MBEGE BORA TABORA
Переглядів 822 роки тому
ASA WAJA NA MBEGE BORA TABORA
Wakala wa Mbegu za Kilimo ASA Arusha, Waja kivingine Maonesho ya Nane Nane 2022
Переглядів 2742 роки тому
Wakala wa Mbegu za Kilimo ASA Arusha, Waja kivingine Maonesho ya Nane Nane 2022
SUNGUSUNGU MSIVUNJE SHERIA KATIKA KUKAMATA WAHALIFU "RPC TABORA"
Переглядів 1192 роки тому
SUNGUSUNGU MSIVUNJE SHERIA KATIKA KUKAMATA WAHALIFU "RPC TABORA"
VYUO VYA KATI VYAOMBA SERIKALI KUFIKIRI KUWAPA MIKOPO WANAFUNZI
Переглядів 102 роки тому
VYUO VYA KATI VYAOMBA SERIKALI KUFIKIRI KUWAPA MIKOPO WANAFUNZI
WIZARA YA KILIMO YAZINDUA SHAMBA LA VIJANA.
Переглядів 1,2 тис.2 роки тому
WIZARA YA KILIMO YAZINDUA SHAMBA LA VIJANA.
SONGWE,MBEYA WAPONGEZA WAKALA WA MBEGU
Переглядів 152 роки тому
SONGWE,MBEYA WAPONGEZA WAKALA WA MBEGU
#asa#sunflower: MBEGU BORA ZA ALIZETI ZALETA MATOKEO CHANYA
Переглядів 412 роки тому
#asa#sunflower: MBEGU BORA ZA ALIZETI ZALETA MATOKEO CHANYA
Hii ndio Mbegu bora ya Mpunga Saro 5 TXD 306 Kutoka TARI na Sasa inazalishwa na ASA.
Переглядів 5452 роки тому
Hii ndio Mbegu bora ya Mpunga Saro 5 TXD 306 Kutoka TARI na Sasa inazalishwa na ASA.
UZALISHAJI WA MPUNGA UNAONGEZEKA LAKINI WATU NAO WANAONGEZEKA PIA
Переглядів 32 роки тому
UZALISHAJI WA MPUNGA UNAONGEZEKA LAKINI WATU NAO WANAONGEZEKA PIA
UZALISHAJI WA MPUNGA UNAONGEZEKA LAKINI WATU NAO WANAONGEZEKA PIA
Переглядів 72 роки тому
UZALISHAJI WA MPUNGA UNAONGEZEKA LAKINI WATU NAO WANAONGEZEKA PIA
MAKALA MAALUMU KUHUSU MAFANIKIO NA MAJUKUMU YA SHAMBA LA WAKALA WA MBEGU ASA - NGARAMTONI ARUSHA
Переглядів 912 роки тому
MAKALA MAALUMU KUHUSU MAFANIKIO NA MAJUKUMU YA SHAMBA LA WAKALA WA MBEGU ASA - NGARAMTONI ARUSHA
ASA WAMPONGEZA HAYATI.MWL.NYERERE KWA KUTENGA MASHAMBA YA MBEGU BORA
Переглядів 172 роки тому
ASA WAMPONGEZA HAYATI.MWL.NYERERE KWA KUTENGA MASHAMBA YA MBEGU BORA
DC KILOSA AWAFUNDA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Переглядів 82 роки тому
DC KILOSA AWAFUNDA WAKULIMA NA WAFUGAJI
TANESCO YAWATAKA WANANCHI KUTUMIA HUDUMA MPYA YA NI -KONEKT KUOMBA HUDUMA YA KUUNGANISHIWA UMEME
Переглядів 2042 роки тому
TANESCO YAWATAKA WANANCHI KUTUMIA HUDUMA MPYA YA NI -KONEKT KUOMBA HUDUMA YA KUUNGANISHIWA UMEME
MWANAFUNZI WA DARASA LA 6 ANG'ARA KWA UANDISHI WA INSHA TABORA .
Переглядів 402 роки тому
MWANAFUNZI WA DARASA LA 6 ANG'ARA KWA UANDISHI WA INSHA TABORA .
ASA KUWAWEZESHA WAKULIMA KULIMA KILIMO CHENYE TIJA
Переглядів 162 роки тому
ASA KUWAWEZESHA WAKULIMA KULIMA KILIMO CHENYE TIJA
ASA, TOSCI NA TARI KUMALIZA TATIZO LA UAGIZAJI WA NGANO KUTOKA NCHI ZA NJE
Переглядів 142 роки тому
ASA, TOSCI NA TARI KUMALIZA TATIZO LA UAGIZAJI WA NGANO KUTOKA NCHI ZA NJE

КОМЕНТАРІ

  • @HakiAmani-iq4fn
    @HakiAmani-iq4fn Місяць тому

    Chochote kizur huwez kusifiwa mahana watu wengi fikra zimefugwa wanawaza tu kinyaa mwenzako anaingiza mpunga

  • @HakiAmani-iq4fn
    @HakiAmani-iq4fn Місяць тому

    Hii ni fursa kubwa kwanza protein ni shida asa kwa kuku mm namuona uyu dada akiwezeshwa anaweza kuwasaidia wafugaji

  • @paschazianestorymatunda6490
    @paschazianestorymatunda6490 4 місяці тому

    Msitumie mbolea za kisasa jamani

  • @GuzuraGuzura
    @GuzuraGuzura 5 місяців тому

    Mnatuchanganya bna, michikikichi n bure, au n hela? Na km n hela n sh ngap?

  • @RugeiyamuKahwa
    @RugeiyamuKahwa 6 місяців тому

    Shamba hili liko maeneo gani mkoani Kagera ili twende kuona na kujifunza?

  • @emmanuelgadau266
    @emmanuelgadau266 10 місяців тому

    Uko MKOA Gani?

  • @emmanuelgadau266
    @emmanuelgadau266 10 місяців тому

    Hongera sana

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 10 місяців тому

    Nahitaji mawasiliano yako please

  • @selemanijilla5978
    @selemanijilla5978 11 місяців тому

    Acha habari zisizo na ukweli aje kuchuka Miche wapi kigoma Miche inauzwa tsh3000/6000 taja eneo lenye Miche hiyo

  • @abdallahkumbi7120
    @abdallahkumbi7120 Рік тому

    Waziri Hussein Bashe mungu akupe Afya njema na umri MREFU, uzidi kutuwekea mazingira mazuri ya kilimo; PAMOJA NA PONGEZI HIZO SISI WAKULIMA WA MKONGE BONDE LA MTO UMBA WILAYANI LUSHOTO TUMEJITOA NA KUITIKIA MWITO WA KILIMO HICHO TUKIJUA UTAJIRI KWETU UNAKARIBIA LAKINI TUNAISHIA KUNYONWA KWA KUUZA MAJANI YA MKONGE BADALA YA BRUSHI. MH WAZIRI KAMA UJUAVYO KATANI INAHITAJI MASHINE YA KUCHAKATA BRUSH AMBAPO WAKULIMA WADOGO HATUNA UWEZO WA KUNUNUA CORONA KITU KINACHOSABABISHA TUUZE MAJANI, SHAMBA LA MKONGE MNAZI NDIYO SEHEMU TEGEMEO YA KUTUOKOA KWA KUCHAKATA MKONGE WETU KISHA TUMUUZIE LAKINI UTARATINU HUO WILAYANI LUSHOTO HAUPO ISIPOKUWA KOROGWE NA MAENEO MENGINE. TUNAOMBA UTUSAIDIE TUPATE FAIDA YA MKONGE WETU ASANTE ABDALLAH SALIM KUMBI - MKULIMA WA MKONGE MNAZI

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 Рік тому

    Mbogu mzuri sana

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 Рік тому

    Kazi ya kutawaza Bata hiyo

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 Рік тому

    Kwanini huo utaratibu wa mbolea ya ruzuku usiwe wakudumu kuliko kulazimika kununua mbolea kutoka nje yanchi kwani hizo nchi zenyewe alizo zitaja Bashe zinaongozwa na mitume kusemakwamba kwa Tanzania haiwezi kufanya hivyo

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 Рік тому

    Tunaomba namba zenu

  • @jastinmollel9592
    @jastinmollel9592 Рік тому

    Mfuko Moja ni pesa ngapi

  • @annesmatemu4264
    @annesmatemu4264 Рік тому

    Uko wapi

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 Рік тому

    Yani unajisifia mbegu ni nzuri kwenye kunia 5 au kumi

  • @nathanielsteven2186
    @nathanielsteven2186 2 роки тому

    Ni wilaya gani hii?embu nijuze nifike hapo tuonane

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 2 роки тому

    Mkoa wa Kagera inaweza kuwa kitovu cha uzalishaji mazao ya kilimo. Mkoa huu haukupewa kipaumbele katika mipango ya maendeleo kupitia kilimo.

  • @bakarygau3044
    @bakarygau3044 2 роки тому

    Wap mnapatikana wap

  • @mussanassoro552
    @mussanassoro552 2 роки тому

    Bashe ww ni kiboko

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 2 роки тому

    Wapenzi wa Mazoezi pita hapa subscribe channel yetu Kwa video za Mazoezi kupunguza uzito kuongeza misuli kujenga mwili

  • @ramsonramadhan4156
    @ramsonramadhan4156 2 роки тому

    🥰

  • @Zahrazahra-ue7bp
    @Zahrazahra-ue7bp 2 роки тому

    Ongera mimi nataka mbegu nitaipataje

  • @leonardmhagama5828
    @leonardmhagama5828 2 роки тому

    Glory to God its all about seed quality and food safety

  • @mishomalluben5628
    @mishomalluben5628 2 роки тому

    Nahitaji mbegu zaarizeti morogoro maduka ya asa wapi natokea pwani msaada tafazari

  • @simionmarwa7335
    @simionmarwa7335 2 роки тому

    Hongereni Sana. Tuko pamoja kazi iendelee

  • @malikkb6444
    @malikkb6444 2 роки тому

    Hongera sana waziri. Wazo Zuri sana na nimkombozi wa kilimo chetu na uchumi wetu kwa jumla.Hii project ifanywe mikoa yote yenye potential ya umwagiliaji.

  • @kikoremway7458
    @kikoremway7458 2 роки тому

    Ni wap huko ndugu nasi tuje

  • @paulkamwezile2923
    @paulkamwezile2923 2 роки тому

    Mimi niko GEITA tayari nilishalipia umeme tangu Mwezi wa Mei 2022 lakini mpaka sasa sijaungnishiwa umeme ninalala gizani!

  • @kajunakalugaba5269
    @kajunakalugaba5269 2 роки тому

    Namba yako ya simu chief

  • @akimuwaziri4089
    @akimuwaziri4089 2 роки тому

    Alafu mnafanana nazo hatasura

  • @jahakaducha3291
    @jahakaducha3291 2 роки тому

    Kazi nzuri

  • @mwinjumaganga2995
    @mwinjumaganga2995 2 роки тому

    Kilimo ni pesa wew hapo unetumia Hela nying sana kilima mkono ni kuhangaika tu

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 Рік тому

      Mwambie bana shida ya watu huwaga hawasemi ukweli hakuna kitu rahisi ww mm nimelima heka 15 mpaka sasahivi sijaotesha lakin nimesha tumia milion 3 sasa jiuze mpaka nioteshe na ifikie tu kukomaa siyo chini ya milioni 5 hapa sijui Kama kunakupata au kukosa acha mchezo hakuna mtu ambaye hapendi kufanikiwa kilimo nikama mgodi tu wa madini unaweza piga Moto hata miaka 5 nausipate kile unacho hitaji

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 роки тому

    Ikuta misuzi ni wapu huko

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 роки тому

    Hii mbegu ya ASA mmh mbona Mimi imeniamgusha au ni ASA iPi?

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 роки тому

    Jamani nisaidieni na mimi Nina eka zangu 2 mlandizi sijui nilime nini. Naomba mwenye utaalamu anisaidie kwa ushauri

    • @rinaldaoman7892
      @rinaldaoman7892 2 роки тому

      My kila mkoa una mazao yake. Mlandizi kunastawi nanasi, mihogo na viazi vitamu

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 2 роки тому

      @@rinaldaoman7892 ndo hivyo ndugu utaalamu wa kulima na sehemu ya kupata mbegu ndo sijui nikipata mtu akinielwkeza nitashukuru

  • @elizabethmarcello7349
    @elizabethmarcello7349 2 роки тому

    Bei gani guniaa

  • @elizabethmarcello7349
    @elizabethmarcello7349 2 роки тому

    Hybrid

  • @ramadhanabas4455
    @ramadhanabas4455 2 роки тому

    Je mbegu hiyo inafaa hata Kwa wilaya ya Bagamoyo?

  • @ramadhanabas4455
    @ramadhanabas4455 2 роки тому

    Ni mbegu gani hiyo unayolima?

  • @christophernyambaza7587
    @christophernyambaza7587 2 роки тому

    Mawasilisho

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 2 роки тому

    Hongera sana

  • @kulwamussa3612
    @kulwamussa3612 2 роки тому

    Vijana wanaogopa kulima wanawaza hasala badala yakuwaza wajikomboe vipi kimaisha mjini kwenyewe hawana wanalorifanya tatizo lawatala wanataka mgawane hajibule kilimo niutalam kwamimi nilie zaliwa vijijini nafaham vizuli kilimo chakisasa kinahitaji nini kwanza zaokama hili lazima uandae pesa yakutosha ili kiskupe shida badae iwe lahisi kwako

  • @mwerindejacksom4390
    @mwerindejacksom4390 2 роки тому

    Du ulivo mzurihiv unakulamende

  • @charlesmaige2227
    @charlesmaige2227 2 роки тому

    Kwa hao wadudu tutumie dawa gn maana ixhakua changamoto sana

  • @charlesmaige2227
    @charlesmaige2227 2 роки тому

    Samahan ningependa kuuliza I've hua kunamashine za kupukuchua alizeti

  • @danielsimwanza1046
    @danielsimwanza1046 2 роки тому

    Tuonaomba namba zake za simu kwa uzoefu Zaid na sisi tunafanya kilimo Kama yeye ni kikund Cha vijana

  • @athmanndeje3425
    @athmanndeje3425 2 роки тому

    Which type of irrigation?

  • @abdillahmaulid6941
    @abdillahmaulid6941 2 роки тому

    Asa waje kusini tuamaeneo makubwa na mazuri kwa kilimo Cha alizeti