Mzalendo Tanzania
Mzalendo Tanzania
  • 809
  • 203 871

Відео

INASIKITISHA! MWANAHARAKATI AWAONYA CHIEF GODLOVE, BABA LEVO BAADA KISA MISAADA KWA YATIMA
Переглядів 69 годин тому
#MZALENDOTV Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@sautiyamzalendo ►INSTAGRAM: mzalendotv_online ►TWITTER: mzalendomedia_ ►FACEBOOK: mzalendomedia ►WEBSITE: mzalendohabaritz.blogspot.com
INASIKITISHA! MWANAHARAKATI AWAONYA CHIEF GODLOVE, BABA LEVO BAADA KISA MISAADA KWA YATIMA
Переглядів 49 годин тому
#MZALENDOTV Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@sautiyamzalendo ►INSTAGRAM: mzalendotv_online ►TWITTER: mzalendomedia_ ►FACEBOOK: mzalendomedia ►WEBSITE: mzalendohabaritz.blogspot.com
POLISI SIO WATEKAJI, SIASA ZIMEINGIA KUICHAFUA SERIKALI, CHADEMA WAMESHINDWA SIASA
Переглядів 512 годин тому
#MZALENDOTV Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@sautiyamzalendo ►INSTAGRAM: mzalendotv_online ►TWITTER: mzalendomedia_ ►FACEBOOK: mzalendomedia ►WEBSITE: mzalendohabaritz.blogspot.com
TLS NA TARO KUSAIDIA UPATIKANAJI SHERIA BORA YA SANAA ITAKAYOENDANA NA TEKNOLOGIA
Переглядів 514 днів тому
TLS NA TARO KUSAIDIA UPATIKANAJI SHERIA BORA YA SANAA ITAKAYOENDANA NA TEKNOLOGIA
MAADHIMISHO SIKU YA UVUVI DUNIANI WADAU WAFUNGUKA UVIVU HATARI KWA VIUMBE WA MAJINI
Переглядів 621 день тому
#MZALENDOTV Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@sautiyamzalendo ►INSTAGRAM: mzalendotv_online ►TWITTER: mzalendomedia_ ►FACEBOOK: mzalendomedia ►WEBSITE: mzalendohabaritz.blogspot.com
HATUTAKI VURUGU KWENYE UCHAGUZI HUU, TULINDE AMANI | WAPINZANI WAONYANA VURUGU KWENYE UCHAGUZI
Переглядів 2021 день тому
#MZALENDOTV Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@sautiyamzalendo ►INSTAGRAM: mzalendotv_online ►TWITTER: mzalendomedia_ ►FACEBOOK: mzalendomedia ►WEBSITE: mzalendohabaritz.blogspot.com
WALICHOKISEMA THRDC KUPOROMOKA JENGO KARIAKOO | KUREJESHWA HUDUMA NGORONGORO | UCHAGUZI SERIKALI...
Переглядів 321 день тому
WALICHOKISEMA THRDC KUPOROMOKA JENGO KARIAKOO | KUREJESHWA HUDUMA NGORONGORO | UCHAGUZI SERIKALI...
WAZIRI MKUU AMUONYA NIFFER KUCHANGISHA MICHANGO YA MAJANGA KARIAKOO
Переглядів 521 день тому
#MZALENDOTV Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@sautiyamzalendo ►INSTAGRAM: mzalendotv_online ►TWITTER: mzalendomedia_ ►FACEBOOK: mzalendomedia ►WEBSITE: mzalendohabaritz.blogspot.com
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UWEZESHAJI TAASISI ZA UMMA YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BENKI YA TCB
Переглядів 221 день тому
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UWEZESHAJI TAASISI ZA UMMA YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BENKI YA TCB
BENKI YA BIASHARA TANZANIA (TCB) YAZINDUA\rLIPA POPOTE KURAHISISHA MALIPO KWA\rWAFANYABIASHARA
Переглядів 128 днів тому
BENKI YA BIASHARA TANZANIA (TCB) YAZINDUA\rLIPA POPOTE KURAHISISHA MALIPO KWA\rWAFANYABIASHARA
TAMISEMI YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI KURIPOTI MATUKIO YA UCHAGUZI
Переглядів 428 днів тому
#MZALENDOTV Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@sautiyamzalendo ►INSTAGRAM: mzalendotv_online ►TWITTER: mzalendomedia_ ►FACEBOOK: mzalendomedia ►WEBSITE: mzalendohabaritz.blogspot.com
WANASHERIA WANGU WALINISAIDIA KUJAZA FOMU, SIJAENGULIWA/ MGOMBEA ASIMULIA ALIVYORUKA MTEGO
Переглядів 1428 днів тому
#MZALENDOTV Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@sautiyamzalendo ►INSTAGRAM: mzalendotv_online ►TWITTER: mzalendomedia_ ►FACEBOOK: mzalendomedia ►WEBSITE: mzalendohabaritz.blogspot.com
HAPATOSHI WALIOENGULIWA CHADEMA ACT WATINGA KWA MTENDAJI OFISI YALINDWA NA POLISI
Переглядів 7Місяць тому
#MZALENDOTV Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►UA-cam: www.youtube.com/@sautiyamzalendo ►INSTAGRAM: mzalendotv_online ►TWITTER: mzalendomedia_ ►FACEBOOK: mzalendomedia ►WEBSITE: mzalendohabaritz.blogspot.com
KITUO CHA AFYA KILICHOJENGWA NA RAIS SAMIA WADAU WAKIPA MSAADA WA SAMANI KUBORESHA HUDUMA
Переглядів 10Місяць тому
KITUO CHA AFYA KILICHOJENGWA NA RAIS SAMIA WADAU WAKIPA MSAADA WA SAMANI KUBORESHA HUDUMA
VILIO KILA KONA WAPINZANI KUENGULIA KWENYE UCHAGUZI ACT WATOA TAMKO
Переглядів 3Місяць тому
VILIO KILA KONA WAPINZANI KUENGULIA KWENYE UCHAGUZI ACT WATOA TAMKO
KAMA UMEENGULIWA HUJARIDHISHWA NA MAAMUZI KAKATE RUFAA WAZIRI MCHENGERWA
Переглядів 4Місяць тому
KAMA UMEENGULIWA HUJARIDHISHWA NA MAAMUZI KAKATE RUFAA WAZIRI MCHENGERWA
OCODE YATOA MAFUNZO BABU KUBWA YA STADI ZA MAISHA BAGAMOYO
Переглядів 51Місяць тому
OCODE YATOA MAFUNZO BABU KUBWA YA STADI ZA MAISHA BAGAMOYO
MLUYA NA MCHENGERWA WATIFUATA VIKALI KISA UCHAGUZI WA S/ ZA MITAA, AMPA ONYO NA WASIMAMIZI WAKE
Переглядів 5Місяць тому
MLUYA NA MCHENGERWA WATIFUATA VIKALI KISA UCHAGUZI WA S/ ZA MITAA, AMPA ONYO NA WASIMAMIZI WAKE
MAKACHU WA FORODHANI WAFANYA BALAA COCOBEACH WAPIGWA FREE STYLE BILA UOGA
Переглядів 4Місяць тому
MAKACHU WA FORODHANI WAFANYA BALAA COCOBEACH WAPIGWA FREE STYLE BILA UOGA
MAKACHU WA FORODHANI WAPANYA DRIVING FUKWE ZA COCOBEACH
Переглядів 5Місяць тому
MAKACHU WA FORODHANI WAPANYA DRIVING FUKWE ZA COCOBEACH
MAKACHU WA FORODHANI WAFUNIKA COCO BEACH TAMASHA LA TRA
Переглядів 5Місяць тому
MAKACHU WA FORODHANI WAFUNIKA COCO BEACH TAMASHA LA TRA
KIMENUKA! CHADEMA WAIPOTEZA CCM MCHANA KWEUPE MGOMBEA NA WANANCHI WAFUNGA MTAA KWA SHANGWE
Переглядів 44Місяць тому
KIMENUKA! CHADEMA WAIPOTEZA CCM MCHANA KWEUPE MGOMBEA NA WANANCHI WAFUNGA MTAA KWA SHANGWE
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI MLOGANZILA YATOA ELIMU KABAMBE YA KUJIKINGA NA KIHARUSI
Переглядів 7Місяць тому
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI MLOGANZILA YATOA ELIMU KABAMBE YA KUJIKINGA NA KIHARUSI
KURA ZA MAONI CCM ZAACHA MGOGORO MZITO, WAJUMBE CCM WAUNGANA NA WALIOENGULIWA WATOA KAULI
Переглядів 161Місяць тому
KURA ZA MAONI CCM ZAACHA MGOGORO MZITO, WAJUMBE CCM WAUNGANA NA WALIOENGULIWA WATOA KAULI
VIONGOZI TLP WANYUKANA OFISINI, UGOMVI WA MADARAKA, MMOJA AKIMBILIA POLISI
Переглядів 10Місяць тому
VIONGOZI TLP WANYUKANA OFISINI, UGOMVI WA MADARAKA, MMOJA AKIMBILIA POLISI
MGOGORO MZITO TLP/ MAKAMU MWENYEKITI AFUNGUKA UOZO NDANI YA TLP, AMTAJA KATIBU MKUU KUHUSIKA
Переглядів 16Місяць тому
MGOGORO MZITO TLP/ MAKAMU MWENYEKITI AFUNGUKA UOZO NDANI YA TLP, AMTAJA KATIBU MKUU KUHUSIKA
"POLISI WAKIFA MPO KIMYA KWA CHAMA FULANI ZITAPIGWA KELELE" DCI KINGAI AKEMEA AZAKI KUBAGUA MATUKIO
Переглядів 2,3 тис.Місяць тому
"POLISI WAKIFA MPO KIMYA KWA CHAMA FULANI ZITAPIGWA KELELE" DCI KINGAI AKEMEA AZAKI KUBAGUA MATUKIO
POLISI MSIKIBEBE CHAMA KATIKA CHAGUZI, LINDENI RAIA WAPATE HAKI
Переглядів 2 тис.Місяць тому
POLISI MSIKIBEBE CHAMA KATIKA CHAGUZI, LINDENI RAIA WAPATE HAKI
CHUO CHA NIT CHAPEWA KIBALI KUFUNDISHA KOZI YA MARUBANI
Переглядів 55Місяць тому
CHUO CHA NIT CHAPEWA KIBALI KUFUNDISHA KOZI YA MARUBANI

КОМЕНТАРІ

  • @DOmmyTz-g5i
    @DOmmyTz-g5i 24 дні тому

    Msizalau maneno ya mtt huyo ww mchungaji nichawa2

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Місяць тому

    Wanaokiuka sheria kwa upande wa ccm wangapi mmewachukulia hatua hizo za kisheria

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Місяць тому

    Usikanishe huo ndio ukweli acha kuzunguka

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Місяць тому

    Sio kama imeonekana kama mnapendelea upande mmoja ndio uhalisia wake

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 Місяць тому

    Asante mtetezi , umetekeleza wajibu wako. Amri kutoka juu ndio shida. Wacha tuone tarehe 27 November.

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw Місяць тому

    Hayo maneno awazi haji unayosema yanatoko moyoni kweli kumbuka kila mtu atajibu alivyofanya hapa duniani

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw Місяць тому

    Mbona hueleweki tuambieni nani anateka watu

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw Місяць тому

    Kwahiyo sasa mnalipa kisasi mbona ni ubabaishaji

  • @HasanMaulid-w1e
    @HasanMaulid-w1e Місяць тому

    Mnatetea maisha yasiyokuwa na faida ata kwenu pia

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 Місяць тому

    Akajibu Jinai aliyo ifanya Mbeya huyo

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian Місяць тому

    Ngurumo unakiamini unachokifanya? Na kinacho hongerewa na polis basi kwangu na naona ni raisi ngamia kupitia katika tundu la sindano kuliko kueleweka kwA maneno

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 Місяць тому

    You are just westing ua time bro, mambo hayo yanafanyika kwa malengo, sio kwa kutokujua bali ni kwa kuzamilia.

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 Місяць тому

    Hivyo viacos ni vichaka vya wezi, chama kimeanza juzijuzi tu leo mnataka mkopeshwe pesa nyingi hivyo

  • @danielkanso
    @danielkanso Місяць тому

    Sawa kamanda ila tunawasiwasi na nyee police mnaonea sana watu ambao hawana hatia cv zenu zimechafuka kweli imani yetu imepungua sana japo tunaendelea kutegemeana lakini kwa jinsi mambo yanavyo tokea na mengi yanawahusu j polisi kwa kweli tunajisikia vibaya sana kuona wale wanaosimamia haki ndiyo wa kwanza kutekeleza uharibifu.

  • @bundalamashimi3042
    @bundalamashimi3042 Місяць тому

    Hawa watu wamepoteza ubinadamu kabisa na kufanana na wanyama kwa sababu hawana hofu ya Mungu. Wanahofu ya Rais ambaye kajiimua juu ya Mungu naviongozi wa ccm.

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud Місяць тому

    Tanganyika na Zanzibar

  • @VeryMnyakiwele-j1p
    @VeryMnyakiwele-j1p Місяць тому

    Uko sahihi kiongozi Hawa haki za binadam hawaoni mambo mengine ila ya kisiasa Tena chadema wanawazungumzia sana Sasa haki iko wapi

  • @LetlhogonoloMokotedi
    @LetlhogonoloMokotedi Місяць тому

    Lakini hao ni wajinga sana

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Місяць тому

    Eti Polisi wasikibebe chama,labda polisi nyingine,hii yenyewe hao ni makada tupu wa chama.

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj Місяць тому

    Awadhi wakileta chokochoko tandika kbisa😅😅😅

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 Місяць тому

    Waongo

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika Місяць тому

    Hawana lolote wanasubri maelekezo hawana mamuzi mtawaonea tu hawajui Lolo wachumia tumbo hao ila mkisitafu mnakufa na pressure na cance sukari inawasubri

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika Місяць тому

    😢cheo Cha kubandikwa hicho ni kama nguo ya kuazima yasipo kukuta kizazi chako kitalipwa one day time is tells

  • @MichaelKibona-p9m
    @MichaelKibona-p9m Місяць тому

    Police mkajiandikishe ili mpige kura, sisi wananchi umealisha baada ya kuona

  • @gilbertmtoshu-gm7bt
    @gilbertmtoshu-gm7bt Місяць тому

    😅😅😅😅😅😅

  • @ymohammed963
    @ymohammed963 Місяць тому

    Watende haki

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 Місяць тому

    Unakumbuka ulichokifanya mbeya kamaatudini tudani ubaya hausahauliki na wema hauwozi inshaallah

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv Місяць тому

    Nicheke

  • @Qau669
    @Qau669 Місяць тому

    Kiongozi umeongea vizr lakn pia hawa askari wawe na hekima na kufata sheria ya kumkamata mtu hakuna tatizo ila wasitumie nguv kwa mtu alie kubari kukamatwa

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko Місяць тому

    P ccm

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Jeshi. La fisiemu hamna lolote mnasubiri maelekezo. Kutoka juu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Kesi lini jamani

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x Місяць тому

    Kwani na huyu Nani😊

  • @CharlesMwakajinga-r5d
    @CharlesMwakajinga-r5d Місяць тому

    Huo niuwonho polis ccm nyie

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Місяць тому

    Ukiona unapigiwa kerere ujuwe kunatatizo

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому

    Kuna baba Moja nimeona Jana mkuu wa kituoni kampiga mpk kumvunja mkono na majelaha

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому

    Kwani kina soka sii walikamatwa na police kina sativa na wengineo Mzee kibao hawezi kujitete na chochote kwa kuwa nyinyi ndio chanza mnapandikiza chuki kwa wananchi

  • @JemsJeremiah
    @JemsJeremiah Місяць тому

    Sisi raia hatuwepedi porisi maana wanapedelea chama chao cha ccm

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 Місяць тому

    Kuna vitu vingine sio vya kuomba ila ni ww ufanye ili uvipate, mfano kupenda, wepende watu wanaokuzunguka uone kama hawatakupenda?, au umnyime haki yake uone kuma atakupenda. Haki kwanza halafu mtapendwa bila kuombwa. Kuna mtu anapigwa Watu wanasema, piga tena na mwingine akipigwa anaombewa msamaha. Ni kijitafakari tu

  • @Miriam-m2b
    @Miriam-m2b Місяць тому

    Mimi nataka hao police mfe hata wote mamae

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 Місяць тому

      @@Miriam-m2b ngoja siku panya road waje!! Utaona hizo NGOs zako za kimafekani Zina faida gani , Kama siyo kukutumia ww kupiga pesa

    • @Miriam-m2b
      @Miriam-m2b Місяць тому

      @@ikulunimahalipatakatifu7642 nawe ukipotezewa jamaa yako na hao manyumbu kama mm utakumbuka hii msg yako

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 Місяць тому

    Kaone na sula yake ngumu

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama Місяць тому

    Ila weeeee jamaaa akili yako ni ndogo sanaaa

    • @G24TZ
      @G24TZ Місяць тому

      Sana

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Місяць тому

      Huyu SI ndio walimtengenezea mbowe kesi ya ugaidi

  • @edwinraymond3404
    @edwinraymond3404 Місяць тому

    Alafu msiwe mnasema chama fulani sema chadema inshu ya Kibiti chadema walipiga kelele sana hawajawahi kuwa kimya katika kila kitu

  • @edwinraymond3404
    @edwinraymond3404 Місяць тому

    Huyu kunguru kweli Yan askari kufa alishaapa

    • @renatusblandes1131
      @renatusblandes1131 Місяць тому

      Kwani polis hana familia?na vp police hakiacha kazi na aKaingia kwenye Siasa akifa utasemaje?

  • @SharafKafanao
    @SharafKafanao Місяць тому

    Hapo chukuwa maua yako vipi wakina soka

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd Місяць тому

    kwani wewe ukiwa IGP kuna ubaya gani unaweza kushuhlikia wahalifu vilivyo

  • @DaudiKaguo
    @DaudiKaguo Місяць тому

    Kwasababu ya Tabia zenu zakishenzi mfano mdogo iliyotokea tr9/10/2024 Kyle makete yule mkuu wakituo

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 Місяць тому

    POLISI ANA FAIDA KUBWA SANA KULIKO HAO VIBARAKA MAJIZI YA WAZUNGU NA MATAPELI , na NGOs zao

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai Місяць тому

    Yaani huyu kingai ndo mgeni rasimi ninyi watu mmenishangaza sana huyu si ndo alishindwa kudhibitisha ugaidi wa mbowe?

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai Місяць тому

    Polisi siyo watu Bali ni wakatili sana ndo maana amuwezi kupata mtetezi kamwe maishani,bwana kingai kaa ukilitambua Hilo mnanyanyasa sana rais hivyo mmepoteza mvuto kabisa kwa jamii