- 526
- 87 070
AM ONLINE TV
Приєднався 11 чер 2021
Am Online Tv ni TV ya mtandao inayorusha Habari za Kijamii, siasa na uchumi kwa kuzingatia maadili.
Tunaomba U -SUBSCRIBE Comment na ku share kwa kupata taarifa mbalimbali.
Kwa habari,matangazo n.k Wasiliana nasi kupitia no +255757753150 karibu
Tunaomba U -SUBSCRIBE Comment na ku share kwa kupata taarifa mbalimbali.
Kwa habari,matangazo n.k Wasiliana nasi kupitia no +255757753150 karibu
KIKWETE: TUWATUMIE WAZEE KUPATA MAARIFA,TUJITOE KWAAJILI YAO
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiongea katika harambee ya kuchangia ujenzi wa kituo cha kisaa cha waze cha pentra Eldery Centre Jjijini Dar es Salam.
Переглядів: 57
Відео
SERIKALI YA ZANZIBAR IMEZINDUA RASMI SOKO LA MWANAKEREKWE, WAFANYABIASHARA WAWEKEWA MIKAKATI YAO
Переглядів 2617 годин тому
SERIKALI YA ZANZIBAR IMEZINDUA RASMI SOKO LA MWANAKEREKWE, WAFANYABIASHARA WAWEKEWA MIKAKATI YAO
RAIS DKT MWINYI AFUNGUA MAONYESHO YA UTALII NA UWEKEZAJI ZANZIBAR
Переглядів 652 години тому
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipofungua maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar, 2024 katika viwanja vya maonesho ya Biashara Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 25 Oktoba 2024
DK.MWINYI AWAPA 5 MAKACHU,TAZAMA WALICHOMFANYIA ,WAMPA NENO
Переглядів 1624 години тому
Rais wa Zaznibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK, Hussein Ali Mwinyi amewatembelea vijana wa mchezo wa makachu alipofika Bustani ya Forodhni kuangalia mchezo huo na mkewe mama Maryam.awapongeza vijana kwa kuitangaza utalii wa nyumbani Zanzibar
NAMUNGO WAWAJIBU SIMBA "TUNAIFAHAMU SIMBA VIZURI KESHO KITAELEWEKA"
Переглядів 1184 години тому
NAMUNGO WAWAJIBU SIMBA "TUNAIFAHAMU SIMBA VIZURI KESHO KITAELEWEKA
KOCHA MSAIDIZI WA SIMBA SC ALIVYOUNGURUMA:KESHO UBAYA UBWELA PALEPALE
Переглядів 1267 годин тому
KOCHA MSAIDIZI WA SIMBA SC AUNGURUMA KUELEKEA MECHI DHIDI YA NAMUNGO FC
BASHUNGWA AKAGUA NA KUZINDUA MIRADI MKURANGA
Переглядів 127 годин тому
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezindua jengo la utawala katika Shule ya Sekondari ya Mwandege
MKUU WA WILAYA YA MPANDA AMTEMBELEA MWANAMKE ALIYEDAIWA KUDHULUMIWA KIWANJA
Переглядів 627 годин тому
Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Felista Mathias Mkazi wa manispa ya Mpanda mkoani Katavi ameomba serikali kumsaidia kurudisha kiwanja chake
CP. HAMAD AHIMIZA KUFANYA KAZI KWA KUSHRIKIANA KUKIDHI MALENGO YA SERIKALI KUNUNUA UCHUMI WA NCHI
Переглядів 167 годин тому
CP. HAMAD AHIMIZA KUFANYA KAZI KWA KUSHRIKIANA KUKIDHI MALENGO YA SERIKALI KUNUNUA UCHUMI WA NCHI
MAKONDA: HUDUMA YA MAJI ARUSHA SASA SAFI
Переглядів 269 годин тому
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Cristian Makonda ameridhishwa na utoaji wahuduma ya maji mkoani Arusha
WAZAZI CCM YATAMBA NA DK MWINYI, BILIONI 830 BAJETI ELIMU ZAWEKWA WAZI.
Переглядів 589 годин тому
WAZAZI CCM YATAMBA NA DK MWINYI, BILIONI 830 BAJETI ELIMU ZAWEKWA WAZI.
KIMEUMANA!! MAJALIWA AMBANANISHA MKANDARASI RUANGWA
Переглядів 3712 годин тому
KIMEUMANA!! MAJALIWA AMBANANISHA MKANDARASI RUANGWA
SENGA AMLILIA RAFIKI YAKE PEMBE "MWEZI HUU NDO TUMEPATA MATATIZO"
Переглядів 14614 годин тому
SENGA AMLILIA RAFIKI YAKE PEMBE "MWEZI HUU NDO TUMEPATA MATATIZO"
NMB YAJA NA QR LINK,KUVUTA ZAIDI WATALII NCHINI,WAFANYABIASHARA WABARIKI
Переглядів 1716 годин тому
Benki ya NMB imezindua mfumo mpya wa matumizi ya QR Link ambao unalenga kurahisisha huduma za malipo kwa wafanyabiashara nchini.. Viongozi mbali mbali wameelezea umuhimu wa mfumo huo.
SUZA YAZALISHA NGUVU KAZI YA TAIFA,3366 WAANZA SAFARI ELIMU YA JUU
Переглядів 3816 годин тому
SUZA YAZALISHA NGUVU KAZI YA TAIFA,3366 WAANZA SAFARI ELIMU YA JUU
SEKTA BINAFSI, SMZ ZAPAISHA ONGEZEKO LA MAPATO KWA 15% BANDARI..NMB YAAHIDI MAKUBWA
Переглядів 2719 годин тому
SEKTA BINAFSI, SMZ ZAPAISHA ONGEZEKO LA MAPATO KWA 15% BANDARI..NMB YAAHIDI MAKUBWA
MAKONDA AHAMASISHA UCHAGUZI VIONGOZI BORA SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 12День тому
MAKONDA AHAMASISHA UCHAGUZI VIONGOZI BORA SERIKALI ZA MITAA
MAKALLA:, WAMEANZA KULALAMIKA MAPEMAA,HAWAKUJIPANGA
Переглядів 23День тому
MAKALLA:, WAMEANZA KULALAMIKA MAPEMAA,HAWAKUJIPANGA
MAKALLA AIJIBU CHADEMA,SISI TUMERIDHISHWA NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI,TULIJIPANGA
Переглядів 10День тому
MAKALLA AIJIBU CHADEMA,SISI TUMERIDHISHWA NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI,TULIJIPANGA
NMB BUSINESS CLUB YAZIDI KUWAUNGANISHA WAFANYABIASHARA
Переглядів 19День тому
NMB BUSINESS CLUB YAZIDI KUWAUNGANISHA WAFANYABIASHARA
DK.MWINYI ALIVYOIFARIJI FAMILIA YA MWANASIASA NGULI BI THEREZA
Переглядів 18День тому
DK.MWINYI ALIVYOIFARIJI FAMILIA YA MWANASIASA NGULI BI THEREZA
SHUHUDIA RAIS SAMIA ALIVYOKABIDHIWA MWENGE WA UHURU
Переглядів 16День тому
SHUHUDIA RAIS SAMIA ALIVYOKABIDHIWA MWENGE WA UHURU
NCHIMBI ASEMA NA VIJANA MWANZA..AIPA SALUTI UVCCM
Переглядів 14День тому
NCHIMBI ASEMA NA VIJANA MWANZA..AIPA SALUTI UVCCM
RAIS SAMIA NDANI YA KANISA, ASHIRIKI IBADA MISA TAKATIFU KUMBUKIZI YA HAYATI J.K NYERERE
Переглядів 9День тому
RAIS SAMIA NDANI YA KANISA, ASHIRIKI IBADA MISA TAKATIFU KUMBUKIZI YA HAYATI J.K NYERERE
MAJALIWA:MWISHONI MWA MWAKA HUU TANZANIA ITAKUWA NA RADA 7
Переглядів 15День тому
MAJALIWA:MWISHONI MWA MWAKA HUU TANZANIA ITAKUWA NA RADA 7
DK MWINYI:ZANZIBAR NI SALAMA KWA UTALII NA MAKONGAMANO YA IMANI.MUFTI MENKI AONDOKA NA ALAMA
Переглядів 2014 днів тому
DK MWINYI:ZANZIBAR NI SALAMA KWA UTALII NA MAKONGAMANO YA IMANI.MUFTI MENKI AONDOKA NA ALAMA
MPANGO ATOA AGIZO KALI, MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MTENDAJI NAE AONJE JOTO YA JIWE 'AKAMATWE
Переглядів 1114 днів тому
MPANGO ATOA AGIZO KALI, MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MTENDAJI NAE AONJE JOTO YA JIWE 'AKAMATWE
SHUHUDIA RAIS SAMIA ALIVYOPANGA MSTARI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Переглядів 3614 днів тому
SHUHUDIA RAIS SAMIA ALIVYOPANGA MSTARI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
MWANAFUNZI ALIYEPOTEA MLIMANI BABATI , APATIKANA AKIWA HAI , WAZAZI WALIA KWA FURAHA
Переглядів 5014 днів тому
MWANAFUNZI ALIYEPOTEA MLIMANI BABATI , APATIKANA AKIWA HAI , WAZAZI WALIA KWA FURAHA
SMZ:TUTAENDELEA KUPAMBANA NA AFYA YA MAMA NA MTOTO, YAGUSIA MARADHI YA KUAMBUKIZA
Переглядів 2614 днів тому
SMZ:TUTAENDELEA KUPAMBANA NA AFYA YA MAMA NA MTOTO, YAGUSIA MARADHI YA KUAMBUKIZA
Mbina kaongea kuhusu kiwanja na majibu ni mengine mi sijaelewa au??ni mgonjwa wa akili??
good
😢
Marshall ah
Wewe ni kweli siyo muwaji,Sasa mama wewe ndiyo raisi wetu,watu wanauwa hakuna anae kamatwa kupo kimya, niakinanani au wako wapi hao wanao uwa watu,Mimi kwa mawazo yangu,maliza kipindi hiki uwachie uraisi tu, itakuwa vizuri kuepuka lawama.
Boss mbona alitoa agizo watafutwe wauaji,au hukufatilia boss?
❤
Masikini daah
ما شاء الله
😂😂❤
Kwa vyovyote Ndumbalo. lazima rle za USO, Mama FUNDI 😊
Mashalah ❤❤❤
Poa sana
❤❤❤
shida sio mecco shida ipo serikalini
Mashallah mwanangu
Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman ❤❤❤❤❤
❤❤❤ Yarrab atuongozee vizazi vyety Yarrab 🤲 thumma amiin 🤲
Allah azidi kukuongoza kipenz chetu ❤❤❤
Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman ❤❤
Hatari
Hongera sana
Kwani Saidoo wa Simba alikuwa na miaka mingapi, Mbona Mohamedi Hussein zimbwe anakimbia balaa na ana miaka 45. 😅
Amini
Mashallah
❤😘 nice
Maxhoga Wana nyoxhwa wanyoshe kwelikweli
Tuonyesheni vijana naona hapo wote wazee. kwenye shangwe mnapeleka vijana, na CCM NI KUKUMBATIA UMASKINI TU.
Emungu saidiaa ndungu zetu wanao tembea barabarani
Aamina
Lailaha Ila Allah mpakawanaita kwaishara ya Allah lnnalilah wainailah rajioun tusiwaite watoto majina mabayaEt Tabu onaSasaAnapataTaabuLeo
Ngemba mtaalam 👏
Tunakupenda san Makonda wetu❤❤
Kwanini wao walirikodi waka tuma adharani kwanini na wao mtuonyeshe tumeumia sna
Karibu sana Makonda
Hongera RC
Hahaha hamuwezi kuthibitisha kua sio zenu tuonesheni vijana walio rejesha kadi hapo kanga mmewavisha mpyaa na kuwapanga watu wanapanda gari sisi taarifa tunazo Sasa Jinamizi litajibiwa Mtendee Kusini ni ya ACT
Wako wapi Yani sisi tunataka kuwaona
🙌🙌🙌
Tunaomba kutambua hatua zitakazokukuliwa juu ya watu hao
Hamuna mpango wasaidieni ccm kuiuza nchi baadae familia zenu zitajua oa kwenda subirini mpaka hao waziraili waanze kuzaana hapo unguja mutaiona jun july waulizeni wapalastina sasa hivi wanafanywa nini ba waziraili. Na gapo ni oadogo sana wanataka masaa tu kuwatoweni nyote jwenye kusiwa hicho. Haya mambo mbayadharau sasa hivi lakini kuna wenzetu wakiitaka nchi wanaanza mbali ba hawafanyi kwa nuaba tao wanafanya kwa niaba ta vizazi vyao na ndio maana waziraili wabauwa watoto wote gaza instead of adults wabauwa taifa la kesho ili watoto wao waje uchukue kirahisi ndio mnavofanyiwa hapo zanzibar. CCM Watahakikisha baada ya miaka 30 ijayo nyie mutakua mushakufa hamupo tena lakini itakua hakuna tena Zanzibar kuna kisiwa cha Tanzania ba jiba linaweza likabadilika hamuani mtakuja kunijumbuka.
Mecco jitahidini musijiangushe fanyeni jambo liwe la maana musipende kuwa nyuma mukakosa sifa ya utendaji kazi
❤❤❤
Yes, at least we can tell our children about our country and its prestige! But more has to be done! Free generation.
SUZA ipo mikono salama🎉🎉
Tunaimani na nyinyi❤
Hawa mecco wapo chini ya kiwango barabara zao mbovu konde-wete-gando zote mbovu
Safi sana yaani Safi sana ila sheria kali iwekwe kuhusu Parkin.
Afrika rushwa ni ngumu sana kuisha
Waliptapeliwa nao washikwe, kwani wana makosa pia.
😂kivipi?
@@Amonlinetv Mtoa Rushwa na mpokeaji wote wana makosa.
Acha unafik
Keep going mama ipty
❤❤❤ my soul mashallah big up