Yaliyojiri Online
Yaliyojiri Online
  • 282
  • 539 143

Відео

VILIO VYA WAISHIO KARIBU NA HIFADHI NA MISITU TUME YA HAKI ZA BINADAMU WASHINDWA KUVUMILIA
Переглядів 5816 годин тому
TUME YA HAKI ZA BINADAMU WAINGILIA KATI
HUU NDIO UGUMU WA SEKTA YA BIASHARA KWA NCHI AFRIKA KUPENYA SOKO LA ULAYA.
Переглядів 22День тому
HUU NDIO UGUMU WA SEKTA YA BIASHARA KWA NCHI AFRIKA KUPENYA SOKO LA ULAYA.
MTAALAMU WA KUCHAKACHUA GESI ARUSHA AKAMATWA NA MITUNGI 398.
Переглядів 2,8 тис.День тому
MTAALAMU WA KUCHAKACHUA GESI ARUSHA AKAMATWA NA MITUNGI 398.
NI MADARASA MATATU NA OFISI YA MWALIMU MKUU. MASHUHUDA WAELEZEA TUKIO ZIMA.
Переглядів 7214 днів тому
NI MADARASA MATATU NA OFISI YA MWALIMU MKUU. MASHUHUDA WAELEZEA TUKIO ZIMA.
WAFANYA UKAGUZI KWENYE VITUO 80 KWENYE JIJI LA ARUSHA. TAZAMA HAPA!
Переглядів 3214 днів тому
WAFANYA UKAGUZI KWENYE VITUO 80 KWENYE JIJI LA ARUSHA. TAZAMA HAPA!
DC ARUSHA ASEPA NA KIJIJI KWENYE SOKO LA NYAMA CHOMA KWA MOROMBO.
Переглядів 5414 днів тому
DC ARUSHA ASEPA NA KIJIJI KWENYE SOKO LA NYAMA CHOMA KWA MOROMBO.
LEMA ALINIULIZA KAMA AKIUNGA MKONO JUHUDI ATAPEWA JIMBO LA ARUSHA AMA LA!
Переглядів 10414 днів тому
LEMA ALINIULIZA KAMA AKIUNGA MKONO JUHUDI ATAPEWA JIMBO LA ARUSHA AMA LA!
KUWAPATIA MAGARI NA SILAHA VIJANA WAKE,TARGET NI MAWAKALA WA UANDIKISHAJI.
Переглядів 3014 днів тому
KUWAPATIA MAGARI NA SILAHA VIJANA WAKE,TARGET NI MAWAKALA WA UANDIKISHAJI.
DC ARUSHA ATUMIA PIKIPIKI KUINGIA MITAANI KUHAMASISHA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA.
Переглядів 3714 днів тому
DC ARUSHA ATUMIA PIKIPIKI KUINGIA MITAANI KUHAMASISHA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA.
MSAFARA MREFU WA BAJAJI WALITEKA JIJI LA ARUSHA. MKUU WA WILAYA AONGOZA ZOEZI.
Переглядів 26414 днів тому
MSAFARA MREFU WA BAJAJI WALITEKA JIJI LA ARUSHA. MKUU WA WILAYA AONGOZA ZOEZI.
TAZAMA MAKONDA AWAPA HOMEWORK WANANFUNZI WA SEKONDARI ARUSHA..!
Переглядів 7814 днів тому
TAZAMA MAKONDA AWAPA HOMEWORK WANANFUNZI WA SEKONDARI ARUSHA..!
RAIS SAMIA ASITISHA ZOEZI LA KANISA KUCHANGISHWA MAMILIONI YA FEDHA.
Переглядів 3,1 тис.14 днів тому
Mgogoro wa Ardhi kati ya Serikali na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu Katoliki la Arusha
KUTOKA KUWA MUWEKEZAJI HADI KUISHI MAFICHONI,MARRY KISMATY AMUANGUKIA RAIS SAMIA.
Переглядів 14 тис.14 днів тому
KUTOKA KUWA MUWEKEZAJI HADI KUISHI MAFICHONI,MARRY KISMATY AMUANGUKIA RAIS SAMIA.
MAANDAMANO MAKUBWA YASHUHUDIWA JIJINI ARUSHA NI KUELEKEA UCHAGUZI.
Переглядів 1,9 тис.21 день тому
MAANDAMANO MAKUBWA YASHUHUDIWA JIJINI ARUSHA NI KUELEKEA UCHAGUZI.
POLISI WENYE SILAHA WAIMARISHA ULINZI WAKIKAGUÀ NYUMBA YA MUUAJI WA MARIAM ARUSHA.
Переглядів 18 тис.21 день тому
POLISI WENYE SILAHA WAIMARISHA ULINZI WAKIKAGUÀ NYUMBA YA MUUAJI WA MARIAM ARUSHA.
TAZAMA! WANANCHI WAFURIKA NA KUBOMOA NYUMBA YA MUUAJI WA MTOTO MARIAM. UCHAWI WATAJWA!
Переглядів 7 тис.21 день тому
TAZAMA! WANANCHI WAFURIKA NA KUBOMOA NYUMBA YA MUUAJI WA MTOTO MARIAM. UCHAWI WATAJWA!
MTOTO ACHINJWA NA MWILI KUKUTWA NDANI YA BESENI UVUNGUZI MWA KITANDA.
Переглядів 3,6 тис.21 день тому
MTOTO ACHINJWA NA MWILI KUKUTWA NDANI YA BESENI UVUNGUZI MWA KITANDA.
TAZAMA LAND LOVER ZILIVYOTEKA JIJI LA ARUSHA,GARI NDOGO ZAKAA PEMBENI.
Переглядів 3,8 тис.21 день тому
TAZAMA LAND LOVER ZILIVYOTEKA JIJI LA ARUSHA,GARI NDOGO ZAKAA PEMBENI.
MOUNT MERU HOSPITALI KUA KINARA AFRIKA?
Переглядів 1021 день тому
MOUNT MERU HOSPITALI KUA KINARA AFRIKA?
SUMU YAMWAGIKA NJIA PANDA CHALINZE, JESHI LA UKOAJI LAINGIA KAZINI.
Переглядів 39721 день тому
SUMU YAMWAGIKA NJIA PANDA CHALINZE, JESHI LA UKOAJI LAINGIA KAZINI.
MATUMIZI YA MWAKA WA KUZALIWA SI SALAMA KWA MTEJA,TCRA YAONYA.
Переглядів 8721 день тому
MATUMIZI YA MWAKA WA KUZALIWA SI SALAMA KWA MTEJA,TCRA YAONYA.
GAMBO AKUTANA NA WAANDISHI ARUSHA,APANGA SAFARI YA CHINA.
Переглядів 1228 днів тому
GAMBO AKUTANA NA WAANDISHI ARUSHA,APANGA SAFARI YA CHINA.
ASHUSHIWA KICHAPO BAADA YA KUIBA PIKIPIKI YA CCM...MBEYA!
Переглядів 3,1 тис.28 днів тому
ASHUSHIWA KICHAPO BAADA YA KUIBA PIKIPIKI YA CCM...MBEYA!
CHANZO CHA AJALI NI GARI NDOGO ILIYOKUWA IKITOKEA BAR.
Переглядів 1,5 тис.28 днів тому
CHANZO CHA AJALI NI GARI NDOGO ILIYOKUWA IKITOKEA BAR.
MAKONDA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MKOA WA ARUSHA.
Переглядів 3728 днів тому
MAKONDA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MKOA WA ARUSHA.
"RUDISHENI HARAKA MILIONI 500 ZA KANISA KATOLIKI" WAZIRI MCHENGERWA
Переглядів 48928 днів тому
"RUDISHENI HARAKA MILIONI 500 ZA KANISA KATOLIKI" WAZIRI MCHENGERWA
RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU MRISHO GAMBO NA KUONGEA NA MAELFU YA WALIMU JIJINI ARUSHA
Переглядів 37328 днів тому
RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU MRISHO GAMBO NA KUONGEA NA MAELFU YA WALIMU JIJINI ARUSHA
WIZARA ZATUPIANA MPIRA SULUHU YA MGOGORO BAINA YA JESHI NA WANANCHI ARUSHA.
Переглядів 37Місяць тому
WIZARA ZATUPIANA MPIRA SULUHU YA MGOGORO BAINA YA JESHI NA WANANCHI ARUSHA.
UKOSEFU WA AJIRA HUPELEKEA VIJANA KUJIHUSISHA NA MACHAFUKO YA KISIASA.
Переглядів 109Місяць тому
UKOSEFU WA AJIRA HUPELEKEA VIJANA KUJIHUSISHA NA MACHAFUKO YA KISIASA.

КОМЕНТАРІ

  • @JanepherMbuya
    @JanepherMbuya 5 годин тому

    Tiba inakuwaje me Nina shida iyo

  • @FloraFaustine-x5f
    @FloraFaustine-x5f 8 днів тому

    😊

  • @vijanaadventist9274
    @vijanaadventist9274 9 днів тому

    Nimeipenda sana hii kitu naitaji kuifanya naomba namba za huyu rafiki tafadhali

  • @chuggaman139
    @chuggaman139 10 днів тому

    kwa maisha ya kigeto ya mwanaume gas ya kg 15 ni miezi 5~6 yaani unapikia jioni tu tena ugali dagaa lakini sasa siku 28 tu kwishine😂😂😂😂

  • @YaqeenSalim-q6t
    @YaqeenSalim-q6t 10 днів тому

    Mawasiliano yenu

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 10 днів тому

    .

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 11 днів тому

    Uwiii

  • @annielsabayamollel7854
    @annielsabayamollel7854 11 днів тому

    Gas kubwa cku 28

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 12 днів тому

    Yaani lichomwe moto,ni jambaxi tosha,nili2mia m2ngi mwexi mmoja tena ni kuchemshia chai tu,m2ngi ukaisha,niliwaelexa majirani wote,niliumia sana,naombeni niaminini,sala xangu xilifika.

    • @RogatheGabriel
      @RogatheGabriel 11 днів тому

      Achwomwe kafanyaje Sasa acheni mambo yenu

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 12 днів тому

    🎉mhujumu uchumi huyo

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt 12 днів тому

    wanatutesa sana mbwa hawa

  • @estertiffa-ew5id
    @estertiffa-ew5id 12 днів тому

    Yaan hyu ange hojiwa na Ayo tv tungeelew vzr kbxaaaa lkn hyu muandish unashindw kumuuliz chanzo nn

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g 12 днів тому

    Ndiomana gesi inawai kuisha 👀 asante kwa funzo nitazingatia kilo

  • @SteveAlphonce
    @SteveAlphonce 12 днів тому

    Mhhhh

  • @powermediatv9878
    @powermediatv9878 13 днів тому

    Hata ngusero alipata watu 7

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 14 днів тому

    Hu,o mtuni wa kuuliwa hafai kuendelea kuishi

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 15 днів тому

    Zirooo bwana inashida saana wanao jiandikisha wana akili kuliko anae ongea

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 15 днів тому

    Mamb mbaya Bora wakuue wewe kumbe kosa lipo ulilofanya

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 15 днів тому

    Kumbe Hadi wewe mnyonge

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 15 днів тому

    Chanzo Nini?

  • @AhmedAdan-po5ps
    @AhmedAdan-po5ps 15 днів тому

    Nyiye watanzania mmekwisha habari zenu kama mmenza kuwahana nyiye hamna muda mrefu mtakuwa kama somalia 🇸🇴 ndio mtajuwa maana njaaa subirini hamna muda mrefu

  • @AhmedAdan-po5ps
    @AhmedAdan-po5ps 15 днів тому

    Nchie imekuwa watu wake wameshakuwa wanyama watu Hawana dini kweli wafrika Hawana tofauti na wanyama

  • @SurprisedCells-dy7ws
    @SurprisedCells-dy7ws 15 днів тому

    Ubarkiwe makonda na samia

  • @jeaninekabano9190
    @jeaninekabano9190 16 днів тому

    Pole sana binti mzuri pole sana hujaeleza sababu ya kuwindwa kwako Lakini Mkimbilie Yesu Kristo pekee ndie anae weza kukulinda na kukuondolea laana na vinavyofanana na hivyo omba sana Mungu Mlinzi wetu wote sali sana na utauona wema wa Bwana Mungu azidi kukumbatia ktika mbawa zake❤

  • @TsaxaraNawe
    @TsaxaraNawe 16 днів тому

    Kaka nimeipenda elimu yako napenda sNa ufugaji wa samaki

  • @felistamashinga123
    @felistamashinga123 16 днів тому

    Pole ila umefanya nini,kuna nini nyuma ya hili sakata??

  • @MursalJuma
    @MursalJuma 16 днів тому

    Gambo we huna sera subiri lema anapita ulipita shotkat nihela zet sio za mama

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 16 днів тому

    Makondaa yupo siumfate raisi wa Nini makondaa anatoshaaa

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 16 днів тому

    Shida ni nn ebu muandish mbane akueleze

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 16 днів тому

    Umetapeli au ?

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 17 днів тому

    Chanzo nn jamaniiii elezeaaaa

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 17 днів тому

    Arusha kuna visangaaa

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 17 днів тому

    Makonda Mungu akulinde

  • @AgnesShonga
    @AgnesShonga 17 днів тому

    Kuna nini hapa jamani

  • @edwardmahela6225
    @edwardmahela6225 17 днів тому

    Dada nahisi una utajili wa dhuruma nenda polisi kaseme ukweli Nini kilichojificha ndani ya kampuni yako

  • @Magreth-f2j
    @Magreth-f2j 17 днів тому

    Chanzo cha huu uhaini wa.hayo mambo ya kuua familia nn mwanangu kuwa wazi usaidiwe mama yangu

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 17 днів тому

    Rais akusaidie nini muombe mungu ndo akusaidie

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 17 днів тому

    NENDA KANISANI .KAMWAMBIE YESU NDO MLINZI WA KWELI. MKIMBILIE YESU HARAKA SANA.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 17 днів тому

    Kwani huyo Mkuu wa Mkoa Yuko wapi?.

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 17 днів тому

    Wajinga ndio waliwao

  • @kessydieselengineers3205
    @kessydieselengineers3205 18 днів тому

    Hatuna wa kikutetea dada pole sana wao ndiyo watekelezaji au uliwazukumu?

  • @MotibaMashana-hv3tf
    @MotibaMashana-hv3tf 18 днів тому

    karibu uishi mwanza mm nitakuwa mlinzi wako ,nimeumia sana

  • @MotibaMashana-hv3tf
    @MotibaMashana-hv3tf 18 днів тому

    dada pole sana nn shida hebu eleza nn shida,

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 18 днів тому

    Mh nani anaye wauwa kisa nini shidann?

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 18 днів тому

    Hapana ni hadi aonyeshe huo mtandao wote msimuue kwanza mtapotenza Kila kitu ushahidi

  • @mariamfussy1760
    @mariamfussy1760 19 днів тому

    Kwani serikali ipi unayoiomba msaada

  • @dannysix4475
    @dannysix4475 19 днів тому

    Ipo jamani watanzania utuweni makini Tuishi kwa upendo. Ila hivi vitu viwili tuviepuke. kwa mwanaume ni dhuruma na wake za watu viepuke. kwa mwanamke hivyo hivyo: Na watu wasipende kuonyesha mafanikio yao kwenye mitandao Rais alisha ongea

  • @MarrylinellyMshana
    @MarrylinellyMshana 19 днів тому

    Dada jieleze vizuri nini chanzo cha huu mgogoro mpaka umefikia hapo

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 18 днів тому

      Kweli namimi naona kuna chanzo cha hili tatizo yy kaeleza tu matatizo

  • @IsmailAlly-u3l
    @IsmailAlly-u3l 19 днів тому

    Mwandishi huna taaluma.... Chanzo ni nn????

  • @nelsonmumghamba
    @nelsonmumghamba 19 днів тому

    Jaman si uende kwa mkuu wa mkoa Makonda ndio suruhisho