INLAND MEDIA TZ
INLAND MEDIA TZ
  • 195
  • 336 955

Відео

WACHIMBAJI WADOGO IFUGANDI WAMLILIA RAIS SAMIA
Переглядів 639 годин тому
WACHIMBAJI WADOGO WA IFUGANDI MKOANI GEITA WAPELEKA KILIO CHAO KWA RAIS SAMIA MARA BAADA YA MMILIKI WA LESENI KUKIUKA MAKUBALIANO YA MKATABA WALIOWEKEANA KUHUSU UCHIMBAJI KATIKA ENEO HILO.
MAMA CHEYO ASTAAFU RASMI UTUMISHI WAKE AICT
Переглядів 19614 днів тому
APONGEZWA KWA UCHAPAKAZI WAKE
UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI WACHUKUA ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI
Переглядів 3214 днів тому
@inlandonlinetv
WITO WATOLEWA KWA MKRISTO KUTOA KULINGANA NA UWEZO ALIONAO
Переглядів 14014 днів тому
WITO WATOLEWA KWA MKRISTO KUTOA KULINGANA NA UWEZO ALIONAO
WANAFUNZI WA BIDII KUTUMIA KISHIKWAMBI| SHULE YA MSINGI KUANZA JAN 2025
Переглядів 13421 день тому
@inlandonlinetv
VIONGOZI WAKUU WA KANISA WAIPOKEA MELI YA MATIBABU
Переглядів 16421 день тому
VIONGOZI WAKUU WA KANISA WAIPOKEA MELI YA MATIBABU
Bugando Health Marathon 2024 | Sikia walichosema washiriki.
Переглядів 4021 день тому
Bugando Health Marathon 2024 | Sikia walichosema washiriki.
Maandalizi za Miaka 50 Kanisa la AICT Magomeni yapamba moto | Rais Dr Samia ndiye Mgeni Rasmi.
Переглядів 9521 день тому
Maandalizi za Miaka 50 Kanisa la AICT Magomeni yapamba moto | Rais Dr Samia ndiye Mgeni Rasmi.
BUGANDO HEALTH MARATHON YAFANA | WASHINDI WATUNUKIWA MEDALI NA FEDHA
Переглядів 4021 день тому
Waziri wa Afya Jenista Mhagama amewaasa watanzania kufanya mazoezi na kuzingatia ulaji salama ili kuepukana na magonjwa yasiyoambukizwa ambayo yameendelea kuathiri watanzania wengi ikiwemo ugonjwa hatari wa saratani. Waziri Mhagama ameyasema hayo akimuwakilisha Naibu waziri Mkuu na waziri wa nishati Dk. Doto Biteko katika tamasha la mashindano ya mbio ndefu la Bugando Health marathon liliofanyi...
MWALIMU WA MICHEZO FOUNTAIN GATE AZUNGUMZIA VIPAJI VYA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE.
Переглядів 2021 день тому
MWALIMU WA MICHEZO FOUNTAIN GATE AZUNGUMZIA VIPAJI VYA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE.
WAHITIMU WA FOUNTAIN GATE WAFUNGUKA MENGI | WAWEKE WAZI MALENGO YAO YA MBELENI.
Переглядів 1921 день тому
WAHITIMU WA FOUNTAIN GATE WAFUNGUKA MENGI | WAWEKE WAZI MALENGO YAO YA MBELENI.
MAHAFALI SHULE YA FOUNTAIN GATE MWANZA YAFANA | VIPAJI & UBUNIFU VYAONESHWA NA WAHITIMU.
Переглядів 3021 день тому
MAHAFALI SHULE YA FOUNTAIN GATE MWANZA YAFANA | VIPAJI & UBUNIFU VYAONESHWA NA WAHITIMU.
WAKRISTO WATAKIWA KUWA NA USHIRIKA NA UMOJA KWA WATUMISHI WA MUNGU
Переглядів 9628 днів тому
WITO HUO UMETOLEWA NA MTUMISHI ABIA MASOBEJI KUTOKA KANISA LA AICT PASTORATE YA BUHONGWA, KATIKA IBADA YA JUMAPILI ILIYOAMBATANA NA TEGEMEZA MAMA MCHUNGAJI STANLEY KATIKA KANISA LA AICT PASTORATE YA NYASAKA DAYOSISI YA MWANZA.
MIAKA 20 YA UASKOFU WA BABA ASKOFU MKUU MAGWESELA
Переглядів 89Місяць тому
MIAKA 20 YA UASKOFU WA BABA ASKOFU MKUU MAGWESELA
VIJANA WAASWA KUTUMIA AKILI MNEMBA KUJIONGEZEA FURSA ZA KIUCHUMI | MHANDISI BANALI.
Переглядів 39Місяць тому
VIJANA WAASWA KUTUMIA AKILI MNEMBA KUJIONGEZEA FURSA ZA KIUCHUMI | MHANDISI BANALI.
HOSPITALI YA KOLANDOTO YAHITIMISHA WIKI YA WATEJA KWA KISHINDO, WAGONJWA WAPATA HUDUMA BORA.
Переглядів 99Місяць тому
HOSPITALI YA KOLANDOTO YAHITIMISHA WIKI YA WATEJA KWA KISHINDO, WAGONJWA WAPATA HUDUMA BORA.
#TASWIRAINLANDRADIO-MFANYABASHARA AUAWA KISA DENI
Переглядів 20Місяць тому
#TASWIRAINLANDRADIO-MFANYABASHARA AUAWA KISA DENI
#TASWIRAINLANDRADIO-WATU 3 WATUHUMIWA KUIBA NA KUMUUA RAIA WA CHINA DAR
Переглядів 33Місяць тому
#TASWIRAINLANDRADIO-WATU 3 WATUHUMIWA KUIBA NA KUMUUA RAIA WA CHINA DAR
NAIBU WAZIRI MKUU ATOA UJUMBE MZITO KWA KANISA
Переглядів 163Місяць тому
NAIBU WAZIRI MKUU ATOA UJUMBE MZITO KWA KANISA
#TASWIRAINLANDRADIO-JARIBIO LA KUMTOROSHA MWANAFUNZI LAZIMWA TABORA
Переглядів 35Місяць тому
#TASWIRAINLANDRADIO-JARIBIO LA KUMTOROSHA MWANAFUNZI LAZIMWA TABORA
#TASWIRAINLANDRADIO-WATU 4 WAFARIKI DUNIA AJALINI TANGA
Переглядів 95Місяць тому
#TASWIRAINLANDRADIO-WATU 4 WAFARIKI DUNIA AJALINI TANGA
#TASWIRAINLANDRADIO-WATU 6 MBARONI KWA MAUAJI YA WANAFAMILIA MSITUNI
Переглядів 41Місяць тому
#TASWIRAINLANDRADIO-WATU 6 MBARONI KWA MAUAJI YA WANAFAMILIA MSITUNI
kisa 200 mwanafunzi achomwa bisibisi sikioni
Переглядів 102Місяць тому
kisa 200 mwanafunzi achomwa bisibisi sikioni
MIILI 7 YAOPOLEWA ZIWA VICTORIA
Переглядів 6 тис.Місяць тому
MIILI 7 YAOPOLEWA ZIWA VICTORIA
A TO Z AJALI YA BOTI ZIWA VICTORIA MAJERUHI WAFUNGUKA CHANZO
Переглядів 27 тис.Місяць тому
A TO Z AJALI YA BOTI ZIWA VICTORIA MAJERUHI WAFUNGUKA CHANZO
KANISA KUTENGA ENEO RASMI KWA AJILI YA MIKUTANO NA MATAMASHA
Переглядів 322Місяць тому
KANISA KUTENGA ENEO RASMI KWA AJILI YA MIKUTANO NA MATAMASHA
MKUTANO MKUBWA WA KANDA YA MWANZA WAHITIMISHWA
Переглядів 242Місяць тому
MKUTANO MKUBWA WA KANDA YA MWANZA WAHITIMISHWA
SHULE YA ESBEL YAJIVUNIA KWA KUFAULISHA WANAFUNZI - (sehemu ya 1)
Переглядів 882 місяці тому
SHULE YA ESBEL YAJIVUNIA KWA KUFAULISHA WANAFUNZI - (sehemu ya 1)

КОМЕНТАРІ

  • @LydiaMussa
    @LydiaMussa 3 дні тому

    Jamani Mungu wetu tumpe nini nisifa nautukufu tumurudishie ninabarikiwa sana nakazi hii

  • @FestoMtumbe
    @FestoMtumbe 15 днів тому

    Amen

  • @Eggyupendo
    @Eggyupendo 15 днів тому

    Mungu anisaidie na mimi nitumikie kanisa vyema🙏 kama mama

  • @Rodamathayo
    @Rodamathayo 16 днів тому

    Kuna faida hakika kumtumikia Mungu, asante sana baba askofu Kwa usia mwema 🙏

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 16 днів тому

    Watanzania hatupendani kabsa unaokoa begi kweri mhh mungu waone hao wario chukua mabegi ya watu

  • @Paulinegasabile
    @Paulinegasabile 17 днів тому

    Ubarikiwe Mtumishi !! Nakupata toka Virginia Marekani.

  • @LydiaMussa
    @LydiaMussa 18 днів тому

    Haleluyaaa sifa nautukufu nikwabwana mubarikiwe sana jimbo la mwanza kazi inazidi kusonga mbele tegemeza hiyo ❤

  • @YOHANAMASANJA-pd5cu
    @YOHANAMASANJA-pd5cu 21 день тому

    Jina la Bwana libarikiwe

  • @el-gibbortv5564
    @el-gibbortv5564 21 день тому

    Kabisaaaa

  • @LydiaMussa
    @LydiaMussa 24 дні тому

    Hongela sana kwakazi nzuri yakupokea meli mpya lakini pia itatoa huduma nzuri kwa wananchi walio pembezoni kwamatibabu mubarikiwe sana watumishi

  • @benayamalaki3300
    @benayamalaki3300 27 днів тому

    Asifiwe Bwana wa mabwana. Mungu aendelee kuwatunza viongozi wote. Asanteni Kwa moyo wa kujali mama wachungaji

  • @IsabelaMihambo
    @IsabelaMihambo 27 днів тому

    Asanteni wa jimbo kwa kuwatunza watumishi wa Mungu

  • @LydiaMussa
    @LydiaMussa 28 днів тому

    Hongela sana watumishi jimbo la Antiokia jamani kila anayepitia hapa aweke koment yake jinsi jimbo letu linavyoendelea kupaa kupitia redio yetu pendwa ya Inland ♥️ tunaipenda sana

  • @stevenMashishanga
    @stevenMashishanga Місяць тому

    Jambo Zurich kuwana kumbuki kama hili Baba Ki kwa hii miaka 40 yake.Asante kwa hotuba ya baba Askofu mkuu wa AICT Magwesela na maneno ya busara ya Mhe.Dr.Doto M.Biteko Naibu Waziri Mkuu,mbunge na waziri wa Nishati. sula

  • @petermlapa8746
    @petermlapa8746 Місяць тому

    Hongera sana Kolandoto

  • @AshuraIsa
    @AshuraIsa Місяць тому

    Polen sana

  • @AsinaMpakilia-zw5wu
    @AsinaMpakilia-zw5wu Місяць тому

    Poleni Sana Kwa mkasa uliowapata,

  • @Num3er22
    @Num3er22 Місяць тому

    Unabeba begi na kumuacha binadamu anakufa! Eeh Mungu utusamehe.

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n Місяць тому

    iv kweli jaman una uwezo wakuokoa mwenzako badala yakuwaokoa mnawaulza una sh ngap mfukon? kwel jaman ila wew uliemuulza mwenzako hvyo ukaamua kumuacha afe kwa uzembe lakin ulkua unaweza kumuokoa bas umeshalaaniwa na Mungu nawe huijui kesho yako jamani

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n Місяць тому

    duu Polen Sana jaman

  • @ConsoMashauri
    @ConsoMashauri Місяць тому

    Poleni Sana ndug

  • @estherchachamseti2060
    @estherchachamseti2060 Місяць тому

    Mungu tusaidie Manisha ndio yanyotufanya kupanda maboti na haya maupepio

  • @LydiaMussa
    @LydiaMussa Місяць тому

    Jamani inasikitisha kweli duuu

  • @LydiaMussa
    @LydiaMussa Місяць тому

    Jamani kamfanya mwenzake kuwa nakilema chamaisha sheria ichukue mkondo wake duu

  • @LydiaMussa
    @LydiaMussa Місяць тому

    Muko vizuri nasimulizi yenu inamafundisho

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 Місяць тому

    Jaman😢

  • @RamadhanAsuman-n1p
    @RamadhanAsuman-n1p Місяць тому

    Polen

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Місяць тому

    Watu wengi mno.Tamaa ya hela.😢

  • @joycenose2356
    @joycenose2356 Місяць тому

    Nimeumia Sana maana huu ni uzembe😢😢😢

  • @athumaniamiri880
    @athumaniamiri880 Місяць тому

    Inna Lilah wainna ilah rajiun

  • @Alicemsafiri
    @Alicemsafiri Місяць тому

    Poleni sana

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant Місяць тому

    Uzembe sana wenye vyombo vya kwenye maji, boti imetoboka inaingiza maji lakini wanapakia abiria.

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x Місяць тому

    Poleni sana

  • @silvanusjack6
    @silvanusjack6 Місяць тому

    Majeruhi au manusura?

  • @noahmadali7150
    @noahmadali7150 Місяць тому

    Hela mbaya sn watu wanafurahia wenzao wafe ili samaki zipate chakula kwa wingi ili wavue samaki nyingi utu umeisha kabisa

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 Місяць тому

    Uuuwiiii jamani hivi haya madude huwa hayakaguliwi ? Eti tangu mwanzo Wa safari lilikuwa linaingiza Maji, halafu linaenda na kurudi na nyie wasafiri na mapipa na cementi ifike mahali kuwe na vyombo vya mizigo na abiria ,hivi vitu vinaumiza sanaaa kila mtu ana haki ya kuishi .

  • @jenestertituskagisa7637
    @jenestertituskagisa7637 Місяць тому

    Kwenye vitu vya maana wanaochangia mada ni wachache sana ila ingekuwa ni Mambo mengine ya kudunia wee acha tu. Ila nawaomba ndugu zangu maisha ni hayahay tu tuweke utu kwanza

  • @geey7893
    @geey7893 Місяць тому

    Ivi kwann watu wa usafiri wa maji huwa wanapuuzia sana swala la Life Jackets?. Yani huwa nakasirika sana wanajifanyaga wana uhakika wa kila kitu majini

    • @masoromashauri1256
      @masoromashauri1256 Місяць тому

      Iko hivi Life jacket haisaiidii kuokoka Ila inasaidia kuonekana pindi utakapokuwa umesha KUFA. Kuna kitu kinaitwa Boya ndo kinasave wakati wa tukio Kama Hilo na Boats nyingi hazina hivyo vifaaa.

    • @geey7893
      @geey7893 Місяць тому

      @@masoromashauri1256 Ila wee Jamaa Muongo sana khaa😆😆sasa kinaitwa life Jacket la nini? SI ingeitwa reflector?

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Місяць тому

      Kwenye maji sitakuja nisafiri maisha yangu YOTE,Hata iweje,MUNGU anisaidie

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow Місяць тому

      ​@@israelkisaila8401utasafili tuu

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 Місяць тому

      ​@@masoromashauri1256sasa we we ndio hilo boya unalolizungumzia kwa sababu huelewi hata maana ya life jackets 😂😂😂

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati Місяць тому

    Poleni sana 😢

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson Місяць тому

    Tunakula samaki nao wanatula 😂😂😂

  • @kulwamikwanga3112
    @kulwamikwanga3112 Місяць тому

    Ubinadam kazi shukuruni mungu wa mbinguni pole kwa ajari na kwa kupoteza ndgu jamaa imeniuma saana 😭😭😭😭

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Місяць тому

    😢😢😢Hili ziwa linakula watu

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Місяць тому

    Washenzi Sana ninyi watanganyika baadhi yenu, munashindwa kuwaokoa wenzenu

    • @geey7893
      @geey7893 Місяць тому

      Kuma la baba yako, wewe mbona hamkuwaokoa wa Kwenye MV Spice?

  • @BonnyMisigaro-k4x
    @BonnyMisigaro-k4x Місяць тому

    Mangisiswohi

  • @happymarchiusnjungani1138
    @happymarchiusnjungani1138 Місяць тому

    Polen Sana ndg zetu Ila kumbe wanadam Ni wanyama ..wanashindwa kuokoa wenzao wakiwaona kabisa wanazama alafu wanapita na mitumbwi Yao jaman imeniumaaa..Hongera jeshi la polic kuwahi eneo la tukio na kuwaokoa watu

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Місяць тому

    Ignorance! Kwa nini hamna life jackets????

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo Місяць тому

      Tofautisha kati ya "ignorance" na "negligence"!

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 Місяць тому

      @@SylvesterKameo this one is pure ignorance

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo Місяць тому

      The root causes of the accident was negligence not ignorance!

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 Місяць тому

      @@SylvesterKameo i agree the negligence of the captain but ignorance of the passengers

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo Місяць тому

      @@naturelle1097 Possibly, to a certain extent!

  • @SarahSimion-e9c
    @SarahSimion-e9c Місяць тому

    Hao waliochukua hiyo mizigo yao wakamatwe

  • @zawadymussandegeleke2022
    @zawadymussandegeleke2022 Місяць тому

    Poleni Sana ndugu zetu mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu kwenu

  • @rahabukirigiti8514
    @rahabukirigiti8514 Місяць тому

    Du jamani poleni sana

  • @LydiaMussa
    @LydiaMussa Місяць тому

    Poleni sana wapendwa Mungu amesimama ktk ktk yenu pole sana