Kaniki online Tv
Kaniki online Tv
  • 5 141
  • 2 661 929
TUME YA WAATHIRIKA WA UKIMWI / MHE MBUNGE AIOMBA SERIKALI
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 Kaniki Online TV. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
Awadh Omary Kaniki ni Mtangazaji na Mwandishi wa habari kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya Tanzania kila siku kupitia TWITTER X, FACEBOOK, INSTAGRAM, LINKED NA UA-cam www.kanikionlineTv.co.tz
#kanikiOnlineTv #kanikiTv #kanikibrowns #awadhOmaryKaniki
KWA MAWASILIANO NA AWADH OMARY KANIKI MMILIKI WA KANIKI ONLINE TV PIGA SIMU NAMBA +255 62 273 2287
FOLLOW ME.
Instagram: / Kaniki_browns
Twitter: / kanikibrowns
Facebook: / awadh omary kaniki
linked: / kanikibrowns
Email: awadhikaniki1@gmail.com
Переглядів: 3

Відео

MAZITO ! BIMA YA AFYA KWA WAZEE NA WATU WASIOJIWEZA
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 Kaniki Online TV. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. Awadh Omary Kaniki ni Mtangazaji na Mwandishi wa habari kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya Tanzania kila siku kupitia TWITTER X, FACEBOOK, INSTAGRAM, LINKED NA UA-cam www.kanikionlineTv.co.tz #kanikiOnlineTv #kanikiTv #kanikibrowns #awadhOmaryKaniki KWA MAWASILIANO NA AWADH OMARY KANIKI MMILIKI WA KANIKI ONLINE TV P...
MABENKI YATOE MIKOPO KWA VIJANA / VIJANA WANAOPEWA MAFUNZO WAKOPESHWE FEDHA NA VIFAA
Переглядів 1
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 Kaniki Online TV. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. Awadh Omary Kaniki ni Mtangazaji na Mwandishi wa habari kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya Tanzania kila siku kupitia TWITTER X, FACEBOOK, INSTAGRAM, LINKED NA UA-cam www.kanikionlineTv.co.tz #kanikiOnlineTv #kanikiTv #kanikibrowns #awadhOmaryKaniki KWA MAWASILIANO NA AWADH OMARY KANIKI MMILIKI WA KANIKI ONLINE TV P...
"VIJANA WENGI WANAKUNYWA POMBE KUJIZIMA DATA" / HATUJAKOSA PESA ZA KUWAKOPESHA FEDHA MHE JESCA
Переглядів 6
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 Kaniki Online TV. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. Awadh Omary Kaniki ni Mtangazaji na Mwandishi wa habari kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya Tanzania kila siku kupitia TWITTER X, FACEBOOK, INSTAGRAM, LINKED NA UA-cam www.kanikionlineTv.co.tz #kanikiOnlineTv #kanikiTv #kanikibrowns #awadhOmaryKaniki KWA MAWASILIANO NA AWADH OMARY KANIKI MMILIKI WA KANIKI ONLINE TV P...
SAKATA LA MAAMBUKIZI YA UKIMWI "HIV" LAZUNGUMZWA BUNGENI
Переглядів 4Годину тому
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 Kaniki Online TV. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. Awadh Omary Kaniki ni Mtangazaji na Mwandishi wa habari kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya Tanzania kila siku kupitia TWITTER X, FACEBOOK, INSTAGRAM, LINKED NA UA-cam www.kanikionlineTv.co.tz #kanikiOnlineTv #kanikiTv #kanikibrowns #awadhOmaryKaniki KWA MAWASILIANO NA AWADH OMARY KANIKI MMILIKI WA KANIKI ONLINE TV P...
UJENZI WA VIWANJA "SERIKALI YASEMA TUMEFIKA OAZURI" MSIGWA AJIBU MASWALI YA WANAHABARI
Переглядів 1Годину тому
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 Kaniki Online TV. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. Awadh Omary Kaniki ni Mtangazaji na Mwandishi wa habari kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya Tanzania kila siku kupitia TWITTER X, FACEBOOK, INSTAGRAM, LINKED NA UA-cam www.kanikionlineTv.co.tz #kanikiOnlineTv #kanikiTv #kanikibrowns #awadhOmaryKaniki KWA MAWASILIANO NA AWADH OMARY KANIKI MMILIKI WA KANIKI ONLINE TV P...
UWANJA WA BENJAMINI MKAPA "VITI VIPYA KUWEKWA" MHE MSIGWA AZUNGUMZA MAZITO
Переглядів 205 годин тому
UWANJA WA BENJAMINI MKAPA "VITI VIPYA KUWEKWA" MHE MSIGWA AZUNGUMZA MAZITO
MUSUKUMA "SIJAWAHI ONA WAHUDUMU WA TRENI YA SGR" / TUNATAKA KULIFELISHA SHIRIKA KAMA MWENDOKASI
Переглядів 212 години тому
MUSUKUMA "SIJAWAHI ONA WAHUDUMU WA TRENI YA SGR" / TUNATAKA KULIFELISHA SHIRIKA KAMA MWENDOKASI
MHE MSUKUMA ATEMA CHECHE "AU KISA MAONI YALILETWA NA MTU WA DARASA LA SABA" NISIFIENI
Переглядів 332 години тому
MHE MSUKUMA ATEMA CHECHE "AU KISA MAONI YALILETWA NA MTU WA DARASA LA SABA" NISIFIENI
"WANAWAKE WANAOBAKWA" SERIKALI LITAZAMENI / NA HATUA ZICHUKULIWE
Переглядів 192 години тому
"WANAWAKE WANAOBAKWA" SERIKALI LITAZAMENI / NA HATUA ZICHUKULIWE
BUNGENI KWA MOTO MJADALA KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME
Переглядів 332 години тому
BUNGENI KWA MOTO MJADALA KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME
WANAOKIUKA MAADALI YA UANDISHI WA HABARI KUCHUKULIWA HATUA KALI / MHE MWANAFA
Переглядів 72 години тому
WANAOKIUKA MAADALI YA UANDISHI WA HABARI KUCHUKULIWA HATUA KALI / MHE MWANAFA
MAGARI KWA WATUMISHI KIZUNGUZUNGU/ WANAOTOCHIMBA MICHANGA MTONI KUKIPATA
Переглядів 72 години тому
MAGARI KWA WATUMISHI KIZUNGUZUNGU/ WANAOTOCHIMBA MICHANGA MTONI KUKIPATA
SAKATA la UJENZI wa BARABARA Lainua SURA MPYA BUNGENI
Переглядів 192 години тому
SAKATA la UJENZI wa BARABARA Lainua SURA MPYA BUNGENI
"RAIS SAMIA Alitupatia AHADI ya UJENZI wa BARABARA" / Mhe AHADI hiyo imeishia WAPI?
Переглядів 322 години тому
"RAIS SAMIA Alitupatia AHADI ya UJENZI wa BARABARA" / Mhe AHADI hiyo imeishia WAPI?
MAZITO Yazungumzwa BUNGENI /MAJIBU ya SERIKALI
Переглядів 152 години тому
MAZITO Yazungumzwa BUNGENI /MAJIBU ya SERIKALI
MHE NDERIANANGA Atoa MAJIBU ya SERIKALI leo BUNGENI
Переглядів 182 години тому
MHE NDERIANANGA Atoa MAJIBU ya SERIKALI leo BUNGENI
RAIS SAMIA "WAALIMU kupatiwa UNAFUU wa MISHAHARA" HOTUBA NZITO ya MHE RAIS Leo
Переглядів 152 години тому
RAIS SAMIA "WAALIMU kupatiwa UNAFUU wa MISHAHARA" HOTUBA NZITO ya MHE RAIS Leo
MILIONI 2.1 Zatumika UJENZI wa OFISI ya SERIKALI za MTAA / MHE JERRY WILLIAM SILAA
Переглядів 242 години тому
MILIONI 2.1 Zatumika UJENZI wa OFISI ya SERIKALI za MTAA / MHE JERRY WILLIAM SILAA
WAPIGA KURA 594000 Kuondolewa KUTOKANA na KUKOSA SIFA / TUME ya UCHAGUZI NEC
Переглядів 472 години тому
WAPIGA KURA 594000 Kuondolewa KUTOKANA na KUKOSA SIFA / TUME ya UCHAGUZI NEC
RAIS SAMIA Akabidhiwa TUZO Na WIZARA ya ELIMU
Переглядів 332 години тому
RAIS SAMIA Akabidhiwa TUZO Na WIZARA ya ELIMU
MAZINGIRA MAGUMU ya WANAFUNZI wa VIJIJINI / TAZAMA Hali yao ya KIMAISHA
Переглядів 392 години тому
MAZINGIRA MAGUMU ya WANAFUNZI wa VIJIJINI / TAZAMA Hali yao ya KIMAISHA
"Ukiwa KIONGOZI Hupaswi KULALA" MAKAMU wa RAIS PHILIP MPANGO "Wewe Umekuwa MFANO KWETU"
Переглядів 672 години тому
"Ukiwa KIONGOZI Hupaswi KULALA" MAKAMU wa RAIS PHILIP MPANGO "Wewe Umekuwa MFANO KWETU"
SIRI NZITO Mhe MKENDA AZITOA "RAIS ulitupokea" NILIJUA ULILIBWAGA / NAKUPONGEZA SANA
Переглядів 252 години тому
SIRI NZITO Mhe MKENDA AZITOA "RAIS ulitupokea" NILIJUA ULILIBWAGA / NAKUPONGEZA SANA
USHUJAA Na VIPAJI vya WANAFUNZI hawa Mbele ya RAIS SAMIA UTAPENDA A-z
Переглядів 82 години тому
USHUJAA Na VIPAJI vya WANAFUNZI hawa Mbele ya RAIS SAMIA UTAPENDA A-z
"MASOMO ya kukaririshwa TUACHANE NAYO" SPIKA Wa BUNGE TANZANIA TULIA ACKSON Mbele ya RAIS SAMIA
Переглядів 592 години тому
"MASOMO ya kukaririshwa TUACHANE NAYO" SPIKA Wa BUNGE TANZANIA TULIA ACKSON Mbele ya RAIS SAMIA
WIZARA ya ELIMU ZANZIBAR / "Umepambana sana kwenye SEKTA ya ELIMU" TANZANIA na TANZANIA VISIWANI
Переглядів 82 години тому
WIZARA ya ELIMU ZANZIBAR / "Umepambana sana kwenye SEKTA ya ELIMU" TANZANIA na TANZANIA VISIWANI
MTOTO Aliyemkosha RAIS SAMIA Tazama UJASIRI wake MBELE ya VIONGOZI wa SERIKALI
Переглядів 742 години тому
MTOTO Aliyemkosha RAIS SAMIA Tazama UJASIRI wake MBELE ya VIONGOZI wa SERIKALI
"Hata Wasiposema MIMI nawasemea" TUNAKUPONGEZA RAIS SAMIA / "Siwezi kusahau Nyumbani" MHE KIKWETE
Переглядів 282 години тому
"Hata Wasiposema MIMI nawasemea" TUNAKUPONGEZA RAIS SAMIA / "Siwezi kusahau Nyumbani" MHE KIKWETE
BENKI ya DUNIA kutoa MSAADA kwa TANZANIA Kuhusu MASWALA ya ELIMU
Переглядів 492 години тому
BENKI ya DUNIA kutoa MSAADA kwa TANZANIA Kuhusu MASWALA ya ELIMU

КОМЕНТАРІ

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Годину тому

    Ila inasikitisha sana kiongozi kama wew kumjb mam mjamxito hivyo. Ndugu au mtt wako mtu wa karibu akiona hii clip sii ataangalia chini kwa aibu kubwa kabisa.

  • @josephtsino9047
    @josephtsino9047 2 години тому

    Ningeshangaa San mama ungeingia kwenye mtego wakijinga san

  • @praygodmtui1407
    @praygodmtui1407 8 годин тому

    Raisi ajaye baada ya mitano tena ya Mama.

  • @praygodmtui1407
    @praygodmtui1407 8 годин тому

    Huyu mtu hafai kuwa kiongozi kabisa mama Samia mwangalie yy ana bima kubwa kutokana na kodi za wananchi wanyonge leo anatunyanyapaa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi mtumbue mama

  • @VenantieBIGIRIMANA
    @VenantieBIGIRIMANA 17 годин тому

    Kwanini usiyirudishe toka huko

  • @ErnestJosephat
    @ErnestJosephat 18 годин тому

    MIMI NIMEKUELEWA SANA GOODLUCK!!WENGI WANAONA HAUKO SAWA ILA NAKUONA UNAENGEA UKIWA ROHONI SANA !!BINAFSI NAONA HILO !!JICHO LA NYAMA NDIO WENGI WANAONA GARI ULILOCHOMA NI KITU CHA THAMANI KULIKO MUNGU!!NAUNGANA NA WEWE❤❤

  • @Kefahmomanyi-gz9tv
    @Kefahmomanyi-gz9tv 19 годин тому

    Wacha uchinga rundisa ungerundisa Gari ya wenyewe kijana....

  • @BernadethaChota
    @BernadethaChota 23 години тому

    🙏🙏

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 День тому

    Kweli hasarra chai futa

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 День тому

    Kinacho kupa jeuli ni code zawa tanzania!!!?????😅😅😅😅😅😅

  • @NaomiKaywuanga
    @NaomiKaywuanga День тому

    😂😂😂😂

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 День тому

    Get serious you my people nilimshauri ndg yangu akajifungulie hospital kubwa lakini kaenda sehemu yenye daktari mmoja aliyefanya kazi kama punda alizaa mtoto ok mpaka sasa mtoto ana miaka minne ila bado hajaanza kukaa mwenyewe. Mpaka saport twna kwenye mapaja daktari kulingana na changamoto za siasa na kazi ngumu aliamua kuikimbiakazi ya kuzalisha kuweni makini sana kwenye afya za ndg zenu afya isipenyezewe siasa

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 День тому

    Huyu mzeee namwelewa sana na akiipata hii nchi mtakpma hataki matani kazi wanazozifanya wataalamu ni ngumu sana kisa mkono wa siasa huyu mwamba hana siasa anachapa kazi porojo sie watanzania zitatufikisha kugumu mama muache kiongozi huyu ni moja kati ya viongozi wachache waliokomasikini marekani kwa trump huwezi kukutana na pwayapwaya kamaza kwetu heeeebu mwamba amekosea wapi hebu kuweni wahudum hizi anazosema mtamkumbuka

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV День тому

    Naunga mkono

  • @FadhiriKigola
    @FadhiriKigola День тому

    Ufai kua kiongozi mdomo wako ni mchafu

  • @ThomasMtogwa
    @ThomasMtogwa День тому

    Mama kuwa makini huyu hafai kuwa kiongozi wa uma mtumbue hafai kabisa

  • @johnmworia1062
    @johnmworia1062 2 дні тому

    Huyo ndio chalamila mwenyewe

  • @saidbawazir2879
    @saidbawazir2879 2 дні тому

    Sasa hiyo ni kauli ya chalamila sio ya ccm sera ya ccm inasemaje??

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 дні тому

    Wanawake mngeondoka hapo ajue mmekasirika hapo ametukashifu wanawake wote.

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 дні тому

    Hivi hii Raisi kaiona? Na je amechukua hatua gani? Yaani huyu ungemjibu namna ingine ulijibu vibaya omba radhi bwana acha siasa. Hebu mpumzishe kidogo. Kwani dawa za Raisi? Hapana za walipa kodi na rasilimali zetu.

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l 2 дні тому

    Hovyo kabisa pumbavu kabisa

  • @kamgishaomary2371
    @kamgishaomary2371 2 дні тому

    Ahsante kiongozi kwa kuwambia watanzania ukweli ambao hawataki kuusikia Wote mnaotukana mnataka awe na busara zipi za kuambiwa uongo ndo muone ni kiongozi Bora. Baada umpigie mumeo akutumie pesa unampigia mkuu wa mkoa ili ufitinishe wafanyakazi na selikari ionekane wanataka kukuibia Cha msingi lipia hiyo 50k DAI lisiti halali

    • @MussaShila
      @MussaShila 3 години тому

      Mwingine Hana hata mme masikini kapata,ujauzito,half anakutanacho sasa atalia machozi yote

  • @MUMBIWAGOVENOR
    @MUMBIWAGOVENOR 2 дні тому

    Ujumbe wa kweri

  • @Shivan-t4k
    @Shivan-t4k 2 дні тому

    Sasa yule waziri bungeni alikuwa anatetea nini

  • @RamadhanPilimo
    @RamadhanPilimo 2 дні тому

    JAMANI.HAWA.VIONGOZI.MUNNAPO.WACHAGUA.MUNAWAPIMAGA.AKILI?.KIONGOZI.ANAONGEA.MANENO.KAMAHAYA.MBELE.YA.WANANCHI.NA.VIONGOZI.WARIO.MCHAGUA.WANAMSIKIZA22.HAWANA.MAAMUZI.YAKUMFANYA.JAMANI.2NAENDA.WAPI?

  • @StanleyJeremia
    @StanleyJeremia 2 дні тому

    Kweli ww ni mnyama kweli mungu atakuja kukuzalilisha tuuu

  • @zonko0488
    @zonko0488 2 дні тому

    Ndio viongozi wetu hawa......!!!!! Asie na Mwana aeleke jiwe.....

  • @FrancisRogears-w7i
    @FrancisRogears-w7i 2 дні тому

    demokrasia hamna ccm

  • @raphaeledson2002
    @raphaeledson2002 2 дні тому

    Ikiwa Mungu ni wa wivu, kwanini uwe na michepuko??? Simama na Mungu acha michepuko

  • @BahariaKijaji
    @BahariaKijaji 2 дні тому

    U

  • @nuraansuhail2578
    @nuraansuhail2578 2 дні тому

    Mheshimiwa yuko sahihi ,,,AFYA ndugu zangu mkiendelea kuichanganya na SIASA tutegemee maadili na utendaji wa hofu na sio ufanisi kwa wataalamu wetu wa Afya,,, Ujauzito sio dharula miezi tisa mtu anaona mimba inakua hamna maandalizi yoyote anategemea aende hospital apewe buree ni ngumu,,,Tubadilike wa Tz japo najua hamtaki kuelezwa ukweli lakini Wataalamu wa Afya wanaelewa,,,Pair of gloves 10 ni elfu kumu kweli miezi tisa inakosekana elfu kumi So kama hospital havipo mnataka watumishi watoe fedha zao kumnunulia au?? Tujifunze kutunza akiba kwaajili ya Afya zetu Tiba ni gharama Daktar anasoma miaka 5 kwa gharama kubwa mno then unataka umuone buree kama shule ni rahis wote tungekua madaktar,,,,Tusipende buree ktk Afya otherwise pia kua tayar kupata bora tiba lakini sio Tiba Bora

  • @SamwelLaiza-j3o
    @SamwelLaiza-j3o 2 дні тому

    Sijawahi kuona busara hata kidogo kwa kiongozi huyu katika matamshi yake yote ni ovyooo hana utu

  • @iddijuma6152
    @iddijuma6152 2 дні тому

    chalamila piga kazi achana n mandezi

  • @ShabanimusaMangi
    @ShabanimusaMangi 2 дні тому

    Wewe hunaera baba hongoe tuu

  • @ShabanimusaMangi
    @ShabanimusaMangi 2 дні тому

    hukipata nafasi husisahau wenye hari yachini sio kauri kama kiongozi hiyo

  • @raphelabel3618
    @raphelabel3618 3 дні тому

    Ulijiteka umejitokeza ulikuwa uhamishoni

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 3 дні тому

    Mwana wa MUNGU uishi milele na MUNGU azidi kukuinua siku zote kama wanadamu hatujakamilika na mara nyingi tunakosea, nimeyapenda sana na kuyaheshimu maamuzi yako na MUNGU azidi kukupa uli zi wake

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 3 дні тому

    Ivi kwanini? CCM kumkuta mtu mwenye akili timamu ni ngumu sana %80 vichwa vibovu!!

  • @michaelkigenda6748
    @michaelkigenda6748 3 дні тому

    Ok

  • @michaelkigenda6748
    @michaelkigenda6748 3 дні тому

    Ni Heri ukaomba msamaha, kuliko kuendeleza malumbano, watu wataichukia serkali kwa lugha zako za kipuuzi. Sh 50,000/ not affordable for everyone. Labda wakubwe zako kama wanaona hiyo kauli ndiyo wanayopendezwa nayo tegemea promotion kutoka kwao hao wakubwa na kama ni CHUKIZO kwao ndugu yangu CHALAMILA DEMOTION IS CLOSE AT YOUR DOOR Mungu akusaidie SANA

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 3 дні тому

    Wewe uwezo ni mdogo sana wa uongozi haufai kabisa

  • @imanisaveri8921
    @imanisaveri8921 3 дні тому

    Kauli yako utoke tuu kwenye kiti hicho utenguliwe tuuu

  • @mpandujibusalu9854
    @mpandujibusalu9854 3 дні тому

    Hafaii kabisa kuongoza watu

  • @MatoboGachori
    @MatoboGachori 3 дні тому

    Pole mama tambua mwenye xhibe hakumbuki mwenye njaa mungu ndiye kimbilio letu

  • @MelkizedekAklei
    @MelkizedekAklei 3 дні тому

    Mzee punguza ulevi ndio maana kipara na kitambi vinauzidi umri na akili Yako

  • @Brytonsimon-w4p
    @Brytonsimon-w4p 3 дні тому

    Kwa kweli tanzania yetu hii inaitaji maombi makbwa sana kwa MUNGU maana nila maombi makubwa viongoz kama hawa hawawez kutoka madarakan

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 3 дні тому

    Jamaa anazaurai sana

  • @JamesSAMWEL-d7v
    @JamesSAMWEL-d7v 3 дні тому

    Rc huyu aluswi kua kiongozi mama wasikualibie jina Samia kuwa makini na viongozi hawa

  • @JamesSAMWEL-d7v
    @JamesSAMWEL-d7v 3 дні тому

    Ungemfafanulia vizuri mama akakuelewa pamoja na jamii ,lakini watu atulingani wewe unabahati kua ulivyo lakini mungu yupo Kwa mjibu unayo jibu jamii

  • @VailetMasha
    @VailetMasha 3 дні тому

    Tunakuheshimu Sana Rc chalamila acha majibu mabaya