Jeremy Jeradi
Jeremy Jeradi
  • 11
  • 1 855 722
Jeremy Jeradi - Umekuwa Nami ( Official Live Recording Video )
The Lord Has Been so Good and Faithful to Us .
Minister Jeremy jeradi Is An East African Worship and Gospel Minister . A Mentor , Music Director & Producer , Song Writer .
UMEKUWA NAMI LYRICS
*INTRO*
* Hapa Nilipo Jinsi Nilivyo Niwewe Ume niwezesha ×2
Hatakatika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee .
Hapa Nilipo Jinsi Nilivyo Niwewe umeniwezesha × 2
* Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi
Umekuwa nami × 2 Katika jangwaaa
CHORUS :
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami ,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami × 4
* Huku Ruhusu Nifie Misri Uliniokoa na Farao , Hata Katika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee ,
Huku Ruhusu Nifie Misri Uliniokoa na Farao
Hata Katika umaskini na Magonjwa , huku ruhusu ni teketee ,
Huku Ruhusu Nifie Ushago Uliniokoa Na Farao , Hata Katika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee. [ Katika jangwaa ]
CHORUS :
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami ,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami × 4
*UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI...
[ Instrumentalists )
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI...
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami , zilipo Vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami ×2
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI...
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI , UMEKUWA NAMI...
Audience
Umekuwa Nami , umekuwa Nami
Umekuwa Nami , umekuwa Nami
Umekuwa Nami , umekuwa Nami
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami , zilipo Vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami...
UMEKUWA NAMI ! UMEKUWA NAMI !
Celebration.....
Song Writer : Minister Jeremy jeradi
Video & Photography : Summary Creative
Audio Production : Jeradi Conceptz studio
Bvgs : The Shekinah Team under Minister Jeremy jeradi
Recorded at the Nairobi Cinema Hall
, The Shekinah Experience With Minister Jeremy jeradi.
TO CONNECT & PARTNER WITH MINISTER JEREMY JERADI
+254705955599
Email : jeremiejeradi05@gmail.com
Facebook : Jeremy jeradi Official
Instagram : Jeremy jeradi Official
TikTok : Jeremy jeradi Official
GOD BLESS YOU & THANK YOU FOR WATCHING.
#worship #livemusic #gospelsongs #UmekuwaNamibyjeremyjeradi #KatikaJangwaKwenyedhoruba... #UmekuwaNami #liveRecordingconcert #gospelmusic #music #jesus #thanksgiving #thankyou #jeremyjeradiOfficial #JeremyJeradi #NimekutanaNaWeweYesu
#NimekuonaElohimUkitenda #NimekutanaNaweweByJeremyJeradi
#swahiliworship #mbonyi #ipyana
Переглядів: 118 989

Відео

Jeremy Jeradi - Nimekutana Nawewe ( Official Live Recording Video )
Переглядів 973 тис.3 місяці тому
Minister Jeremy jeradi is a worship Minister , Gospel Minister , Music director From East Africa . Song Recorded At The Shekinah Experience Live Recording Hosted by Minister Jeremy jeradi in Nairobi Kenya. ( Nairobi Cinema ) Song Writer : Jeremy jeradi Audio Production : JC Video Production : Summary Creatives Photography : summary Ndingenda... Drummer : Chris Dallas Solo guitar : Sadam safari ...
Jeremy Jeradi - Official Audio ( Studio Recorded )
Переглядів 100 тис.5 місяців тому
Thank You For watching Minister Jeremy jeradi is a worship and Gospel Minister From East Africa. He is The founder of Shekinah Global and Jeradi conceptz Kenya . stay connected for more powerful Worship and praise Songs #swahiliLatestsongs #swahiliMix #lyrics #lyricsvideo
Jeremy jeradi - Tunakuabudu Yesu ( Deep Swahili WORSHIP Song ) Latest Worship Song
Переглядів 100 тис.7 місяців тому
Tunakuabudu _ Powerful Swahili Worship Song You must Listen before praying or Worshipping God... Vocals : Jeremy jeradi Audio : Jeradi Studios ( jeradi conceptz) To connect and Partner With minister Jeremy jeradi 254758040107
Jeremy Jeradi - Kuna Mungu Mbinguni _Live Session #SwahiliWorship #praiseandworship #worshipsongs
Переглядів 46 тис.9 місяців тому
Kuna Mungu Mbinguni by Minister Jeremy jeradi Worship moments worship session worship medley Recorded at JERADI studios Mixed and mastered by Mj #praiseandworship #thanksgiving #worshipmedley #swahiliworship #2024songs #christiansongs #LatestWorshipSongs #gospelmusic #SwahiliworshipMix #mixtape
BEST 2024 SWAHILI PRAISE MEDLEY || VIUMBE VYOTE VINAKUABUDU || HATA MILELE || POKEA SIFA NA SHANGWE
Переглядів 36 тис.10 місяців тому
BEST 2024 SWAHILI PRAISE MEDLEY || VIUMBE VYOTE VINAKUABUDU || HATA MILELE || POKEA SIFA NA SHANGWE #praiseandworship #praisemedley #praiseandworshipsongs #swahiliworship #2024songs #BestworshipAndpraiseSongs2024 #SwahiliMix #worshipmedley
🔥 30 MINUTES SWAHILI WORSHIP SESSION SWAHILI WORSHIP SONGS || SWAHILI MIX LIVE || WORSHIP MOMENT
Переглядів 55 тис.Рік тому
SHEKINAH MOMENTS WITH MINISTER JEREMY JERADI Worship That bring Things back To life 🔥 Thank you For Watching... POWERFUL SWAHILI WORSHIP POWERFUL ENGLISH WORSHIP SONGS... #thanksgiving #asante #grateful #Swahiliworshipmix #kenyagospel #latestworshipsongs #swahiliworship #prayersongs #tanzaniagospel #worshipmedley #worshipmoment #Intimacy #Holyspirit #RevivalWorship #Spontaneous #Spiritfilled #H...
Jeremy jeradi - Baba_Eh ( official live video ) jambo Gani Hilo Usiloweza | #worship #thanksgiving
Переглядів 133 тис.Рік тому
This Song was Recorded At The Nairobi cinema hall . Worship Altar season.1 by minister Jeremy jeradi. Song Composer : Jeremy jeradi Video production : Director Latan ,BMedia Audio production : Jeradi Concept JC Connect with minister Jeremy jeradi # 254758040107 jeremiejeradi05@gmail.com LYRICS : Baba Eh , Baba Eh jambo Gani Hilo Usiloweza , S1. Wawapandisha waliochini wawa bariki mayatima jambo...
Jeremy Jeradi - Bure ulinikubali (Official live video ) Mimi_ninani nistahili _Sikulipa chochote
Переглядів 163 тис.Рік тому
This Song was Recorded At The Nairobi cinema hall . Worship Altar season.1 by minister Jeremy jeradi. Song writer : minister Jeremy jeradi Video production : Director Latan ,BMedia Audio production : Jeradi Concept JC Connect with minister Jeremy jeradi 254758040107 jeremiejeradi05@gmail.com LYRICS : chorus Mimi Ninani nistahili kupendwa namna hii Sikulipa chochote Bure ulinikubali S1. Mimi Nin...
WORSHIP SESSION.06 - Baba_Eh jambo gani hilo Usiloweza | Jeremy jeradi #2023 #live #kenyagospel
Переглядів 30 тис.Рік тому
Jambo gani hilo usilo weza || powerful worship by minister jeremy jeradi from Nairobi-Kenya || the Lord has been faithful to me after struggling for long time God akanipa amani na furaha kamili || for sure Hakuna lile asilo weza . Call us on 0758040107 . Fecebook jeremy jeradi official & minister jeremy jeradi . subscribe for more powerful worship songs by minister jeremy jeradi #ngommagospel #...
WORSHIP SESSION.05 -Niseme Nini Baba #thanksgiving || minister Jeremy jeradi #trendingLivesession
Переглядів 115 тис.Рік тому
Worship Session by minister Jeremy jeradi official || Jeradi-Concept || Nairobi #swahiliworship #swahiliworshipsongs2022 #bestworshipsongsgospelsongs #bestworshipmix #wastahili #nimfahamuyesu #tenzizarohoni #nyimbozawokovu #nyimbozamaabudu #nyimbozainjili #magrethjames #UNAWEZAKUFANYA #UNAWEZAKUTENDA #HAKUNANGUMUKWAKO #BESTWORSHIP #halleluyah #nisemenini #thanksgiving #thanksgivingday

КОМЕНТАРІ

  • @Serafine-z7y
    @Serafine-z7y 2 години тому

    Can't get enough of thi😊s

  • @Serafine-z7y
    @Serafine-z7y 2 години тому

    Nimekutana naye yesu akinitendea😊

  • @MilagraceMunyoki
    @MilagraceMunyoki 2 години тому

    For sure have seen him on my side😢🎉

  • @zenanyachange8235
    @zenanyachange8235 3 години тому

    Asante kwa yesu

  • @EdithWanyama
    @EdithWanyama 4 години тому

    Nimeona Yesu akitenda ,asante Bwana

  • @samrukwaro607
    @samrukwaro607 8 годин тому

    Umekuwa nami mungu...

  • @jameskinuthia8714
    @jameskinuthia8714 9 годин тому

    This is awesome. God bless

  • @FaithLionah
    @FaithLionah 9 годин тому

    I like it

  • @amosijohnmanota4472
    @amosijohnmanota4472 13 годин тому

    Ubarikiwe mtu wa Mungu 😊

  • @SusanMueni-k7f
    @SusanMueni-k7f 14 годин тому

    Baraka tele MOGkeep the fire burning

  • @HidayaPambagu-qr2fs
    @HidayaPambagu-qr2fs 15 годин тому

    Hallelujah 💥

  • @christabibukenya4097
    @christabibukenya4097 16 годин тому

    Blessings man of God 🙏 May the Lord keep you and bless you more ...

  • @MariaEnock
    @MariaEnock 17 годин тому

    Amekuwa nami since 01/01 Up to now 3/12/2024 oooh katika Jangwa na dhoruba amekuwa nami

  • @MariaEnock
    @MariaEnock 17 годин тому

    Ooh my lord! The such powerful song!

  • @itsmilcahshiropraisetoGod
    @itsmilcahshiropraisetoGod 18 годин тому

    Nimemuona Elohim

  • @MillieMilgo
    @MillieMilgo 18 годин тому

    Powerful song to end the year❤❤God Umekuwa nami😭

  • @liliankemunto1349
    @liliankemunto1349 22 години тому

    ❤Amina

  • @liliankemunto1349
    @liliankemunto1349 22 години тому

    Ahsante Yesu huu wimbo unapako mkubwa Amen

  • @SharonMmoji
    @SharonMmoji День тому

    Am blessed

  • @felistusnashipae8153
    @felistusnashipae8153 День тому

    Glory to God for giving us a gifted Kenyan worshipper 🇰🇪🙏

  • @DanielManu-v1y
    @DanielManu-v1y День тому

    Bwana tunakuomba chini ya neema yako utupe kibali tuone utukufu wako hata tuone nyao ya Yesu mwokozi ndani yake tutembee kuelekea safari ya uzima wa milele.

  • @ekatapanemmanuel1897
    @ekatapanemmanuel1897 День тому

    The worship was jist wow!!!! i really like it bravo's ❤❤

  • @CGW254
    @CGW254 День тому

    On behalf of @cgw we want to join hands in congratulating this amazing team... continue praising thee🙏🙏🙏🙏

  • @wycliffemuthengi4571
    @wycliffemuthengi4571 День тому

    😢😢😢😢❤❤❤

  • @calvincebrad1960
    @calvincebrad1960 День тому

    My brother I love your God 🙏🙏, thanks for allowing God to use you this far

  • @jasminemurgi4687
    @jasminemurgi4687 День тому

    Amen Amen Asante daddy umekua nami kwa kila hal8 yangu nilipo mdogo hadi sasa 2 12 24 nashukuru more Grace our son

  • @JacksonLokusi
    @JacksonLokusi 2 дні тому

    Mungu wangu nmekutana nawe,tangu utotoni,you have watched over my steps,true definition of grace, making unqualified to be qualified,thank you my papa,thank you Rabi❤,I love you Abba

  • @damariskimeu-ry6tx
    @damariskimeu-ry6tx 2 дні тому

    A nice song

  • @maison2543
    @maison2543 2 дні тому

    Nimemwona maishani mwangu mara kwa mara. Thank you God

  • @ambrosebaraza9601
    @ambrosebaraza9601 2 дні тому

    Very powerful and annointed umekuwa nami ohh lord u have been with me through it all

  • @lydiaaenda7725
    @lydiaaenda7725 3 дні тому

    Nimekutana na wewe Yesu. More Grace Servant of The Most High only True God

  • @paulngigi4321
    @paulngigi4321 3 дні тому

    When the devil thought he had me, Jesus reminded him that my redemption was paid for.

  • @paulpk3189
    @paulpk3189 3 дні тому

    Jeremy rising at high level all Glory to God,,, you are blessed

  • @puritymwikali4089
    @puritymwikali4089 3 дні тому

    Man of God you touch my heart 😭😭😭

  • @mauricemutola4807
    @mauricemutola4807 3 дні тому

    I love this .I have sung all through

  • @michaelandeyi4754
    @michaelandeyi4754 3 дні тому

    Young man with a bright future ,, am always in prayers for you brother

  • @ChristineMutungi-r6y
    @ChristineMutungi-r6y 3 дні тому

    Hakika yesu umekua nami katika jangwa,hukuruhusu niteketee,nasema asante yesu.

  • @MusengyaKingwana
    @MusengyaKingwana 3 дні тому

    Nimekutana na wewe Elohim 🎉🎉

  • @mutukumutisya761
    @mutukumutisya761 3 дні тому

    What a song This my song❤

  • @joshmedarguitaro9084
    @joshmedarguitaro9084 3 дні тому

    Very powerful song indeed 🙌🙌🙌 Halleluyah Katika jangwa kwenye dhoruba umekua nami😭

  • @petermwangi8851
    @petermwangi8851 3 дні тому

    Huyu 😢ni wimbo mzuri wa kumalizia mwaka aki

  • @mwongelamaliti
    @mwongelamaliti 3 дні тому

    What a blessing ❤❤❤

  • @dianawanjiku6761
    @dianawanjiku6761 4 дні тому

    Someone like this comment... let's worship our creator only

  • @mrjbke
    @mrjbke 4 дні тому

    This is what I'll be singing as I jump to a new year 2025

  • @mrjbke
    @mrjbke 4 дні тому

    This is what I'll be singing as I jump to a new year 2025

  • @johnbundimwanyamwanyajohnb1751

    This is powerful

  • @melabusahani
    @melabusahani 4 дні тому

    Kwangu umekuwa wimbo wa kipekee nazidi kumwadhimisha Mungu Kwa namna ya kipekee Kwa mengi aliyotenda maishani mwangu.❤🙏🙏

  • @lynnexbaati3902
    @lynnexbaati3902 4 дні тому

    Go with that might and serve God in your talent . Prayer is not to be compromised. May Gid hide u in His pavilion. Arrow of enemies will find u hidden.

  • @salomenjerikariuki9748
    @salomenjerikariuki9748 4 дні тому

    🙏🙏🙏🙏❤🔥💥.. He has really surprised me always. I testify your goodness

  • @ChristianaMbuya
    @ChristianaMbuya 4 дні тому

    MUNGU AWABARIKA SANA KWA WIMBO MZURI