- 317
- 105 954
Rev. Pascal Linus Mjili
Приєднався 2 сер 2013
Maili sita Ngaramtoni Arusha
Відео
MAOMBI YA KINA CHIMBUKO LA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU
Переглядів 534 місяці тому
MAOMBI YA KINA CHIMBUKO LA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU
MWINJILISTI AJITAMBUE ATAMBULIWE NA KUTAMBULISHWA
Переглядів 724 місяці тому
MWINJILISTI AJITAMBUE ATAMBULIWE NA KUTAMBULISHWA
IKIWA WEWE NI MWENYE DHAMBI NA UMEKATAA KUOKOKA HAYA NI MADHARA YAKE
Переглядів 365 місяців тому
IKIWA WEWE NI MWENYE DHAMBI NA UMEKATAA KUOKOKA HAYA NI MADHARA YAKE
HIKI NI KIFO HATARI, FANYA BIDII UKIEPUKE
Переглядів 325 місяців тому
HIKI NI KIFO HATARI, FANYA BIDII UKIEPUKE
Ukiwa na Roho mtakatifu ishara hii itakutukia
Переглядів 2466 місяців тому
Ukiwa na Roho mtakatifu ishara hii itakutukia
USIKATE TAMAA ENDELEA KUMTUMIKIA BWANA. UTALIPWA
Переглядів 666 місяців тому
USIKATE TAMAA ENDELEA KUMTUMIKIA BWANA. UTALIPWA
KAMA HUTAFUTI WALIOPOTEA -UMEPOTEA UNATAKIWA UTAFUTWE
Переглядів 246 місяців тому
KAMA HUTAFUTI WALIOPOTEA -UMEPOTEA UNATAKIWA UTAFUTWE
Pokea Kikombe cha Wokovu Tangaza Jina lake.
Переглядів 176 місяців тому
Pokea Kikombe cha Wokovu Tangaza Jina lake.
Namkubali sana mtumushi wangu wa mungu,mungu aendelee kumpigania Zaidi na zaidi
May God continue expanding you my mentor
Nakupendaa Sana mchungaji wangu❤
Kufungua kanisa
Mungu abariki kaziyako mchungaji. Umenifungua ufahamu wangu ktk kumjua Mungu. E A G T Majengo Korogwe Tanga
Ubarikiwe mno
Pastor de que iglesia es usted.? Disculpe las molestias.
sio mchezo kweli
I hope sai it's a big church ama sio ,is it still his church ama aliiacha
Naomba nguzo ya unyakuo
Ameeen
Ah mutumishi Abiudi Mungu aendeleye na kukujogeza mbele
Neno la baraka ninaloinua.ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Kwanini ha jengi hili kanisa uyo siyo wa Mungu ule nitapeli waliyo okoka wana jenga kijijini kwawo
Hiyo wimbo ya mke wa Jeupe, naipenda sana, huwa inanitia nguvu sana. Sahi niko miaka mitatu nikihudumu full time na kuna wakati nakosa mapato kabisa lakini lakini kisikiza huo wimbo natiwa nguvu kabisa na naambia mke wangu tuvumilie Mungu atafungua njia. Nakupenda mtumishi Abiudi
watu wanatoka mbali
Amina baba. Ubarikiwe sana kwa ujumbe MUHIMU kwa watu wote, hasa wale WALIOITWA NA BWANA
Amina
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Amina nawe pia
Sie wanao tukupata vzr dodoma
Barikiwa sana baba
Sasa kapata pesa amehishindwa boresha kanisa lake la awali ama lazami Kweli 😂chungu Cha zamani akina thamani mbele ya chipya
Pastor tunakupenda Mugu aendele kuku jaza
Ubarikiwe Baba
Kunena kwa lugha ni karama za Roho Sio kila mtu anapewa hicho kipawa,
Huyu bado ni mchanga kiroho anatakiwa kuelekezwa kwa faragha,,,Roho mt yuko ndani yako isipokua tu hajakupa hiyo karama maana Roho hugawa kama apendacyo,,,Soma Matendo mitume 8:14.....
@@194summer Ndiyo unavyojidanganya. “Nami nataka ninyi nyote mnene kwa lugha, ....... - 1 Wakorintho 14:5 (Biblia Takatifu)
“Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; ” - Marko 16:17 (Biblia Takatifu) Maisha yaliyojaa Roho mtakatifu hayakosi kunena kwa lugha
@@194summer hapo nimekuelewa brother kuwa Roho Mtakatifu yupo ,hugawa karama kama apendavyo Maana najiuliza mbona tuna jibiwa maombi yetu( Mimi kwenye Roho Mtakatifu nachanganywa kuelekezwa,Acha Roho Mtakatifu anifundishe mwenyewe )
Kama sineni kwa lugha na nafanya maombi nitakuwa sina Roho Mtakatifu?
Kama unakwama kunena kwa lugha, Ufahamu kiwango cha Roho mtakatifu ndani yako ni kidogo
Moja ya jambo muhimu unapaswa kufahamu nikuwa, mwanadamu yeyote ni dhaifu bila Roho mtakatifu Ndiyo sababu imeandikwa “Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa. ” - Warumi 8:26 (Biblia Takatifu)
Mmh..🤔
@@rev.pascallinusmjiliRev Kuna mtihani hapo Sasa katika kuomba huku mbona maombi yanajibiwa?,
@@rev.pascallinusmjiliRev Amina Mimi naamini katika karama kama isemavyo neno
Bado mungu ni mwema kwako pastor
mungu aendelee kukupa uzima mchungaji napenda nyimbo zako na huduma yako pia Ila nilitaka kuuliza abiudi ni mtu wa mkoa gani
Nasikia sogea
Mbeya ndugu
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, napenda nyimbo zako, kutoka Kenya
Uvumilivu huo
Amen
Ameni Baba
Amina Mtumishi, nimejifunza kitu
Mungu akupe maisha marefu mtumishii tunakupenda sanaa ❤❤
Kazi nzuri mchungaji, barikiwa
Ongela sana mchungaji
Amen Baba MUNGU WA BWANA WETU YESU KRISTO AZIDI KUKUINUA ZAIDI
Amen Baba yetu. Sitakufa. Ubarikiwe zaidi Baba yetu.
Ameni Baba yetu kwa mafundisho haya ambayo kwa hakika yanatujenga sana
Nimebarikiwa sana leo kufahamu kazi za malaika,lakini zaidi nilichopenda ni kuwa mimi siwezi kuwaamuru malaika bali Mungu yeye ndio anaamri hiyo🙌🙌🙌
Ameni Baba yetu
Vita yenu Wachungaji Kwa Wachungaji imefika wapi?
ubarikiwe u
😀😀 ,,,mungu ni shida ...
Mungu akubariki Mtumishi kwa uvumilivu. Hugo ndiyo kuwa na misuli ya Imani.
Kuomba kwake mwenye haki kunafaa kama anaomba kwa bidii.
Injili ya viwango
Mimi murundi napenda sana muchungaj nataman nimuone
Must favorite
Miungu ya kwao haifatiliye maisha yake... Ningelipenda kujuwa zaidi hiyo point
Iyi mahubiri, haisikilike tena makanisani mwetu. Mungu akubariki Baba.