Patric Muchui
Patric Muchui
  • 10
  • 12 577
SANTA MARIA GIRLS LANDS AEROPLANE AT THE STAGE DURING KNDFF 2024 AT EMBU UNIVERSITY
SANTA MARIA GIRLS LANDS AEROPLANE AT THE STAGE DURING KNDFF 2024 AT EMBU UNIVERSITY
Переглядів: 2 249

Відео

SAUTI ZA KISWAHILI: Sehemu ya Kwanza
Переглядів 35Рік тому
Somo la Kwanza katika silabasi ya Kiswahili kidato cha Kwanza.
DHANA YA KIRAI : Sehemu ya kwanza.
Переглядів 2,8 тис.4 роки тому
Kipindi hiki kinashughulikia dhana ya Kirai ambapo tunaangazia Kirai Nomino,Kivumishi na kitenzi katika kipindi cha kwanza. Baada ya somo hili kuna maswali ambayo wanafunzi na mtazamaji yeyote yule anaombwa kujaribu hili kutathmini kuelewa kwake katika dhana hii. Unaombwa kutoa majibu yako huku ukitoa maoni na mapendekezo kuhusu ukurasa huu kwenye sehemu ya maoni(comments) Shukrani.
SENTENSI ZA KISWAHILI
Переглядів 1,3 тис.4 роки тому
Kipindi hiki cha nne kinaangazia aina ya sentensi za Kiswahili ambazo ni; a) Sentensi Sahili b) Sentensi Ambatano c) Sentensi Changamano. Karibuni. Toa maoni yako kuhusiana na somo la leo.
SAUTI ZA KISWAHILI; Irabu
Переглядів 9485 років тому
Kiswahili kina aina mbili za Sauti. Sauti Irabu(Vokali,Voweli) ambazo kwa jumla ni tano na Sauti Konsonanti ambazo kwa jumla ni Ishirini na Tano. Kipindi hiki ni kinashughulikia Sauti Irabu,Sifa bainifu za kutofautisha na kuziainisha .
MCHAKATO WA SARUFI
Переглядів 1655 років тому
Kipindi kifuatacho ni maelezo ya yaliyomo katika silabasi ya Kiswahili ya shule za upili.
Utangulizi na madhumuni ya Somo La Kiswahili katika shule za upili
Переглядів 1105 років тому
Kiswahili kama somo LA lazima katika shule za upili na msingi kina majukuku chungu nzima. Kiswahili kinachangia katika ujenzi wa taifa na kwa hivyo pana haja kubwa ya kutia mafunzo kabambe yatakayomwezesha mwanafunzi kuwa na umilisi wa kutumia Kiswahili katika shughuli za kila Siku. Nawakaribisha nyote katika mchakato huu wa kukiendeleza Kiswahili kwa kupitia teknolojia ya kisasa. Ningeomba mju...
Downfall of Camelot
Переглядів 6876 років тому
A play by Nkubu High School depicting the effects of tribalism in our society. Script Written by Michael Muraya. Director:Michael Muraya. Co-Director: Muchui Patric