- 131
- 209 918
Swahili Quest
Приєднався 2 сер 2021
Swahili Quest ni chaneli maalum ya kueleimisha jamii kwa kutoa elimu iliyofichwa kwenye mfumo wa elimu.
Kupata maarifa kutoka kwenye jukwaa hili inatija zaidi kuliko kukaa darasani kwa miaka 10.
Njoo tujifunze kwa pamoja tuondoe ujinga kwa kujifunza yale ambayo hatukufunzwa shuleni.
Utapata kujifunza masuala mbali mbali ikiwemo:
1. Namna ya kubadili mfumo wa maisha na kuishi kwa afya
2. Namna ya kuwekeza kwenye uwezo wako na ndani na kutengeneza pesa kwa amani na furaha
3 Namna ya kuwa mtu chanya, kutimiza ndoto zako na kuishi kwa kuleta tabasamu kwa wengine
4. Kuondokana na mnyororo wa umasikini na kupata uhuru wa kifedha
5. Mambo yote chanya yatakayokupa nafasi ya kuishi kwa afya, uhuru, upendo, na uhuru wa kifedha n.k.
Watu wangu WANAANGAMIZWA kwa kukosa MAARIFA... Hosea 4:6
Karibu Sana...

Jinsi ya Kuingiza 2,786,890/- kwa Mwezi kwa Kufanya Biashara Bila ya Mtaji Au Kwa Mtaji Mdogo Sana
Ili kupata PDF ya somo hili na kuwa kwenye siti ya mbele kwenye OFA ya E-Book ya WEWE NI MGODI - Sayansi ya Kubadili Akili, Ujuzi, Maarifa na Kipaji Chako Kuwa Pesa.
Save Namba Hii: 0754087177
Kisha Nitumie Neno “MGODI#2” WhatsApp Sasa Hivi Ili kujipatia PDF yako.
WEWE NI MGODI: Kuwa unachotaka.
Bila Kusahau Kesho Jumamosi 30-11-2024 tutazindua rasmi E-Book yetu na itakuwa wazi kwa watu 50 tu wa kwanza.
Kaa mkao wa kula...
LINK ya Video ya Kupata Wazo La Biashara:
ua-cam.com/video/6QoEqOMH_FI/v-deo.htmlsi=vB46ETNZDZIujh2T

Переглядів: 262
Відео
Kabla ya Kufanya WAZO Lako la Biashara...TAZAMA HII VIDEO
Переглядів 48414 годин тому
Ili kujipatia PDF ya BUREE ya somo hili la Kupata Wazo la Biashara na OFA zijazo za WEWE NI MGODI: KUWA UNACHOTAKA...👇 Save Namba Hii: 0754087177 Au Link t.co/tE5OBtz4XP Kisha Nitumie Neno “MGODI#1” kwenye WhatsApp yangu Sasa Hivi Ili kujipatia PDF yako ya BURE. WEWE NI MGODI: Kuwa unachotaka. #mafanikio #wewenimgodi
Alama 8 Kuwa Wewe Ni Dhaifu...Na (NJIA 9 Zitakazokufanya Bora Zaidi)
Переглядів 777День тому
Alama 8 Kuwa Wewe Ni Dhaifu...Na (NJIA 9 Zitakazokufanya Bora Zaidi)
Jinsi ya Kufanikiwa Mara 10X Zaidi kwa Kufanya Kazi Kidogo '2025'
Переглядів 1,1 тис.14 днів тому
Jinsi ya Kufanikiwa Mara 10X Zaidi kwa Kufanya Kazi Kidogo '2025'
Kama Huwezi Kusema "HAPANA" Hii Ni Video Unayohitaji
Переглядів 1,1 тис.21 день тому
Kama Huwezi Kusema "HAPANA" Hii Ni Video Unayohitaji
Hizi Ndizo Sababu Vilaza Wanafanikiwa Zaidi Kuliko Wasomi
Переглядів 11 тис.21 день тому
Hizi Ndizo Sababu Vilaza Wanafanikiwa Zaidi Kuliko Wasomi
Sababu 22 Kwanini Wanaume Wanazidi Kuwa Dhaifu Na Ku-Left
Переглядів 1,4 тис.Місяць тому
Sababu 22 Kwanini Wanaume Wanazidi Kuwa Dhaifu Na Ku-Left
Maneno 8 Unayotumia BILA Kujua YANAUA Uwezo Wako wa Ndani
Переглядів 2 тис.Місяць тому
Maneno 8 Unayotumia BILA Kujua YANAUA Uwezo Wako wa Ndani
Jinsi Ninavyoweza Kukumbuka Kila Kitu Nilichojifunza "Siri ya Wachache"
Переглядів 801Місяць тому
Kwenye video hii Millambo anazungumzia mbinu za kujifunza nakukumbuka kila unachojifunza. Kujifunza Biashara ya Utaalamu-MIND MONEY MACHINE: Link: mind-money-machine.grwebsite.com/ Kujipatia E-Book ‘Soft Copy’ ya Tiba ya Kudumu ya Nguvu za Kiume Link: tibadumu.grwebsite.com/ Misheni yetu Swahili Quest ni kuhakikisha tunawasaidia watu Milioni 1 kuweza kubadili maisha yao kwa kuingiza kipato kupi...
SIRI Itakayokupa Pesa Nyingi Zaidi Kwa Siku 90 Kuliko Ulizowahi Kupata Kwa Kuajiriwa
Переглядів 749Місяць тому
SIRI Itakayokupa Pesa Nyingi Zaidi Kwa Siku 90 Kuliko Ulizowahi Kupata Kwa Kuajiriwa
Jinsi ya Kuomba Chochote Kwa Mtu Yoyote Na Kufanikiwa 🔜
Переглядів 695Місяць тому
#mafanikio #motivation #swahiliquest
Hivi Ndivyo Ninavyotumia Mitandao Kuingiza Kipato (Copy Mbinu Hizi Nawe Ufanikiwe)
Переглядів 518Місяць тому
#AkiliMonetisation #mafanikio #swahiliquest
Jinsi ya Ku-FOCUS Kwenye Jambo Lolote na kufanikiwa
Переглядів 11 тис.Місяць тому
#Focus #mafanikio Kwenye video hii Millambo anazungumzia umuhimu wa FOCUS na mbinu za kupambana na vishawishi vinavyokuondolea FOCUS. Kujifunza Biashara ya Utaalamu-MIND MONEY MACHINE: Link: mind-money-machine.grwebsite.com/ Kujipatia E-Book ‘Soft Copy’ ya Tiba ya Kudumu ya Nguvu za Kiume Link: tibadumu.grwebsite.com/ Misheni yetu Swahili Quest ni kuhakikisha tunawasaidia watu Milioni 1 kuweza ...
HATUA 9 Za Kufanya Jambo Lolote Lifanikiwe Kwenye Maisha Yako
Переглядів 1 тис.Місяць тому
#mafanikio #motivation
Jinsi ya Kuingiza Milioni 1 Kwa Mwezi BILA Kuwa na Cheti Wala Mtaji
Переглядів 6682 місяці тому
Jinsi ya Kuingiza Milioni 1 Kwa Mwezi BILA Kuwa na Cheti Wala Mtaji
Unapambana Sana LAKINI Hupati Matokeo (Iba SIRI Hii Kupindua Meza)
Переглядів 9002 місяці тому
Unapambana Sana LAKINI Hupati Matokeo (Iba SIRI Hii Kupindua Meza)
SIRI 21 Za Maisha Zitakazokupa Mafanikio Kuliko Digrii Yako
Переглядів 5 тис.2 місяці тому
SIRI 21 Za Maisha Zitakazokupa Mafanikio Kuliko Digrii Yako
Mambo 4 ya LAZIMA Kama Unataka KUFANIKIWA Kwenye Jambo Lolote
Переглядів 3,5 тис.3 місяці тому
Mambo 4 ya LAZIMA Kama Unataka KUFANIKIWA Kwenye Jambo Lolote
Jinsi ya Kupata Wateja Wengi kwa Kutumia Content (SIRI za Juu za Mauzo)
Переглядів 2153 місяці тому
Jinsi ya Kupata Wateja Wengi kwa Kutumia Content (SIRI za Juu za Mauzo)
SIRI 1 ya Kumfanya Kila Mteja Anayekutafuta ANUNUE (Tena Bila Wewe Kumuuzia)
Переглядів 7813 місяці тому
SIRI 1 ya Kumfanya Kila Mteja Anayekutafuta ANUNUE (Tena Bila Wewe Kumuuzia)
SIRI 10 Zitakazokupa Mafanikio Ndani ya Miezi 6 TU "Kuliko Degree ya Miaka 4"
Переглядів 5773 місяці тому
SIRI 10 Zitakazokupa Mafanikio Ndani ya Miezi 6 TU "Kuliko Degree ya Miaka 4"
HATUA 12 za Kuanza Biashara Hii Na Kuingiza Milioni yako ya Kwanza "BILA MTAJI WALA UZOEFU"
Переглядів 9304 місяці тому
HATUA 12 za Kuanza Biashara Hii Na Kuingiza Milioni yako ya Kwanza "BILA MTAJI WALA UZOEFU"
Sheria 20 za Kuwabadili Watoto wa Kiume Kuwa Wanaume (Ni Kwa Wanaume Tu, SIO Watoto wa Mama)
Переглядів 1,6 тис.4 місяці тому
Sheria 20 za Kuwabadili Watoto wa Kiume Kuwa Wanaume (Ni Kwa Wanaume Tu, SIO Watoto wa Mama)
Tabia Hii 1, Chanzo cha Umasikini (Jifunze Tabia Hii Mpya Ambayo Matajiri Hawataki Uijue)
Переглядів 1,1 тис.5 місяців тому
Tabia Hii 1, Chanzo cha Umasikini (Jifunze Tabia Hii Mpya Ambayo Matajiri Hawataki Uijue)
SIRI 10 za UTAJIRI Zilizofichwa Kwenye BIBLIA (Matajiri Hawataki Uzijue)
Переглядів 8 тис.5 місяців тому
SIRI 10 za UTAJIRI Zilizofichwa Kwenye BIBLIA (Matajiri Hawataki Uzijue)
Wame-kuprogram ILI Uishi Kama Wanavyotaka Wao (Njia 5 za Kujiokoa Kabla Hujachelewa)
Переглядів 8865 місяців тому
Wame-kuprogram ILI Uishi Kama Wanavyotaka Wao (Njia 5 za Kujiokoa Kabla Hujachelewa)
Jinsi Addiction Mpya Zinavyokufunga (Jinasue Kabla ya Kuchelewa)
Переглядів 6996 місяців тому
Jinsi Addiction Mpya Zinavyokufunga (Jinasue Kabla ya Kuchelewa)
Una Miaka 20? UNAHITAJI Ujuzi Huu ILI Kubadili Maisha Yako
Переглядів 8776 місяців тому
Una Miaka 20? UNAHITAJI Ujuzi Huu ILI Kubadili Maisha Yako
Mambo 20 ya Lazima Kijana Kujifunza Kabla ya Kufikisha Miaka 20
Переглядів 2,6 тис.6 місяців тому
Mambo 20 ya Lazima Kijana Kujifunza Kabla ya Kufikisha Miaka 20
Elimu Chanzo cha Utajiri na Umasikini (Jifunze Aina Hizi 2 za Elimu ILI Kufanikiwa)
Переглядів 1,7 тис.7 місяців тому
Elimu Chanzo cha Utajiri na Umasikini (Jifunze Aina Hizi 2 za Elimu ILI Kufanikiwa)
Aisee brother umeongea vitu muhimu sana hakika kupitia hii elimu ntarud kweny chanel hii kutoa ushuhuda big up sanaa👍👍
god bless you
🎉🎉
Brother namba 1.....I am
Wangapi wapo tayari kwa E-Book ya WEWE NI MGODI siku ya kesho 🔥🔥
Mwanangueeeeeee... mm nipo hapa ktk ujuzi na kipaji ch uwandishi w Content. lkn kujenga mamlaka ktk hili wazo ndio pazito
Mungu akubark aendelee kukutumia
Tangu nimeanza kukufatilia nimejifunza masomo mengi nimejifunza asante sana mungu akupe maisha malefu utupe madini zaidi nmekuwa mtu watofauti had watu wananambia nmekuwatofaoti sana kwenye engo tofauti tofauti nashukuru sana kwa mafundisho yako yamenisaidia
Kama Umepata Madini Gonga like hapa
Congrats! Nasubili Hio Alhamisi
Nerudia zaidi ya mara Moja Na Mimi pia naomba niwe kwenye list ya utakaowashika mkono kaka Millambo
Nondo Ďaily✊✊✊
Video ya thamani kabisa. Tuishi humu.
Personal development na financial education Ndo ndoto yangu kubwa
Nashukuru kwa usharudi mzuri sana mmi binafdi umeniongezea nguvu nyingi kwenye mawazo yangu ubarikiwe
Umetushauli vizuli sana je umeshafikili kama selekali yetu nayo inachangia kutufelisha na kukata tamaa ya kufanya haya unayo tushauli kupitia tialaei?
🙏🙏🙏
Ww muongo, bila wasomi dunia gizani
Mimi sili usiku vip Nina kosea
Kak unajua sana🙌
Well brother by mawawa
Link kwenye description mbona siioni mkuu
Ujumbe mzuri sana
Kwani mafanikio ni nini? Mbona mnachanganya mambo
Ameen barikiwa ❤❤❤
🫂💯👍
GG 🙃
Mi mchoraji nahitaji kufika mbari
blaza nakukumbuka ulinikazia 0.5 (CR).nika sapp ud. anyyz hayo yalipita✌️
Pole. Ni sehemu ya kazi. Naamini huko uliko unaendelea vyema. Barikiwa
😂😂😂😂😂
Congratulations Mr milambo unafanya kazi kubwa sana na unawasaidia wengi kwa masomo yako mazuri ambayo yako strong sana🤝 usichoke kuendelea kuelimisha vijana
Ahsante kwa kututia moyo. Barikiwa
Sababu ya wasomi wengi na watu wenye akili hawafanikiwi. Sababu moja wapo wanapigwa vita sana na shetani. Kwa sababu wakifanikiwa hawawezi kurudi chini au kufirisika na watawaonesha watu wengine njia sahihi ya kupita, Shetani hatotaka litokee hilo jambo kwa mtu huyo. Wee uoni wachoyo wengi ndo wanafanikiwa maana hiyo ni tabia ya shetani tabia mbaya. Unakuta mtu anamiladi mingi hawarisishi wengine ujuzi adi anakufa nao. Au amtunzi mama yake au familia yake anaitelekeza, ushuhuda huo ninao nimewaona wengi sana hapa duniani. IMEANDIKWA KWENYE BIBLIA; kufanikiwa kwa mpumbavu kutamuangamiza. MFANO; mpumbavu ambae ni kilaza. anapikipiki yake ya biashara. Utakuta anaendesha ovyo pikipiki hadi inampatia ajari, pikipiki inaharibika au anafariki au akipata pesa anaenda kulewea yote, ela ikiisha ndo anakumbuka kazi..
Kwa bahati mbaya mikono ndio chanzo cha safari hii ya kujitegemea kifedha wengi ni vigumu kuiepuka. Unatoa elimu nzuri yenye manufaa asante 🤝🤛
Tuko vizuri tunapokea madini yako na kuyafanyia kazi
Turudi kidogo katika maandiko matakatifu ya Mungu then tuendelee na mada. Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako. -Mithali 4 : 13 Asante kwa kusoma neno takatifu.
Kwanza nini maana ya kufanikiwa???
Nimegundua wanaokupinga ndo wasomi wenyewe. Umechoma penyewe 😂😂😂😂
@@kundyvonjagadi8836 Hawapingi wanakadili. Hao tuna watumia kama mfano wako kwenye kundi la Genius. Elon musk ni Genius, Mother threasa, ni Moyo wa Kupenda ulimpa mafanikio. Hata hivyo kuna watu tunakubaliana kwamba ukipanga watu walirekodiwa kwenye kitabu cha Genesis cha Dunia mpaka leo kwamba wana mafanikio hawafika hata milioni tangia Dunia iumbwe.
Code ya 20 mzee imenifanya Leo nifanya maisha yangu mapya, nakushukuru kwa kunikumbusha kuwa mimi ndio mwenye dhamana ya maisha yangu bila kutengemea mtu, nk 😢
Hongera sana
Mtindo wa maisha ndio husababisa magonjwa mengi kuliko
Hilo Hitimisho sio sahihi. Sema KWANINI WASOMI WENGI, KWANINI WASOMI WA AFRIKA. Nchi za Wenzetu asilimia kubwa ya wanaofanikiwa ni Wasomi
@@HAIPPA_PLC Sisi tunaigiza na Tatizo mojawapo ni kutojitambua kwamba tunaigiza. Tumejifunga mnyororo wenyewe. Ukitaka kujua fuatilia sera zetu za viwanda tu. Utajua kwamba ni ngumu wasomi kufanikiwa
Wasomi Gani wa nje waliofanikiwa
Wale hawasomi huu ukumbavu tunao soma sisi
Nimesikiliza yote
Hili ndo ilivyo
Asante sana kwa mafunzo mema yanayojenga na kufungua mawazo upya, yanajenga zaidi Kiroho.
Mawazo mazuri na yenye maana na mafaa
Ukweli sana bro nishatoka kwenye huo mfumo
Acha ujinga akili nyingi ni nn?huwezi kufanikiwa wakati unasoma mawazo ya watu wengine!wakati mtu ambaye hajaenda shule anatumia akili na msomi hatumii akili bali mawazo ya wengine
Kweli kqbisa kaka
Kwenye mpira hapo tusamehee😅
Kwenye punyeto hapo😂😂😂
Nakuelewa sana
Shukrani sana