- 408
- 34 601
Elimu ndiyo dini
Приєднався 25 лип 2024
Quran , Sunnah na uelewa wa maswahaba ndiyo dini yetu.
Відео
(٠٣)من المخالفات في شهر رجب || Al Akhy Abul 'Abbas Anuari Ismail Asshafiy حفظه الله تعالى.
Переглядів 73 години тому
(٠٢)من المخالفات في شهر رجب ||Al Akhy Abul 'Abbas Anuari Ismail Asshafiy حفظه الله تعالى.
Переглядів 83 години тому
(٠١)من المخالفات في شهر رجب || Al Akhy Abul 'Abbas Anuari Ismail Asshafiy حفظه الله تعالى .
Переглядів 34 години тому
65.Riyaadh Swaalihiin (رياض الصالحين ). Sheikh Abul Khathwabi Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Переглядів 1523 години тому
Kutoa kuwa na uvivu katika kutekeleza Sunnah za Mtume ﷺ
Переглядів 70День тому
Maswali na Majibu.Sheikh Abuu Nufeydah Hussein Sembe حفظه الله تعالى
Переглядів 442 дні тому
Hadithi ya leo: Abuu Raifah Rahim Alii Omariy حفظه الله تعالى
Переглядів 63 дні тому
Akurehemu Allah
Aamiin wa iyyakum
Shekhe mwendo ni mdogo sana
Inshaallah, nitajitahidi kuzituma karibu karibu
Jazaakallah khayra
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh
Ustadh dars inafahamika allah akulipe kila la kheri ila ushauri wangu tuengeze spidi kidog maana sehemu inayosomwa ni ndogo sana
Inshaallah, nitajitahidi kuzituma,shida ni bando ndugu yangu na uchumi ndiyo huu.ila inshaallah nitajitahidi kuzituma
جزاك الله خيرا
آمين وإيكم
Assalaamu alaykum, ndugu kama utakuwa darsa zote za hiki kitabu nahitaji ndugu.
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, na'am nimepata kuanzia hapo kwenda mbele, nitaulizia nikipata inshaallah nitazituma
Sawa ndugu
Assalamualaikum afwan sauti ipo chini Jazakumullahu khoira
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, inshaallah waitaifanyia kazi
Ma shaa Allah... darsa ajab.. Allah akuhifadhi Jazak Allahu kheir
Aamiin wa iyyakum
الله مستعن
Darsa haijaanza mwanzo
Asalaam alaykum
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, angalia kwenye playlist ya ya darsa la lugha ya kiarabu utazikuta zote kuanzia mwanzo mpaka darsa la 07
ماش الله. نستفيد جدا من هذا الدرس.. الله يجزيك الخير 10:02
Aamiin wa iyyakum
والله نستفيد جدا من هذا الدرس.. الله يجزيك الخير
Aamiin wa iyyakum
Subuhan Allah❤
Allah akihifadhi
Aamiin wa iyyakum
Allah akuhifadhi
Allah Akbar subhanallah saut nzuri ya usomaji wa Quran
Sura nzuri ya kupata Rizki
Yaan unatuwekea Kama ivo ulivoweka picha ya kitabu mfano wake
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, na'am akhii kilichobora ni kutafuta kitabu ili kufuatilia vizur , anaehitaji kitabu kupitia pdf namba ya What'sapp ni 0696838654 , nitamtumia akatoe copy itakua rahisi zaidi kuliko Rai hiyo. Baarakallahu fiikum
Assalaamu Alaykum, Samahan Al akhy nilikuwa ninaushaur au ombi. Yan Kama ukiwa unafundisha ayo majina ya vitu ungekuwa unaandika au unaonesha jina inavoandikwa Kama wanavo fanya baadh ya walimu kwenye mitandao jinsi wanavo fundisha
Akhiy samahani tunaomba muendelezo wa duruusul muhimmah
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, mwalimu bado hajaendeleza kasafiri tuwe na subra inshaallah iikiendelezwa nitatuma, kama haitaendelezwa nitatafuta darasa lingine kumalizia hapo inshaallah Baarakallahu fiikum
@Elimundiyodini wafiykum baaraka llah. Jazaakumu llahu khayran. وأحسن الله إليكم
Aamiin
Akhiy Assalaam alykum warahmatullahi wabarakatuh
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh
Shukurani
Assalaam alykum warahmatullahi wabarakatuh. Akhiy samahani namuomba muendelezo wa hiki Kitabu au ndo kimeishia hapo
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, haijaendelezwa bado, mwalimu yupo nje ya nchi bado hajarudi kukiendeleza.
Assalaam Alaykum hichi kitabu kinaitwa kitabu gan
عقيدة الامام البخاري
MASHAALLAH SHEIKH ABDALLAH.
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh naomba namba ya sheikh tafadhalini
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, nitafute what'sapp kwa namba hii 0696838654
❤❤❤❤🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Asalaam alaykum sheikh tnaweza kupata soft copy
Namba yangu ya what'sapp ni 0696838654
Asalaam alayku sheikh hiki kutab kinapatikana daresalaam
Na'am kipo sema pitia comments hapo utaona namba zangu za what'sapp nitakutumia soft copy
@@Elimundiyodiniizo namba ziko wapi mie nataka soft copy
Mashallah Darsa nzuri Ustadh…tuanfuatilia bi idhni Llaahi.
Sheikh assalam alykum, je kitabu kinapatikana madukani? Nko Dodoma nafuatilia darsa Zako.
Nitafute what'sapp namba yangu hiyo hapo 0696838654 . Nikutumie pdf ukatoe print
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, samahan ustadh hauna grp la tsap kwa ajl ya kutuma pia hz darsa?
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, Link yake hiyo hapo. ➡️➡️ *What'sapp group link* chat.whatsapp.com/EaG0b6rxAeU2QNTJ0Ob4Go ➡️➡️ *What'sapp channel link* whatsapp.com/channel/0029VahR3T79WtCAs1olTk3q ➡️➡️ *U tube link* youtube.com/@elimundiyodini?si=C_YLjdo6_A9MjrNr ➡️➡️ *Telegram link* t.me/elimundiyodini
😢😢😢
Akhy shykh apa kuna kitabu anatumia kusherehesha bulughul nikitabu gan hiki kwasababu bdo hajanza kuisoma bulughul
Inshaallah ngoja niulizie nikipata nitakupa Taarifa inshaallah, alafu ndugu yangu kuna kheri ya kuchangia ununuzi wa laptop kwa ajili ya kuimarisha utengenezaji na ufikishaji wa maudhuhi haya ya dini juu ya ufahamu wa salaf swaleh , maana kifaa kinachotumika sasa hv ni simu na kwa sasa inazidiwa maana darsa ni nyingi sana laptop inayoitajika ni ya laki tatu, Allah akikujalia wepesi unaweza pia ukewekeza hapo na Allah atakulipa inshaallah. Barakallahu fiika
@Elimundiyodini naam shukran naomba bac number ya lipa pesa ili na mm nchangie chochote in shaa Allah
0696838654 (Airtelmoney jina Barayton Gerald Pitalis) twawafahamishe na wenzetu ili tujumuhike pamoja, nishaulizia sherehe iliyotumika wakaniambia nitakutumia inshaallah
Na'am akhii, Sherehe anayotumia ni Mukhtaswar sherehe bulughul Maraami cha ibn utheymiin رحمه الله تعالى
Hii neno 'watu wa bida'a' ni bida'a yenyewe ambayo imezushwa na khawarij alsalafiyatul wahabbiya! Lakini hilo hawalioni, wao muhimu ni wawakufurishe waislamu wenzao wapate radhi za ma bossi wao wa kiyahudi!
Sijakuelewa ndugu
Kwahyo wataka kupinga maneno ya mtume, Kwa mapokezi ya mama wa waaminifu, Aisha (ra), ambaye alisema: Mjumbe wa Allaah ((s.a.w)) alisema, "Yeye zusha jambo katika jambo letu hili (ambalo ni, Uisilamu) ambalo halikuwepo, basi jambo hilo atarudishiwa (na Mwenyezi Mungu)." [Bukhari & Muslim] Katika toleo lingine kwa Muslim inasomeka: "Yeye anayefanya kitendo ambacho hakipo kwnye jambo letu (dini), (jambo hilo) litakataliwa (na Mwenyezi Mungu)."
naomba kufaham ichikitabu anacho sherehesha shykh anatumia kitabu gan au nibulghull hii hii ya kawaida au
Ni hiyo hiyo, Sema tu Kuna baadhi ya Hadithi anaziongezea kutoka katika vitabu vingine na maelezo ya MAULAMAA, na'am
Allah walipe kheri zaidi masalafi
Aamiin wa iyyakum
Assaalaam Alaykum naomba kuanzia vide ya kwnza ya hii darsa nitaipataje
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, na'am playlist link yake hii hapa ua-cam.com/play/PLcTHJDT-Ry3owSJzhQTxpfV6pJUorsg91.html&feature=shared
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Tunazidi kutiana moyo msichoke kwa sababu wengi wetu tupo nje ya chi bara la amerika na hatujui tutarudi lini tunastafidi mnoo . ❤
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh, na'am Allah awafanyie wepesi na atujalie Mwisho mwema. Na'am
Assalaam aleykum warehmatullahi wabarakatuh na'am ndugu yetu mbora Allah akuhifadhi, Uongozi wa Elimu ndiyo dini channel inawajulisheni na kuwaombeni katika kushirikiana kupata laptop kwa ajili ya kuimarisha utengenezaji na ufikishaji wa maudhuhi haya ya dini juu ya ufahamu wa salaf swaleh, maana kifaa kinachotumika sasa hv ni simu katika kutengeneza na inazidiwa kutokana na darsa kuwa nyingi sana, kwahiyo tukaonelea tuwashirikisheni katika ili kwa mwenye uwezo anaweza akatunililia yeye Moja kwa moja au akatuma ela tukanunua, laptop inayoitajika ni ya laki tatu, tushirikiane katika kuineza da'awa Salafiyya na Allah atakulipa inshaallah kikubwa ni nia zetu na ikhlaswi zetu namba inayopokea ela ni (0696838654 Airtelmoney jina Barayton Gerald Pitalis) twawafahamishe na wenzetu ili tujumuhike pamoja. Barakallahu fiika.
Jazakallah kheir
Aamiin wa iyyaka
Ishallah mwenyezimungu anijalie mwanaume mwema na atujalie kizazi niwapatie haki zote hizo Isha Allah natamani sana japo kuwa Mimi sijapatiwa.......
Aamiin, Allah akujalie wepesi na sisi pia
Djazakallahu khairan
Okay I will work on that, but it will take long time before posted
Mashallah
Allah atujalie Mwisho mwema, tuhamashishe subscribers,
Allah akulipe khery Sheikh. Kitabu nitakipataje ? Mimi niko Zanzibar
+255 699 636 278 [Abuu Utheymiin] atakutumia vitabu inshaallah
Allah akulipe khery Sheikh. Kitabu nitakpataje ? Mimi niko Zanzibar
Aamiin, ngoja nikutumie namba ya wanao usika na vitabu inshaallah
Assalamu alaykum. Allah akulipe khery Maalim. Sheikh Vitabu tutavipataje ,mm Niko Zanzibar
Waleykum salaam warehmatullah wabarakatuh
Assalaam aleykum warehmatullahi wabarakatuh na'am ndugu yetu mbora Allah akuhifadhi, Uongozi wa Elimu ndiyo dini channel inawajulisheni na kuwaombeni katika kushirikiana kupata laptop kwa ajili ya kuimarisha utengenezaji na ufikishaji wa maudhuhi haya ya dini juu ya ufahamu wa salaf swaleh, maana kifaa kinachotumika sasa hv ni simu katika kutengeneza na inazidiwa kutokana na darsa kuwa nyingi sana, kwahiyo tukaonelea tuwashirikisheni katika ili kwa mwenye uwezo anaweza akatunililia yeye Moja kwa moja au akatuma ela tukanunua, laptop inayoitajika ni ya laki tatu, tushirikiane katika kuineza da'awa Salafiyya na Allah atakulipa inshaallah kikubwa ni nia zetu na ikhlaswi zetu namba inayopokea ela ni (0696838654 Airtelmoney jina Barayton Gerald Pitalis) twawafahamishe na wenzetu ili tujumuhike pamoja. Barakallahu fiika.
@@Elimundiyodini insha'Allah. Tuko pamoja
Mashallah
tunawaomba kwa yeyote ambae anaweza kuchangia katika kununua laptop (pc) kwa ajili ya kuimarisha utengenezaji wa darsa na maudhuhi ya dini tunazorusha kwenye channel yetu hii,maana sasa hivi kifaa kinachotumika kutengenezea ni simu, kwa sasa hivi inazidiwa kwasababu darsa ni nyingi sana , laptop inayohitajika ni ya shilingi laki tatu(300000), kwahiyo mwenye uwezo wa hilo tunamuomba atuwezeshe katika hilo na Allah atamlipa namba za simu ni 0696838654 jina (Brayton Gerald Pitalis) jazakumul llahu khairan. We are asking anyone who can contribute to buy a laptop (pc) to strengthen the production of the lessons and the religious content that we broadcast on this channel, because right now the device used to make it is a phone, at the moment it is overloaded because there are too many classes, a laptop is needed It is worth three hundred thousand shillings (300000), so whoever has the ability to do that, we ask him to help us in that and Allah will pay him the phone numbers 0696838654 name (Brayton Gerald Pitalis) jazakumul llahu khairan.
Allah akuhifadhi sheikh wet nakupend kwa ajil ya allah