TAG - BUZA WWK CHOIR (BMC)
TAG - BUZA WWK CHOIR (BMC)
  • 3
  • 1 932
TAG BUZA WWK CHOIR (BMC) - MOTO UWAKE
Hii ni kwaya inayomilikiwa na idara ya wanawake katika kanisa linaloitwa Buza Missions Center lililopo mtaa wa Buza mkoa wa Dar es salaam katika nchi ya tanzania. Mchungaji mkuu wa Kanisa hilo ni Missionary V. John Chuma.
Kanisa lipo chini ya taasisi ya Tanzania Assemblies Of God.
This is a choir owned by the women's department in a church called Buza Missions Center located in Buza street, Dar es Salaam region in Tanzania. The Senior pastor of the Church is Missionary V. John Chuma.
The church is under the Tanzania Assemblies Of God institution.
Andiko la wimbo:
Mambo ya Walawi 6:12a
-Na huo moto ulio madhabahuni atautunza uwake daima juu yake, usizimike.
Bible verse of the song:
Leviticus 6:12a
-And the fire upon the altar shall be burning in it; it shall not be put out.
Abbreviations of Words and their meanings:-
TAG -Tanzania Assemblies Of God
BMC - Buza Missions Center
WWK - Wanawake Watumishi wa Kristo (Women Servants of Christ).
Song Owner: TAG Buza WWK Choir
Writer: @habilimhapa
Audio (Music, mixing and mastering): Ymusic (Yusufu Mayige)
Video: JOHORBRAND
#assembliesofgod #christian #viral #fyp #swahili #injili #injiliyakristo #eastafricamusic
@tagdms @tagyouthtv@gracetrinitychurchAG @AG_USA @nelsonuniversity @assembliesofgodchurchdrigh4303 @ebenezertvmikochenibassemb8381 @Tag-BuzaWwkChoirBmc @CCCUpangaTAGChurch @tanzaniaassembliesofgod9312 @essenceofworshipministries @EliyaMwantondo @boazdanken
Переглядів: 927

Відео

TAG BUZA WWK CHOIR (BMC) - NI MWAMINIFU
Переглядів 7549 місяців тому
TAG BUZA WWK CHOIR (BMC) - NI MWAMINIFU

КОМЕНТАРІ