- 35
- 16 625
KEC TV
Tanzania
Приєднався 4 сер 2022
Відео
UFUNDI BOMBA UUNGANISHAJI WA MFUMO NA USAMBAZAJI MAJI BARIDI
Переглядів 2,9 тис.2 роки тому
UFUNDI BOMBA UUNGANISHAJI WA MFUMO NA USAMBAZAJI MAJI BARIDI
MIFUGO(UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI/CHOTARA) -Utangulizi
Переглядів 362 роки тому
MIFUGO(UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI/CHOTARA) -Utangulizi
Pongezi nyingi zije kwako kwa kutuelimisha pia tufundishe majina ya vfaa
Mwalimu mbona kama vile hujashindilia vizuri au ndiyo inakuaga ivo
Hi madam naeza saidika na no Yako please
Mfuko moja unato tofali ngapi
Mwl mbona wengine wanaweka moram?
Ubarikiwe Sana Mama hiyo ladha ni vanilla au Nini mpendwa tunaomba utufundishi na hafikeki mpendwa
Upo vizuri saaana wewe Ni mwalimu mzuri Sana pia mwenye kipaji pia naweza kuipata number ya huyo madam
Napataje vipindi vyako
Mawasiliano yako
Samahani naon video ziko chache,sion mwendelez
Unaelekeza vizur sana 😘❤️
Shukraan. Machicha ya nazi kwa nini isiwe tui la nazi?
Very good concept madam.
Elim nzur san
Asante kwa utambulisho mzuri wa kozi hii
Unafundisha wanafunzi tusiojua kijicho ni nini pale ulipo kikata ungekisogeza kwenye camera ilitukione vizuri. Unapokipachika kuangalia juu ungetuonesha
Shukrani nakufuatilia vyema kutoka Mzumbe Morogoro
Vizuri mkufunzi wetu t umeweza kukuelewa kwa somo ulioweza kutufunza leo
Good madam❤️
Nimeelewa kabisaaaa …. KEC JUU!!💪🏾👏🏿👏🏿
I COULD POINT OUT MY VIEWS TO REQUEST MORE VIDEOS SO AS WE CAN KEEP ON STUDYING MORE AND MORE, THIS WILL PLAY FULLY PARTCIPATION ON THIS STUDY FOR THE STUDENT TO UNDERSTAND BETTER
Tupo pamoja mwalimu Kwa maelekezo mazuri ya kuunganisha mabomba,nimeona namna unavyochanganua matumizi ya vifaa mbalimbali
Asante Sana mkufunzi Ernest,, ninakuelewa Kaka,, big up Sana,, naweza kujua gharama ya hicho kifaa Cha kutengenezea hesi?
Asanteee sanaaa
Ok