- 409
- 109 128
ZEC ONLINE TV
Tanzania
Приєднався 19 бер 2016
WAKUFUNZI WATAMATISHA ZOEZI NA MANENO HAYA.
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI
JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO?
WASILIANA NASI KUPITIA
SIMU NAMBA
+255-772 625 918
EMAIL
director@zec.go.tz
JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO?
WASILIANA NASI KUPITIA
SIMU NAMBA
+255-772 625 918
director@zec.go.tz
Переглядів: 44
Відео
JAJI AZIZA SUWEDI ATOA MAELEKEZO KWA WAKUFUNZI WA ZOEZI LA UANDIKISHAJI AWAMU YA PILI.
Переглядів 5521 годину тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
MWENYEKITI WA ZEC AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU PEMBA KUELEKEA ZOEZI LA UANDIKISHAJI AWAMU YA PILI.
Переглядів 524 години тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
ZEC YAFIKA SUMEIT KUTOA ELIMU YA WAPIGA KURA.
Переглядів 6416 годин тому
ZEC YAFIKA SUMEIT KUTOA ELIMU YA WAPIGA KURA.
TANGAZO LA WALIOPOTEZA SIFA
Переглядів 10День тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
MUONGOZO WA KUJIANDIKISHA KITUONI.
Переглядів 5114 днів тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
NAMNA YA KUTOA TAARIFA ZA WAPIGA KURA WALIOFARIKI KWA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR.
Переглядів 8814 днів тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
WALIOKOSA SIFA ZA KUWEMO NDANI YA DAFTARI LA WAPIGA KURA.
Переглядів 4921 день тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR ATOA TAARIFA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU MWAKANI.
Переглядів 8 тис.Місяць тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
KAMATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI YA KUSIMAMIA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YAISHAURI MACHACHE ZEC.
Переглядів 93Місяць тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
MIGOGORO YA KIUCHAGUZI.
Переглядів 59Місяць тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
TAASISI ZILIZOPEWA KIBALI CHA KUTOA ELIMU YA WAPIGA KURA ZATAKIWA KUFUATA KANUNI NA SHERIA.
Переглядів 57Місяць тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
ZEC YAENDELEA KUKAZIA ELIMU YA WAPIGA KURA KATIKA ZOEZI LA UANDIKISHAJI.
Переглядів 47Місяць тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
MJUE MGOMBEA WA UCHAGUZI
Переглядів 82Місяць тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
HATUA ZA UENDELEZAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.
Переглядів 30Місяць тому
KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO? WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 255-772 625 918 EMAIL director@zec.go.tz
MKURUGENZI FAINA AWAHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA CHAMANAGWE KUCHUKUA VITAMBULISHO VYAO.
Переглядів 592 місяці тому
MKURUGENZI FAINA AWAHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA CHAMANAGWE KUCHUKUA VITAMBULISHO VYAO.
MAJIBU KUHUSU KADI YA MPIGA KURA HAYA HAPA.
Переглядів 1042 місяці тому
MAJIBU KUHUSU KADI YA MPIGA KURA HAYA HAPA.
GLORIOUS POLYTECHIC COLLEGE YAPEWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
Переглядів 692 місяці тому
GLORIOUS POLYTECHIC COLLEGE YAPEWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
SKULI YA SEKONDARI JANG'OMBE YAPEWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
Переглядів 892 місяці тому
SKULI YA SEKONDARI JANG'OMBE YAPEWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
MWENYEKITI WA ZEC AZUNGUMZA MACHACHE JUU YA MAENDELEO YA MRADI WA AFISI MPYA ZA ZEC
Переглядів 532 місяці тому
MWENYEKITI WA ZEC AZUNGUMZA MACHACHE JUU YA MAENDELEO YA MRADI WA AFISI MPYA ZA ZEC
YAJUE MATUKIO HASI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI.
Переглядів 1242 місяці тому
YAJUE MATUKIO HASI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI.
ZEAL SQUARE ACADEMY YAPATIWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
Переглядів 1643 місяці тому
ZEAL SQUARE ACADEMY YAPATIWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
AL IHSAN GIRLS YAFANYA UCHAGUZI WALIMU NA WANAFUNZI WATOA MAONI.
Переглядів 1463 місяці тому
AL IHSAN GIRLS YAFANYA UCHAGUZI WALIMU NA WANAFUNZI WATOA MAONI.
SKULI YA ABOUD JUMBE MWINYI YAPEWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
Переглядів 1093 місяці тому
SKULI YA ABOUD JUMBE MWINYI YAPEWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
SKULI YA SEKONDARI FARAJA YAPATIWA ELIMU YA WAPIGA KURA WANAFUNZI WASEMA MACHACHE.
Переглядів 513 місяці тому
SKULI YA SEKONDARI FARAJA YAPATIWA ELIMU YA WAPIGA KURA WANAFUNZI WASEMA MACHACHE.
SKULI YA DR. ALI MOHAMMED SHEIN YAFIKIWA NA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR.
Переглядів 1593 місяці тому
SKULI YA DR. ALI MOHAMMED SHEIN YAFIKIWA NA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR.
SKULI YA SEKONDARI TUMEKUJA YAPATIWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
Переглядів 1374 місяці тому
SKULI YA SEKONDARI TUMEKUJA YAPATIWA ELIMU YA WAPIGA KURA.
TAARIFA YA HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA NA ZEC KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA NANE NANE
Переглядів 1514 місяці тому
TAARIFA YA HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA NA ZEC KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA NANE NANE
Ucha mungu unafiq na kutumika vibaya
Nzuri sana Zec kwa uandikishaj awamu y pili
Hv CCM 2025 munataka kufanya uchaguzi au ubaguzi,coz CCM hamuwezi kufanya uchaguzi wa haki na huru.
Wana chuki ndani ya nafsi zao chuki na roho mbaya wako tayari hata kutoa roho za waru
SMZ mpo?wazanzibari hawana tena sifa ya kukusmamieni mmeona muwatoe mrima?
Ila uyo faina na yey atakufa kifo kibaya snna mungu hafanyiw istihizai
Mungu atamuadhibu kwa dhulma aliotudhulumu mi binafsi kanizulumu
Allah ndio mjuzi zaidi kwa waja wake ya razak tusamehe waja wako pale tunapokukosea hakuna mkamilifu ktk hii dunia
Kuswali tu ndi ucha Mungu!sema tu alikuwa Muislamu tu
Nadhani na wewe Faina ulijifunza kutoka kwake! Endeleza na uvae viatu vyake!
ww faina na huyo jecha ss hatuna maneno lkn km ndio hvyo bc ndio hivyo nn kilitokea baada ya kubadikisha matokeo jibu kalipata yy na ww vile vile kuswali co sbb lkn bc hatujui ni siri ya mungu ila ww na huyo na marehemu ni noma
Bado huja cheka unacheka siku ukikupa mgongo Dunia utakwenda kuulizwa na mambo yako unayoyafanya unatetea Dhuluma kweli wewe ogopa sana dua ya mtu anayedhulumiwa haina kizuizi baina yake na Allah kazi kwako
Mbona Watanganyika munalalamika kwa Rais Samia kuwa rais wa Tanzania mbona huyu Mwenyekiti ni kutoka Tanganyika hamusemi lolote au anye kuku akinya bata kahara kuweni na ustahamilivu musiwe na wivu mupo
Kwanini awe mtanganyika? Tuseme zanzibar yote hakuna anaeweza kuwa mwenyekiti wa tume. Mpaka hapo ccm imeshinda KWA KUPITIA MTANGANYIKA
Huyu mwizi alale asiamke tena shetani huyo
Mwenzako alifuta uchaguzi ambao ulikua wa haki kabisa baada kuona CCM haina tena pakutokea lkn saiv yupo ktk ardhi alijiona atakaa milele duniani kumbukeni hapa tunapita tu, Dhulma zenu na mauaji ya raia wasiokua na hatia Allah ndie mlipaji.
Hilo lizee mungu alichome moto mkubwa sana shetani mkubwa
Alizani hatokufa jitu lilikuwa jahli halafu munalisifia atalipwa kw ujahli wake
Wizi na wazandiki
Hhhhh
Zanzibar,mpaka,tume,amekabidhiwa,mzanzibara,tumekwisha
Aaaa Idarusi Faina mtwana anaewatesa waungwana Zanzibar.
Ww sishehe jibwa unamcfia kibwamwezako
wewe uchamungu siyo kuswali tu kazulumu mungu atatulipiya alikimbiya duuu
Vichwa mcungwa sisi,wewe tuombe radhi, Tunafanya ivo ili mambo yetu yende sawa. Angewepo jecha munge mtusi na kumpiga mawe tukutane 2025 mziki mnene tutakuonesheni.
Sore watanzania bwana tunahaki ya kufanya kazi popote ndani ya nchi hii na sector yoyote pasi na kubaguliwa uzanzibar wekenini pembeni. Na nyinyi kama mnapenda twendeni mkoa wa songwe mukawe wenyekiti wa Tume ya uchaguzi tawi la Tanganyika tu mtapewa nafasi hizo musituonee wivu, Sisi tuna miguu ya kuku nyinyi hamuna. Mutalia kweli nyinyi mwakani na matumbo yatawauma hayo kazi kwenu.
Lieni mapema, machonzi mukayafute baadae makaburini ila hapa hatutoi kitu mtabaki kuimba tu kudai madaraka kazi kwenu.
Hivi huyu mzee aliishia wapi?
Hongera Sana. Wapenda Amani, Usalama na demokrasia nchini, wakati wote watafuata na kuheshimu sheria. Kinyume chake watatishia kuvunja taratibu hizo. Tuache kufanya kinyume cha taratibu na sheria. Zanzibar ni yetu sote. Tipo Kisiwani kuokea sehemu tofauti, wala hskuna. Meenye. Hak zaid Kati yetu. Kuliko mwengine.
Ww mwenyewe sio mzanzibr ni mtanganyika
Ww mnyamwez utahama hapa Zanzibar sio kwenu

Zanzibar hatutak kura mara mbili kura siku moja tu
Tume 😮
Yaan mpka mwenye kit anatokea Tanganyika dah utawala huu ni utawala wa Tanganyika mana watanganyika ndo weng kuliko ata wazanzibar
Rudi kwenu tanganyika mshenzi
Ni mbinu za kupenyeza mamluki na kupandikiza watu kutoka bara na wizi wa kura. Hawatopata chochote dhalimu ila hasara
Endelea kupanga dhulma na uadui ili CCM ishinde kwa mtutu wa bunduki
Mtanganyika anatekeleza ilani ya CCM ili kuimaliza Zanzibar
Ucha mungu so kula daku wala futar kaz zake za chama huko hakuna mambo ayo allah atupe mwisho mwema
Na uoo ukali aufanyeee ukoo kaburin huyu jechaa unasemaa mcha mungu kamchaa wap tatizo lake alishindwaa kuomba radhi mwenzake aman karumeee kayajua mapemaaa😂😂😂😂
Weee nassoro matako sanaa wew tulia kimyaa weww nyau la baraaaaa😊😊😊
Vppp na hukoo kaburin kumekaaajeeee😂😂😂😂
Asalamu alaikum mm nauliza jee! Marahii unatuahidi nn kuhusu uchaguzi utakuwa wa salama Bila kupigwa watu au kufanyika wizi na utafanywa uchaguzi wa siku ngapi kisiwa kidogo Kama hichi
WAZANZIBARI HASA ALIO CCM NI VICHWA MCHUNWA, YAANI WAMELETEWA MTANGANYIKA? SASA!
Sifa za mpiga kura awe mzanzibari lakin mkuu wa tume mtanganyika ivy kweli. AAA😮😮😮😮. NIMAUWAJI. 😂😂😂
Umeniwahi maan nlikuw nataka niseme?
GEORGE KAZI ?!!!FROM ZANZIBAR? JAMANI ZNZ IMEISHA TOKEA 1964 ...... MAPINDUZI DAIMA..... GEORGE KAZI FANYA KAZI ULIYOTUMWA ILI TUKUONGEZEE KAZI.... NA IKIWA HAYATI SALIM JECHA ALIFANYA VILE,GEORGE KAZI ATAFANYAJE YEYE?
Dah Hawa tume washaanza mambo yao wahalifu wa Zanzibar washenzi wakubwa
Walatazidi Zwalimina ila Hasara
Jamani tuwe makini huyu aanae ongea ndo makamo mwenyekiti jeee kiukweli huyyu ni mzanzibari mbona kama sie mbona kama
Mzanzibar hana sura kama hio huyu ni mnyamwezi