eGA TV
eGA TV
  • 273
  • 144 438
Wakuu wa Taasisi na wakuu wa vitengo vya TEHAMA Serikalini waeleza mchango wa e-GA
Taasisi mbalimbali za umma zimeeleza namna zinavyonufaika na huduma zinazotolewa na Mamaka ya Serikali Mtandao (e-GA) katika kuleta mapinduzi ya TEHAMA katika Taasisi zao
Переглядів: 38

Відео

MABORESHO MFUMO WA DAWATI LA MSAADA KUBORESHA HUDUMA
Переглядів 26Місяць тому
Awamu ya pili ya Mafunzo kwa ajili ya kupitia maboresho na moduli mpya zilizotengenezwa katika mfumo wa Dawati la Msaada (HelpDesk System), yamefanyika kuanzia tarehe 09 hadi 11 mwezi Oktoba jijini Dodoma. Maafisa TEHAMA kutoka Taasisi za Umma 20 wamepatiwa mafunzo hayo na kueleza faida ya maboresho yaliyofanywa kuwa ni pamoja na kuwawezesha kuwahudumia wateja wao kwa urahisi na haraka zaidi.
Waziri Mkuu Majaliwa apokea maelezo kuhusu mifumo iliyotengenezwa na e-GA
Переглядів 105Місяць тому
Waziri Mkuu Majaliwa apokea maelezo kuhusu mifumo iliyotengenezwa na e-GA
e-GA yashiriki Maonesho ya wiki ya vijana kitaifa 2024-Jijini Mwanza
Переглядів 27Місяць тому
e-GA yashiriki Maonesho ya wiki ya vijana kitaifa 2024-Jijini Mwanza
Wadau wapongeza maboresho Mfumo wa Dawati la Msaada
Переглядів 104Місяць тому
Mafunzo kwa ajili ya kupitia maboresho yaliyofanyika na moduli mpya zilizotengenezwa katika mfumo wa Dawati la Msaada (HelpDesk System) yameanza leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tatu (3) yameratibiwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) yamehudhuriwa na Maafisa TEHAMA kutoka Taasisi za Umma 20 zinazotumia mfumo huo katika kuwahudumia wananchi.
Haya hapa Maagizo ya Naibu Waziri UTUMISHI kwa e-GA
Переглядів 146Місяць тому
Haya hapa Maagizo ya Naibu Waziri UTUMISHI kwa e-GA
Watumishi waeleza mfumo wa e-Board utakavyo okoa fedha kwenye Halmashauri zao
Переглядів 802 місяці тому
Watumishi waeleza mfumo wa e-Board utakavyo okoa fedha kwenye Halmashauri zao
Chama Cha Viziwi (CHAVITA) waipongeza e-GA kutoa elimu kuhusu matumizi ya Serikali Mtandao
Переглядів 202 місяці тому
Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imeshiriki katika maadhimisho ya Wiki ya Kimataifa ya Viziwi 2024, ambayo Kitaifa yanafanyika mkoani Shinyanga. Katika maadhimisho hayo, e-GA imetoa elimu kwa kundi hilo kuhusu matumizi ya Serikali Mtandao na namna inavyoweza kurahisisha upatikanaji wa huduma za Serikali kwa watu wenye mahitaji maalumu.
Walichokisema Vodacom Tanzania baada ya kutembelea kituo cha Ubunifu na Utafiti cha eGA
Переглядів 1022 місяці тому
Walichokisema Vodacom Tanzania baada ya kutembelea kituo cha Ubunifu na Utafiti cha eGA
Alichokisema Naibu Waziri UTUMISHI baada ya kukutana na Watumishi wa e-GA
Переглядів 3222 місяці тому
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Clement Sangu (Mb), ameipongeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), kwa kutengeneza mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji wa fedha za Serikali ambayo imesaidia kuzuia upotevu wa fedha za umma. Mhe. Sangu amesema hayo Septemba 05 mwaka huu, wakati alipotembelea Makao Makuu ya Ofisi za e-GA zilizopo Mtumba jiji...
UN-DESA na e-GA waendesha Semina kwa Wakuu wa Taasisi za Umma na wataalamu wa TEHAMA Serikalii
Переглядів 533 місяці тому
UN-DESA na e-GA waendesha Semina kwa Wakuu wa Taasisi za Umma na wataalamu wa TEHAMA Serikalii
Mkurugenzi Mkuu e-GA afungua Programu Maalumu ya Mafunzo kwa Vitendo
Переглядів 1483 місяці тому
Mkurugenzi Mkuu e-GA afungua Programu Maalumu ya Mafunzo kwa Vitendo
Alichokisema Makamu Mkuu wa Chuo-MoCU kuhusu matumizi ya TEHAMA
Переглядів 384 місяці тому
Alichokisema Makamu Mkuu wa Chuo-MoCU kuhusu matumizi ya TEHAMA
Taasisi za Umma sasa zaanza kubadilishana Taarifa
Переглядів 614 місяці тому
Taasisi za Umma sasa zaanza kubadilishana Taarifa
Mwananchi Tumia njia hii kufikisha maoni yako Serikalini
Переглядів 534 місяці тому
Mwananchi Tumia njia hii kufikisha maoni yako Serikalini
Mkurugenzi Mkuu anaongea...
Переглядів 714 місяці тому
Mkurugenzi Mkuu anaongea...
DG e-GAZ Aeleza ushirikiano uliopo kati ya Taasisi yake na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA)
Переглядів 1084 місяці тому
DG e-GAZ Aeleza ushirikiano uliopo kati ya Taasisi yake na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA)
Tazama alichokisema Mwananchi huyu baada ya kutembelea Banda la e-GA Sabasaba
Переглядів 234 місяці тому
Tazama alichokisema Mwananchi huyu baada ya kutembelea Banda la e-GA Sabasaba
Wananchi wafurahishwa na Huduma za e-GA kwenye Maonyesho Sabasaba
Переглядів 494 місяці тому
Wananchi wafurahishwa na Huduma za e-GA kwenye Maonyesho Sabasaba
Mamlaka ya Serikali Mtandao kushiriki Maonesho ya SABASABA 2024
Переглядів 975 місяців тому
Mamlaka ya Serikali Mtandao kushiriki Maonesho ya SABASABA 2024
Mfumo wa e-Mrejesho washinda Tuzo Umoja wa Mataifa
Переглядів 485 місяців тому
Mfumo wa e-Mrejesho washinda Tuzo Umoja wa Mataifa
Yajue maeneo muhimu katika Ukaguzi wa Mifumo ya TEHAMA
Переглядів 1626 місяців тому
Yajue maeneo muhimu katika Ukaguzi wa Mifumo ya TEHAMA
Angalia Mfumo wa e-Board unavyowasaidia Manispaa ya Ilemela kufanya maamuzi
Переглядів 5136 місяців тому
Angalia Mfumo wa e-Board unavyowasaidia Manispaa ya Ilemela kufanya maamuzi
Wakaguzi wa Ndani watakiwa kujielimisha kuhusu maendeleo ya TEHAMA
Переглядів 807 місяців тому
Wakaguzi wa Ndani watakiwa kujielimisha kuhusu maendeleo ya TEHAMA
Taasisi za Umma zapatiwa Mafunzo ya AI na Big Data Analytics
Переглядів 2237 місяців тому
Taasisi za Umma zapatiwa Mafunzo ya AI na Big Data Analytics
e-GA na ofisi ya IAG 'yawapiga msasa' Wakaguzi wa Ndani kuhusu Mifumo ya TEHAMA.
Переглядів 1057 місяців тому
e-GA na ofisi ya IAG 'yawapiga msasa' Wakaguzi wa Ndani kuhusu Mifumo ya TEHAMA.
Huu ndio Mfumo wa Serikali wa uendeshaji vikao kwa njia ya Mtandao (e-Mikutano
Переглядів 4168 місяців тому
Huu ndio Mfumo wa Serikali wa uendeshaji vikao kwa njia ya Mtandao (e-Mikutano
Wanawake watakiwa kutumia TEHAMA kujiletea maendeleo
Переглядів 758 місяців тому
Wanawake watakiwa kutumia TEHAMA kujiletea maendeleo
Mchango wa Wanawake katika ujenzi wa Uchumi wa Kidijiti.
Переглядів 508 місяців тому
Mchango wa Wanawake katika ujenzi wa Uchumi wa Kidijiti.
PAC yaipongeza e-GA kwa ubunifu Mifumo ya TEHAMA
Переглядів 1649 місяців тому
PAC yaipongeza e-GA kwa ubunifu Mifumo ya TEHAMA

КОМЕНТАРІ

  • @sharifhamad9931
    @sharifhamad9931 3 дні тому

    Kias gan naweza kuwekeza

  • @UpendoMbunda-n5i
    @UpendoMbunda-n5i 27 днів тому

    Shule ya msingi visaraka morogoro vijijini

  • @PendoJoseph-e8z
    @PendoJoseph-e8z Місяць тому

    Bukandwe

  • @HappyBarent
    @HappyBarent Місяць тому

    Rungwe wilaya

  • @khamishemedi8517
    @khamishemedi8517 Місяць тому

    Hongera sana kwa jitihada zinazofanywa na e-GA ili kuipeleka nchi yetu kidigitali 👏👏👏

  • @g21955
    @g21955 Місяць тому

    Keep it up 👍 More Information Please!!!🙏

  • @g21955
    @g21955 Місяць тому

    Keep it up 🙏🇹🇿🇺🇸

  • @g21955
    @g21955 Місяць тому

    Keep it Up 🙏🇹🇿🇺🇸

  • @frankiotdeveloper2902
    @frankiotdeveloper2902 Місяць тому

    Tuijenge Serikali Kidigitali 🎉🎉

  • @MayungaRashidi
    @MayungaRashidi 2 місяці тому

    Mkop0

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 3 місяці тому

    Mufanye araka kuwakamata wale vijana wabakaji pamoja na afande

  • @MichaelElias-gb5wk
    @MichaelElias-gb5wk 4 місяці тому

    Naitaj kununua hisa naomba msahanda

  • @MagenSililo
    @MagenSililo 4 місяці тому

    Matokeo ya kidato Cha sita,2024

  • @MagenSililo
    @MagenSililo 4 місяці тому

    Matokeo ya kidato Cha sita 2024

  • @shakiru-y7g
    @shakiru-y7g 4 місяці тому

    mie niliibiwa ela kwa njia ya mtandao,hata mwizi ,polisi hawajampata

  • @EmmanuelSima
    @EmmanuelSima 5 місяців тому

    Kwanini mpaka iwe na broker kwani dse hamuwezi kufanya kazi bila brokers

  • @EliasMpinga-ye9ok
    @EliasMpinga-ye9ok 6 місяців тому

    Samahani je inawezekana kubadil email na namba ya sm kwenye account ya DSE

  • @NajimaJazimu-dn5yj
    @NajimaJazimu-dn5yj 8 місяців тому

    Swali langu ni vipi chama cha msingi cha wachuuzi kilichosajiliwa kinalipa kodi tra ?

  • @geradynyati9313
    @geradynyati9313 9 місяців тому

    Nahitaji coin za tz na wallet kwani mimi ni mtu wa endustre ya Crypto Currency nafanya holding traders mining coins kwahiyo nisaidieni ewallet yetu nianze kuisoma mapema ok⁉️

  • @jastincharles6347
    @jastincharles6347 9 місяців тому

    Kazi nzuri ega. Tanzania ya kidigitali

  • @Daanmeipuki
    @Daanmeipuki Рік тому

    *152*00#

  • @DamtuAbdalla-yk7dk
    @DamtuAbdalla-yk7dk Рік тому

    Umeonaeeeee

  • @walterrivera3694
    @walterrivera3694 Рік тому

    💪 Promo sm

  • @iamdivineimage
    @iamdivineimage Рік тому

    Safi sana😊

  • @janelaflin1816
    @janelaflin1816 Рік тому

    Naomba mafunzo nafanyaje fanyaje

  • @joelambwene5704
    @joelambwene5704 Рік тому

    nivizuri sana kama ajira za tamisemi zingekuwa zinapitia hapa pia.

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 Рік тому

    mm nataka kununua hisa ila sina elimu ya hisa

  • @IvonMhanje-sc5qj
    @IvonMhanje-sc5qj Рік тому

    Naweza nikaomba kaz

  • @evaristmassawe2434
    @evaristmassawe2434 Рік тому

    Mpndwa Mkurugenzi binafsi napenda kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya kuahakikisha huduma ya usafiri wa Treni hasa huku kanda ya Kasikazni kwa maana ya kilimanjaro na arusha maoni au ushauri Wangu ni 1kuhsu mwingiliano kati ya abiria daja la tatu na daraja la pili udhibitiwe unakuta mtu amekat iketi ya daraja la tatu anakuja kukaa daraja la pili kwasababu kuna nafasi jambo ambalo kwangu naona sio sawa linaleta usumbufu 2 wale wasimamiz kwenye mabehewa wato elimu kwa abiria kusu kufunga madirishana mlango kutoka behewa moja kwenda jingine 'ili kuzuia vumbi maana vumbi ndani ya gari moshi hasa la Moshi arusha ni kero kubwa mimi natumia huu usafur kwenda Dar na kurudi naomba hili liangaliwe Naomba shirika lijitangaze kwa maana ya kuweka bango pale Stendi ya moshi na Arusha ili wananch weni waele kuwa kuna usafiri wa Uma unaowapa huduma te hudma bora mwisho nashukuru sana kwa utendaji kazi bora huwa nawaambia watu hilindilo shirika ambalinafanya kaz kwa ushirikiano kama mchwa shida ikitoke ndani masaa ishrini na nne changamoto inakuwa imesha tatuliwa Mngu libariki shirika letu na watenda kaz wake wote

  • @ufafanuzitv
    @ufafanuzitv Рік тому

    Hongereni e-GA kwa kazi adhimu mnayoifanya

  • @mpitanjiadom1800
    @mpitanjiadom1800 Рік тому

    Hongereni Mamlaka ya Serikali Mtandao

  • @gwakisajoseph1295
    @gwakisajoseph1295 Рік тому

    Ni habari njema katika kizifikia Huduma mbalimbali za Serikali kwa haraka na uhakika, hongera sana Dawati la Usanifu.

  • @sadatikalage
    @sadatikalage Рік тому

    Naitwa Sadati Omali Salehe shekalage ni dereva wa magali gali aina yoyote naendesha nna uzoefu wa kuendesha gali kwa miaka3 naomba mniajili nnashida na nna matatizo ya ku uguliwa na baba mzazi nimekwama naomba msaada wakazi nimetaftakazi makampuni mengi hapa dar es salaam wananiambia nitafute mzamini nikitafuta hata mtu wakalibu kama mzamini wanasema hawamjui wanasema mpakaela pesa sina nimetokea mkoani Mimi ni mzaliwa wa mkoa was tanga wilaya ya lushoto kata ya gale baba yangu hakuwa na uwezo wakunisomesha hivyo nili ishia darasa la Saba nilimaliza lasaba mwaka 2009 2013 nikaenda kusafili na maloli 2016 nikaenda kusoma veta ili nipate leseni nikafanikiwa kupata leseni kubwa na seti fiketi ya veta ila nilichelewa kufika siku ya testi ya veko nikakosa cheti veko aligoma kunifanyia testi namba yangu ya simu ni 0712431745 naludia tena namba yangu ni 0712431745 Asante

  • @shabanissa8121
    @shabanissa8121 Рік тому

    good job

  • @venusmakbel4679
    @venusmakbel4679 Рік тому

    Hongera mwanangu

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 2 роки тому

    Kwenye playstore haipo iyo faida fund

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 2 роки тому

    Mbona hiyo app haipo hiyo Web peg haipo ebu ludieni maelekezo

  • @omarykaukuya7819
    @omarykaukuya7819 2 роки тому

    Mngetoa Elimu pia jinsi ya kutumia Ile Application ya Hisa Kiganjani

  • @omarykaukuya7819
    @omarykaukuya7819 2 роки тому

    Nice

  • @marthanyakaitanyakaita2698
    @marthanyakaitanyakaita2698 2 роки тому

    Safi sana....mabango yatapungua Mei Mosi😂

  • @tonnymafie600
    @tonnymafie600 2 роки тому

    Tin

  • @tonnymafie600
    @tonnymafie600 2 роки тому

    3

  • @marthanyakaitanyakaita2698
    @marthanyakaitanyakaita2698 2 роки тому

    🙏

  • @salumtajiri8018
    @salumtajiri8018 2 роки тому

    Kuna app au ni mfumo wa tz tu

  • @laurentmaega9693
    @laurentmaega9693 2 роки тому

    Nataka nijifunze kununua hisa

  • @swediibrahimuibra5432
    @swediibrahimuibra5432 2 роки тому

    lini iyo

  • @muqsitjamadar1739
    @muqsitjamadar1739 2 роки тому

    MUKSIT

  • @MrNemmy
    @MrNemmy 2 роки тому

    Namba yangu ya nida imekua active kwenye account ambayo nilishasahau password Kwa sasa nimefungua account mpya ajira portal...nikijaribu kuweka namba ya nida mfumo unakataa..msaada please

    • @eGATV
      @eGATV 2 роки тому

      wasiliana na namba hizi kwa msaada zaidi +255735398259,+255784398259

    • @veronicaromwald8311
      @veronicaromwald8311 Місяць тому

      Hello hizi namba hazipatikani, nimepata changamoto kwenye mfumo nawezaje kupata msaada wa utatuzi? ​@@eGATV

  • @ramadhanomar8346
    @ramadhanomar8346 2 роки тому

    good heslb

  • @brigitanasura2674
    @brigitanasura2674 2 роки тому

    My NIDA numbe