- 18
- 18 913
Nathan Levo
Приєднався 13 кві 2023
Nathan levokatusi is a Tanzanian gospel minister highly committed to serve God and his people though singing,his aslo a songwritter and vocal Coach.
currently with ukastawi Ep
currently with ukastawi Ep
Відео
November 14, 2024
Переглядів 8316 днів тому
Haya nimaandalizi yaku shooting ya nyimbo ya KAZI YA MSARABA, ambayo nimiongoni mwaarubam iliyo zinduliwa mwaka huu mwezi wa tatu, pia nayo Iko jiani tujipange kupokea kazi nzuri. @NATHANLEVO@Shootng@rokeshen@kazi@msaraba@msarabani@shukurani@ukastawi@usijikatietamaa@
November 14, 2024
Переглядів 3916 днів тому
Tutarajie vitu vizuri zaidi, Mungu ametenda mema🙏 @Nathanlevo@Ukastawi@Kazi@Msaraba@Shukuran@Usijikatietama@
November 14, 2024
Переглядів 3016 днів тому
Namtukuza Mungu sana kwahatua hii niliyo fika, tutarajie kupokea kazi mpya zenye mafuta ya kimbingu. @Nathanlevo@kazi@msaraba@shukuran@joel@shootng@nyimbo@
Tujiandae kupokea kazi mpya iendayo kwajina la moyo wa subira #moyo#asante#nimerudi#studio#kanisani.
Переглядів 51022 дні тому
Wakiwa studio wakijiandaa na live recording #maandalizi#studio#moyo#ukastawi#shukranobby# kazi.
Переглядів 3023 дні тому
Endelea kutufuatilia pia usiache kusapoti kazi hizi. #Nathan#maandalizi#zoezi#studio#Live#mbashala.
Переглядів 50623 дні тому
Shukurani Nathan levo( behind the scenes )
Переглядів 12023 дні тому
Tumshukuru MUNGU sikuzote kwakua yeye nimwema sana, yeye ni mtatuzi wa shida zetu zote, fuatilia ujumbe huu ulioomo ndani ya wimbo hu utakujenga, barikiwa sana. #shukurani#Nathanlevo#ahsante#Amejibu maombi#twapaswakushukuru#Bora kushukuru#Nimeruditena.
JE HAUNA SABABU YA KUMUSHUKURU MUNGU?
Переглядів 1473 місяці тому
Mwanadamu anasababu ya kumshukuru Mungu kwani hata ustawi wa maisha yake humtegemea Mungu. Binafsi ninazo sababu rukuki za kumshukuru Mungu kwan kwangu amejidhirisha kwa namna mbalimbali na nimepata neema ya kueleza machache katika wimbo huu alionipatia.
SHUKRANI || NATHAN LEVO||(Official video)
Переглядів 7 тис.6 місяців тому
Shukrani apewe Mungu muweza wa yote, anayetupatia kibari cha kushinda katika hali zote, na nyakati zote. Tuungane pamoja kumshukuru kwa wimbo huu mzuri 2Wathesalonike 2:13 Shukrani zangu za dhati ziende kwa @mobby production video production @SharonmediaProstudio IT #LewisNiyonzima& #Eltone7
UKASTAWI-NATHANLEVO||LIVE PERFORMANCE ||
Переглядів 6606 місяців тому
Neno la Mungu huwa halirudi bioa kutimia kikubwa ni uvumilivu na unyenyekevu
IBADA YA UZINDUZI WA EP YA UKASTAWI
Переглядів 8757 місяців тому
WAMTUMAINIO BWANA HUSTAHISHWA NA NEEMA YAKE (YEREMIA17:7-8) Namshukuru Mungu kwa neema na kibali alichonipatia kufanikisha ibada ya uzinduzi wa EP ya ukastawi"hakika bwana alionekana" karibu tushiriki baraka hii ambayo imejawa na neno la Mungu lenye kutia moyo,kujenga,kuponya na kufundisha. #music #ep #nathanlevo #ukastawi #shukrani #Ibada #uzinduzi
Moyo wa subira-Nathanlevo(official audio).
Переглядів 1,2 тис.8 місяців тому
Moyo wa subira Moyo wa subira hupelekea kupokea baraka nyingi katika maisha ya kilasiku,mambo mengi mazuri huwa yanahitaji mchakato na kwenye mchakato Kuna milima na mabonde hivyo tunapo pita katika mabonde sio kwamba Mungu ametuacha ila tunatengenezwa kubeba ushindi japokuwa tunahitaji kumuomba roho mtakatifu atutie nguvu na atupe ujasiri kwani katika kipindi hichi wengi humuacha Mungu na kuen...
Usijikatie tamaa-Nathanlevo(official audio)
Переглядів 6888 місяців тому
Usijikatie tamaa Hatakama mbele unaona bahari,milima au kaburi usijikatie tamaa inua macho mtazame Mungu yeye atakuinua na kukuvusha wewe mtake Mungu na nguvu zake tuu.kuto15:19-27 Nyimbonyingine👉youtube.com/@NathanLevo-no3eu?si=Pt8GxcMBrE-vaTWb Subscribe👉youtube.com/@NathanLevo-no3eu?si=Pt8GxcMBrE-vaTWb Audio by minyomasonge written by @NathanLevo ©2024 Nathanaeli Levokatusi All right reserved...
Kazi ya msalaba- Nathanlevo(official audio)
Переглядів 3,3 тис.8 місяців тому
Kazi ya msalaba(wimbo no5) Mwanadamu baada ya kuasi alikuwa chini ya utumwa wa dhambi lakini Mungu kwa upendo wake usio wa kawaida akamtoa mwanawe wa pekee(Yesu) afanyike sadaka ya ukombozi uliokamilika kwa njia ya msalaba katika mlima wa golgotha (Mathayo27) Nyimbonyingine👉youtube.com/@NathanLevo-no3eu?si=Pt8GxcMBrE-vaTWb Subscribe👉youtube.com/@NathanLevo-no3eu?si=Pt8GxcMBrE-vaTWb Audio by @mi...
Barikiwa sanaaa mtumishi🙏🏽
Safi sana ubarikiwe
Hongera sana Nathan levo,mwalim wangu
Hongera sana mtumishi wa MUNGU uliye barikiwa sana
kaka barikiwa sana
Ahsante sana rafiki MUNGU akubariki pia
Barikiwa sana
Mungu akuinue zaid
Huu wimbo unanisogeza Sana kwa Mungu, nabarikiwa Sana .
Nathan Mungu akubariki sana
Waaaoh kazi njema sana Mungu akuweke vya viwango vya tofauti sana
Hongera sana mtumish wa MUNGU NATHAN LEVO
👍👍👍
Kazi nzuri ndg yang
Good keep moving br
Mungu akutunze sana
More grace upon you brother
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa Ujumbe mzuri
Ahste sana
🙏
@youngstarwilliams ❤❤ my lovely brother
Safi kazi nzur
Good
Nikastawiii na mm km mtende inshaalah
Barikiwa sana Mungu akuinue zaidi mtumishi
Amina mtumish Mungu akuinuezaidi 🎉🎉🎉🎉
@@MarthaHerman-sm9wr Amina
Barikiwa kaka kazi njema
Ahsante sana barikiwa zaidi usicho kuwashilikisha nawengine kazi hii
Ahsante sana usicho kupost kazi hii ubarikiwe
Amen kiongoz 🎉🎉🎉
Ahsante kwa moyo wako wa pongezi
Yesu nipemoyo wa subira
MUNGU akutunze sana kaka Nathan levo🤗🤗
Atukutwe MUNGU KWAWIMBO HUU
Hongera sasa mtumishi Wa MUNGU kamamtende Wajangwan ukastawi
Amina sana kaka Mungu akubariki sana
Wimbo mzurii sana barikiwa
Nashukuru sana MUNGU Akubari usikiapo wimbo huu🤗🤗🤗
Mungu akuongeze umetisha broo 🔥🔥🔥🌠
Umenibariki nawimbo wako MUNGU Akuinue zaidi
Ahsante sana Boss
Nzuli balikiwe sN
Mungu akuinue zaidi
Kazi nzuri brother
Ahsante sana kiongozi kwa pongezi
Ubarikiwe mtumishi mungu azidi kukuinua zaidi
Nashukuru sana🙏
Ahsante sana🙏
Ahsante sana kiongozi
Ahsante sana
Nabarikiwa na huu wimbo, God bless you brother
Ameni MUNGU Aendelee kuku hudumia asikupite kabisa❤
@@NathanLevohakika mtu wa Mungu ubarikiwe sanaaaaaaaaa
Ndugu MUNGU akuongezee Tena na Tena
Nashukuru sana kaka usisahau kuweka lke pia ku subscrabe ahsante sana
Ahsante sana
Hongera brother kazi nzur
Ahsante kaka nashukuru kwa pongezi usiache ku subscrabe na lke.
Ufike mbali
Amina Naiwe hivo🙏
Mungu akupe hitaji ya moyo wako bro angu 🥰
Amina napokea sana, naomba ushilikiano wa kupost kwa wengene au kuweka status yako pia usiache ku subscrabe
Kazi nzuri kiongozi MUNGU Akubariki Endelea kupambana Utafika
Amina kaka
Ahsante kwa pongezi usiache ku subscribe na lke
Vizur san
Boa canção e Deus te dá sucesso para sempre (Mozambique ❤❤❤)
Nashukuru sana kwa pongezi barikiwa.
Hi broo niwezeshe mawasiliano Yako
0628351103
@@NathanLevo asantee mtumish
Tumerudi tena Mungu anetupa uhai❤ Mbarikiwe sana
Amina sana tunashukuru sana kiongozi
Hongerasana mtumishai wa Mungu🙏🏻
Ahsante sana
🎉