- 6
- 3 622
Mt. Cesilia Choir Nyabitaka
Приєднався 22 гру 2023
Kwaya ya mtakatifu Cesilia kigango Cha Nyabitaka parokia ya mabamba Jimbo katoliki la Kigoma..
RULEMA WACHU:Mtunzi:Dr.F E Ndokoye Kwaya:Mt.Cesilia Nyabitaka (KMCN).Kinanda: S.Mvano
Wimbo: Rulema wachu
Mtunzi: Dr.F.E Ndokoye
Kwaya: Mt.Cesilia Nyabitaka (KMCN)
Kinanda: S.Mvano
Audio pro: JP Studios pro
Video pro: Jay's pro.
Wimbo mzuri wa lugha ya Kiha kutoka mkoa wa Kigoma wilaya ya Kibondo wenye maana shukrani Kwa Mungu "RULEMA WACHU" yaani "Muumba wetu".
Mtunzi: Dr.F.E Ndokoye
Kwaya: Mt.Cesilia Nyabitaka (KMCN)
Kinanda: S.Mvano
Audio pro: JP Studios pro
Video pro: Jay's pro.
Wimbo mzuri wa lugha ya Kiha kutoka mkoa wa Kigoma wilaya ya Kibondo wenye maana shukrani Kwa Mungu "RULEMA WACHU" yaani "Muumba wetu".
Переглядів: 458
Відео
Wimbo: Ulitafakari agano by Kavano Jr Martin Waimbaji:Kwaya ya Mt.Cesilia Nyabtaka (KMCN)Org:S.Mvano
Переглядів 5153 місяці тому
Wimbo: Ulitafakari agano Mtunzi: Kavano Jr. Martin Waimbaji: Kwaya ya Mt.Cesilia Nyabitaka (KMCN). Kinanda: Simon Mvano
Wimbo: Njooni kwangu msumbukao.byD.B Wasonga.msumbukao.Waimbaji:Kwaya ya Mt. Cesilia Nyabitaka(KMCN)
Переглядів 7375 місяців тому
Wimbo: Njooni kwangu msumbukao. Waimbaji: Kwaya ya Mt. Cesilia Nyabitaka (KMCN) Mtunzi: D.B Wasonga Organist: Dr. F.E Ndokoye Audio pro: JP STUDIOS PRO Video pro: Jay's video production
BWANA NI MWINGI WA FADHILI by Kavano Jr Martin Kwaya ya Mt Cesilia Nyabitaka (KMCN)
Переглядів 58410 місяців тому
Wimbo: Bwana ni mwingi wa fadhili Kwaya: Mt Cesilia Nyabitaka (KMCN) Mtunzi: Kavano Jr.Martin Kinanda: S. Mvano (Carlos) Audio: Jp Studios Pro Sound Eng. S.Mvano Video pro. Jay's
Kwaya ya Mt. Cesilia Nyabitaka (KMCN). Mt. Yosefu by Dr. F. E Ndokoye
Переглядів 1,2 тис.11 місяців тому
Wimbo: Mt. Yosefu Mtunzi: Dr. F E Ndokoye Kinanda: Simon Mvano Sound Eng: Simon Mvano Video Director: Jay's
Daktari Wa ukoo hongera kwa utunzi huu. Hongera wanakwaya kwa kuutendea haki wimbo huu. Tulagushima chane mwiza wachu❤
Hongereni kwa Kazi nzuri. KMCN Tunabarikiwa kupitia nyimbo zenu.
Saf sana wekeni nyimbo zote ikiwezkn weka album nzima
Ipo sawa
Mungu awabariki sana die Wana nyabitaka
Mungu wetu tunakushukuru
Nitumie nota zake
Hongelen sana ❤❤
Hongera sana wakunyumba
Hongereni Sanaa
Saf sana kazi nzuri
❤❤❤
Kazi nzuri
Kaz nzur
Saf kaz nzuri mungu awazidishie umoja na mshikamano,
Kazi nzuri sana. Mungu awabariki
Baraka za Mungu ziwe nanyi kwaya yangu pendwa
Safi Sana kazi nzuri
Hongereni sana wapendwa kwa utume ❤
Congratulations, 🎉🎉🎉 hongerenini sana nimebarikiwa kuwaona live
Hakika tumefulahi wote kwa hatua hiyo mungu ni mwema
Hongereni sana Kwa hatua hii mungu azidi kuwaongoza katika njia sahihi
Hongereni Kwa kazi nzuri na ya kupendeza mungu awape nguvu ya kusonga mbele zaid
Hongereni sana na Mungu awabariki na kuwainua zaidi
Video ni nzuri sana ongezeni upatikanaji wa nyimbo nyingine
Mungu awapganie
Hongereni Sanaaa
Safi Sana zaburi safi na tamu.. hakika mmeupiga mwingi... hongereni
Hakika haka kawimbo nikazuri
nimeutafakari wimbo wenu, una ujumbe mzito. Hongereni Mmependeza. Wekeni na nyimbo nyingine
Kaangalie chuma kingine tumekuwekea zawadi ya mwaka mpya...
Weken Album nzima
Wekeni kwaya zote
Hongereni sana🎉
Nzur mno hongereni
Nzuri sana
Kazi nzuri Sana.....