- 88
- 191 684
sirlymm abersy
Tanzania
Приєднався 29 жов 2013
subscribe for more
full khutba:Uharamu wa betting(kamari) Sheikh Salim bafadhili.
sheikh Salim bafadhili hafidhahullah.
Переглядів: 43
Відео
uharamu wa Mpira na betting(kamari)sheikh Salim bafadhili hafidhahullah.
Переглядів 542 роки тому
Sheikh Salim bafaadhil hafidhahullah.
mtoto wa zinaa babake ni nani?sheikh qassim mafuta.
Переглядів 1012 роки тому
sheikh qassim mafuta hafidhahullah.
ufafanuzi kuhusu mwandamo wa mwezi.. sheikh qassim mafuta.
Переглядів 8362 роки тому
sheikh qassim mafuta hafidhahullah.
duniani si mahali pakufurahi moja kwa moja.. sheikh qassim mafuta.
Переглядів 362 роки тому
sheikh qassim mafuta hafidhahullah.
Sheikh qassim mafuta-siku ya arafah.
Переглядів 6 тис.6 років тому
Je siku ya arafah ni kule makka tu.
kujichunga na hasad na shari za wanadamu
Переглядів 1199 років тому
kujichunga na hasad na shari za wanadamu
umbo la mtume sallahu aleyhi wassalam-English
Переглядів 589 років тому
umbo la mtume sallahu aleyhi wassalam-English
ukumbusho mzuri wa kujiepusha na marafiki wabaya
Переглядів 3289 років тому
ukumbusho mzuri wa kujiepusha na marafiki wabaya
kusuhubiana(ukaribu)na watu wema faida zake
Переглядів 909 років тому
kusuhubiana(ukaribu)na watu wema faida zake
dua nzur iliyosomwa na sheikh maher Almuaiqly
Переглядів 2239 років тому
dua nzur iliyosomwa na sheikh maher Almuaiqly
pls tazama video hii Allah atakulipa inshaAllah
Переглядів 529 років тому
pls tazama video hii Allah atakulipa inshaAllah
imetafsiriwa-ukumbusho wa wenye kuacha swala
Переглядів 1 тис.9 років тому
imetafsiriwa-ukumbusho wa wenye kuacha swala
ukitaka kumuasi Allah fata masharti haya
Переглядів 799 років тому
ukitaka kumuasi Allah fata masharti haya
Mbona hadithi inayosema صوم يوم عرفة Haiko katika mlango wa hajj??? Hii ni dalili tosha ya kuonesha kwamba swaum ya arafah haina mafungamano hata kidogo na hajj!?!?!? Lakini kwa kuwa huu qaasim mafuta jeuri la tanzania na jitu ambalo halkusoma laketi likipotosha watu!!!! KASOME KASOME KASOME!!!!!!!!!!!!!
Mulieee maasufy shekhe qassim kiboko yahoo.jazakallahu khairaaa
Kajifunze kusoma na kuandika kwanza
Huyo qaasim mafuta hana ajualo ni ujeuri mwingi tu!!!!
Jazakalhah just tunakuelewa sana
Mhh walioko tofauti na Makkah wao mungu kawaepusha na fadhila za arafa??
MAA SHAA LLAAH
Sheikh mafuta mwezako kazungumza kielimu tena kwa utulivu sasa wewe unabwatabwata tu.tukueleweje
Kasome kwanza usiburuzwe tu naww apo
@@ummukhudhayfahzubeirzubeir4998 katika watu ambao ni majihili wanahitajika wakasome ni mawahabi
Mashallah faida kubwa inapatikana
Mashaa Allah
Allaha akubari shekhe tunakuelewa
Mashallhaa
Sikiliza clip ya Shekhe Ahmad wa Kenya kisha ndio umjibu haps hoja zako shekhe hazina mashiko
Huna Aadabu ww
Wewe mbabaishaji huna elimu ndo maana unaropoka eti sikiliza clip ya Ahmad soma wewe kwanza Kisha utaelewa unnachokisema mwenyewe
Shekhe Ahmedi wa Kenya ana hoja nzito wewe shekhe hoja zako ni nyepesi mno ushahidi wako ni ujanja ujanja
Kasome kwanza usibwabwaje tu apo
Mashallah
Mm naacha mojakwamoja
Allah amuongoze Hizbiy huyu kadhab kwa Talbis anazozifanya na fitnah, pamoja na kugawanyisha safu za waislamu.. الله المستعان
Hajawira mnatabu sana . kwanzia koment ya kwanza watu wanamuombea hifadhi kwa Allah alafu wewe unamwita shekhy et hiziby tena mwongo anagawa safu ya waisilamu waisilamu wepi unaowakusudia hapo mche Allah wewe
Mashaalah Allah akujaalie kher
JazakAllahu kheir Allah akuhifadhi popote ulipo
ما شاءالله
Asante
bafadhil mbona haonekani
We pekeyako ndo uloongoka kaka Kila mtu hafai na kila mtu hajasoma peke yako ndo ulosoma
Kasoma huyo nna sii mjinga kama wewe.
Hafidhahullaah
INAHUZUNISHA DHEHEBU JIPYA TUWALEWEJE. Sasa nyie watu wa dhehebu jipya mnaelekea wapi, mmewatoa waislamu kwenye uongofu kwa kuwaita hivi kundi potofu kila anaetofatiana na nyinyi kiufahamu (فرقة الظالمة) mkabaki wenyewe na kujinasibisha na uokovu (فرقة الناجية). Sasa tena naona mnaanza kubaguana tena nyinyi kwa nyinyi mliokoka (فرقة الناجية). sasa najiuliza kwa hawa wanayojiita manhaj salafy hapa Tanzania tu kuna makundi sita kama sio zaidi. Na kila moja ndio linajiona ndio manhaj salafy safi, sasa Hebu tuambieni na msafi nani nani mchafu.? Mimi Nitakuwa hakimu maana mnakoelekea yatafika sabini na tatu hapa Tanzania tu. Na tusipowasaidia mtaharibikiwa zaidi. Hebu mtuambie mzozo uko wapi, tuwasuluhishe kisha tuwape ufahamu safi wa Uislamu. Nimeletewa haya makundi ni haya yafuatayo. 🤜YAJUE MAKUNDI YA ' MAJADIDA' YANAYOPARUANA NA KUTOANA KWENYE MANHAJ YA SALAF YALIYOPO HAPA NCHINI TANZANIA : 🤛 1- Kundi la Mafuta (Baraamika) lililopo Pongwe. 2-Kundi la Abu Musw'ab (Baraamika) , lilopo Kigamboni. 3- Kundi la Abdallah Muhsin (Baraamika) lililopo Ilala -mtaa wa Morogoro. Hili limemuasi Mafuta kwa kumwitwa Shekhe wa Bakwata na akatia Mawaidha ya kulingania Umoja Feki ambae ni Rafiki wa Mashia. 4-Kundi la Abu Haatim Abdallah Makarate (Hajaawira) , lilopo Bomang'ombe. 5-Kundi la Abu Abul-Yamani Al-Maswqary kutoka Yemen (Hajaawira) - lillopo Masjid Albaany - Buguruni. 6- Kundi ka Abu Muaawiyah (Fuyuushiyuun) lilopo Zanzibar. 7- Kundi ka Mbwana Abdi (Braamika) kutoka Pangani, hili ni kundi limeng'ng'ania kubaki katika Kundi la Mafuta pamoja na kwamba mwenye kundi lake ameshawapa Red card na kuwatoa kwenye Manhaj ya Usalafi kwa sababu mbili kubwa : 8-kundi la Salim Barahiyan khawareej (Tanga)hili kundi kila asiye towa msaada markaz yake hupigwa red card: Kwanza, hawakusoma kwenye Markaz za Kisalafi kwa hiyo usalafi wameutoa wapi? Pili, Wanadhani Usalafi ni kumkandia Kishki tu? mbona hamtaji Sheikh Ally Zubeir ambae ni Mhizby Mwalimu wa Chuo cha Kihizby cha Boraska hana tofauti na Kishki, kundi hili pia limemuingiza Abdurahman wa Mlalo Lushoto ambae amesoma Boraska na Cho cha Masufi huko Sudan huo usalafy kautoa wapi?. Na haya ndio matokeo ya kupenda kufarakishanisha ummah na kujiona watukufu, mwisho huwa ni nyinyi kwa nyinyi. NIMENUKUU KAMA NILIVYOIKUTA
Sikiliza anachokiongea no sahihi au sio tofuti katika kujenga ni kawaidah
Mashallah
i know I am kinda randomly asking but does anyone know of a good website to stream newly released movies online ?
@Mordechai Brysen flixportal
@Canaan Brixton Thank you, signed up and it seems like they got a lot of movies there =) I appreciate it !
@Mordechai Brysen happy to help xD
Swadakta
Sauti ya sheh wamwisho nnani huyu?
Huyu kasimu mawese ana tatizo eti anajitutumua kumjibu shekh aweis! Anajikanyaga tu hoja za aweis ni nzito mno!
Ahhaahha aweso muongo,sema we hujafatilia tu
Aweso kashakosolewa na qaasim kwa hojjah za kiume,kuhusu mas-ala ya maulid,na mas-ala ya baba wa mtume
Unajidanganya ww apo kaa kitako chini usome kwanza
Nasikia raha kusikiliza maneno ya tawhid kuliko mawaidha yeyote
Mashaallah
Ikiwezekan nipatie number zako za whstsapp nitakuwa nakufwatilia kwakuwa kitab ninacho.
Shukran sana Tafadhali Sheikh endelea na Darsa nafaidika namengi sana.
Allah akuhifadhi na akulipe kher nyingi hapa duniani na akhera na akupe umri mrefu wenye manufaa na uzidi kutupa faida nakupenda kwa ajili ya Allah natamani nimuone shekh wetu
Nenda pongwe hakika utamuona biidhinillah
ماشاءاالله
MashaaAllah
Allah akbar
mashaallah Allah akuzidishie
Masha allah
Hafidhahu-llahu taala
Masha Allah
BARAKALLAHU FIYKUM ALLAH AKUZIDISHIE ELIMU ILI TUSOME KUPITIA KWAKO DAWA ILIYO SAHIHI
MASHAALLAH
i love islam and book of allah (qur-an)
Allah akuhifadhi
mashaallah
maa shaa Allaah sheikh Qassim
Allah akujaalie
Sauti ya shekhe wa kwanza Anaitwa Nani?
Anaitwa Maheer
Allaah akulipe shekh wetu mpendwa wapenda bid’aa wanajisikia vibaya lakini lazima waambiwe
Hata kwa dawaa hizi uislam hauwezi pata nusra msharizik kwa manasara na mayahud mpokitu kimoja
Hizo daawa zakupeleka mbele zifanye akhiii...au tuelekeze hao mashekh wenye daawa za kupeleka mbele uislaam
قد نفع الله بعلمك واجتهادك نفعا عظيمة
بارك الله فيك يا شيخنا