- 3
- 30 818
Fashion Style
Tanzania
Приєднався 26 лис 2021
Hello guys...Hii channel inajihusisha na fashion ambazo niza kiafrika zaidi
Utapata fashion style mbali mbali kama za nywele,mavazi ya watu wazima,watoto,
Karibuni tuenjoy na kuiifunza pamoja🥂
Msisahau kusubcribe,like and comment
Love you🥰
Utapata fashion style mbali mbali kama za nywele,mavazi ya watu wazima,watoto,
Karibuni tuenjoy na kuiifunza pamoja🥂
Msisahau kusubcribe,like and comment
Love you🥰
Jinsi Ya Kupika Keki 2 za Nusu
kuoka keki,keki,jinsi ya kupika keki kwa jiko la mkaa,jinsi ya kupamba keki,kuoka na kupamba keki,mapishi ya keki,jinsi ya kupika half keki,jinsi ya kupika keki ya limau,jinsi ya kupika sponge keki,jinsi ya kupika keki ya vannila,jinsi ya kupika keki ya nusu kilo,jinsi ya kupika keki kwa blender,jinsi ya kupika keki ya chocolate,jinsi ya kupika keki kwenye jiko la gesi,keki ya chocolate,jinsi ya kupika keki kwa njia rahisi sana,jinsi ya kupika cake
Переглядів: 13 666
Kazi Yako nimeipenda,,,mfano kama UNGA ni nusu,vipimo vya margarine,sukari na baking powder ,na mayai inakuwaje?
Kwa in cake yang nikipk haipand inakuwa chin kweny levo ileile unayowek??
Samahani hzo tin n inch saba au sita
Icho unachopakia ni kitu gan😮
Ph😅 0😂
Hizo sufuria inch ngapi?
Naomba nione jinsi ulivyochanganya hiyk better cream
Jinsi yakuaandaa mchanganyo wakurembea keki ples
Nimependa
unga saizi gani
Aina gan ya baking powder unatumia
Tiara
Zote hizo mbili ni umetumia robo ileile?
Ndio
Jinsi ya kuseti moto wa oven
Mimi nikipika haiivi kwa katikati
Ukiona haijaiva iache mpkaa iive,ongeza dk
Seti moto wa 170 kwa dk 50
Tin inch ngap?
6